FULL MATCH HIGHLIGHTS | MEDEAMA FC 1-1 YANGA SC | MAGOLI YOTE YAPO HUMU | CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 37

  • @hamisirunde4619
    @hamisirunde4619 10 місяців тому +2

    Yanga oyeeee

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide 10 місяців тому +2

    Ooh Waoh jus Waooh Kibabage bonge la mchezaji anakaba anatengeneza na anafunga type flan za shommy the way akiwa kwenye ubora wake

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide 10 місяців тому +4

    Tv3 wekeni highlights sio mchezo wote yaan naangalia mpaka nachoka dak 1,2,3,4 mpaka nachoka weka matukio muhimu

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 10 місяців тому +5

    Sema Yanga SC hua tunahujumiwa sana lakini sio swala tunakubali matokeo ya aina yoyote. Daima mbele nyuma mwiko...

    • @ZeraGeofrey
      @ZeraGeofrey 10 місяців тому

      Huo ni mpira mbona hata simba zambia alifungwa goli ambalo mpira ulitoka nje na likawa goli ukiona timu imeanza kumlalamikia refa jua tayar maji yameanza kukalibia shingo tupambane tu kwa nguvu zetu tusitegemee waamuz watatuumiza

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 10 місяців тому

    Hata kama hamna mashabiki, ndio muite watu saba kweli😂😂😂😂😂😂 Aibu ya nchi hii. Muombage Simba iwape mashabiki buku hata wa kuwazomea tu 😂😂😂😂😂

  • @MpateIsmail
    @MpateIsmail 10 місяців тому +1

    Mikia leo 7 bila zinawausu

  • @CharlesPaschal-lp3ti
    @CharlesPaschal-lp3ti 5 місяців тому

    Pacome shikamooooooooo

  • @HusseinEdward-z8w
    @HusseinEdward-z8w 10 місяців тому +3

    Ndivyo mpira ulivyo na hujuma ila wanaya nga tushikamane imeisha hiyo tujipange kwa mkapa.

  • @MpateIsmail
    @MpateIsmail 10 місяців тому +2

    Mashabiki wa simba machoko acheni kuifuata fuata yanga yetu angalieni yenu mikia nyie

  • @SamsonKunguta
    @SamsonKunguta 10 місяців тому

    Zile 5G zinawachanyanya

  • @mahyorokalokola4012
    @mahyorokalokola4012 10 місяців тому +2

    Hilo lilikuwa goli la wazi kabisa. Huu ni uhujumu

  • @AndersonMokiwa-is5ch
    @AndersonMokiwa-is5ch 10 місяців тому +1

    Dar tunawapiga bula wasiwasi

  • @عبداللهالعازمي-ع3ش
    @عبداللهالعازمي-ع3ش 10 місяців тому +1

    Camera sijui zikoje

  • @ZeyanaAbdi
    @ZeyanaAbdi 10 місяців тому +2

    Refa ametunyima goli

  • @richardmaxwell3991
    @richardmaxwell3991 10 місяців тому

    anayeandaa hizi highlights ajifunze kwa wengine, kuna unnecessary events awe anaziacha

  • @kamgishaisaya4763
    @kamgishaisaya4763 10 місяців тому +1

    MIMI KAMA SHABIKI WA JANGWANI, NAWAKUBARI WACCHEZAJI WANGU HATA KAMA TUNAFANYIWA ZURUMA TUTAFIKA TUNAKO TAKA KUFIKA , ILA TU NAOMBA WACHEZAJI WAONGEZE JUHUDI BINAFSI TUTAFIKA MBELE ZAIDI ONGERA ZENU JESHI LANGU.

  • @MpateIsmail
    @MpateIsmail 10 місяців тому

    Mikundu na leo mnabanduliwa 7 bila

  • @monicambossa4937
    @monicambossa4937 10 місяців тому

    Lazima waonewe/wahujumiwe siwa shamba utopolo vyura

    • @Mhappy5
      @Mhappy5 10 місяців тому

      Sawa bingwa

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 10 місяців тому +2

    Hayo ni mawazo ya kijinga na ujinga wa mashabiki wa utopolo unahujumiwa kwa lip mnadhani ni marefa mnaowahonga bongo cyo! Tulia unyolewe huku ni kwa wakubwa