Mashaallah shukran sana shekh. Hata mm ilinitokea wallah familia nzima walikataa kisa ni masikini. Ila nilikomaa mpaka nikafungishwa ndoa NA sasa nipo NA mme wng mwaka wa saba sasa alhamndulillah. Nawanamkubali tena sana sasa hivi.
Maa shaa Allaah TabarakaAllaah wallah hata Mimi nimejifunza mengi kupitia nasaha hizi ..... nilitaka kuingia kichwa kichwa tu,,, Sheikh wetu kipenzi Allaah akujaalie pepo ya firdaus
Alhamndulillah 🤲🤲Kuna kitu nimejifunza sana kwenye hii nasaha wallah..Sheikh wangu Allah akujlie kila lenye kheir kwako..~~Ahsnt sana kwa darasah lenye mafunzo ndani yake 🙏🙏🙏
Hakuna mbora kati ya muarabu na asie muarabu,mbora ni yule mwenye kumuogopa Allah...hatutakiwi kujifagharisha kutokana na makabila yetu,wala hatutakiwi kuowana lazima kwa makabila yetu bali tunatakiwa kuowana kwa Imani ya dini yetu,unaweza ukaolewa ni tajiri asiyekuwa na Imani ya dini ukaishi maisha ya dhiki na unaweza ukaolewa ni maskini mwenye Imani ya dini ukaishi maisha ya furaha
Mimi niliozeshwa na mtu sikumpenda sikukaa kwa raha miaka mitano kama kwenye moto.Wazazi hivyo hivyo kwa kung'ang'aniza mambo,huyo mume akajifanya mcha mungu haishi kutoka msikitini baba akaona ee MashaAllah huyu ndie mkwe.Kumbe alikuwa mdanganyifu tu anataka mke.Na wazee msome dini na kuielewa vizuri.
shekhe counselling Mzuri Sana Maa Shaa Allah.walakin nilazima kumwuliza bint waakiislamu maswali la faragha kwa mtandao kweli.waweza kupeana mashauri Mzuri bado bila kumwanika binti mtandaoni na swali nzito.
subuanallah,binadham tunasaau kuwa halo chini Allah anao uwezo wa kumpandisha kwa haraka,na halo juu pia vilevile hanao uwezo wa kumshusha sekude.kwaiyo tusimdharau mtu yoyote dhaifu,mashaallah shekh wetu hanajitaidhi kweli kufata haki na maadiko ya dini yetu ya kislam.Allah hakulipe leo na kesho khaera.kafata khekima kabisa before haongeleshe wazazi kamtoa bint kwa kuficha tamaa za wazazi wake😢.Allah hakuongoze shekh nasi vizazi vyetu haviongoze kwa mwenedo wako shekh
Ety hali ya chini, baba ake amemtafutia wa hali ya juu hata mimi nitanufaika khaaa wee mama shungi lote ilo waongea ivo kwan riziki anatoa binaadam unajuwaje km huyo mnyonge kuna siku Allah atamuinua? Zipo sababu za kukataa wachumba wazee wetu lkn si za uwezo. No one knows tomorrow😢😭
Ya Allah huu pia ni mitihani kupitea ni vigumu kwa wote kisheria za dini 😢😢😢 Mungu atupe stara sisi na wazazi wetu in shaa Allah Shukran sheikh Osman nimepata mafunzo shetani ashindwe kwa guvu zake Allah 🙏🙏🙏🙏🙏
Allah Akbar 😭😭😭Vedio hi na maneno yako shekhe wallah imenitoa machoziii..... Kuna funzoo kubwa mnoo... Allah akutangulie kwa hatua yako, Allah akulipe heri hapa duniani na akhera, Allah akupe umri uzidi kutueleimisha sie, Allah akujalie shahada kabla ya umauti, Allah akujalie mwisho mwema shekh wangu, Allah akujalie pepo ikawe makazii yako 😭wwe na wake zako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
MashaaAllaaaah sheikh othman Allah in shaa Allah Allah akulinde na akupe umr mrefu kwa hakika c jambo rahis Allah amekujaalia kitu ambacho ni adim sana MashaaAllaaaah MashaaAllaaaah
Yan ostadh nilikuwa na machungu Wik mzima hii lkn kukusikiliza tu mawaidha yako nimejihis napata nguvu mpya, daaa kwel mapenz ukiyakurupukia unajua🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu akutunze wallay
A/alayka yaa ustaadh kwanza ninamuomba Allah akuzidishie na uzidi kutusaidia kwaajili ya Allah.pili ushauri wangu fanya maarofa upate spika au mike ili usisumbuke moja iwe ya kwako nyengine iwe ya wazungumzaji.Allah akupe wepesi aamin.
Lailahaillallah Allah akbar😢😢😢😢😢Mim najikita nalia tu jaman Huyu sheikh anahikma sana anajua kumtoa nyoka pangoni👐👐😢😢Sichoki kumsikiliza huyu Sheikh Allah azid kukuongoza mdogo wangu 😢😢😢😢 Ni mtoto mdogo sana Tuko sawa sawa kiumr Namim pia niko 24 years old Hongera sana mdogo wangu Mabrook alf mabrook kwa Allah kukulainisha Moyo wako👐👐Allah atuongoze sisi na watoto wetu na Inshaallah Na wewe mdogo wang Allah akupe mume mwenye kheir na wewe Allah akuhifadh na iwe funzo kwa wengine😢😢😢Wanawake tuwe na akili jaman tusihadaike na mapenz kwakuwaasi wazaz wetu 👐👐👐😢😢😢😢😢Ammin ammin kwa dua yangu na dua ya Sheikh Ammin ammin ammin ammin
Shekhe othman allah akuzdishie hekma na busara ktk kuwaongoza waumini maan hii kaz ni mzto sana na allah akuwekee malipo yako ktk mizani yako ya kher kesho akhera
Hakuwa na tamaaa..the lady was worried mtoto wake asitesekee and these a 2 different things! Plus if she really was greedy hangempigia shekhe simu so y’all stop blaming her
@@abbasabdulkadir5620 limfaalo mja ni amali yake sio tamaa wala sio mali ya mume wa mwanao wala si ukabila na kibri siosifa ya mja kibri sifa ya ibilisi laana
Assalamu alykum ustadh, kwa kweli mafunzo yamenigusa. Na namwomba Allah akujaze kheri na akutilie katika jazaa yako kwa yale mema unayoyatenda. Mfano mzuri sana wa kuigwa. Hapa kwetu Kenya sijapata kuyaona vikao mfano huu, na kama lipo basi sina ufahamu. Nimependezwa sana na huu mwelekeo. Shukran
,subuhanal.....Allah atnusuru na huo ubaguz wa makabila na umackin Mana ni mtihan mkubwa mbele ya Allah ..shekhe mungu akuzidishie hekima na basara inshallah
@@zayyatiyussuf9566 amepata hasara Sana. Ili uwe na raha kwenyendoa ukiolewa na uschana wako. Ukwel mimi nilipendana na kijana mpaka kuumwa tukipishana Ila alipotaka kunitoroshatu. Nikamwacha
@@latifamkulazi8378 Mm haijawahi nitokea nashukuru sikaliani sehemu moja hataakitokea mwanaume mbele yangu mm nasafari namrusu kunisubri au aowe atachagua mwenyewe Allah atustri wanawake na maasi namuombea huyu Dada kheri kwa Allah ampe mume mwema
Hiyo tabia ya ukabila wallahi c nzuri,mm najua alimradi mtu ni muislam na ana nidhamu nzuri anafaa mali itakuja baaden inshaallah.lazma huyu mama ni mpemba mtalaka wake ni mwarabu ndo maana wanapenda sana hiyo tabia.jamaa zetu wapemba pia wanapenda sana Hi I tabia ya ukabila na sizuwi bali mm pia niliyashuhudi kwao,nilikua nimeolewa kwao bt niliachika na sai nimeolewa kwetu kenya japo nilijaaliwa alhamdhulilah waschana wawili na wavlana wawili uno pemba.allah atujaalie sote waislam tupendane na tuwe kitu kimoja.4rm mombasa kenya.
Subhanallah makabila tena na mali kama huyo kijana Ana dini na twabia njema wamuozeshe cz mapenzi ni hisia jmn wazaz tumeacha uislamu tunafata dunia mumesahau anaeruzuku ni Allah
Yan mie nmeshangaa kusikia kabila sio zuri na mume hana pesa jaman dunia imeisha sasa mbona hapo baba wa kambo kasema alopenda kapenda hao wanatamaa ya pesa kisa wamesikia kuolewa na mwarabu looh yan wazazi wengine hata dini hawaifuati
@@rehemasalim4590 nimekusudiya kwenye ndoa .usitegemee pesa angaliya tabia. mm kipindi nafunga ndoa mmewangu hamiliki hata. saivi nashkuru tuko vizuri.
@@rehemasalim4590 nimekusudiya kwenye ndoa .usitegemee pesa angaliya tabia. mm kipindi nafunga ndoa mmewangu hamiliki hata. saivi nashkuru tuko vizuri.
Mstukufulishe kwa Allah nyinyi watuwazima hamnatija yenyemana. Shukran sana sheikh Othuman tunakuelewa Allah akujalie umri wenye afya njema uzidi kutuelimisha
Hakuna asokoseya wamefaidika vingi kwakuja na wamekwenda kwa muisilam mwenza ambao wanajuwa atawaelekeza kitu bora nawamefaidika hakuna anayejiweza kwa ujuzi isipokua Allah
Hatakile kipengele cha haifai kuwa na kiburi basi hakijakufikia ktk nafsi yako kibri ni sifa ya ibilis ndio wametumia hekma ya kumfata sheikh ndiomana nikasema sheikh aelimishe sifa ya kibri sio ktk ubinadamu sasa kama mtu anasifa zote alizozifundisha mtume kama hana mali au kabil lake jiwe asiowe au kuolewa? Kama kunajibu asiowe kabisa au asiolewe kwasababu kama hizo kasema Mtume na ww tuelimishe
Kwaza tunashukru kufika kwao tumejifuza mengi hususani tamaa nayo ya kimali sio dili hususani kwa umma huu ndoa ndoano taraka mkononi tujifuze utu na hekma na ubinadamu nasio tamaa hazitatfikisha popote chakuombena waume wema na wake wema mali na ukabila havimnufaishi mja isipokuwa amali yake
Tunasisitiza tamaa mbaya Mdamwengine mali hufilisika muhimu utu eti oooo kabila masikini kwani Allah hajui kunamasikini ktk umma wake ila wanaroho zautu? Msiwazalilishe watu mkajua Allah kawasahau kimali au kikabila
Mashallah Mashallah TabarakaAllah....Wallah yan kw nasaa ulio toa kw huyo binti yan hayo maneno bc nmejifunza k2 Wallah...Allah akuzidishie Na Uzidi kutupa elmu maana kuna mengi hatuyajui ila 2nayajua 2 kupitia vpindi ivi shukran sna .....
Subhaana llah Mama umekosea sanaa tena Mnataka maslahi duh!! Mko wapi na mafunzo ya mtume Dini na tabia mama Sio mpunga Umaskin ,mnatudhalilisha Jamani
Mashallah haijawahi tokeya mashekhe kukata pesa mimi binafis nakuombeya duwa sn mwanagu mungu akuzidishie kila laheri na akulide na shari na khasada yarabi amini
Tamaa mbaya kibri mmejikoki sheikh wasomeshe hao wana tamaa naukabila sio ndio mwisho wa uhai eti mali na ukabika innalilawah wainailah rajiun Allah tustir na kibri
Dunia ya sasa siyo ya kuchaguliana wachumba bhana,yaan we mmama ungekua mwarabu,sijui ingekuaje,kuzaa na mwarabu tu dharau hivyo loh,hiyo dini yako inakufunzaje,
ALLAHU Aqbar masha Allah subhanallah Alhamdhulilah. Asante kwa kazi nzuri sheikh nime furahi Sana imeni gusa Allah akuifadhi sheikh othman unastahili sifa
Halafu ww mama mwenye mtaraka minilijua hivo unavozungumza kuhusu ukabila na mali ndio kudumu kwandoa kumbe kunamsiba tu kama misiba mingine hata huko kwenye ukabila na mali😳😠😡🙈☻😔Allah wafariji kaka zetu waliokua hawana kabila wala mali wape kaka zetu wanawake wenye khofu yako ww Allah naubarikie kaka zetu wakwe wenye khofu yako Allah
Dah ilinikuta hii mama mkwe alinikataa kisa vyama tu.alikua akiniona njian ananitukana mpka sio njia matusi karaha kashfa mwisho alileta salam kwetu akasema anakwenda pemba kuniroga ili niachane na mwanae, Alhamdulillah alifanikiwa hilo tuliachana maana nilikua nikimuona mwanamme nakuchukia mpka napanda shetani na mahari yao wakarejeshewa ila cha ajabu yule mama hakukaa sana alikufa alipata maradh akaparalaiz..ila pia kaniachia mtihani mzito bado napitia changa moto maana alichonipa anakijua mwenyewe maana nikiolewa leo kesho naachwa..ila Allah Allah Karim
Wallahi kwa kusema ukweli, huyu mama na huyu baba Wa kambu, wanamdhulumu huyu binti , wao wanatazama maslahi yao na wanatamaa sana si watu wazuri wala sio watu walio fuata dini hio kuvaa kanzu nikujionesha kwako sheikh, nakupongeza sana sheikh hata wewe umewatambua kua si watu walioshikamana na dini. Allah atazidi kukupa maarifa pongezi sana
Maashallah,, Wallah sheikh Othmani Allah akuhifadhi duniani na Akhera nasah zako nzuri na huu Ni muujiza kutoka kwa mannan
Daah subhnallah huu ubaguz wa makabila sijui utaisha lini na mtume wetu kalikemea,shekh Allah akulipe kwa juhud zako
😭😭
Mashallah shekh Allah akupe kilalakher akupe mwisho mwema
Nchi za kiarabu wanaowana kwa makabila ispokuwa asilimia ndogo sana
@@rashidihamadi1997 a
subhnallah mtihani kweli
Mashaallah shukran sana shekh. Hata mm ilinitokea wallah familia nzima walikataa kisa ni masikini. Ila nilikomaa mpaka nikafungishwa ndoa NA sasa nipo NA mme wng mwaka wa saba sasa alhamndulillah. Nawanamkubali tena sana sasa hivi.
HAAHH...KOMA MAMA
Huyu mama kakosea au hajasoma dini kusema haliyachini nimaskini halafu sio kabila lao
Mashallah Allah akubarik ktk ndoa yenu
Mbona huturushii namba zacm shekh tukihitaji mawasiliano tukufuwate wapi masha allah tunajifunza kutokana na suhulu zako shekh Jazaka allahu lkher.
Maa shaa Allaah TabarakaAllaah wallah hata Mimi nimejifunza mengi kupitia nasaha hizi ..... nilitaka kuingia kichwa kichwa tu,,, Sheikh wetu kipenzi Allaah akujaalie pepo ya firdaus
Subhanallah!!! YAALLAH NINUSURU NAHUU MTIHAN
Hapo sawa binti atakubal lakn moyon bado anafundo mwishoe akajiulie kwahuyo mlie mchakugulia pesa zinaisha naupendo wakuforce hua haudum
SubhanaAllah😳mama anafunguka kabisa eti atanufaika moja mbili tatu😂duuh nacheka kma mazur Wallah,maisha anayapanga Allah jamani
May Allah give you afya sheikh you are incredible job that has no price
Mashallah sheikh nasahaa yako imenisaidia pia allahamdullah
Alhamndulillah 🤲🤲Kuna kitu nimejifunza sana kwenye hii nasaha wallah..Sheikh wangu Allah akujlie kila lenye kheir kwako..~~Ahsnt sana kwa darasah lenye mafunzo ndani yake 🙏🙏🙏
Yaallah wasitiri watoto wote wakiislam nahaya mambo ya dunia yaarabi 🙏🙏🙏🙏🙏
Allahumma amiin amiin
Aamin yarrab aamin
Mashallah binty anawazazi wazury.km wngu takbiir
Allahumma ameen yarab
Allahuma amin ya rabbal aalamin
Subhanallah shukrain shekhe wetu allah akujalie afya njema mashallah kwakazi unayoifanya inshaallah allah atakulipa kwa kheri unazozi fanya mashallah
Maa shaa Allah. Mana huyu sheikh km anayajua yaliyo ndani ya nafs yangu ya kumueleza huyo m'ke.
ua-cam.com/video/Q03u3OvmHxg/v-deo.html
Alhamdulillah Rabbi l
Hakuna mbora kati ya muarabu na asie muarabu,mbora ni yule mwenye kumuogopa Allah...hatutakiwi kujifagharisha kutokana na makabila yetu,wala hatutakiwi kuowana lazima kwa makabila yetu bali tunatakiwa kuowana kwa Imani ya dini yetu,unaweza ukaolewa ni tajiri asiyekuwa na Imani ya dini ukaishi maisha ya dhiki na unaweza ukaolewa ni maskini mwenye Imani ya dini ukaishi maisha ya furaha
Mimi niliozeshwa na mtu sikumpenda sikukaa kwa raha miaka mitano kama kwenye moto.Wazazi hivyo hivyo kwa kung'ang'aniza mambo,huyo mume akajifanya mcha mungu haishi kutoka msikitini baba akaona ee MashaAllah huyu ndie mkwe.Kumbe alikuwa mdanganyifu tu anataka mke.Na wazee msome dini na kuielewa vizuri.
Pole sanas
@@samsungj7pro64gb5 😭😭😭Ahsante nishapoa ndio majaaliwa.Alhamdulillah.
Pole
Duuh pole yako
ALLAHU AKBAR, ALLAHU AKBAR,que ALLAH recompense o sheikh OTHUMAN com a vida longa.Aprendo muito através dos seus conselhos, Al'hamdulillah.
Wallah sheikh othumani Allah atakulipa innshallah kesho yyaumar kiyma🙏🙏
Ameen ameen kwa uwezo wa Allah
Sadala
shekhe counselling Mzuri Sana Maa Shaa Allah.walakin nilazima kumwuliza bint waakiislamu maswali la faragha kwa mtandao kweli.waweza kupeana mashauri Mzuri bado bila kumwanika binti mtandaoni na swali nzito.
Shukraniii sheikh... Allah atuondolee hy mambo y ukabilaa n Umasikn
subuanallah,binadham tunasaau kuwa halo chini Allah anao uwezo wa kumpandisha kwa haraka,na halo juu pia vilevile hanao uwezo wa kumshusha sekude.kwaiyo tusimdharau mtu yoyote dhaifu,mashaallah shekh wetu hanajitaidhi kweli kufata haki na maadiko ya dini yetu ya kislam.Allah hakulipe leo na kesho khaera.kafata khekima kabisa before haongeleshe wazazi kamtoa bint kwa kuficha tamaa za wazazi wake😢.Allah hakuongoze shekh nasi vizazi vyetu haviongoze kwa mwenedo wako shekh
Mambo ya kubaguwana haswa warabu ni mtihani wabaguana sana allah atuwekeye wepesi shekhe akupe mwisho mwema na kaulinjema
SubhanaAllah sheikh the end is beautiful kweli maneno ya Allah yanalainisha moyo. Jazakhallahu kheir
Ety hali ya chini, baba ake amemtafutia wa hali ya juu hata mimi nitanufaika khaaa wee mama shungi lote ilo waongea ivo kwan riziki anatoa binaadam unajuwaje km huyo mnyonge kuna siku Allah atamuinua? Zipo sababu za kukataa wachumba wazee wetu lkn si za uwezo. No one knows tomorrow😢😭
Ndug Kuna mashungi mengne hayana Iman ni mishungi tu
😂😂😂😂eti mishungi tu.hakika ndugu
Inauma asikwambie mtu
Ya Allah huu pia ni mitihani kupitea ni vigumu kwa wote kisheria za dini 😢😢😢
Mungu atupe stara sisi na wazazi wetu in shaa Allah
Shukran sheikh Osman nimepata mafunzo shetani ashindwe kwa guvu zake Allah 🙏🙏🙏🙏🙏
Allah Akbar 😭😭😭Vedio hi na maneno yako shekhe wallah imenitoa machoziii..... Kuna funzoo kubwa mnoo... Allah akutangulie kwa hatua yako, Allah akulipe heri hapa duniani na akhera, Allah akupe umri uzidi kutueleimisha sie, Allah akujalie shahada kabla ya umauti, Allah akujalie mwisho mwema shekh wangu, Allah akujalie pepo ikawe makazii yako 😭wwe na wake zako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nimejifunza mengi Sana ndugu zangu!
Ameen,ameen,ameen inshaallah.
MashaaAllaaaah sheikh othman Allah in shaa Allah Allah akulinde na akupe umr mrefu kwa hakika c jambo rahis Allah amekujaalia kitu ambacho ni adim sana MashaaAllaaaah MashaaAllaaaah
Machozi yamenitoka alipozugumza mwisho huyo binti. Kuwa salama shkh Osman mashallah
Alhamdulillaah sheikh. Napenda Sana naswaha zako, allah azidi kukupa elimu Zaid na akuajalie maish mrefu.
Sheikh pole sana kwa uzito wa mtihan unayopitia Allah akupe umri mrefu uzidi kusaidia jamii
Sheikh ushaur wako haujabalance umeegemea sana upande wa wazazi sana, jaribu kutumia busara na hekima zaidi, Mwenyezi Mungu unajua zaidi
Allah akujaalie kila lakheri shekhe wetu, kwakweli mengi tunajifunza kupitia vipindi vyako Allah akuwafikishe
Amiin
Allah akulipe kila lililo jema nashidwa shehe nikufananishe na kitu gani mungu akuuweke miaka 100
Yan ostadh nilikuwa na machungu Wik mzima hii lkn kukusikiliza tu mawaidha yako nimejihis napata nguvu mpya, daaa kwel mapenz ukiyakurupukia unajua🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akutunze wallay
MashaAllah binti mtulivu hasaa Allah amuongeze kunako stairii💕
Allah akibaru
A/alayka yaa ustaadh kwanza ninamuomba Allah akuzidishie na uzidi kutusaidia kwaajili ya Allah.pili ushauri wangu fanya maarofa upate spika au mike ili usisumbuke moja iwe ya kwako nyengine iwe ya wazungumzaji.Allah akupe wepesi aamin.
Lailahaillallah Allah akbar😢😢😢😢😢Mim najikita nalia tu jaman Huyu sheikh anahikma sana anajua kumtoa nyoka pangoni👐👐😢😢Sichoki kumsikiliza huyu Sheikh
Allah azid kukuongoza mdogo wangu 😢😢😢😢 Ni mtoto mdogo sana Tuko sawa sawa kiumr Namim pia niko 24 years old
Hongera sana mdogo wangu
Mabrook alf mabrook kwa Allah kukulainisha Moyo wako👐👐Allah atuongoze sisi na watoto wetu na Inshaallah Na wewe mdogo wang Allah akupe mume mwenye kheir na wewe
Allah akuhifadh na iwe funzo kwa wengine😢😢😢Wanawake tuwe na akili jaman tusihadaike na mapenz kwakuwaasi wazaz wetu 👐👐👐😢😢😢😢😢Ammin ammin kwa dua yangu na dua ya Sheikh Ammin ammin ammin ammin
Allahumma amiin kwasonte mpnz
@@naimaally2040 Ammin Habibty😙😍😚
Je Wewe hujaharibiwa?
@@jafaryjey 😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩Hasbiyallah waniimalwakil ndio jibu langu👐👐👐
@@bintsalimalbimany5340 👀
Mama mzazi muogope Allah uwace ubaguzi anaweza kwenda kwa mwenye mali na asifaulu na kaolewa na masikini baadaye wakapata mali
Kwa hakika shekhe hili ni somo tosha mana haya mambo yapo
Shekhe othman allah akuzdishie hekma na busara ktk kuwaongoza waumini maan hii kaz ni mzto sana na allah akuwekee malipo yako ktk mizani yako ya kher kesho akhera
Amiin
Amini
Allahumma amiiin Yarabb
Amiin
Naswidia nakukumbusha najua unajua umepitikiwa tu. Jina la Allah andika kwa herufi kubwa. Hata likiwa katikati ya sentensi.
Inalillah wainalillah rajiun sijapenda huyu mama kwakweli Leo nmeamini yni dharau mbele ya Allah makubwa
Mi amenikwaza Tena bila aibu eti hali yake duni
Du mm nimelia xn
Mm ningaliona haya kusema hayo maneno kwa sheikh wallah ni aibuu akaaah 🙄
@@aishasaid6749 kwa kiswahili tungesema anajimwamba fai kisa kabila kisa kipato anasahau kuwa mbora kwa Allah ni mcha Mungu tu bila kujali tangi yako
Hajui hilo hajui utu nikitu hajui aswaa
Subhanna Allah. Mama usiwe na tamaa hujui mja kikufaa, aweza ku olewa na mwenye pesa kawa na kibri hata zisikufae .
Hakuwa na tamaaa..the lady was worried mtoto wake asitesekee and these a 2 different things! Plus if she really was greedy hangempigia shekhe simu so y’all stop blaming her
Huyo mama anataka mwanae aolewe na tajiri ale bata sasa analeta mijizarau na kibri sifa ya ibilisi laana Allah atustri na kibri sifa ya ibilisi laana.
@@abbasabdulkadir5620 limfaalo mja ni amali yake sio tamaa wala sio mali ya mume wa mwanao wala si ukabila na kibri siosifa ya mja kibri sifa ya ibilisi laana
Assalamu alykum ustadh, kwa kweli mafunzo yamenigusa. Na namwomba Allah akujaze kheri na akutilie katika jazaa yako kwa yale mema unayoyatenda. Mfano mzuri sana wa kuigwa. Hapa kwetu Kenya sijapata kuyaona vikao mfano huu, na kama lipo basi sina ufahamu. Nimependezwa sana na huu mwelekeo. Shukran
Inshallah shehe Michael. Mie sio muislam lakini mafunzo yako yananifundisha sana. Amiin
Ma sha Allah
Na mi pia
Jamani tuangalie dini kwanza mengine yafate badae sheikh Allah akupe umri mrefu
Ma Shaa Allah
Wallah Allah akulipe kila lenye kheri sheikh wetu
Hakika kipindi hiki kina mafunzo makubwa sana
Mashaallah Allah ubarik sheikh
Mashaallah Mashaallah nimempenda huyu mama nimsema ukweli na mwepesi wakulainika
Mashaallah mashaallah tabarakanllah shukuran jaziran shehe wetu Allah akuzidishie kira rahery nimejifunza mengi hi school tosha
wallh shehe othumani nakuombea sana dua mungu akupe kila lenye kheri na wewe innshallh unatoa nadhaa nzuri sana
Amiin yarabi ALLAH amjaalie umri mrefu
Subhanaallah...wallah sheikh Othman Allah akuoengeze elmu na busara zayd kw nasaha nimejifunza wallah....
IT WAS TOUGH FOR SURE. GOD BLESS YOU SHEIKH OTHMAN MICHAEL IN DUNYA AND AKHERA.
Wallha leo somo zuri sn mashallah nimejifunza mengi sn
Allah akulipe kheri inshaAllah Shekhe Othman
Na akupe umri mrefu wenye kheri
Yapi nambie moja
Dini yetu na mashekh wetu Mashallah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
,subuhanal.....Allah atnusuru na huo ubaguz wa makabila na umackin Mana ni mtihan mkubwa mbele ya Allah ..shekhe mungu akuzidishie hekima na basara inshallah
Shukraan sheikh wangu❤ Allah akulipe unacho stahili 🤲
Mama ana tamaa duu!
Ameen
Allah akujalie mume mwema dada inshallah
Sheikh @Othman Shukran Sanaaaaaa Allah akulipe yaliyo ya kher kwa nasaha zako na azidi kukuongezea elimu uzid kutuelimisha
Mama umekufuru mungu mungu ndo mtoaje wa rizq yarab hakuna aombae umaskin katika dunia watu tu naangalia utu na si kitu
Amenikera kweli yeye mbona kaachwa na huyo mwarabu🤨
@@latifamkulazi8378 ههههههههههههههههههههه ndio Alikua anatamaa ya mwanaume mwenye mali ww mama umetupa fuzo la kumuheshimu mtume wetu kwa hekima zake
Sheikh zipoke hakiyako waombee dua tu
@@zayyatiyussuf9566 amepata hasara Sana. Ili uwe na raha kwenyendoa ukiolewa na uschana wako. Ukwel mimi nilipendana na kijana mpaka kuumwa tukipishana Ila alipotaka kunitoroshatu. Nikamwacha
@@latifamkulazi8378 Mm haijawahi nitokea nashukuru sikaliani sehemu moja hataakitokea mwanaume mbele yangu mm nasafari namrusu kunisubri au aowe atachagua mwenyewe Allah atustri wanawake na maasi namuombea huyu Dada kheri kwa Allah ampe mume mwema
Mashallah shekh nikweli kabisa mapenzi ayachagui umaskini wala utajiri bora maelewano namapenzi yathati yuaweza muozesha uyo muarabu nawasielewani tamaa tueke pembeni wazaizi mungu mwenyewe ndie anae toa baraka uezi jua wakioana ndio njia yakupata utajiri
Masha Allah wallah twailimika sheikh allah akulipe kila la khery.Twaomba sheikh uje mombasa twataka muhadhara wako plz
Sheikh Allah akudjaliye kilalaheri
Sheikhe Mungu akuongeze wingi wa hekma utaokoa wengi mno kwa kizazi kilicho kuwa cha leo jazakallakher 🤝🤲🤲👌❤️
Ili somo limeniingia mbakamwisho japo mimi ni mtumzima lkn nimejifunza jambo kuhusu wanaume na ndoa allahuakbar
Mashaallah sheikh wang nashukur kwa nasah nzur sn Allah akuzidishie kila her akupe umri mrefu uzd kutoa nasah Nami nimejifunza san
Jamani ili somo lime nigusa sana sana wallahi yani hayo majanga kama yangu ushauri wako shekhe wallahi allah akulipe
Nawewe ilishakukuta afu ukafanya aje
Hiyo tabia ya ukabila wallahi c nzuri,mm najua alimradi mtu ni muislam na ana nidhamu nzuri anafaa mali itakuja baaden inshaallah.lazma huyu mama ni mpemba mtalaka wake ni mwarabu ndo maana wanapenda sana hiyo tabia.jamaa zetu wapemba pia wanapenda sana Hi I tabia ya ukabila na sizuwi bali mm pia niliyashuhudi kwao,nilikua nimeolewa kwao bt niliachika na sai nimeolewa kwetu kenya japo nilijaaliwa alhamdhulilah waschana wawili na wavlana wawili uno pemba.allah atujaalie sote waislam tupendane na tuwe kitu kimoja.4rm mombasa kenya.
ManshaAllah Shekhe Othman Allah akulipe kheri fidunia wali akhera nasisi Allah atuongoze.
Shekhe unafrahisha kwakweli simchezo
Maa shaa Allah shekh
apa nimejifunza mengi nimeshajigundua kuwa ninamakosa
Naomba kujua jinsi ya kuswali sala ya Istiqara
Maa Shaa Allah msichana Amesema ya ukweli yaliyomo moyoni mwake kipendacho moyo ni Dawa
@@zayyatiyussuf9566. . .
.
.
. .
Keshaliwa huyo hana adabu nahuyo mchumba wake waozeshwe tu
Sbuhanallah 😢 Sheikh Allah Akuhafikie wallah 😭 Hawa wazazi Allah awaongoze kiimani apo akuna Imani
Subhanallah makabila tena na mali kama huyo kijana Ana dini na twabia njema wamuozeshe cz mapenzi ni hisia jmn wazaz tumeacha uislamu tunafata dunia mumesahau anaeruzuku ni Allah
Yan mie nmeshangaa kusikia kabila sio zuri na mume hana pesa jaman dunia imeisha sasa mbona hapo baba wa kambo kasema alopenda kapenda hao wanatamaa ya pesa kisa wamesikia kuolewa na mwarabu looh yan wazazi wengine hata dini hawaifuati
sheke mm nimeolewa mmewangu hana hata mia .na saivi bilonia waislamu wenzangu wamepotea sna
@@suleimanawesi5617 mh sijakuelwa
@@rehemasalim4590 nimekusudiya kwenye ndoa .usitegemee pesa angaliya tabia. mm kipindi nafunga ndoa mmewangu hamiliki hata. saivi nashkuru tuko vizuri.
@@rehemasalim4590 nimekusudiya kwenye ndoa .usitegemee pesa angaliya tabia. mm kipindi nafunga ndoa mmewangu hamiliki hata. saivi nashkuru tuko vizuri.
Ahsante sana sheikh kwa nasaha njema. shukran sana kwa kuutengeneza na kuusafisha umma. Allah akujaze kila la kheri.
Mmh ni mazito ALLAH akuafikishe sheikh wetu uyamaluze salama kwa uadilif kma kawaida yako muheshimiwa
Usikimbilie ndoa mdgo wang, tulia kwanza swali istiqra mshirikishe allah ndo mjuzi wa nafsi zetu, kosea yote usikosee kuolewa au kuowa,
MASHA ALLAH
MAMA NI MRAHISI SANAB KULAINIKA ,ALLAH AWAHIFADHI WAZAZI WETU🤲🏻
Mstukufulishe kwa Allah nyinyi watuwazima hamnatija yenyemana. Shukran sana sheikh Othuman tunakuelewa Allah akujalie umri wenye afya njema uzidi kutuelimisha
Hakuna asokoseya wamefaidika vingi kwakuja na wamekwenda kwa muisilam mwenza ambao wanajuwa atawaelekeza kitu bora nawamefaidika hakuna anayejiweza kwa ujuzi isipokua Allah
Nawaisilamu ni ndugu natunanuru mbili Mungu na mutume hakuna kitucema utakosa kwa mutume ata uwe hodari gani.... aca ibaki kuwa mawaidha kwewengine
Hatakile kipengele cha haifai kuwa na kiburi basi hakijakufikia ktk nafsi yako kibri ni sifa ya ibilis ndio wametumia hekma ya kumfata sheikh ndiomana nikasema sheikh aelimishe sifa ya kibri sio ktk ubinadamu sasa kama mtu anasifa zote alizozifundisha mtume kama hana mali au kabil lake jiwe asiowe au kuolewa? Kama kunajibu asiowe kabisa au asiolewe kwasababu kama hizo kasema Mtume na ww tuelimishe
Kwaza tunashukru kufika kwao tumejifuza mengi hususani tamaa nayo ya kimali sio dili hususani kwa umma huu ndoa ndoano taraka mkononi tujifuze utu na hekma na ubinadamu nasio tamaa hazitatfikisha popote chakuombena waume wema na wake wema mali na ukabila havimnufaishi mja isipokuwa amali yake
Tunasisitiza tamaa mbaya Mdamwengine mali hufilisika muhimu utu eti oooo kabila masikini kwani Allah hajui kunamasikini ktk umma wake ila wanaroho zautu? Msiwazalilishe watu mkajua Allah kawasahau kimali au kikabila
Mashallah Mashallah TabarakaAllah....Wallah yan kw nasaa ulio toa kw huyo binti yan hayo maneno bc nmejifunza k2 Wallah...Allah akuzidishie Na Uzidi kutupa elmu maana kuna mengi hatuyajui ila 2nayajua 2 kupitia vpindi ivi shukran sna .....
Shekhe upo sahihi Sana lakin Hilo swali ulilo muliza mtt kuhusu kuzin shekhe mbele ya wazaz wake atajibu nini ukichukulia haswa mzazi wa kiume
🤣🤣🤣
Sheikh Yuko na hikma sana MaashaAllah 🥰
Shukran shekhe Allah akupe. Maisha marefu auwezo mkubwa
AMIN
Amiin amiin amiin shukran ya sheykh allah akuzidishie imani yaarabbi amiin
Subhaana llah
Mama umekosea sanaa tena
Mnataka maslahi duh!!
Mko wapi na mafunzo ya mtume
Dini na tabia mama
Sio mpunga
Umaskin ,mnatudhalilisha
Jamani
Manshallah hili ni funzo kubwa sana,shekh Allah akilipe Kwa busara na umakini ulionao katika kutoa nasaha zako.
Alihamdulilih shekh Allah akuifadhi kwakilabaya inshallah
OYAA JAMANII EEEEEEE MALIMM OTHAMANI KESHA JIVUNIAA ZAKEE HAPOO KWASBB YUPO MIONGONI MWA WATAKAO PATAA KIVULII ALLAAH ATUJALIE NASISI TUPATE KIVULI SIKU YA KIYAMMA
Jazakhallah kheir sheik wetu.mola akulipe mema dunian na kesho akhera🙏🏿🙏🙏🏿🌹
Hii kesi ilikua ngumu Sana! Lkn Alhamdulillaah kwa tawfiiq ya Allah ,,Shekh umeweza kulisimamia hili
Allah ampe umri swiha n afya InshaaAllah
Alhmdulillah nimepata furaha kubwa
Baada y kujua binti yuko vyema..Allah akueke shekh
Shukran shekhe wallahi ulio sema ni kweli kabisa hakuna mbora ju ya mwenyengine kikubwa ni dini tu
Inalilaahi mama umebugi stepu. Anaweza kuwa wahaliyachini akawa m bora kuliko mwenye uwezo. Angalieni dini.
Mashallah haijawahi tokeya mashekhe kukata pesa mimi binafis nakuombeya duwa sn mwanagu mungu akuzidishie kila laheri na akulide na shari na khasada yarabi amini
Tamaa mbaya kibri mmejikoki sheikh wasomeshe hao wana tamaa naukabila sio ndio mwisho wa uhai eti mali na ukabika innalilawah wainailah rajiun Allah tustir na kibri
Amin
@@bindawood978 Allahumma amin
Mtihani wallah , hizi kesi zipo nyingi shekhe, kesi za vijana Na mabinti , Na familia nazo zinafikia pabaya
mashaAllah mashaAllah,sheikh kazi unayo Allah azidishie umri mara duf.
Mama aliteleza Sana! Lakin tunamshukuru shekhe wetu mwenyez mungu amempa hekima. Asante shekhe tunajifunza kupitia kipindi hiki.
Mh, yan kwa mm Naona pande zote 2 Kwa bint N Mtihan Allah amuongoze inshaallah
MashaaAllah shukran shekhe wetu kwa elimu nzurii tuloipataa
Lakn huyu baba awe mfano kwawazazi wengine wallah amenikosha kwanamna ambavyo amesimamia mtoto wa mke wake mashallah baba Allah akuweke
Shukran shkh nimepata mafunzo mengi kupitia usia wako Allah akulipe kila lakher akupatie umri ulie namanufaa inshaallah
Dunia ya sasa siyo ya kuchaguliana wachumba bhana,yaan we mmama ungekua mwarabu,sijui ingekuaje,kuzaa na mwarabu tu dharau hivyo loh,hiyo dini yako inakufunzaje,
Mm nashanga kwani warabu anamiguu sita wapotofutu
Mashaallah mashaallah mola akuzidishiye elmu na iman akuhifathi
Maneno mazuri sana Sheikh Othman kweli nimejifunza vitu vingi hapa
Alhamdulillaah...msichana wasikize wazazi..Vizuri kabisa kama umetunza ujana wako....ALLAAH AKUJAALIE MUME MWEMA..Zidi kujitunza mwanangu..
alivurugwa kitambo na huyo jamaa
Yaarabb tupe elimu zenye manufaa, chozi lanitoka wallah laghadhim
Kwa nn cozi
@@zaerajuma9159 .
@@zaerajuma9159 ,
@@zaerajuma9159 .
Asia
ALLAHU Aqbar masha Allah subhanallah Alhamdhulilah. Asante kwa kazi nzuri sheikh nime furahi Sana imeni gusa Allah akuifadhi sheikh othman unastahili sifa
nyinyi mlichaguliwa kuoana...ebu mwacheni achague anae mpenda....me ilishanitokea inauma....ngoja nizekee nyumbani nishakubali matokeo
Pole sana
pole sana mpenzywangu Insha Allah utapata kheir nyengine.
Binti hawa na mimi pia nilipata mtihani wa kulazimishwa mume kwakeli inauma sana.
😁usizehekey nyumbanweye endeleya kumuomba mungu atakuleteya mwingin
Masha Allah Sheikh Othman unahikma na Allah akuzidishie Hikma yako
Halafu ww mama mwenye mtaraka minilijua hivo unavozungumza kuhusu ukabila na mali ndio kudumu kwandoa kumbe kunamsiba tu kama misiba mingine hata huko kwenye ukabila na mali😳😠😡🙈☻😔Allah wafariji kaka zetu waliokua hawana kabila wala mali wape kaka zetu wanawake wenye khofu yako ww Allah naubarikie kaka zetu wakwe wenye khofu yako Allah
Ila tumsamehe mama aliteleza na Nina hakka ametambua makosa yake na amejifunza pia tumuombee dua ili asijichanganye tena inshaallah
Maneno ya machozi eti hana kabila eti hali duni daa mtoaji ni Mola anampa amtakae kwa wakati atakao
@@hadijamandanje6189 kweli kabisa wajina wangu
Dah ilinikuta hii mama mkwe alinikataa kisa vyama tu.alikua akiniona njian ananitukana mpka sio njia matusi karaha kashfa mwisho alileta salam kwetu akasema anakwenda pemba kuniroga ili niachane na mwanae, Alhamdulillah alifanikiwa hilo tuliachana maana nilikua nikimuona mwanamme nakuchukia mpka napanda shetani na mahari yao wakarejeshewa ila cha ajabu yule mama hakukaa sana alikufa alipata maradh akaparalaiz..ila pia kaniachia mtihani mzito bado napitia changa moto maana alichonipa anakijua mwenyewe maana nikiolewa leo kesho naachwa..ila Allah Allah Karim
@@khadijaahmed7455 fanya dua hakuna kinachoshindikana kwa Allah ,Ishaa Allah,atakufungua na kilamtihani,