Mashallah masheikh wetu kwa kazi mzuri ya da'waa,Allah awalipe pepo kwa kazi hii ya kuelimisha wakiristo kwa kua yesu c mungu wala mtoto wa mungu bali ni binadamu kama wengine
Allah awabariki masheikhe wetu azidi kuwazidishieni kila la kheir na baraka nguvu na afya njema na umri mrefu na palipo pazito pawe kwepesi muzidi kupigania dini ya haki mbele ya Allah inshaAllah Amiin
Nengeeomba mashehe wetu hawa wakristo ni vigeugeu mnapoanza mada ya Yesu muulize huyo mchungaji je mada ya Yesu yupi yule aliyezaliwa na Mariamu au Yesu yupi kwa sababu leo mwadili Mungu Yesu ni Mungu kesho mada mtume yupi aliyetumwa dunia nzima Yesu yupo kesho kutwa mada Yesu ni mwana wa Mungu Yesu yupo mada kuhusu kondoo Yesu ni kondoo mada msalaba Yesu kachukua dhambi za watu hawa wakristo watawasumbua kwa ubishi wao Mungu kishawaita ni makafri hawajielewi walimu wao nivipofu na wenyewe ni vizuri
YESU ni Mungu Kweli na Mungu Mkuu, Muumba Mbingu na Nchi..... Na njia pekee ya kwenda Mbinguni We owe nobody an apology for that fact, our God is not of religion but of all people 🙏
Bibilia inasay mwana hawezi chukua madhambi ya baba yake nd how can you say yesu alikufa coz of sins ya Adam and hawa, kwanza hio ni aibu kubwa sana... na bado mnasay alikufa ndio aondoe madhambi ya Adam and hawa, my friend skia kama wanaume wenu wanataftia family yao kwa jasho na wanawake wenu wanazaa kwa uchungu den that shows yesu hajakufa kwa hivyo mtafuteni mumuuwe tena coz hakuna venye alikufa coz of those sins na bado mnafeel the punishment.... SHAME ON YOUZ mnaabudu a human being like you, made of flesh like you...plz try to think beyond your nose
@@hawoibrahim2432 nilisema we owe nobody apology....mgojee Yesu arudi kama bado haujamjua uko na muda wa kumtafuta ujue ukweli ni upi, Nakukumbusha tena Yesu yu hai na anaishi, mkombozi wa maisha yangu nampenda kuliko kitu chochote duniani, pili mimi si mtu wa dini ata sasa naishi na waislaam na wanamjua Yesu baas, vurungu hamna wakati wake, tunaheshimu dini zote cha muhimu tufuate namna ya kufika Paradiso
Waislamu wacheni kuzunguka mitaani mkipiga kelele namkiwa nyinyi wenyewa hamjuwi ukweli nakama huyu muhamed nimtuma wamungu alipo kuwa akirogwa nawa chawi huyu mungu alikuwa wapi mana mingu akimtuma mja wake anatuma malaika kumlinda na watume wote mungu aliowatuma Walikuwa wakihubiri kuja kwayeso ok namkiwa mwasema yesu nimtume nafikiriya katika bibiliya majina yawatume wote wako kwa bibiliya mbona muhamed hayoko kwa bibiliya alisahauliwa wapi na nikijuwa muhamed alitokeya bada ya yesu kuondoka mbona yesu hakusema muhamhed uwaja bali alisema hakina mtu yoyote atakaye uona ufalme wambinguni mpaka atitiya kwake so kujuwa kweli mwisilamu wewete ukimwelizeya kuhusu yesu hataki kusiyiya ukweli hawataki kisikiza bali ni kupiga kelele kuwa Confuse watu kwa kelele sasa wanamjuwa muhamed walimuona wapi nambona hawataki kuisema Historia ya muhamed nyinyi ndiyo wale manabii waurongo Nyinyi wenyewe hamumujuwi muhamed ni nani Mbona mwa piga kelele kuhusu yesu hebu pigeni kelele kusema ukweli muhamed alitokeya wapi
Jesus is a 100% God and 100% man. I know it is hard to understand this concept but I will ask you to read something and understand it before you begin making comments that make no sense. Ask people with this knowledge to help you understand. You can ask God Himself for clearance.
Nyinyi try to win converts in a proper way..sio kuweka kikao juu ya Biblia sijui Yesu nini na nini..mkubali msikubali Yesu mwana wa Maria alikuwepo since the foundation of the earth n He will still judge n give crown or send some to hell.mpo?
@@salimdaawah123 yap it's the bitter truth...cis it's too much now..sisi wakristo we don't win souls by what you pple are doing...kila wakati ni Yesu hivi Yesu vile.tuwacheni jamani na dini yetu ya uongo.
Mashalah mashekh wetu mungu awaongoze awape nguvu zaidi
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
Ma sha Allah masherk wetu Allah awalipe mema
Mashallah masheikh wetu kwa kazi mzuri ya da'waa,Allah awalipe pepo kwa kazi hii ya kuelimisha wakiristo kwa kua yesu c mungu wala mtoto wa mungu bali ni binadamu kama wengine
Kabisaa ndugu yng
Hakika n kweli ulioyasema
Masha Allah, kazi nzuri, naomba pia mzunguke Kenya nzima, kwa ufadhili wa waislamu, huku najimboni wanatukera sana..
Isha Allah tutajitahidi
Allah awabariki masheikhe wetu azidi kuwazidishieni kila la kheir na baraka nguvu na afya njema na umri mrefu na palipo pazito pawe kwepesi muzidi kupigania dini ya haki mbele ya Allah inshaAllah Amiin
Aameen ameen ameen sote May Almighty Allah bless you and your family and everything you're doing May Allah put baraka on it
@@salimdaawah123 amiin thumma amiin
Mashallah maalim idrisa mwenye viatu vya dukani
Hahaaaaa eti mwenye viatu
Maashaallah
Masha allah kazi nzuri
Kazi mnaifanya Allah awalipekher
Aamiin amiin amiin pia wewe Allah akupe umri mrefu wenye baraka
@@salimdaawah123 amiin yarrab
Kazi mzuri masha Allah ustd Salim na idris
Shukuran brother May Almighty Allah bless you and your family and everything you're doing May Allah put baraka on it
MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH
Masha Allah brother May Almighty Allah bless you and your family and everything you're doing May Almighty Allah put baraka on it.
MashaAllah kazi mzuri
Alhamdulillah May Almighty Allah bless you and your family and everything you're doing May Allah put baraka on it
Good work Masheikh.
Masha Allah shukuran May Almighty Allah bless you and your family and everything you're doing May Allah put baraka on it
Mashallah Allah 💓
MashaaAllah MashaaAllah
Karibu sana May Almighty Allah bless you and your family and everything you're doing May Allah put baraka on it
Allah'hu Akbar Allah'hu Akbar
Mwenyezi Mungu ni Mkubwa May Almighty Allah bless you for supporting daawah
Nengeeomba mashehe wetu hawa wakristo ni vigeugeu mnapoanza mada ya Yesu muulize huyo mchungaji je mada ya Yesu yupi yule aliyezaliwa na Mariamu au Yesu yupi kwa sababu leo mwadili Mungu Yesu ni Mungu kesho mada mtume yupi aliyetumwa dunia nzima Yesu yupo kesho kutwa mada Yesu ni mwana wa Mungu Yesu yupo mada kuhusu kondoo Yesu ni kondoo mada msalaba Yesu kachukua dhambi za watu hawa wakristo watawasumbua kwa ubishi wao Mungu kishawaita ni makafri hawajielewi walimu wao nivipofu na wenyewe ni vizuri
Isha Allah tutakuwa tunawauliza hivyo shukuran kwa ukumbusho huo Allah awaongoze waone haki
Masha Allah
Yesu ni yote ktk yote, jee Yesu anaweza kuwa Mama ?
Yaani that y watu ufeli mthiani yepesi,kwa kujitia upishi,at I yesu mingu, na alikua na imri 12yrs.yesu in motto Wa Marianm tu
MashaAllah
Karibu sana May Almighty Allah bless you and your family
YESU ni Mungu Kweli na Mungu Mkuu, Muumba Mbingu na Nchi..... Na njia pekee ya kwenda Mbinguni
We owe nobody an apology for that fact, our God is not of religion but of all people 🙏
You are in total darkness mwenda..plz try to understand your bible properly
Bibilia inasay mwana hawezi chukua madhambi ya baba yake nd how can you say yesu alikufa coz of sins ya Adam and hawa, kwanza hio ni aibu kubwa sana... na bado mnasay alikufa ndio aondoe madhambi ya Adam and hawa, my friend skia kama wanaume wenu wanataftia family yao kwa jasho na wanawake wenu wanazaa kwa uchungu den that shows yesu hajakufa kwa hivyo mtafuteni mumuuwe tena coz hakuna venye alikufa coz of those sins na bado mnafeel the punishment.... SHAME ON YOUZ mnaabudu a human being like you, made of flesh like you...plz try to think beyond your nose
@@hawoibrahim2432 nilisema we owe nobody apology....mgojee Yesu arudi kama bado haujamjua uko na muda wa kumtafuta ujue ukweli ni upi,
Nakukumbusha tena Yesu yu hai na anaishi, mkombozi wa maisha yangu nampenda kuliko kitu chochote duniani, pili mimi si mtu wa dini ata sasa naishi na waislaam na wanamjua Yesu baas, vurungu hamna wakati wake, tunaheshimu dini zote cha muhimu tufuate namna ya kufika Paradiso
@@kmwendemusic5379 mbona uabudu binadamu kama wwe, you will regret siku utapata yesu mwenyewe akiwaruka.... imagine
@@kmwendemusic5379 bytha I don't argue with people who worship human beings like me....
Waislamu wacheni kuzunguka mitaani mkipiga kelele namkiwa nyinyi wenyewa hamjuwi ukweli nakama huyu muhamed nimtuma wamungu alipo kuwa akirogwa nawa chawi huyu mungu alikuwa wapi mana mingu akimtuma mja wake anatuma malaika kumlinda na watume wote mungu aliowatuma
Walikuwa wakihubiri kuja kwayeso ok namkiwa mwasema yesu nimtume nafikiriya katika bibiliya majina yawatume wote wako kwa bibiliya mbona muhamed hayoko kwa bibiliya alisahauliwa wapi na nikijuwa muhamed alitokeya bada ya yesu kuondoka mbona yesu hakusema muhamhed uwaja bali alisema hakina mtu yoyote atakaye uona ufalme wambinguni mpaka atitiya kwake so kujuwa kweli mwisilamu wewete ukimwelizeya kuhusu yesu hataki kusiyiya ukweli hawataki kisikiza bali ni kupiga kelele kuwa Confuse watu kwa kelele sasa wanamjuwa muhamed walimuona wapi nambona hawataki kuisema Historia ya muhamed nyinyi ndiyo wale manabii waurongo
Nyinyi wenyewe hamumujuwi muhamed ni nani
Mbona mwa piga kelele kuhusu yesu hebu pigeni kelele kusema ukweli muhamed alitokeya wapi
Njooni salgaa Kama nyie ni vidume
Salgaa kuna nini
@@salimdaawah123 salgaa watu wengi wamesema hawawezi silimu bila hoja yakutosha
@@chrismakokha8679 napanga nikimaliza mpangilio nilionao nakuja huko Isha Allah
@@salimdaawah123 sawa
Jesus is a 100% God and 100% man. I know it is hard to understand this concept but I will ask you to read something and understand it before you begin making comments that make no sense. Ask people with this knowledge to help you understand. You can ask God Himself for clearance.
Nyinyi try to win converts in a proper way..sio kuweka kikao juu ya Biblia sijui Yesu nini na nini..mkubali msikubali Yesu mwana wa Maria alikuwepo since the foundation of the earth n He will still judge n give crown or send some to hell.mpo?
Hahaaaaa
@@salimdaawah123 yap it's the bitter truth...cis it's too much now..sisi wakristo we don't win souls by what you pple are doing...kila wakati ni Yesu hivi Yesu vile.tuwacheni jamani na dini yetu ya uongo.
Yesu ni mwisilamu ndugu yetu
@@ashleypetertv5894 sioni tatizo ya kutaja Yesu na ni ndugu yetu mwisilamu tunashangaa na nyinyi
ashley yesu amesema atakhukumu kabila 12 za wana wa Israeli...hapo hutoki ata kidogo jipange mapema na moto
Masha Allah