Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh.Alhamdulillah wasomaji wanaongezeka tena mahir kweli kweli.ALLAH awape umri mrefu vipenz vyetu.Tunawapenda kwa ajili yake.
Karibu ndugu. You are part the largest growing group on earth . Every corner of the globe people are coming to the fold of Islam . The world will never end without getting into every household on earth.
Huyu mwenye red jacket ametumwa na maawali mbili anadhani kama Waislamu watachindwa kujibu. Alhamdullilah the Koran is a walking and talking book which has all the answers .
Assalam aleikum,hakika habari hii ya uumbaji wa kiumbe binadamu haipatikani katika kitabu chochote ila QURAAN hili wakristo waatakiwa wajiulize,je sayansi hii katika Karne ya 14 nani angelijua isipokua Allah bila shaka hii QURAAN haikutoka kwa yeyote ila AllAH,subhana Allah
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu jamaa quran Ni kitabu cha maajabu ndani iko science Biology geography Astronomy na Kila KITU Sheria hukumu Wana Sayansi WENGI Sana Wame silimu baada ya kusoma quran imekusanya Kila kitu Tuangalie Quran and Science ya DR ZAKIR MAIK
Huyo anaeshindana about creation of man, what is his level of education?wasomi wote duniani ambao sio wakristo,itakuwa yeye mpumbavu huyu? ningekuwa mwalimu namtwanga vibao
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh.Alhamdulillah wasomaji wanaongezeka tena mahir kweli kweli.ALLAH awape umri mrefu vipenz vyetu.Tunawapenda kwa ajili yake.
Aameen ameen ameen tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
MashaAllah kazi safi wana Salim daawah Kenya. Kazi uendelehe watu wote wafaamu uisilamu
Inn shaa Allah daawah mpaka kieleweke
Mimi ni Mkristo lakini napata mafunzo mengi kupitia hii channel yenu mbarikiwe sana❤❤❤
karibu katika dini ya haqi kaka
@@11atana Asante Sana alf naeza pata aje Kurani naitaka sana
Karibu sana kaka...b
@@BRIANORUMABOB-jx5pf Masha Allah
Unataka kuwa ndugu ya majini?
Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuhu,, mazbut uwanjani,,Allah awahifadhi nawapenda sana
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen ameen sote
To be a Muslim is a massive from Allah barikiweni sana kwa neema ya uislamu
Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu
Nilisilimu mwezi June baada ya kusikia mafunzo hayo ya ukweli
Umeamua uamuzi mzr .Allah akuogoze apa n kesho akhera
Karibu ndugu. You are part the largest growing group on earth . Every corner of the globe people are coming to the fold of Islam . The world will never end without getting into every household on earth.
Usome madrasa sasa
Tuko pamoja mwalimu tunafurah sana kuona hii dawaa
Masha Allah tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
Ma sha Allah tabaraka Rahman.Allah amhifadhi walim wangu apa n kesho akhera
Aameen ameen ameen
Ma Sha Allah ustaadh salim
Daawah mpaka kieleweke inn shaa Allah
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah azidi kuwabariki na kazi zote mnayofanya
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen sote
MASHAALLAH
Huyu mwenye red jacket ametumwa na maawali mbili anadhani kama Waislamu watachindwa kujibu. Alhamdullilah the Koran is a walking and talking book which has all the answers .
Yeah majibu yote yako kwa Qur'an alhamdulillah kwa neema ya uisilamu
Asssalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu motuary imepanda Kwa Sababu ya umeme na gasi
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Asalaam alaykum tembeleeni isiolo siku Moja
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Mashallah ❤❤❤
Mash'Allah ❤
Neema Mash ALLAH alhamdulilah ❤❤❤
Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu
Hawa jamaa hawajui Islam kila siku wanaulizia dog ..... kwani church wanaingia na dog ?
@@loner_wolf
Bro hapo umesa
Wataelewa tu hizo huwa ni propaganda huwa wanapewa kuhushu uisilamu that's why wanauliza maswali kama hayo kila siku
Assalam aleikum,hakika habari hii ya uumbaji wa kiumbe binadamu haipatikani katika kitabu chochote ila QURAAN hili wakristo waatakiwa wajiulize,je sayansi hii katika Karne ya 14 nani angelijua isipokua Allah bila shaka hii QURAAN haikutoka kwa yeyote ila AllAH,subhana Allah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh kabisa Qur'an imeeleza kwa undani kabisa
SUBHANALLAH
LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADAN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
Barakallahu Feek
Asalaam alaykum waratulahyh wabarakatuh somo
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Mashalla kwa msomaji
Masha Allah
Jamani Kwa Nini ukiristo kunayo Different churches different Doctrines mtume moja mungu moja biblia sio moja
Hii ni kweli makanisa kila corner
Mwezi na jua ni logo yakuonyesha kuwa hi ni msikiti.
mashaallhu mashehe zetu
Daawah mpaka kieleweke inn shaa Allah
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu jamaa quran Ni kitabu cha maajabu ndani iko science Biology geography Astronomy na Kila KITU Sheria hukumu Wana Sayansi WENGI Sana Wame silimu baada ya kusoma quran imekusanya Kila kitu Tuangalie Quran and Science ya DR ZAKIR MAIK
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh kweli kabisa kila kitu utapata kwa Qur'an
Allhamdullilah
Sheikh SALIM Kwani Huyu
Mdomaji wa Leo Ali silimu
Huyo ni muisilamu tangu zamani
Asalam alaikum sheikh salim na hizo V8 wachungaji wanazipata kwa hela za kondoo wao
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh yeah
Maalim tupo pamoja tuendeleze dawa nawanafunzi mungu awasaidie .hao waache nadhambi zao walobeba na ujinga wao kusoma hawataki kazi kudikiliza tuu.
Inn shaa Allah wataelewa tu inn shaa
Huyo anaeshindana about creation of man, what is his level of education?wasomi wote duniani ambao sio wakristo,itakuwa yeye mpumbavu huyu? ningekuwa mwalimu namtwanga vibao
Hahaaaaaaa inahitaji subra😂🤣😂😂
When you to church take your brain 🧠 Salim mashalaah. Funny sometime
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
Pua ya mbwa pia ni haram akikunusa udhu pia unakutoka inabidi utawadhe upya. Sio mate yake tu.
Masha Allah kwa ukumbusho huo shukuran
Leo hamjapost 12/08 ?
Leo hatukuenda
@@salimdaawah123 inshallah mungu awape nguvu next time
Masha Allah ❤❤
Maalim tupo pamoja tuendeleze dawa nawanafunzi mungu awasaidie .hao waache nadhambi zao walobeba na ujinga wao kusoma hawataki kazi kudikiliza tuu.
Wataelewa tu inn shaa Allah