Rich Mavoko - Wanakutamani l Lyrics

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 959

  • @Lacopabinsimba
    @Lacopabinsimba Рік тому +144

    Wangapi tuna skia huu wimbo 2024❤❤😅🎉

  • @mrsahmed6894
    @mrsahmed6894 4 роки тому +178

    Remind me ov those days with my boy friend... And now we r married, na tunatarajia our first baby insha Allah 💖

  • @NichiMusical
    @NichiMusical 6 місяців тому +23

    2024 Wangapi bado tunaskiza huu wimbo

  • @mzwnpubggaming3772
    @mzwnpubggaming3772 4 роки тому +38

    Nyimbo yakutowa mawazo nimeipenda na ww ukohuliko kamaumeipenda pasi like.

  • @trishshii3468
    @trishshii3468 6 років тому +21

    Nyimbo tamu eeeh tuzeeke pamoja niwe bibi nd wewe uwe babu ...eeeh this 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @rahmasimba4080
    @rahmasimba4080 7 років тому +46

    Nyimbo taaam sana yaan sitaki moyo wngu uchezewe aaaheeee.safi sana Mavoko

  • @idrisson7507
    @idrisson7507 7 років тому +42

    Sijajua why hii ngoma umeachia kinyonge wakati ina ujumbe mfupi tu lkn mzuri sana . Thanks mwanangu mavoko

  • @joanadhiambo3958
    @joanadhiambo3958 4 роки тому +3

    Nikiwa chizi ni wewe,, wendo sababu 😔😔😔nachotaka kuzaa na wewe

  • @sharonprince4538
    @sharonprince4538 6 років тому +35

    i am the boy from congo but this song was so good congratulations mavoko

  • @princeuzieri4548
    @princeuzieri4548 6 років тому +294

    Hii katika nyimbo zako nzuri hii nayo imo gonga like kama unaikubali hii song

  • @zuwenamgula2262
    @zuwenamgula2262 7 років тому +2

    ctak moyo Wang uchezewe , ntapata tabu, nice sana nimekukubali rich mavok nilikua na kukubal kipind kile na marry you , halaf nikakupotezea coz nilikua ckusomi ila sasa nimekuwelew na umenirudisha kweny mstar , kaza sana watu wataelewa tuu , na washakuwelew ila vibur tuu ,

  • @bettykaimenyi7651
    @bettykaimenyi7651 2 роки тому +17

    Listening to this bongo legend,,it a masterpiece can't wait to dedicate it to my long distance boyfriend... Thanks rich for always bringing wat fans needs to hear 2022 Feb it love month

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 5 років тому +3

    Richi up baba mashair unayaweza sio kina kanyaga na wakat na wao wanakanyagiwa sisters zao

  • @CarolyneMureithi
    @CarolyneMureithi Рік тому +4

    Can't get enough of this song
    Big love Rich Mavoko from 🇰🇪

  • @ndubikelvinkiriagohb053sep2
    @ndubikelvinkiriagohb053sep2 6 років тому +26

    I can't say how much crazy ...am in love with this song,...... Daaaaaaamn... Napenda huu wimbo saàna

  • @miyajay2984
    @miyajay2984 5 років тому +6

    ‘Moyo wangu minakupa baby usasambue!’ Ayy!!! Yani hii nyimbo mwisho kabisa!!!

  • @nimonimo7657
    @nimonimo7657 6 років тому +14

    "Miaka rudi tena miaka nenda
    Hawaning'oi hata kwa defender".
    Its so sweet when a man is this confident with himself in the so called "love game"

  • @upendoabdul9318
    @upendoabdul9318 6 років тому +4

    Sijui huwa unawazaga nini!! Thanks for your massage 😭😭

    • @mrhacker123
      @mrhacker123 4 роки тому

      😭😭😭😭😭😭😭

  • @lizzjohny5444
    @lizzjohny5444 5 років тому +8

    Rich mavoko nakukubali kabisa,,,Kwa chorus ni 🔥🔥🔥

  • @meenameddy6287
    @meenameddy6287 5 років тому +1

    Mmh nomaaaa sana hiyo ngoma naikubali kichiz

    • @meenameddy6287
      @meenameddy6287 5 років тому

      Nikiwa chiz ni ngoja zako zoteeeeeeee

  • @princesspee6004
    @princesspee6004 7 років тому +334

    kwani mimi pekeangu ndo naeka replay ama mko wapi wengine
    am just crazy with this song.

    • @danyytsummer1503
      @danyytsummer1503 7 років тому +1

      Kabeaut Pheny tuko wengi pheny

    • @ikam2066
      @ikam2066 7 років тому +3

      princess pee yaaaaaaani naweza skiliza hii nyimbo all day and night....big up Mavoko🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

    • @neyzakayo4941
      @neyzakayo4941 7 років тому +2

      Aseeeeeeeh! Wimbo juu unanitoa machozi

    • @fatmaearly2443
      @fatmaearly2443 7 років тому +2

      Princess pee am here with u I love this song 2.....

    • @nurahfedrick9677
      @nurahfedrick9677 7 років тому +1

      princess pee haha tuko mwaya

  • @RomaMichael-ei6di
    @RomaMichael-ei6di Рік тому +1

    Nimerud tena ❤❤ mavoko Rudi kwenye game bc dah😭😭😭, Mungu akufanyie wepes kwenye game🙏🙏

  • @MirriamGichuki-st7dn
    @MirriamGichuki-st7dn 9 місяців тому +4

    Am In love with this song 2024❤❤

  • @soudyahya9742
    @soudyahya9742 4 роки тому +2

    Tz hamna anae kufikia kwa nyimbo za mapenzi(makhaba). I'm from oman, muscat keep it up bro mavoko

  • @Samihsound
    @Samihsound Рік тому +19

    it's 2023 and this song is Soo loving 💕💕

  • @budaboss8109
    @budaboss8109 Рік тому +1

    Hit song paka leo naiskiza haijawah kunichosh kuiskiza mavoko unajua san

  • @sophiahassan7976
    @sophiahassan7976 4 роки тому +6

    Sichoki kuisikiza hii nyimbo wangp tunaisikiliz 2021 like zenu

  • @bbbujandal5798
    @bbbujandal5798 6 років тому +2

    kama nikua chizi basi nimekua chizi na hii song, u me crazy rich mavoko ❤❤❤❤❤❤❤❤👍👍👍👍👍

  • @ex-con4002
    @ex-con4002 5 років тому +18

    nani anaskiza hii song in 2019!!!!!.. damn good

  • @bahatibasesela1477
    @bahatibasesela1477 6 років тому +1

    Naipenda sana iyo wimbo ningipendekeza utowe vidio

  • @esposwit5213
    @esposwit5213 6 років тому +8

    Kama un mkabali mavoko Kama Mimi Gonga 👇👇

    • @morganomondi4316
      @morganomondi4316 7 місяців тому

      Good job bro keep higher and higher 👆 ❤❤

  • @payasbadman2523
    @payasbadman2523 4 роки тому +3

    Rich alivyokuwa wcb is firee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✅🏃🏃🏃💃😊

  • @mariamissa2224
    @mariamissa2224 7 років тому +3

    2pooooooooo me pia imenichanganya hii nyimbo yaani imeingia mpaka kumoyo

  • @LoeooLoeoo
    @LoeooLoeoo 6 місяців тому +2

    As mosomali, big thumb up yo,❤❤imeni bamba aki. My last girlfriend indio ameni funza, so it realy make my heart skip a beat. 😊 bravo guy's.

  • @wiseman__078
    @wiseman__078 10 місяців тому +3

    Wangapi tuna sikiliza nyimbo 2025

  • @justicedelayedisjusticeden757
    @justicedelayedisjusticeden757 5 років тому +6

    BRO MAVOKO HII NGOMA IKO TOP,,,,,,,,,SPECIAL DEDICATION TO MY SWTHRT.

  • @winniemageni4994
    @winniemageni4994 7 років тому +9

    Am still listening to this song daily...rich hujawai niangusha

  • @kroshanabduly8434
    @kroshanabduly8434 5 років тому +2

    Amakweli Richi Mavoko nihatari sana kamaunaikubali nyimbohii gongalike

  • @prettyforchrist7036
    @prettyforchrist7036 5 років тому +65

    2019 Mpo?? Still in Love with this song especially when I miss my Man

  • @DJDorminoSDezmaEnt
    @DJDorminoSDezmaEnt 2 роки тому +2

    Hii ngoma 2017 every anniversary mpaka ni pige part of my life the wedding of my lifetime 😁✅💪 moto sana

  • @FUNNYVIDEOS1-i8r
    @FUNNYVIDEOS1-i8r 6 років тому +21

    This songs i always hear with earphones wen ever i miss my lover whom i have give ma heart..bt it had become heavy for him and he throw it...😢😢😢

  • @salomuyusuph9573
    @salomuyusuph9573 6 років тому

    babu we noma we ni Shida we ni faya wanyooshe mzee

  • @rahmangajime551
    @rahmangajime551 7 років тому +6

    sijui nilichelewa wapi hiii nyimbo kaliii wcb tz 1

    • @saidimhina4632
      @saidimhina4632 5 років тому

      BG up legend ,its a good song we learnt something from this song

    • @saidimhina4632
      @saidimhina4632 5 років тому

      Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @Kilifianoxy254
    @Kilifianoxy254 Рік тому +2

    Still my hit song 2024❤❤big up sanaa bro🙏

  • @jaycmwth3458
    @jaycmwth3458 3 роки тому +4

    💙💙 whenever I listen this song my heart rejoice,,,,, kazi nzuri Rich,,,

  • @rameshboyeh6986
    @rameshboyeh6986 7 років тому

    Umenigusa sana mavoko...mmh..wakishakuvua bby..wakuache solemba...yni kwly....kuwa na nia tu ww

  • @ashaherzog3566
    @ashaherzog3566 7 років тому +3

    Messi katika ubora Wake 🙌🙌❤️🤘 Mtoto wa Mama Richard Mwenye Sauti nyororoo

  • @u.m.5857
    @u.m.5857 6 років тому +18

    Love ❤this guy!!!😉his voiceeee!👍🔥🔥

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 3 роки тому +3

    💖 Hawatanipata!! Am yours my love 💖💖💖💖💖

  • @alyalfane6242
    @alyalfane6242 3 роки тому +2

    Unajua kaza mwangu unajua chanao ao wsf wananzingua wana ishi

  • @mwibevascoobedi1814
    @mwibevascoobedi1814 6 років тому +3

    nkwa chiz niww nyimbo stki nyimbo zfngwe ntapadabu 👏👏👏💃🙌

  • @shiquittandungu4872
    @shiquittandungu4872 6 років тому +2

    waiting for the video.
    no 1 fan of mavoko 254 ndani ya wasafii

  • @NaomiNgaira
    @NaomiNgaira Рік тому +3

    My favourite song❤😊

  • @daudnyagalu308
    @daudnyagalu308 7 років тому

    hii ngoma imemrudisha dem wangu kwenye mstari....richie keep the good music alive

  • @richieamadi1492
    @richieamadi1492 7 років тому +80

    wakenya tumekubali hili goma,,noma saaaana I mean

  • @joharijumajohari6417
    @joharijumajohari6417 4 роки тому

    Mavoko haujawai kutuacha salama kwa nyimbo zako

  • @lornahatieno7929
    @lornahatieno7929 4 роки тому +5

    Come back........ua music has a very special message😍😍😍

  • @kenphiskikeyaan7669
    @kenphiskikeyaan7669 7 років тому

    Rich Mavoko ni ule Messi wa Bongo, greatest lyricist Africa

  • @lyciakavumbi7294
    @lyciakavumbi7294 5 років тому +4

    Tuangushie lividio la nguvu sasa
    Hii song ni 🔥🔥🔥🔥

  • @shabanyusufu9599
    @shabanyusufu9599 6 років тому

    Rich embu badilika bac,kila siku staili hizohizo.Nyimbo zako ngingi zinafanana badirika blaza,gem limebadilika sana.

  • @akinyiteckler3864
    @akinyiteckler3864 6 років тому +4

    Jamani hii inagonga hadi moyoni tamu zaidi,Chrous👏👏👏💯

  • @perepetuajames3061
    @perepetuajames3061 5 років тому

    So siri hii nyimbo nzuri sichoki kuisikiliza jaman naomba lik leo

  • @samwelmollel-yt9ol
    @samwelmollel-yt9ol 4 місяці тому +6

    it’s 2024 now and am here for strong TBT gonga like

  • @gladyskibugi8737
    @gladyskibugi8737 6 років тому

    😘😘😘😘😘wimbo mthamuuu.. nkiwa chizi ni ww🙈🙈🙈

  • @thedragonmusic7687
    @thedragonmusic7687 7 років тому +57

    Mimi ni fan wa alikiba ila kwaiyi bruh Rich on 🔥🔥🔥🔥 yani Wanakutamani kila siku lazima niskilize

  • @mercyfrancis2338
    @mercyfrancis2338 4 роки тому

    Nilikua najaribu kusearch hii song bt sikua inaitwaje so far nimejua......nachotaka kuzaa na ww noomaaa sanaa penda hii nyimbo

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 років тому +25

    *Who is here again 2020 hands up 🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️🔥🔥🔥✔✔*

  • @mathewjeston3319
    @mathewjeston3319 6 років тому +1

    Kweliii hii nyimbo kaliii kinouuuuma !!; big up #Mess | rich mavok komaaa kazi unaweza

  • @meddy2group605
    @meddy2group605 4 роки тому +146

    nan anaiskiliza 2021?? gonga like hapo

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 6 років тому

    Nyimbo nzuri Sana imetulia endeleaa richi upo juuu broo

  • @oopswouw756
    @oopswouw756 7 років тому +24

    tamu sana shida ni kuwa wanimalizaaaa na sautiuuuuui

  • @blezywatino1043
    @blezywatino1043 6 місяців тому

    Usiniweke mashakani wakakudanganya kwa punje za mtama😭😭😭😭 wanakutamani hao mwenzako nia ninao..moyo wangu me nakupa babe usasambuee fanya unavotaka.

  • @tarimoangel2431
    @tarimoangel2431 4 роки тому +3

    Ngomaa Kali sanaa

  • @Aaqwe-yi6qn
    @Aaqwe-yi6qn 7 місяців тому +2

    Naupenda sana huu wimbo

  • @lameckkipinge3444
    @lameckkipinge3444 7 років тому +4

    mavoko umetishaaaa sana

  • @sandboyke
    @sandboyke 7 років тому

    tunajuana baby kwa vilemba,,,,,na nikiwa chizi ni wewe,,,,,big up mavoko,,,,,keep more fire blazing,,,,,,kwa hii song you have killed it man,,,,,,

  • @kidunapoletano3118
    @kidunapoletano3118 5 років тому +3

    BILIONEA KIDS APA KAUWAAAA XANA SIJUI NI KWANINI AJAITOLEA VIDEO HII HIT MANA APA KAWAOGOPESHAAAA WATU SIO KWA UZITO WA NYIMBO HII SAFI XANA BRO WATAKUBALI TU IPO SIKU MUHIMU KUKAZA NA KUJITAMBUA BRO RISPECT ZOTE KWAKO WEEEE

  • @fatmafarid5619
    @fatmafarid5619 7 років тому +1

    What a song,... Ajab sana umeuwaaa Rich Mavoko... In love with dis song u nailed it

  • @charlemuriuki9056
    @charlemuriuki9056 7 років тому +7

    Masha Allah.sweet voice uko juu bro.

  • @winniemageni4994
    @winniemageni4994 7 років тому +1

    MashaAllah that voice....nikiwa chizi ni wewe....hizo beats ....so nyc

    • @shamimuswaila1626
      @shamimuswaila1626 6 років тому

      Winnie Mageni fddgghfggffgffffggggggggvbbvbvvvvvvcvvcccc s x
      . ewdrff

  • @emmanuelmuoki3354
    @emmanuelmuoki3354 7 років тому +4

    wimbo uko sawa hongera rich mavoko tena sana

  • @alimaalimaa6048
    @alimaalimaa6048 7 років тому

    iyi nyimbo nimeipenda sana yani duuu. mavoko kwetu Burundi kaka yangu mnafanana sana kwakweli

  • @agnesfamily3649
    @agnesfamily3649 4 роки тому +10

    Na penda sana hie 😭😭😭

  • @ВпроПрии
    @ВпроПрии 7 років тому

    thx saana Mavoko yaani sicoki kuskiliza yaani sauti inanitia hoi taabani Big Up saaaana imetululia yaani

  • @M-double
    @M-double 7 років тому +24

    ngoma nzuri kaka Ila tunaitaji video mzee greetings from Finland #M-DOUBLE 🎙

  • @jamilasaidi3749
    @jamilasaidi3749 3 роки тому

    Waoh inanikumbusha mbali ii song lyk

  • @rizikiabdullah5282
    @rizikiabdullah5282 7 років тому +24

    mavoko hii kali sichokii kuiskizaa yani umenimalizaaa uuuiiii

  • @madehamlungu6192
    @madehamlungu6192 3 роки тому

    Nimeikubali sana hii ngoma imenikuna mno.....

  • @minjukapama6241
    @minjukapama6241 5 років тому +26

    Wanaependa music wa huyu jama kwa kupenda balckng gonga like hapa

  • @fakhtahabdullatifmussa187
    @fakhtahabdullatifmussa187 7 років тому

    Nice Rich mavoko nipeipenda sana hiii song

  • @u.m.5857
    @u.m.5857 6 років тому +7

    This guy❤❤❤can sing for me anyday🎶🔊anytime!!🎶😉

  • @HawaahYahaya
    @HawaahYahaya Місяць тому +1

    Naliaaaa San kila nikiskiaa chii nyimboo

  • @khadijayussuf5649
    @khadijayussuf5649 6 років тому +13

    Im crazy with the song imenimaliza

  • @omaryabdalah8950
    @omaryabdalah8950 7 років тому

    Hii kali ila ungenishilikisha mm inge hit duniani hadi mbinguni. Good job big.

  • @Vivienne-Vee
    @Vivienne-Vee 6 років тому +4

    254 tunakubalii🔥🔥🔥🔥

  • @lucaspaul6619
    @lucaspaul6619 6 років тому +2

    Mkubwa wapi ngoma kaliiii kinyama 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MirriamWambui-m3u
    @MirriamWambui-m3u Рік тому +5

    Can't get enough of this song❤

  • @hijaikaji1438
    @hijaikaji1438 5 років тому +1

    Ktk nyimbo za mavoko ambazo sichokagi kusikiliza nii hii na Kama naww unanipenda gonga like , ,,,

  • @nusaybahassanalli4002
    @nusaybahassanalli4002 7 років тому +5

    Big up Mavoko

  • @SALIMSALIM-mi7go
    @SALIMSALIM-mi7go 5 років тому +2

    Oe...Rudi kwenye game bro rudi #Rich waeza bro waeza bila mukataba wala nani Oe rudi bro.....😭😭😭😭😭