EXCLUSIVE: MJUE MANGE KIMAMBI | MWANAHARAKATI MTUKUTU/KwaNINI HAKAMATWI na POLISI/MAISHA YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 49

  • @bilsonstewart2661
    @bilsonstewart2661 8 місяців тому +1

    Shukrani mkuu kwa historia nzuri,nilikuwa sijui kama Mange ni msomi

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  8 місяців тому

      I agree with you chief_ usiache kuwa nasi mengi mazuri yanakuja!?

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 8 місяців тому +7

    Fanya utafiti zaidi historia haijakaa sawa, wako wanao mjua zaidi Jumanne Kimambi na Maisha yake kuliko unavyoeleza.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  8 місяців тому +4

      Ahsante Kwa Review yako tunakuahidi kurudi Shule tena na tutarejea hapa hapa kuongeza Ambacho hujakiskia ila sio vyote utaviskia kwetu ni mwikko kuyasema Ambayo hayasemwi ,ila tunakuahidi kuleta kazi nzuri

    • @SarahMwakisa
      @SarahMwakisa 8 місяців тому

      98​@@Santzmedia

  • @sai72j08
    @sai72j08 8 місяців тому +1

    Asante sana kwa kazi zako,
    Hivi unge leta simulizi au historia ya mzee Mwanjelwa na Tabia Mwanjelwa

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  8 місяців тому +2

      Kutokana na maoni yako Tuko mbioni kuitafuta hiyo Makala na tunakuahidi pia hapahapa kukuletea kama itakuwa mikononi mwetu , hivi karibuni utaiona ila Hakikisha ume subscribe Ili tukiweka Makala hii wewe uwe mdau wetu wa kwanza kabisa kuiona

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 8 місяців тому +1

    Asante cn kk hatimae tumejuwa hisroria na mwanamke hatari sana Mange

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  8 місяців тому +1

      Shukrani ndugu 👊👊Tupo pamoja sanaa

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 3 місяці тому +2

    Umalaya ninin? Nab😮 huyo anayesema malaya hajaxaa watoto?tusijatibu kuita mtoto ea mwenzako malaya ilihali unauzazi.ungeishi

  • @EuniceOdegea
    @EuniceOdegea 7 місяців тому +2

    My beautiful sister...from tz big.up

  • @priscillawilliam3603
    @priscillawilliam3603 5 місяців тому +3

    I wish tungeweza kutafuta habari zenye maana

  • @betricemainoya4176
    @betricemainoya4176 8 місяців тому +2

    Mange ni mwathirika kisaikologia kukosa mapenzi ya mama toka utotoni kuteswa na mama wa kambo, baba yake kufa gafla, kudhulumiwa mali alizotafuta mamayake na babayake, relationship na ndoa yake kivunjika haya yoote sii kupenda kwake mnafaa kumuelewa anahitaji consoling sii kumrushia lawama kila wakati mange mange

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  8 місяців тому

      Good👏 @betricemainoya4176 wengi wangelifahamu hili wangemuombea Sana dua Mange shida Aliyonayo itoke Ama ipungue kabisa

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 8 місяців тому +2

    Mnajisumbua Sana na bado kila kiongozi mwenye zambi ataanika hapo kwahiyo hiyo siyo dawa sie wengine tunataka kusikia uhondo alivyo chambua kama karanga

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  8 місяців тому +1

      Yaani mnapenda umbea "Kwa lugha nyepesi" SindoManaake

    • @caashamacalini3887
      @caashamacalini3887 8 місяців тому

      @@Santzmedia tena kuliko chakula hiyo ndio fact it is so life is carrion

  • @elizabethwanjiku7831
    @elizabethwanjiku7831 3 місяці тому +1

    Ndio maana ana roho chafu. Machungu ya maisha

  • @jessalmas2122
    @jessalmas2122 8 місяців тому +2

    nampenda mange anaongea ukweli

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  8 місяців тому +1

      Clear ila vyote usiviamini!!

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 8 місяців тому

      Wambea kila mnalolisikia mnaona ni ukweli,ndio nyie mkizushiwa jambo mnaugua😂😂

  • @minaeli5989
    @minaeli5989 2 місяці тому

    Mh hii historia ni i ni uongo mtupu

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  2 місяці тому +1

      Pole Sana tuletee yako

  • @queenqueen-en1ds
    @queenqueen-en1ds 8 місяців тому +1

    Kumbe asipo vaa hayo mawigi yake kumbe mbaya hivoo doo

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  8 місяців тому +1

      🤩🤩 mpe sifa yake bhana

  • @rafaelolemoono6830
    @rafaelolemoono6830 8 місяців тому +4

    Tuleteeni matusi yanamfanya bunge na wanasiasa wakose amani....

  • @SipeKato
    @SipeKato 8 місяців тому

    Mm huyu uwagaa aniingii na hiroo kofia la wigi

  • @NgaizaKimbeNgaizakimbe
    @NgaizaKimbeNgaizakimbe 8 місяців тому +1

    Mange Kuma Tu kama Makuma Wengine..

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 6 місяців тому

      Ikiwemo ya Mama yako, Dada yako, Shangazi yako au umesahau??? Hayo si matusi ila ni kashfa sasa unawakashifu niliowataja, pili huko sio kukosoa ongea hoja yenye tija ueleweke ukitaja ulichotaja unaeleza nini???

    • @NgaizaKimbeNgaizakimbe
      @NgaizaKimbeNgaizakimbe 6 місяців тому

      @@sskondopoleani9616 😁😁😁

  • @pascalvitalis
    @pascalvitalis 8 місяців тому +1

    Sio mbaya ila ukipata mda rudia, umaipiga panga sana😂 i mean umafupisha mnooo

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 8 місяців тому +1

    *MWANA HARAKATI WA MATUSI*? ANATOKEA TAASISI GANI YA UANA HARAKATI???

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  8 місяців тому +1

      Kama umeiskiliza Vizuri hii Makala nadhani ungefahamu kwanini Ametajwa Mange kama Mwanaharakati!!

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 8 місяців тому

    AKILI HAMNA😂,,PICHA YA HARUSI UNAGEUZA SHINGO NA MTU ALISHAONEKANA😊,,HUU WEHU WA KIWANGO CHA JUU

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  8 місяців тому

      Kwani kunashida gani ndugu! Kugeuza shingo??

    • @HASSANBAKARI-q9c
      @HASSANBAKARI-q9c 8 місяців тому

      @@Santzmedia SASA ULIPIGA PICHA YA NN?? AU ULITUWEKEA YA NN,NA PICHA ILISHAONEKANA MBONA,,NYIE NDO WAPENDA PORNO ZA MAISHA YA WATU,,,NGOJA NIPOTEZEE

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 місяці тому +1

    Mwanaharakati au malaya mzee tu huko US? Umalaya umemshinda sasa anajiingiza kwenye siasa za kijinga.

  • @abdullahalsharji9428
    @abdullahalsharji9428 6 місяців тому +1

    Mange kimavi

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 8 місяців тому

    Uongo mtupu

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc 8 місяців тому

    Ni mjinga Kama wajinga wengine