Allahu Akbar... Jazakumullah kheyral jazaa mashekhe wetu... Allah awalipe mema katika dunia na akhera...hakika mnafanya kazi kubwa sana...Allah atawalipa na Jannatul Firdaus...Ameen yaa Raab ❤❤❤
Nona ni vizuri waongee kwa ligha yao ili wazidi kufahahama .lengo na madhumuni dawa ya leo nikuhusu wao.ndio maana wanatowa Aya liarabu na kuwa tafsirya.
Ma sheikh wetu bwana Kenya kilamtu anajua kiswahili hutubieni kwakiswahili mnafuatiliwa na makabila mengi mnatuchanganya bwana hatupendi ukabila mbona nyinyi wakenya mpaka ma sheikh mnaukabila achihivivitu sio vizuri kueni kama waTanzania bwana
Wewe maybe hujui uisilamu vinzuri kufikisha ujumbe ni kwa lugha ya watu ili wakufahamu vinzuri soma namna Mtume Muhammad s.a.w alivyokuwa akiwatuma maswahaba wake kwa watu wao lengo ni wahusika wapate ujumbe pili Kenya sio kila mtu anajua kiswahili
Allah wape mema nama fanikio mazuri mashekhe watu jazanyenu kwa mun'gu
Mashallah Allah akuhifadhini walim wetu hakika munawatoa watu ktk kiza na kuwapeleka ktk muangaza Allah awape janatul Firdaus
ماشاءالله تبارك الله
Allaah Akubareek mwananguu munaa fungu lenu mbelee ya mwenyezimnguu.
Allahu Akbar... Jazakumullah kheyral jazaa mashekhe wetu... Allah awalipe mema katika dunia na akhera...hakika mnafanya kazi kubwa sana...Allah atawalipa na Jannatul Firdaus...Ameen yaa Raab ❤❤❤
Mashallah walimu wetu mafundisho mazuri kabisa mungu awape wepesi fildunia fil akhera
Aiwa
Mwawafundisha Kwa umakini mashallah mungu awafungue vifua vyao wamjue Allah subhanna wa thahala
MashaAllah tabaraqllah shukran sana kaka salum ALLHA AKULIPE MALIPO MEMA AKUPE MWISHO MWEMA
NIMEPENDA SANA NAMNA YA ULIVYO WASILISHA ELIMU
Aameen ameen ameen
Walikumu salam warahmatulahi wabarkatahu
Allah awalipe ma sheikh wetu.hii ni Dunia itapita.na allah awe na nyinyi pale popote Muna Fanya kazi
Aamiin amiin amiin
ALHAMDULILLAH Rabu Allahmin, very good explanation, kwa upole na uakika, barakahufeek salim kaa mimi ndugu, wote team yako❤
Takbir
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya subra dawa iendelee kwa neema ya uislamu
Alhamdulillah tunashukuru
Mashaa ALLAH
Leo uhondo unakata kata bhana
Mashallah barakallah ❤❤❤❤
Assallam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awahifadhi
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Sisi wengine hatufahamu lukha hiyo
Lugha ndio tatzo mashekhe tunapenda kiswahili
Hiyo lugha Ilio Chukua Mda Mrefu Kidogo Ni KWAAJILI Ya Kuwaelewesha Kwa Kutumia Lugha Wanayo Iyelewa Zaidi Issue Ni Kuhusiana Na Kuenda Maji Chooni
Watoto kama anaa umrih wa miaka sitaa au sabaa anazoweshwaa kufungaaa wapatee kuzoweyaa kilaa wakikuwaaa huwa washajuwaaa si nisawaaa.
No problem but Reality Sio must Wa funge
Leo mmeamua tusiwaelewe
Tumechanganya Kikuyu na kiswahili
Assalaam Alaykum Warahamatullah Wabarakatuh.Sauti shehe haiko vizur
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh iko sawa sasa inn shaa Allah
Iko safi kbsa ❤
Mashekhe wetu assalaamu aleykum warahmatullahi wabarakatu. Yatizo nn? Sauti hakuna.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Iko sawa sasa sauti
Wapi sauti
Fungua tena video sauti iko sawa
ongeeni kiswahili
Asalam alaykum shekh tumueni kiswahili, sisi Watanzania hatusikii mnacho kisema.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Mnapoongeaga kiluga naangalia nikiwa nasinzia maana nakosa utam wa maneno.
Nona ni vizuri waongee kwa ligha yao ili wazidi kufahahama .lengo na madhumuni dawa ya leo nikuhusu wao.ndio maana wanatowa Aya liarabu na kuwa tafsirya.
Ma sheikh wetu bwana Kenya kilamtu anajua kiswahili hutubieni kwakiswahili mnafuatiliwa na makabila mengi mnatuchanganya bwana hatupendi ukabila mbona nyinyi wakenya mpaka ma sheikh mnaukabila achihivivitu sio vizuri kueni kama waTanzania bwana
Wewe maybe hujui uisilamu vinzuri kufikisha ujumbe ni kwa lugha ya watu ili wakufahamu vinzuri soma namna Mtume Muhammad s.a.w alivyokuwa akiwatuma maswahaba wake kwa watu wao lengo ni wahusika wapate ujumbe pili Kenya sio kila mtu anajua kiswahili
Inshallah
Na muwe mnawaeleza na nguzo za imani ziko sita
Inn shaa Allah
Mafunzo Yako saw ila hustadhi Hassan ss wengine hatusikii Kikuyu hustadhi Hasani changanya changanya nakiswahili kidogo
Inn shaa Allah
Assalamualaikum warahmatullah wabarakaatuh brothers sauti hamna Leo yakhe hatufaidi wala
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh sauti iko sawa fungua tena video
Hasani ungekuwa unachanganya lugha kiswahili na lugha yako wengine atuelewi unachoongea
MASHA ALLAH