MKOJANI AGOMBANA NA KIJANA WAKE ''CHUMVI NYINGI'' UCHAWI WATAJWA KUHUSIKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 86

  • @user-te7sq5hl4d
    @user-te7sq5hl4d 6 місяців тому +3

    ❤❤❤chinvi ntakuunga mkono kwa kila utakacho kiunda niko ndani ya 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦

  • @ChrissJohn-mr5kr
    @ChrissJohn-mr5kr Рік тому +4

    Jaman chumvi nying mungu akusaidie sana nakupenda sana❤❤❤❤❤

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 Рік тому +12

    Chumvi Nyingi Nimeanza kukufuatilia...Baada Ya Sakata Hili... Tupo Pamoja Never Give up

  • @AllyHamisi-xo9hc
    @AllyHamisi-xo9hc 2 місяці тому +1

    Nakukubar mwamba chumvi nyingi pamoja kaka💪

  • @yusraelisante8210
    @yusraelisante8210 Рік тому +4

    Nenda kwa tinwhite hana makuu mtafanya kazi vzr jaman chumvi nyingi

  • @SashaBeib-jk1im
    @SashaBeib-jk1im 2 місяці тому +1

    Our Mr chumvi nying tunakupenda sana

  • @sixmery8797
    @sixmery8797 Рік тому +5

    🤔🤔mie nahisi nimambwende huyo ndo kapeleka maeno ya umbea kwa mkojani 👌👌 kama unaamini haya gonga like

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 3 місяці тому +1

    Aisee mimi ni shabiki yako kazi zako zooote nimezifuatilia ktk youtube

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 Рік тому +9

    Why why why kaeni pamojaaaaaaaaaaa muyamalizeeeeee tunawapenda kuwaona pamojaa

  • @DieubonMutsira
    @DieubonMutsira 14 днів тому

    Chumvi nyingi nakupenda sana na kutakiya kazi njema Nina kufata kutoka rdc Congo

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 3 місяці тому +2

    Awakuwezi mwenyezi mungu atakulinda mimi mwenyewe shabiki yako nakuombea saaana duwa njema japo uwezi kujua wangapi wanakarama kuubwa wanakugagi wewe kwani kazi unazo zifanya zinatutoa tree's na kutuburudisha tupo tunao kuombea duwaa wewe kaza sana awakuwezi hao

  • @user-cr8cs2qc8f
    @user-cr8cs2qc8f 8 місяців тому

    SUBHANALLAH.JAMANI CHUMVI WETU WANAKUROGA.MUNGU ATAKUONGOZA ISHAALLAH.HAWAKUWEZ BANA.MUNGU YUKO PAMOJA NA WEW🙏🙏🙏 nakupend sana chumvi

  • @saadamoshi1478
    @saadamoshi1478 Рік тому +6

    Nampendaga sana huyu kaka

  • @reinatave780
    @reinatave780 Рік тому +5

    Kaza buti chumvi mie nakuombea kaka angu pia ogopa la mungu tu la mwanadam never...

  • @ramajuma4063
    @ramajuma4063 Рік тому +7

    Muandishi Bana Uko kwa Rader zangu Sana in short nimeku love 😍

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 Рік тому +1

    MY BROTHER I AM PROUD OF YOU MY ALLAH ALWAYS MAKE U HAPPY AND ALSO MAKE UR DREAM TO BECOME TRUE INSHALLAH AMEEN AMEEN AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @rizoibrahimovich605
    @rizoibrahimovich605 Рік тому +14

    Team mkojani TUJUANE

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 Рік тому +5

    Pole sana

  • @prezgal8869
    @prezgal8869 5 місяців тому +1

    Madebe yuko vizuri sana kwenye kutafuta majina unique

  • @eliasonsomu1491
    @eliasonsomu1491 Рік тому +2

    My comedy ,lve u chumvi

  • @DaudomataAmade
    @DaudomataAmade Рік тому

    🎉🎉🎉 chumvi nyingi kwe chumvi nyingi karibu kwetu mozambique.

  • @mwanahamisbeku4094
    @mwanahamisbeku4094 Рік тому +1

    Mkojani anatakiwa afikilie man Kuna tini kuna nagwa kuna kirangaso na chumvi wote awapo na yeye mmmh

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 Рік тому +5

    Mkojani na chumvi ni hatari bwana

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 Рік тому

    Chumvi nyingi tizama mchezo wa fagio series, yule mtanga makofia na bakora yule, yule noma sana, ana kipaji kuliko maelezo. Shirikiana nae utaona mafanikio makubwa. Yule jamaa sjaona kwa sasa ikiwa atajifahamu haswa atashinda.

  • @matataoneproduction5355
    @matataoneproduction5355 Рік тому +3

    Wewe mtangazaji jifunze kuongea vizuri kiswahili unaboa unapotia herufi L kwenye R acheni mbwembwe nyingi kwenye kuongea mpaka mnaharibu tathnia ya habari

  • @LameckMnyika
    @LameckMnyika 11 місяців тому

    Nakukubal sana chumv nakuombea ufike mbal

  • @makamekombo8243
    @makamekombo8243 Рік тому

    Wandereko mmmmmmh

  • @billylovebillybillylovebil580

    Chumvi nyingi nampenda sana anavyo igiza pianili kuwa napenda san wakigiza pamoja na mkojani

  • @edwinmiriti335
    @edwinmiriti335 Рік тому +2

    Wachukue mabwende na chando master

  • @ibraimoissiaca6058
    @ibraimoissiaca6058 Рік тому +9

    Bro usifanye sana interview utaonekana unalalamika lalamika watu watakuchoka

  • @Kichwa_Cheupe
    @Kichwa_Cheupe Рік тому +13

    Wakwanza kutazama nipeni like zangu hapa

  • @ismailnongwa6332
    @ismailnongwa6332 Рік тому +3

    Amwenye Mimi niko pamoja na wew nakukubali 100% pambana mndenge mwenzangu

  • @user-cr6xr2vi6n
    @user-cr6xr2vi6n 25 днів тому +1

    Hi

  • @romeoabdul7499
    @romeoabdul7499 Рік тому +2

    Umeondoka WCB?duh uchawi upo

  • @user-ix5vj6sx9u
    @user-ix5vj6sx9u Рік тому

    Pongezi kaka Kwa kazi zako

  • @Oman-nu2kc
    @Oman-nu2kc Рік тому

    Nakukubali sana chunvi

  • @samiyasaidirindo1969
    @samiyasaidirindo1969 5 місяців тому

    Msifanye ivojamani

  • @latipherHussein-ig8uk
    @latipherHussein-ig8uk Рік тому

    Mkojani tatz komed nyingi paka anaboa

  • @ushindibyamungu335
    @ushindibyamungu335 Рік тому +2

    Ongera sana mwandishi kwa kumtafuta chumvi

  • @maasaimkisii9089
    @maasaimkisii9089 Рік тому +5

    Good work bro

  • @user-jk1gq4mp9u
    @user-jk1gq4mp9u Рік тому

    Chumvi nakukubali san mwngu

  • @geraldmwangira.4978
    @geraldmwangira.4978 Рік тому +2

    Chumv rudi kwa Mkojani mkayamalize, yaan sai ungegua kwenye Umbamba ingeniga zaiidii.

  • @jacklinejacklinejonh6530
    @jacklinejacklinejonh6530 Рік тому

    Me nakupenda sana

  • @kadeshchege7455
    @kadeshchege7455 Рік тому +1

    Kumbe uchawi upon😱.sielewi yaani mtu anaeza kudropisha bahati ya mwingine

  • @shadaphnalinga1661
    @shadaphnalinga1661 Рік тому

    Daah! Aisee mtangazaji ni mzur Sana tena ni muislamu huyu bint na popote alipo nahtaj kumfaham na cjuw Instagram anatumia jina gan Ila dada nimekupenda Kwa kwel

  • @furahamandai6628
    @furahamandai6628 Рік тому

    Chumvi tuna kukubali Sana Mzee wa Kula ubuge

  • @jalinachilala8465
    @jalinachilala8465 Рік тому

    ❤❤❤❤

  • @user-wc7sn9pz3v
    @user-wc7sn9pz3v 9 місяців тому

    Mkojani gang vp 😮😢

  • @OpecSadick
    @OpecSadick Рік тому +3

    🤔🤔🤔

  • @qtrqtr8016
    @qtrqtr8016 Рік тому +3

    Yuwafanana na rayvanny

  • @shukurulazaro8688
    @shukurulazaro8688 Рік тому

    Safi sana

  • @ShoboboBoy-s6w
    @ShoboboBoy-s6w 25 днів тому

    Kaza unajua ww

  • @nassjr6566
    @nassjr6566 Рік тому +1

    Bambane ww uckubali saw

  • @abuuabdillahtv8457
    @abuuabdillahtv8457 Рік тому +1

    Chumvi kwann uskae na mkojan mkayazungumza na mkojani kuliko kuyasema mtandaon

  • @mariocharque7066
    @mariocharque7066 Рік тому

    nakuelewa sana

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 Рік тому

    Kumbe Mkojan ni mchawi kiukweli kweli ? 😀😀😀
    Maana mmetaja uchawi hapo

  • @selemankishuga948
    @selemankishuga948 Рік тому

    Uyoo mwamba anajua

  • @user-jr4gq1py2d
    @user-jr4gq1py2d 11 місяців тому

    Bila kuchoka

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Рік тому

    Chumvi uko vzr sana

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 Рік тому +1

    Ndio maan sikuoni kwa ugai gai

  • @levythadon6387
    @levythadon6387 Рік тому +3

    Mkojani mpumbavu sana

  • @rugendorunene545
    @rugendorunene545 Рік тому

    Ushirikina hata kwa uigizaji jameni... hii hatari!!

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 Рік тому

    Mtngzaj bdo sana

  • @movieseries11
    @movieseries11 Рік тому +1

    Unaongea san mwandishi

  • @yogwemwakulola1634
    @yogwemwakulola1634 Рік тому +1

    Nagwa hayupo tayari simuoni kweye umbambamba

  • @amidjaja5695
    @amidjaja5695 Рік тому +3

    😂😂😂

  • @furahamandai6628
    @furahamandai6628 Рік тому

    Mkojani akuwezi bwana kaotambawa mshamba

  • @jamalmnema8334
    @jamalmnema8334 Рік тому +1

    We muandishi ubadilike unaongea sana kuliko anae hojiwa

  • @twahirushabann9788
    @twahirushabann9788 Рік тому

    Hata mm nishabiki namba 👆 wachumvi nyingi

  • @rajabdullaz1026
    @rajabdullaz1026 Рік тому

    Peleka umalaya wako huko unawasema mafundi

  • @kwangwaluboy8923
    @kwangwaluboy8923 Рік тому

    Chumvi nyingi wewe unaweza kaza

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 3 місяці тому

    Ivi kitunguu maji ni wewe au?

  • @ibrahimmahidaya7124
    @ibrahimmahidaya7124 Рік тому

    Dogo nakuona mbali sn

  • @qtrqtr8016
    @qtrqtr8016 Рік тому +2

    Ugaigai haina maana ulivyotoka haina maana ata siiangali tena

  • @jacquelineadrian6436
    @jacquelineadrian6436 Рік тому

    Unaongea balaa mtangazaj

  • @daudabduli2913
    @daudabduli2913 Рік тому +3

    Bonge la interview

  • @SashaBeib-jk1im
    @SashaBeib-jk1im 2 місяці тому

    Our Mr chumvi nying tunakupenda sana