HOMA oi Ee Bwana njooni muone maajabu Leo buss limepaki Stend ya viatu/ Inashangaza Kama rasi amekula nyamafu/ Huyu daktari wa akili aka nusu chizi/ Leo anamuamsha mgonjwa Ili ampe dawa ya usingizi/ Alafu amini tu utatumwa kama utashindwa kujituma / Snitch nakuonea macho siwez kukuonea huruma/ Madalali wa Dar wakikuona we nimsukuma/ Wanakwambia tunauza viwanja na mikoani tunatuma/ NaKama vita iwe vita visa iwe visa/ Mnaonesha furaha usoni huku chuki mmezificha/ Hii sauti Kwenye spika imeskika /(ikisema ) Ukiona mimi nawewe haziivi basi ujue hatujazipika/ Ukitia team utatukut tupo ndichi/ Ukiona moshi mwingi ujue walimu wanatembeza stiki/ Sasa wambieni masnich wasipite kipande hiki/ Kuna wahuni ambao mpaka mavu* wameweka britch/ Inachekesha madem sikuizi nawaletea mapozi/ Baada ya juzi insta kuona ameni dm amber rose/ Sio mrembo kikojozi hawa wanaopenda matozi/ Nibonge la dhari Kama hussen kufutwa machozi/ Rayvan alinambia Bando unajua sema tu hauna promo/ Ila Muda utaongea japo hakunaga Saa yenye mdomo/ Najua ushindi unavikwazo/ Ila bando ndo muogeleaji Pekee anaepiga mbizi hadi kwenye dimbwi la mawazo/ Yani kuna time matumiz yapo NJE ya bajeti/ Yani unamkono wasweta alafu unamguu wajaketi/ Mwaka jana nilitamani Kuwa na watoto hata mapacha/ Ila mwaka umeisha hata mama Yao sijampata/ Kwanza hali yenyewe ngumu mambo yametaiti yamechupi/ Yani unaeza ukawa mrefu ila ukaishi maisha mafupi/ You stupid usiige maisha yangu mimi huyu/ Naeza nikanawa mikono afu nikaamua kula buyu/ Mnaniteta alafu mkiniona mnachekacheka/ Mnakesha kunisema sema mnateseka/ Navesha siogopi mbwa koko mnavyobweka/ Na mlivyo Na roho ndogo mkiniona mnatetemeka/ Ndo Yule shytown boy mnyama niliyezaliwa shinyanga/ Shinyanga ingekuwa naigeria lagos ingekuwa matanda/ Wanangu wa ngokoro ndala ibinzamata kote yechu/ Kitangiri Na bugweto nguzo nane kote kwetu/ Alafu koma kuturinganisha Na machizi boti/ Sisi hela zetu mpaka tuvuje jasho yani tuforce/ Tukipata tunawaka pamba kali ziko hot/ Nikitaka dundo kali huwa namchek mwanangu david sport/ Kwetu mtoko sio weekend utaona moto kama hupend/ Maisha changamoto kuvuja jasho kisha kuspend/ Wanoko hawatupendi tuishi Kwa kujidefend/ Sio kwamba sipendi watoto sema utoto ndo sipendi/
Oy Hii kazi tumeisubiri miaka miwili afu Mwamba kaja na Homa part2 afu kwa kishindo baabeeeki🔥🔥🔥🔥🙌 Sema Nini Tupambane wazee hii kazi tuipeleke No1 bx wangu

Ukiona mm naww haziivi ujue hatujazipika,,, kama umependa huo wimbo na kuusikiliza kwa makin kama mm adi TV nimezima na watoto nimewapeleka kwa majirani gonga like ngoma kali Sana mshikaj wangu BANDO🙌🙌
HOMA
oi Ee Bwana njooni muone maajabu Leo buss limepaki Stend ya viatu/
Inashangaza Kama rasi amekula nyamafu/
Huyu daktari wa akili aka nusu chizi/
Leo anamuamsha mgonjwa Ili ampe dawa ya usingizi/
Alafu amini tu utatumwa kama utashindwa kujituma /
Snitch nakuonea macho siwez kukuonea huruma/
Madalali wa Dar wakikuona we nimsukuma/
Wanakwambia tunauza viwanja na mikoani tunatuma/
NaKama vita iwe vita visa iwe visa/
Mnaonesha furaha usoni huku chuki mmezificha/
Hii sauti Kwenye spika imeskika /(ikisema )
Ukiona mimi nawewe haziivi basi ujue hatujazipika/
Ukitia team utatukut tupo ndichi/
Ukiona moshi mwingi ujue walimu wanatembeza stiki/
Sasa wambieni masnich wasipite kipande hiki/
Kuna wahuni ambao mpaka mavu* wameweka britch/
Inachekesha madem sikuizi nawaletea mapozi/
Baada ya juzi insta kuona ameni dm amber rose/
Sio mrembo kikojozi hawa wanaopenda matozi/
Nibonge la dhari Kama hussen kufutwa machozi/
Rayvan alinambia Bando unajua sema tu hauna promo/
Ila Muda utaongea japo hakunaga Saa yenye mdomo/
Najua ushindi unavikwazo/
Ila bando ndo muogeleaji Pekee anaepiga mbizi hadi kwenye dimbwi la mawazo/
Yani kuna time matumiz yapo NJE ya bajeti/
Yani unamkono wasweta alafu unamguu wajaketi/
Mwaka jana nilitamani Kuwa na watoto hata mapacha/
Ila mwaka umeisha hata mama Yao sijampata/
Kwanza hali yenyewe ngumu mambo yametaiti yamechupi/
Yani unaeza ukawa mrefu ila ukaishi maisha mafupi/
You stupid usiige maisha yangu mimi huyu/
Naeza nikanawa mikono afu nikaamua kula buyu/
Mnaniteta alafu mkiniona mnachekacheka/
Mnakesha kunisema sema mnateseka/
Navesha siogopi mbwa koko mnavyobweka/
Na mlivyo Na roho ndogo mkiniona mnatetemeka/
Ndo Yule shytown boy mnyama niliyezaliwa shinyanga/
Shinyanga ingekuwa naigeria lagos ingekuwa matanda/
Wanangu wa ngokoro ndala ibinzamata kote yechu/
Kitangiri Na bugweto nguzo nane kote kwetu/
Alafu koma kuturinganisha Na machizi boti/
Sisi hela zetu mpaka tuvuje jasho yani tuforce/
Tukipata tunawaka pamba kali ziko hot/
Nikitaka dundo kali huwa namchek mwanangu david sport/
Kwetu mtoko sio weekend utaona moto kama hupend/
Maisha changamoto kuvuja jasho kisha kuspend/
Wanoko hawatupendi tuishi Kwa kujidefend/
Sio kwamba sipendi watoto sema utoto ndo sipendi/
Nasikiliza huku nasoma lyrics, hiki kitu kikubwa!!
Unyama mwing Broo 🙌
@@azaboicomedy kula maandishi
@@saidgongo7214 side
Fupi,kali,imejaa..hii imekuja kuzipiku homa za covid, ebola,malaria na kadhalika
Uuwiiii ngom ya moto ni hatar sana
Ukweli una uma siku zote bando Mc kusema ukweli juu ya hili toka 2022√ 2023 upo vizuri kuliko Roma 🇨🇩🇨🇩
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇
ua-cam.com/video/L99R-VXbIgU/v-deo.html
Cy pw mistarii heavy
Mm ibrahim mkombozi leo ninatangaza kuwa shabiki wa BANDO Mc 4 life
😂😂😂😂😂
Bonge moja la ngoma bonge moja la chupaaa mamae 🙌
Guys alietazama na kusikiriza Zaid ya mara tano Kama mm Naomba like yake tafadhari
karibu hapa kutazama video yang mpya HOMA PART TWO 👇
ua-cam.com/video/L99R-VXbIgU/v-deo.html
Kazi nzur bando
Mama sana bro 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Fam
Home boy unyama n mwing sana 🙌🙌🙌
Kila siku sikio langu linasikia kitu kipya kutoka kwako.....najua mda utaongea...
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇
ua-cam.com/video/L99R-VXbIgU/v-deo.html
Noma sana kaka kevy front oil pamoja kaka
Ngoma yangu bora 2023 🙌 Mussa Bando 👑
Bless kak
Goma pendwa 2023
Shy town boe,, asanteh saana Kwa hii michano 🙌🙌🙌🙌
Bless
Tishaaa bando
Mzeee 🙌🙌🙌 dah heshima
Ewaa
@@BandoMC imesima kinoma
Congrats Sana chama langu,,Bando boy
KAZI NZURI SANAAAAAA
Choka kaka
Nakubalii Kaka unajua sanaaa
UnYama sana blood💥🙌
Fam
UGONJWA UMEPATA DAWA 🔥🔥
Blood ngoma qali 🍁🍁🔥🔥🔥🔥🔥
Asante
Congo moja 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪
Ila wew Ni mwixho wa wote wanao kufanya wanajua kuimba
Oy Hii kazi tumeisubiri miaka miwili afu Mwamba kaja na Homa part2 afu kwa kishindo baabeeeki🔥🔥🔥🔥🙌
Sema Nini Tupambane wazee hii kazi tuipeleke No1 bx wangu
Ewaaa
Ila bando we akili yako iliumbwa tofaut na wengne aisee.. Unaumiza sana kichwa kutupa burudan aisee..
Bless sana mzee baba
💣Na mlivyo na roho
Ndogo mkiniona mnatetemeka 💥💥💥
Kama unamkubali bando gonga like 👇
HOMA
oi Ee Bwana njooni muone maajabu Leo buss limepaki Stend ya viatu/
Inashangaza Kama rasi amekula nyamafu/
Huyu daktari wa akili aka nusu chizi/
Leo anamuamsha mgonjwa Ili ampe dawa ya usingizi/
Alafu amini tu utatumwa kama utashindwa kujituma /
Snitch nakuonea macho siwez kukuonea huruma/
Madalali wa Dar wakikuona we nimsukuma/
Wanakwambia tunauza viwanja na mikoani tunatuma/
NaKama vita iwe vita visa iwe visa/
Mnaonesha furaha usoni huku chuki mmezificha/
Hii sauti Kwenye spika imeskika /(ikisema )
Ukiona mimi nawewe haziivi basi ujue hatujazipika/
Ukitia team utatukut tupo ndichi/
Ukiona moshi mwingi ujue walimu wanatembeza stiki/
Sasa wambieni masnich wasipite kipande hiki/
Kuna wahuni ambao mpaka mavu* wameweka britch/
Inachekesha madem sikuizi nawaletea mapozi/
Baada ya juzi insta kuona ameni dm amber rose/
Sio mrembo kikojozi hawa wanaopenda matozi/
Nibonge la dhari Kama hussen kufutwa machozi/
Rayvan alinambia Bando unajua sema tu hauna promo/
Ila Muda utaongea japo hakunaga Saa yenye mdomo/
Najua ushindi unavikwazo/
Ila bando ndo muogeleaji Pekee anaepiga mbizi hadi kwenye dimbwi la mawazo/
Yani kuna time matumiz yapo NJE ya bajeti/
Yani unamkono wasweta alafu unamguu wajaketi/
Mwaka jana nilitamani Kuwa na watoto hata mapacha/
Ila mwaka umeisha hata mama Yao sijampata/
Kwanza hali yenyewe ngumu mambo yametaiti yamechupi/
Yani unaeza ukawa mrefu ila ukaishi maisha mafupi/
You stupid usiige maisha yangu mimi huyu/
Naeza nikanawa mikono afu nikaamua kula buyu/
Mnaniteta alafu mkiniona mnachekacheka/
Mnakesha kunisema sema mnateseka/
Navesha siogopi mbwa koko mnavyobweka/
Na mlivyo Na roho ndogo mkiniona mnatetemeka/
Ndo Yule shytown boy mnyama niliyezaliwa shinyanga/
Shinyanga ingekuwa naigeria lagos ingekuwa matanda/
Wanangu wa ngokoro ndala ibinzamata kote yechu/
Kitangiri Na bugweto nguzo nane kote kwetu/
Alafu koma kuturinganisha Na machizi boti/
Sisi hela zetu mpaka tuvuje jasho yani tuforce/
Tukipata tunawaka pamba kali ziko hot/
Nikitaka dundo kali huwa namchek mwanangu david sport/
Kwetu mtoko sio weekend utaona moto kama hupend/
Maisha changamoto kuvuja jasho kisha kuspend/
Wanoko hawatupendi tuishi Kwa kujidefend/
Sio kwamba sipendi watoto sema utoto ndo sipendi/
Oaaa hv mnaonaje @dizasta vina ahamishe battle kwa huyu mwamba maan kamuonea sana bishoo cosmas
You kill it🔥
Big
Bando Mc kwa hili ni moja goma matata sana dungu 🇨🇩🇨🇩🔥🔥
Umeuaa saan blood
HOMAAAAAAA💥💥💥💥💥 MGUMUU KALAINIKA, HADI TRENDING
Ewqaaa
Taja alicho fanya Roma mkatolik 2022√
2023 √
Adi sas
Weka bando Mc 🇨🇩🇨🇩
Ewaaa
Save my word bruh 2023 it's your year bruh keep grinding!!!
Bless
Bando noomaa ,,,wabishe na iyo🤜🤜
HOMA
oi Ee Bwana njooni muone maajabu Leo buss limepaki Stend ya viatu/
Inashangaza Kama rasi amekula nyamafu/
Huyu daktari wa akili aka nusu chizi/
Leo anamuamsha mgonjwa Ili ampe dawa ya usingizi/
Alafu amini tu utatumwa kama utashindwa kujituma /
Snitch nakuonea macho siwez kukuonea huruma/
Madalali wa Dar wakikuona we nimsukuma/
Wanakwambia tunauza viwanja na mikoani tunatuma/
NaKama vita iwe vita visa iwe visa/
Mnaonesha furaha usoni huku chuki mmezificha/
Hii sauti Kwenye spika imeskika /(ikisema )
Ukiona mimi nawewe haziivi basi ujue hatujazipika/
Ukitia team utatukut tupo ndichi/
Ukiona moshi mwingi ujue walimu wanatembeza stiki/
Sasa wambieni masnich wasipite kipande hiki/
Kuna wahuni ambao mpaka mavu* wameweka britch/
Inachekesha madem sikuizi nawaletea mapozi/
Baada ya juzi insta kuona ameni dm amber rose/
Sio mrembo kikojozi hawa wanaopenda matozi/
Nibonge la dhari Kama hussen kufutwa machozi/
Rayvan alinambia Bando unajua sema tu hauna promo/
Ila Muda utaongea japo hakunaga Saa yenye mdomo/
Najua ushindi unavikwazo/
Ila bando ndo muogeleaji Pekee anaepiga mbizi hadi kwenye dimbwi la mawazo/
Yani kuna time matumiz yapo NJE ya bajeti/
Yani unamkono wasweta alafu unamguu wajaketi/
Mwaka jana nilitamani Kuwa na watoto hata mapacha/
Ila mwaka umeisha hata mama Yao sijampata/
Kwanza hali yenyewe ngumu mambo yametaiti yamechupi/
Yani unaeza ukawa mrefu ila ukaishi maisha mafupi/
You stupid usiige maisha yangu mimi huyu/
Naeza nikanawa mikono afu nikaamua kula buyu/
Mnaniteta alafu mkiniona mnachekacheka/
Mnakesha kunisema sema mnateseka/
Navesha siogopi mbwa koko mnavyobweka/
Na mlivyo Na roho ndogo mkiniona mnatetemeka/
Ndo Yule shytown boy mnyama niliyezaliwa shinyanga/
Shinyanga ingekuwa naigeria lagos ingekuwa matanda/
Wanangu wa ngokoro ndala ibinzamata kote yechu/
Kitangiri Na bugweto nguzo nane kote kwetu/
Alafu koma kuturinganisha Na machizi boti/
Sisi hela zetu mpaka tuvuje jasho yani tuforce/
Tukipata tunawaka pamba kali ziko hot/
Nikitaka dundo kali huwa namchek mwanangu david sport/
Kwetu mtoko sio weekend utaona moto kama hupend/
Maisha changamoto kuvuja jasho kisha kuspend/
Wanoko hawatupendi tuishi Kwa kujidefend/
Sio kwamba sipendi watoto sema utoto ndo sipendi/
🙌🙌🙌🙌 Punchlines king!!
Ema
Mimi sensible nasema bando noma
On fire 🔥🔥🔥
Moto
Oya iyene boy cjaisikia mwaiyene mwnang" ila dogo we mkaliii👊
Wait season 2
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇
ua-cam.com/video/L99R-VXbIgU/v-deo.html
a real meaning of hip hop
karibu hapa kutazama video yang mpya HOMA PART TWO 👇
ua-cam.com/video/L99R-VXbIgU/v-deo.html
Much Love from North Coast Kenya, Malindi. 🔋 Keep giving us Good music ❤
Nakukubali bsndo
mwaka mpyaaa huuu
Nakama vita iwe vita visa iwe visa mna furaha machoni na moyoni mmezificha 🔥 🔥 🙌🙌
Yaooo
Mmh we jamaa ni hatari
Ukiachia Nyimbo nyingne ya Taifa kama hii, utakua on the top kabsaaa
Bless fam
una juwa sana
Kwa mpigoo ... Unyama huu blood...
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇
ua-cam.com/video/L99R-VXbIgU/v-deo.html
mzee hapo nimekuelewa MR SHY TOWN
karibu hapa kutazama video yang mpya HOMA PART TWO 👇
ua-cam.com/video/L99R-VXbIgU/v-deo.html
Homa isy na tiba tiba iko kwa mc bando
Ni noma mkali wao wa matanda aka lagos ya tanzania
Sensible mc nasema bando rapa bora apa tz
Fanya Ngoma na maarifa
Naqbal home boy unatuwakilisha vyema keep it's up ✊️
Thanks man
No maraaaaa waah umeua kak
Ili lingoma kudadadeki ngoma lamoto
Chui angelitia corasi lingenoga zaidi big up bando from koweit
Kwel
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇
ua-cam.com/video/L99R-VXbIgU/v-deo.html
Ngoma kali. Kichupa kikali.🔥🔥🔥
Maiko
Bonge ya kaz kaka 🔥
Unaweza ukawa mrefu ila ukaishi maisha mafupi....
Sasa hii ngoma mbona inakua homa sasa
Noma
Hongera kaka kazi nzuri ni vile tu hauzipi promo kazi zako
Kwel
Hii noma bando mc nakuona mbali Zaid mpendwa ☝️🇹🇿💯
Bando umetisha
Ewqqq
🥳🥳🥳🥳🥳keep it up bro
unyama sana humo, leo gari imepaki stend ya viatu
Nakubal San🔥🔥🔥
tupo naww mpaka mwisho
.atari sana uyu mchizi boti
Anaitwa mabumoo
Homaaa isy na tiba
Madalali wa Dar Duuuh wanauza viwanja na mikoani tunatuma
Ag
goma kaliii kaka umeuwaaaa
Jamaa unaweza fanya kazi yako
Naam
@@BandoMC ww sio mchache yaan kitaa unaeleweka saan bro Bg up
Bando sasa tupo next level ni hit juu ya hit daaah tumetoka mbali aisee
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇
ua-cam.com/video/L99R-VXbIgU/v-deo.html
Huna baya kaka sisi wenye masikio yenye njaa kwakweli uwa tunashiba Sana na Punch line zako MUNGU AKUWEKEE KIWANJA KIKUBWA HUKO MBINGUNI 🙏🙏
Bless sana
Ukiona mm naww haziivi ujue hatujazipika,,, kama umependa huo wimbo na kuusikiliza kwa makin kama mm adi TV nimezima na watoto nimewapeleka kwa majirani gonga like ngoma kali Sana mshikaj wangu BANDO🙌🙌
😄😄😄
Bila Kuchoka 🙏 Kaka
Danger
Bando kama bando ni fire
Ewaaa
Wa Congo kusema ukweli ni kawaida yetu 🇨🇩🇨🇩 karibu nyumbani
Asant sana
MWANANGUI🔥🇹🇿🙌
Fam
Bonge ya punchlines halafu bonge ya kichupa hot saaan hiki broh
Kwel
Kichupa kipo 🔥🔥🔥🔥🔥
Tupo vizur chupa la kwenda sana🎖🎖🎖
Bofya link hapa kutazama wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO”👇👇
ua-cam.com/video/L99R-VXbIgU/v-deo.html
Goma kali sana kaka
Kaka bando umetisha
Baba
😁😁😁😁🛫🛫🛫🛫🛫🙌🙌🙌🙌,,homa homani mzey wangu,,,, 🙌🙌🙌🙌🙌
karibu hapa kutazama video yang mpya HOMA PART TWO 👇
ua-cam.com/video/L99R-VXbIgU/v-deo.html
Kama unamkubali bando gonga like.
Nyimbo ya Taifa
Home boy chamaguha ofic mipawa shy town boy ushirika
Fam
Kuna ngoma,halafu kuna Ngoma nzuri,Bando MC kijana wetu🤝👍
Bwabwan
Nyimbo ya kufungulia mwaka
Umetisha broo npo pamoja na we mdg ako last tyga
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇
ua-cam.com/video/L99R-VXbIgU/v-deo.html
2meona kazi mnyama ✊🏾💪💪💪
Homaaaaa,,,,
Masnichi lazima wapate homa bro angu
Ety ukiona hazijaiva ujue me na wewe hatujazipikaaa
Kwa huu mversee shikamoo mzey wangu 😁😁😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇
ua-cam.com/video/L99R-VXbIgU/v-deo.html
Unyama sana🔥🔥🔥
Ngoma kali sana👏
Kali sana mdogo wangu
karibu hapa kutazama video yang mpya HOMA PART TWO 👇
ua-cam.com/video/L99R-VXbIgU/v-deo.html
Kaka
Bando🔥🔥🔥
Nice
Umeuwa kaka
Mthree
IBINZAMATA🔥🔥🔥
Home