Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 726

  • @LydiaShauline
    @LydiaShauline 9 місяців тому +7

    I don't understand the language❤❤but iam in love with the song..sending hugs all along from south africa...

  • @khamisissa8869
    @khamisissa8869 7 років тому +88

    umeua mwanangu mavoko nipen like hapa wcb wote

  • @ezekiaaliko1015
    @ezekiaaliko1015 7 років тому +96

    Kama umesikiliza zaidi ya mara Moja hii ngoma gonga like hapa

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      ezekia Aliko
      Natafutwa watu kama wewe kujiunga kwenye channel yangu.Kama utaweza ntafukuru sana.

    • @sabrayaseen4107
      @sabrayaseen4107 2 роки тому

      Hii nyimbo haishii utamuuu Dah😍mavoko ni mmoja namkubalii Sanaa mavoko ni no.moja😜

    • @joshuaodalinga1217
      @joshuaodalinga1217 2 роки тому

      @@sabrayaseen4107the
      Lord

    • @LeooLiban
      @LeooLiban Рік тому

      Every day

  • @aboubakargold1492
    @aboubakargold1492 7 років тому +8

    Kama hujaskia alicho imba patoranking gonga like tusonge

  • @_KING1031
    @_KING1031 7 років тому +130

    First to listen 👂 wapi likes zangu waseee!!?? Safi saaana

  • @ZIGUAGIANT
    @ZIGUAGIANT 7 років тому +71

    Ngoma qali sana
    Wcb hamkoseagiiii
    Gonga like kama umeikubali ngoma hii qaliii

  • @ommy_king
    @ommy_king 7 років тому +74

    Mzee Baba Huwa Hukosei🔥 We Ndo BadMan Richhh💥👺👺👺

    • @Otibla
      @Otibla 7 років тому

      Khaligraph Jones kawadiss Wasafi | QBoy kwenye video Akicheka
      ua-cam.com/video/i12-9c4pvHY/v-deo.html

  • @i_1462
    @i_1462 7 років тому +27

    Unawauwa wasafi bro.... Hujawaii kosea mzee baba

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Ebwana Ndio.
      Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu hapa UA-cam.Thanks!

  • @mariamsheah9310
    @mariamsheah9310 9 місяців тому +3

    Nyimbo bado inaishi tamuu sana

  • @myshylysh3554
    @myshylysh3554 7 років тому +73

    Wakenya mmefika? Acha na vle tunamark register huku na wetu hatuwezi! Nyc song😍

    • @sharlinanyanje4065
      @sharlinanyanje4065 7 років тому +3

      myshy lysh sure wakenya tuna support countries zingine lkin wetu tunawaacha nyuma aki

    • @myshylysh3554
      @myshylysh3554 7 років тому +2

      Sharlin Anyanje bitter truth

    • @mvandamedia
      @mvandamedia 7 років тому +1

      +Sharlin Anyanje hahaa

    • @rukiahassan2908
      @rukiahassan2908 7 років тому +1

      +254 present

    • @sharlinanyanje4065
      @sharlinanyanje4065 7 років тому +1

      Dr mvanda usichee niukwel aki. 😂😂😂Wakenya tunakesha u tube 24/7mm hupitia tu comments kumark team 254

  • @mwambungu12
    @mwambungu12 7 років тому +30

    Asee asporudiii leo na hii mvua wallah kuna mkono wa mtuu atarii sanaa😢😢💥

    • @canstandtv4383
      @canstandtv4383 7 років тому +1

      gyaa vevo 😂😂😂😂😂😂 kweli kabisa na hii mvua lazima arudi tyuuuu 😂😂

    • @aminaabuu755
      @aminaabuu755 7 років тому

      ehaahaàaaaa

    • @mkwawaayub1849
      @mkwawaayub1849 7 років тому

      hahahahah

    • @sophymoddy3370
      @sophymoddy3370 7 років тому

      Hajarudi?

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Natafuta Ndugu wa kujiunga kwenye channel yangu hapa UA-cam SUBSCRIBE au vipi ...thanks!

  • @susanwanjiku9776
    @susanwanjiku9776 Рік тому +13

    I love this song with my whole heart...it has been my ringtone since 2019 to date

  • @baaliyanuun416
    @baaliyanuun416 11 місяців тому +5

    Kama umerud baada kuona video ya S2kizzy akiitengeneza hii bit ginga like apa ❤

  • @aliceayua338
    @aliceayua338 2 роки тому +6

    Wow hii collabo ni tamu sana, 🔥🔥🔥 naipenda kazi Yako much love from 🇰🇪

  • @educosmas4649
    @educosmas4649 7 років тому +38

    nipo marekani white house. TRUMP kaomba nimrushie hii ngoma

  • @omarykagwiza8260
    @omarykagwiza8260 7 років тому +8

    fundi hatr wew Salut Kwak,

  • @dakxirdakxir5897
    @dakxirdakxir5897 7 років тому +15

    waoooooooooooooo you made me cry rich.....beautiful song 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @khalidmohammed1229
      @khalidmohammed1229 7 років тому

      Ridhiwan Mussa me 2 damn......

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Ridhiwan Mussa Mambo vipi
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam and join nami kama vipi

  • @GabrielKennedy123
    @GabrielKennedy123 6 місяців тому +6

    This song hits hard when you are actually heartbroken. July 2024

  • @davidmwita5957
    @davidmwita5957 7 років тому +8

    Konga like Kama ulikua unapitia comment Alafu ukashawishika kukoment

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Mambo vipi
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam and join nami kama vipi

  • @sangakeofficial8916
    @sangakeofficial8916 8 місяців тому +3

    Mavoko was a beast 2024 mko wapi?

  • @shaddyotieno4174
    @shaddyotieno4174 7 років тому +11

    rich mavoko your voice rocks and the collabo is wow i love the song

  • @LisahNammen-xm7oz
    @LisahNammen-xm7oz 7 місяців тому +50

    Who is here 2024🥰

  • @mustaphakijera6876
    @mustaphakijera6876 7 років тому +9

    Am a Gambian But i love Patoranking so much..
    lovely song... Pato keep it up. the world best

  • @mikehjackson2277
    @mikehjackson2277 7 років тому +51

    Hii ngoma unaweza kupandia ndege bira viza na wasikuulize

    • @ummulkheirzubeir6320
      @ummulkheirzubeir6320 7 років тому

      Mikeh Jackson haswaaaa

    • @halimkepa7766
      @halimkepa7766 7 років тому

      Mikeh Jackson 😂😂😂

    • @arqamhaiadar1835
      @arqamhaiadar1835 7 років тому

      Mikeh Jackson hahahah

    • @Otibla
      @Otibla 7 років тому

      Khaligraph Jones kawadiss Wasafi | QBoy kwenye video Akicheka
      ua-cam.com/video/i12-9c4pvHY/v-deo.html

    • @daudnyagalu308
      @daudnyagalu308 7 років тому

      +DonChiKE so what??? fucky...tuko bize na mziki mzuri#RUDI

  • @rammybowy2208
    @rammybowy2208 7 років тому +13

    Kali sanaa .....hongera

  • @alifarah9335
    @alifarah9335 7 років тому +42

    Gonga like kama ulipotaka kukomenti ukajifkira wewe mtu wa mwanzo baada kudondosha unajikuta mtuu wa kumi hahahahah

  • @Lucyvinnie
    @Lucyvinnie Рік тому +8

    Can't stop repeating this song love the flow of the beat

  • @verrobbz4997
    @verrobbz4997 7 років тому +9

    This guy is so talented ...mavoko I salute u bro

  • @nassorlido9380
    @nassorlido9380 7 років тому +2

    nipo London na sijui kiswahili ngoma Kali sana gonga like Tm wasafi twende sawa

  • @fraviusmanyika7521
    @fraviusmanyika7521 7 років тому +40

    Ushauri kwako tu bro, nikweli tunakupenda but unapoachia pin lenye voko please achia na video yake hope hapo tutakwenda sawa *****

  • @timotheoedson9147
    @timotheoedson9147 7 років тому +10

    hatari sana hiii kituuuuu

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Timotheo Edson
      Mambo vipi T?
      Ebwana Karibu join nami kwenye channel yangu hapa UA-cam.Thanks

  • @prettyangel9655
    @prettyangel9655 7 років тому +42

    Partoranking you're becoming part of WCB man! great job dudes love the melody

  • @mohamed-te1js
    @mohamed-te1js 7 років тому +2

    Richmavoko more blessing brathe 254 tunakutambua aisee ngomo iko juu

  • @pandabooming
    @pandabooming 7 років тому +12

    Mavoko Fundi Sana

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Willy Jozee97
      Napenda kukukaribisha kujoin kwenye channel yangu hapa UA-cam mkubwa

  • @kilingechasimulizi2072
    @kilingechasimulizi2072 Рік тому +1

    Nkimkumbuk tu joyce..au bas

  • @sushillatyvird1822
    @sushillatyvird1822 7 років тому +1

    uyuuu ndo mavokoo hua hakosei na saut yake mashaallah

  • @missxexykenya6028
    @missxexykenya6028 7 років тому +45

    Comment yes kama unahisi ngoma ipo juu

  • @SalimSalim-fp7zd
    @SalimSalim-fp7zd 7 років тому +2

    Wayooooo wangapi hii song imewagusa nabado wanaendelea kupenda #rudii team gulf wapiii a bigtune salute kweli maziwa ugeuka tui

  • @billyvidstv4864
    @billyvidstv4864 7 років тому +4

    sound quality sio nzuri saana...
    sijui umekosea kutuma nyimbo yenyewe iliocomplete kila kitu

    • @tracejeezy8917
      @tracejeezy8917 7 років тому

      Sikuhizi wasanii huwa wanatafuta SOUND MPYA KILA SONGS WANAZOTOA...... HIVYO HII NI NEW SOUND YA MAVOKO KWENYE HII NGOMA.....

    • @jackobonashon4973
      @jackobonashon4973 7 років тому

      Hatali xana

  • @kaybuzohera8112
    @kaybuzohera8112 7 років тому +2

    huyu rich the vocalists anajua sana... hana mbwembwe hata kidogo. kipaji kinaongea. Am so proud of you lionel Messi wa bongo flavour

  • @inclyrics4384
    @inclyrics4384 7 років тому +11

    mzee baba umeumizaa mbaya love feels up in the air

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      celebrate your life
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam.Thanks and join nami

  • @willybroadkwavava6098
    @willybroadkwavava6098 6 місяців тому

    Boy unajua hata kama vp anae jua ana jua tuuu
    Utasimama tena mwamba Bado tunakuhitaji Sanaa tuu
    Much love ❤
    Much respect
    Mavokaliiiiii ni Mnoma

  • @khalidvova6601
    @khalidvova6601 7 років тому +1

    ama kwa hakika rich mavoko ni msanii special labda kit kimoja amekosa bahat ya kuvuma sema mshkaj ni bonge la msanii wakat mwingine game halina haki rich mavoko ilitakiwa awe mbali kulipo mahali aliposimama...!!

  • @imanlimanyile2727
    @imanlimanyile2727 7 років тому +4

    Bonge la ujumbe la kubembelezea mtoto mzuri.

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Iman Limanyile
      Mambo vipi
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam and join nami kama vipi

  • @fadhilikisigo5267
    @fadhilikisigo5267 7 років тому +2

    Wozaaaaa hakuna namna tumeelewa
    Good song tajiri mavoko

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Fadhili Kisigo
      Mambo vipi
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam and join nami kama vipi

  • @emmanuelhavile2942
    @emmanuelhavile2942 7 років тому +1

    Ukipata mafua mwenzako napataga homaaa...... Dah shida mpya mjini mamae u kild it vocolaizer!

  • @hadassperez494
    @hadassperez494 7 років тому

    Ucheshi na sauti, unanifanya nimissii mwambie aje, aje . Nani mwingine amesikia kama mimi? Original sound of bongo Flava. Wanaigeria round hii kiswahili wataimba sanaaa😂😂😂.niice song richy.

  • @cpamoseschacha8281
    @cpamoseschacha8281 7 років тому +2

    Niseme tu ukweli WCB yote namkubali Mavoko ...killer vocals

  • @EddoTigger
    @EddoTigger 7 років тому

    Rich Mavoko....!! Uwa Najiuliza Sana Maswali kwann ulikwenda WCB ila cpati majibu yan ww ndio ulikuwa Kiboko Ya Diamond Platnumz Yan Akupati kwa Chchte Ila Cwez Jua Ww Ulifikilia Nini yan kwenda WCB ila piga kazi Kaka Nyimbo Zako kitaani zinafanya vzr sana yan uwezi amini. Big Up Brother Richard

  • @kabandilwafariala2107
    @kabandilwafariala2107 7 років тому +1

    Wa congo,Kenya,Nigeria,Zambia,Burundi,Tanzania,Uganda,Sudan nawengine love this song please!!

  • @onlinecashtv7037
    @onlinecashtv7037 7 років тому

    wasafiiiiiiii.... kwa mara nyengine tena.... #Tunatrend huku shulala pale mavoko #WCB

  • @khloealfan7924
    @khloealfan7924 7 років тому +1

    rich nimekupenda bure asee kazi mzazi!!hii kubwa kuliko

  • @johnmuchumi8155
    @johnmuchumi8155 7 років тому +4

    mkali wao lovely song

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому +1

      John Muchumi
      Mambo vipi
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam and join nami kama vipi

  • @mohamedmalikmillade8818
    @mohamedmalikmillade8818 7 років тому +5

    Messi👐👐sitachoka kusema WCB 4 life💣💣💥💥🤸

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Mohamed malik millade
      Mambo vipi
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam and join nami kama vipi

  • @ididijuma4974
    @ididijuma4974 7 років тому

    Kazi iko ktk ubola wake yani ssafiii tu mavoko respect wcb tunajikubali like hap najua tupo wengi zaid shabik wadam

  • @salmambongo8443
    @salmambongo8443 7 років тому

    Ngoma kali kutoka home sweet home 💪💪💪hizi sauti kali zatoka only bongo na sio china 😊😊yaan ufeki hamna👢👢👢

  • @khamisikhamisisephu2165
    @khamisikhamisisephu2165 7 років тому

    Yani mavoko ume Tisha Sana nakubaali brother mungu Azidi kuku simamia katika maisha yako Amina

  • @hekimaisaya1005
    @hekimaisaya1005 7 років тому

    mamae wcb ni nyooko,, watakaa tuu wale wengine uwaaaa kabsaaa

  • @abubakarlastly814
    @abubakarlastly814 7 років тому

    Rudi “kali sanaa “# na mimi nina moyo mama.

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 7 років тому +1

    Daaahh Poa sana hii mzee Messi 😂😂😂👏👏👏

  • @petergathercole2500
    @petergathercole2500 7 років тому +1

    Daah! Hiingona nimeipenda sana, imetulia kinoooma #mavoko &patoraking

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      peter Gathercole
      Mambo vipi
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam and join nami kama vipi

  • @sonyevara3468
    @sonyevara3468 7 років тому +9

    Malameeeeee kama umekubalii gonga like la nguvuu

    • @allymozes2331
      @allymozes2331 7 років тому

      Sony Evara kaka lichady umetsha broo

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Ebwana Ndio.
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam kama vipi.Shukrani

  • @arnehelland9760
    @arnehelland9760 2 роки тому +1

    Mavoko come back💪🏻 wasafi wametoa video Ila your the man😂

  • @ramahsambon6577
    @ramahsambon6577 7 років тому

    Mzee baba umeua....ni balaaaaaaaah

  • @malumwanganya9641
    @malumwanganya9641 7 років тому +1

    we kaka unasauti sanaaaaa aiseeeee

  • @muflawcb7386
    @muflawcb7386 7 років тому

    Mavoko unatisha mzee mwenyew na mwaka huu umeamu sio kushilikishwa unauwa kutoa ya kwako unauwa weee noma bad man

  • @shuuclassic2551
    @shuuclassic2551 Рік тому +1

    I just love this song, ukiwa unammiss mtu

  • @hommie9627
    @hommie9627 7 років тому

    Kumamake duuuuuhhhh 😨😨😨😨😨😨we noma s2keez umeuwa na hao messi na pato ndo kabisa

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh 8 місяців тому +2

    Hoor u nie eerste die beste hotelle en 🎉 Haar ma pa 🎉💥💥💥💙💙💙🇰🇪🇰🇪

  • @dichodaplaiza
    @dichodaplaiza 7 років тому +131

    Kama unahis utakuwa wa kwanzaaa kutazama kideo chake like hapaaaa

  • @saddamabdulghafur6537
    @saddamabdulghafur6537 7 років тому

    Sioni umuhimu wa patoranking hapa! Mavoko kaimba kila kitu na kaimba vizuri ! Bora angekua pekee yake! #rudi

  • @winniemageni4994
    @winniemageni4994 7 років тому

    Mavoko alwaiz on top.... umeua Baba ee....Oooh sura yangu

  • @orestangonyani9696
    @orestangonyani9696 7 років тому +1

    mess🔥🔥🙌🙌🙌🙌oyooo
    ume muimbisha kiswahili patoran🎼🎼🎼😛😛

  • @lameckkipinge3444
    @lameckkipinge3444 7 років тому +3

    umetishaaaaaa mavoko

  • @beastpan5758
    @beastpan5758 Рік тому

    hii ngoma angetoa mavoko pekeyake inge hitiii mbaya

  • @eliasjulius3814
    @eliasjulius3814 7 років тому

    ukoseag brother mavoko a.k.a mess wa bongo fleva 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😁😁😁😁😁

  • @collinsogendo2963
    @collinsogendo2963 7 років тому

    ukipata mafua mi napata kahoma..i just love patoranking

  • @ifeomaolisakwe4071
    @ifeomaolisakwe4071 7 років тому

    World Best and Mavoko Wehdone.. Nice one waiting for the Video!

  • @constancemutua1070
    @constancemutua1070 7 років тому

    Nakuheshimu babaaa #richmavoko 🙌🙌🙌

  • @raymondnginyan7473
    @raymondnginyan7473 7 років тому +17

    ukipata mafua me napata homa yaaaan ni xhida mnatixha WCB

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      raymond nginyan
      Naomba ujiunge kwenye channel yangu.Asante sana

  • @lovenessmango
    @lovenessmango 7 років тому

    Kiungo muhimu wa WCb nyimbo zako zote tofauti na nzuri we kiboko bana na huyo patoraking umemkalisha humo good vibe

  • @roseownge4016
    @roseownge4016 7 років тому

    Rich mavoko kila wakati huwa huniangushi ...Siku haiwezi isha kabla sijaskiza hii ngoma aki

  • @denissuarez697
    @denissuarez697 7 років тому +1

    good brother unaweza

  • @tonnyofficial9110
    @tonnyofficial9110 7 років тому +3

    Nomaaa xnaaa ukipataga mafua me napataga hatariii xnaa gonga like kama umeikubali #wcb 4life

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Tonny Emmanuel
      Mambo vipi
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam and join nami kama vipi

  • @youngkalfa2034
    @youngkalfa2034 7 років тому

    umeu₩@@@@ sana mavoko bila kukusaau partoking mmetishaaaa sanaaaa

  • @jamesmoses5625
    @jamesmoses5625 7 років тому

    Ujue bhana ukiwa wasafi hujutii hata siku moja kama we wcb hebu gonga like

  • @maukalitz3019
    @maukalitz3019 7 років тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🙌 umeua mess hii kitu ni hatari

  • @hallelujahkasimbazi7584
    @hallelujahkasimbazi7584 7 років тому +2

    Hii ngoma unaweza ombea mkopo benki :D

  • @rashardpodo8851
    @rashardpodo8851 7 років тому

    mavoko mbona umeimba kama Samir hivi yan umepita mule mule.. samir umeinspire wengi sana big up kwako

  • @sammytz4418
    @sammytz4418 7 років тому +1

    wcb hakuna wa mchezo mchezo wote wakali wcb oyeeeeee

  • @ziidyabdul1011
    @ziidyabdul1011 7 років тому +8

    mavoko MTU mbayaaa

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      atiff Abdul rahman
      Mambo vipi
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam and join nami kama vipi

  • @kenethkeneth3541
    @kenethkeneth3541 7 років тому

    mjawah kukosea wasafi nc sana
    Team wcb wayaaaaaaaaaaa

  • @lameckkipinge3444
    @lameckkipinge3444 7 років тому +3

    Mavoko umetishaaaaaaaaaaaa

  • @sulewakacha6047
    @sulewakacha6047 7 років тому

    we jamaa unajua sana na hujawahi kuharibu duh hii ya moto bro

  • @muhsinaden1782
    @muhsinaden1782 7 років тому +13

    This is going to be my neighbors favorite song, whether he likes it or not.

  • @twahirally3089
    @twahirally3089 7 років тому +6

    Rich mavoko this song is so heart touching💥💥💥

  • @bravonation
    @bravonation 7 років тому

    bad killer salute sana kwako bro nami nina mooyo yapita miaka mingi sijakuona hahahaha hatareeeeeeee

  • @favourgoals
    @favourgoals 7 місяців тому +1

    Always in my Head 🎉 since and now it's 2024. Vibing. #RICHMAVOKO.

  • @moedavie3394
    @moedavie3394 7 років тому +7

    Woyoooo gonga ma like kwa mavokali

  • @basicbongo9322
    @basicbongo9322 7 років тому +1

    ni kilala usiku ndotoni nakuona... ukipata Mafua mi napata kahoma... PATORANKING KAPITA KWA KISWAHILI

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Gem Ryne
      Mambo vipi
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam and join nami kama vipi