MCHUNGAJI NDACHA MUONGO AAIBISHWA NA UST SHAFIII

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 49

  • @ramzanqarim4977
    @ramzanqarim4977 Місяць тому

    Mwana wa mungu Kisha anageuka baada ya Mada anageuka anakua mungu mwenyewe.

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p Місяць тому

    Mwana wa Mungu au Mungu hamueleweki wengine wanasema n Mungu audhu bi llah

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 Місяць тому

      Mwana wa Mungu ni Mungu pia. Huelewi nini hapo

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 Місяць тому +5

    Wewe unayetaka ushahidi wa mtume Muhamadi katika vitabu vingine tofauti na Quran nenda kasome kitabu alichopewa nabii Daudi kinaitwa ZABURI na TAURATI ya Musa na INJILI aliyopewa Issa bin Mariamu utapata habari za mtume Muhamad umo usiende kwenye Biblia huwezi kupata habari za mtume muhamad umo kwa sababu Biblia haijulikani kapewa mtume nani hicho ni kitabu cha michongo kilichotoka Rumi wakati Yesu hajafika hata siku moja

  • @AbdullatifSalum-c7r
    @AbdullatifSalum-c7r Місяць тому +2

    Mtoto wa Mungu ni Mungu Wakristo mkisema hivo inaonesha Mungu Wa Yesu ambaye ni baba yake Ana Macho Mawili 😂 anakula anakwenda Chooni analala Yaaani Atakuwa Na Sifa za Kibinaadamu 😂😂😂😂 halafu halafu Yesu kanyonyeshwa Na Maryam Mungu kanyonyeshwa Jamani Akakogeshwa Duh!!! Watu wakampiga 😂😂😂 na Baba Yake (Mungu ) anashuhudia Yote Hayo hakufanya Chochote anaangalia 2 mwanawe Anavyokula Kichapo Yaaani wewe umkuta Mwanao Anapigwa Halafu Usimtete na Una uwezo wa Kufanya Kitu Yesu kazaliwa Na Maryam yaaani maryam kamzaaa Mungu Duh!!! Yaani Mungu katoka Kwenye Sehemu ambayo Muda Mwengine siTohara na inatoa uchafu akazaliwa yesu yesu kazaliwa na Maryam yesu inaonesha Ana Wajomba zake babu zake cousin zake yaaani kiufupi ukooo wa Mungu 😂😂😂 Wakristo Tumieni Akili Yesu Mwenyewe Hakusema Kama Yeye ni Mungu 😂😂😂 Mnamsingizia 2 ndio maana Siku ya kiama atakuja Kukukataeni 😂😂😂 Cjui mtakimbilia Wapi Yesu hana Sifa za Uwungu mungu Gani Anatahiriwa 😂😂😂😂😂😂😂 Mungu Gani Analala Yaani usingizi hawezi kujizuia Yesu Ni Mtume wa Mungu Kama Nabiii Muhammad (S.a.W) Mussa Sleiman ndio Maana Sifa zao zinafanana wote wanakula wanalala wamezaliwa Tumieni Akili

    • @jimmymakori1983
      @jimmymakori1983 Місяць тому

      hii yako si hoja ni watu unajaribu kuchekesha

  • @AbdulkarimShosi
    @AbdulkarimShosi Місяць тому +2

    Kiboko ya ndacha ustadh shafiimimi nikisema ndacha hajielewiyeye ni mbabaishaji tuu Hana kitu kelele nyingi tu

    • @Kimoni-j4w
      @Kimoni-j4w Місяць тому

      Nyinyi hamjielewi

    • @michaelamiani6755
      @michaelamiani6755 Місяць тому

      Mtu analeta comedy mnasema kiboko Cha ndacha kweli hakili kidogo hasara

  • @ramzanqarim4977
    @ramzanqarim4977 Місяць тому

    Quran ndio jibu.. Vitabu vingine vipo tu waandishi ni watu wa kawaida Ila Quran ndio jibu lao

  • @MwasabuniSuleiman
    @MwasabuniSuleiman Місяць тому +1

    Wakati wa bwana yesu kulikua hakuna ukristo yesu hakua mgiriki!!!

    • @jimmymakori1983
      @jimmymakori1983 Місяць тому

      That's a point for illiterate people who are scared of truth like you

    • @michaelamiani6755
      @michaelamiani6755 Місяць тому

      Ukristo ni nn wewe mbona aseme kristo bure kabisa

  • @MubebajiTsataspala
    @MubebajiTsataspala Місяць тому

    Nisawa kabisa petero amwite yesu kuwa ni mwana wa mungu maana yeye ndiye shetani katika wanafunzi wa Yesu....Na wale pepo wachafu kila walipo muona Yesu alianguka na kusema wewe ndiye mwana wa Mungu....so fuateni huyo petro shetani mkubwa.

  • @umazisalim8070
    @umazisalim8070 Місяць тому

    Shafii kiboko 🙌

  • @joramsengi9123
    @joramsengi9123 Місяць тому

    Cha kusikitisha ni kwamba hata aliyepost anapendelea Waislam kupitia Caption kwa hiyo ni ushabiki na siyo Elimu.
    SIKU YA MWISHO ITAKUWA SIKU NGUMU SANA , MUNGU AWASAIDIE MRUDI ZIZINI MUWE CHINI YA MCHUNGAJI MWEMA YESU KRISTO

  • @salehrwigemagisa81
    @salehrwigemagisa81 Місяць тому +1

    Ndacha ana kipaji cha kuropoka ropoka.Elimu ndogo,mdomo mrefu

  • @metaoyugi6530
    @metaoyugi6530 Місяць тому

    Naona msomaji mwislamu mapema za uislamu zinampanda akisoma bibilia

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 Місяць тому

    Ndacha debe tupu kelele nyingi mno.

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 Місяць тому

    Sasa mnaelimishana au mnakaa kuidhihaki dini huyu jahanam huyu motoni msumari sasa ndionini kama hamuwezi kufundisha kwaheshima bora muache mnaifundisha nini jamii mbona washamba mijitu mizima hamnahaya miendio maana sipendi kuwasikil8za bora ustadh shafi kuliko nyinyi

  • @yannickaboubakrkambeya-cl4mw
    @yannickaboubakrkambeya-cl4mw Місяць тому

    Vive l'islam

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Місяць тому

    Huyo ni kweli kabisa Mohammed hakutabiliwa jamaa alijiandikia tu kutokana na Bible

  • @AbubakarKi
    @AbubakarKi Місяць тому +1

    Ndacha kila siku una rudi na ghadabu ya mwenzi MUNGU wakati biblia ameweka wazi kila kitu?

    • @Kimoni-j4w
      @Kimoni-j4w Місяць тому

      Eeeh yesu ni mungu.yesu ni mwana mungu! John 9:35

  • @mwanyunimadee4157
    @mwanyunimadee4157 Місяць тому

    Naona elimu hafifu kwani mungu huzaa kwa neno sio mke pili naona waislam wanalemewa maana wanaamin Kila shokh anasema n kweli someni vitabu vyenu

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku Місяць тому

      Wewe umesoma? Tupe uthibitisho

    • @jimmymakori1983
      @jimmymakori1983 Місяць тому

      @@AyubuIkaku wacha kukasirika

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku Місяць тому

      @@jimmymakori1983 kukasirika kupi?

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 Місяць тому

    Mjanja tu huyu anajua uislam ndio dini lakini anachafua tu makusudi

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 Місяць тому

      Uislam ni Dini lakini Ukristo ni maisha ya Wokovu

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 Місяць тому

      @@joramsengi9123 toa andiko kama kidume.😜😜

  • @GeraldMswazi-bp2kw
    @GeraldMswazi-bp2kw Місяць тому

    Waislam naombeni ushahidi nje YA quran kuwa Muhamad Ni mtume wa mwenyezi Mungu ili athibitike kuwa mtume, lazima kuwe Na ushahidi wa watu wawili au watatu.msipo toa Hilo jibu anabaki Kua mtume wa uongo.

    • @fundibombazanzbar5717
      @fundibombazanzbar5717 Місяць тому

      Maandiko mengitu

    • @NuraMunyasia
      @NuraMunyasia Місяць тому

      Angalia kwenye biblia yenu kwanza ndio uulizie nje..wakristo hawajielewi kabisa

    • @GeraldMswazi-bp2kw
      @GeraldMswazi-bp2kw Місяць тому

      @@NuraMunyasia mbona hujajibu swali unaanza matusi

    • @NuraMunyasia
      @NuraMunyasia Місяць тому

      @@GeraldMswazi-bp2kw Sasa matusi yapo wapi hapo jamaneni??? Hilo tayari ni jibu tosha kama,”angalia ushahidi katika kitabu chako cha biblia ndio utafute ya nje “ matusi yapo wapi? Ndio nikaongeza hamjielewi kwa hii namna ulivyo ww,nakujibu bado huoni vipi ww

    • @GeraldMswazi-bp2kw
      @GeraldMswazi-bp2kw Місяць тому

      @@NuraMunyasia nasubiri ushahidi,kama hamna uniambie.