Damu ni viasili na ndiyo inayohusika na temperament, hili ni sawa kwa asilomia kubwa. Lakini kwa issue ya herufi za mwanzo za majina, si sawa kwa asilimia kubwa
Mimi hapa group 0 wana semaga naringa kwamitazamo yao lakini sipo ivyo napenda pia amani kuliko kitu chochote alafu nimpambanaji nipo nchi zawatu nime toka kwetu tz napambana namaisha ☝️
Group O tujuane 🥰✌️nakubali kbsa hujakosea
Kabisa❤
😊😊tupo
Tupooo
Tupooo
Tupo group o
Unajua una jua tena big up bro mini group 0 yani kweli kabisa unavyo sema am from Zambia wengi huwa hawani elewi watu wengi wana sema naji sikia
From kenya GROUP A 💯 vile unasema
Group Otujuane ❤❤❤❤❤
Mngu atufanikishe inshallh sie wenye o🙏🙏
Tuko juu sana group 0, ni kama unaelezea maisha yangu ❤.
Asante sana brow mimi group AB
Dah! Mbona kweli mm o 🌹🌹🌹 chukua maua yako
Kweli kabisa group A asante sana mwalimu
A apa ahsanteeee ❤
Ahsante sana ndugu yangu,Mimi ni Grupo 0+ nashukuru sana baada ya somos hilo.
E deles na utafiti nipo nyuma yako
NANGADE CABO DELGADO MOZAMBIKE 🇲🇿
🔥🔥🔥🤝
Mm, A. Asantee sanaa. Mana nimeji tambua. Na ndivo nilivyo.
💯💯💯🔥🔥
Alhamdurillah yalabi kunipatia group o ❤❤maskini Watu warikua wananichukia eti mimi najioa😢 kumbe sikwr
B 🙌nakubaliana na ww hapo kwenye kutunza kumbukumbu hd rfk zng huwa wananiambia kichwa changu memory iko vizuri 🙌
🔥🔥🔥🔥
Exactly Nami pia na sipend mtu aniamrishe kwakweli
Tuko pamoja
Aisee nikweli nimetoka kwenye mali za family napambana mwenyewe na dalili naziona za kupata zakwangu mashallah kaka uko ver up
Leo nimejua damu yangu o ahsante sana
Mimi ni group A NAKUBALIANA NA WEWE BIG UP SANA
Namini browser uko sawasawa mungu akubariki na kipaji chako nikweli kabisa
Nimeipenda umepita mlemle bro❤
Asante SANA. NAONA KAMA unanisema Mimi. Kundi langu Ni. A.
🔥🔥
A mimi
Kweli mim AB
Nitajuaje group langu mwalimu
🙌🙌🙌group o
Asante Sanaa Kwa somo nzur
yaani group b juu ya mstari mnyoofu
Mim sijui grupu langu nilikuwaga na hamu sana ya kujuwa grupu langu
Nenda hospital waeleze shida yako watakusaidia
Nikweli juya mstari group o
🤝🤝🤝🔥🔥
Asante sana nimejijua Leo.
🔥🔥🔥🔥
Brother mimi ni number A umeweza👏
Wap kelele ya group A"😂😂❤
Sio poa ani kumbe ndo tuko hivi yn NI ukweli mtupu bila kujificha
Wooooo😅😅
Pamoja A😅
Grop o kweli kabisa
Kweli A
Duuuhh unashangaza sana Brother una akili sana.
nabaki mdomo wazi kbs 😲 grp O wala hajakosea lolote
B tujuane 👏
❤❤
That true my blood group O
Punguza maneno tuende kwenye point moja kwa moja
A❤ nipo apa
Ab nakubali asante
Unarudia radia sana maneno mpaka unachosha
Duuuh group o umenipoint
Group O very true indeed
Damu ni viasili na ndiyo inayohusika na temperament, hili ni sawa kwa asilomia kubwa. Lakini kwa issue ya herufi za mwanzo za majina, si sawa kwa asilimia kubwa
Group o tupo kanunu❤❤❤
Asante sana nimejijua nikwer nisahh
🤝🤝🤝🤝
Group b ni kweli kabisa
Mimi hapa group 0 wana semaga naringa kwamitazamo yao lakini sipo ivyo napenda pia amani kuliko kitu chochote alafu nimpambanaji nipo nchi zawatu nime toka kwetu tz napambana namaisha ☝️
Daagh ni kweli kabisa😊😊😊
Me B ni kweli kabisa
Heee😅 group B ni mm kabisa na hizo tabia😅🙌heshima yako kaka
Wewe kaka it's true kabisaa
O+
Asante sana
🤝🤝
😁😁😁😁😁 yan kundi b hujakosea ndo nilivyo...🙌🙌🙌🙌
🤝🤝🤝💯💯💯
Group b,umesema kweli
ni kweli kabisa mimi wa b
Tupo wengi b full furaha
Kaka wewe ni Atari sana Mimi ni kundi a umepatia sana yaan we ni noma
Punguzaa manenoo banaa
Group O mkowapi
Tuuupoo
Nikohap
Nitafuatilia
Yan hujanikosea kabisa A ndo hivyo hivyo nilivyo
🤝🤝🤝🤝
Group B tujuane
Tupo
Hajakosea kannisa Hy bro nikisema tosha ni tosha groupB mkeo wapi
Yaani Hy ani sumlia mm kabisa ee amejuaje hyu hajakosea kitunhata kimoja yani yote alosema kisema kweli ni mm kabisa 😂😂
Tupo
Mimi O lkn namba 5 kinyume 😂😂😂😂naongea mie
Una kelele hujui kuelekeza toka hapo
Wa group o mupongezwe nakutaka tufanye vitu vitoke njiani twendelee navyingine😂😂😂
Mimi grup o
Ab asaete
Jaman kaka fupisha maneno enda kwnypoint
kwakweli a
Group O🤞☝️☝️
Kweli harutabiliki😅😅o
Asante kaka
Nikueli kabisa
Kiukweli kaka unachosha unaongea sana haufupishi maneno unasababisha mtu anachoka kusikiliza stori ww focus na point ya jambo.
*Kua na hekma unazingua babuu kwani ungetulia kama wengine ingelikueje?*
@@Teacher........ kwani kinakuuma nn umeambiwa ww mbona unaumbea?
He makubwa😳
@@VickKulekana-si1ib😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Uuuuwiii nimecheka mm daaaahhh
@@philemonmagesa5548💞💞💞
Daah weye sijui umesomea wapi utafiti wako maana unaongea unagusa kabusa
mbona una maneno mengi sana
Hiyo B jmn sina hata tabia moja nimeacha hapo... heeee
Asantee Sana kaka
🤝🤝🤝
A and it's true weuh!
True
💯💯🔥🔥🔥
Natamani nibadilike nihame group O had kua A
Unaongea mingi 😢😢😢😢😢😢😢we want point 😢😢😢😢😢
Mbona mm ni A...,lkn tabia inashea A na 0 kwa nn
Kweli najuwa hisia za watu
Hongera sana ndo ukweli wenyewe
💯💯💯🔥🔥🔥
Mm B
kweli haujakosea kundi AB😅😅
Kiukweli fupisha maneno
Mziki Sasa wa Nini
Mimi pia
Tokea hapo kinyota tunaaambiwa watafiti
Mimi Ngoja nikapime yangu kwanza
O nikweli kabsaa hivyo ndio nilivyo
mimi ni group o umesema ukweli kabisa
Jamaa na ukweli mm mwenyewe n o da yaan nimejikubali kumbe m hv
Imekuwa mwingine mwingine wengine wengine to much
Mim o haujakosea😂😂😂
🔥🔥🔥🔥
AB Ni Mimi mtupu
Kabisa yote ninayo Co ungo
🔥🔥🔥🔥
Group O🌚
Mimi huyo group B
Unasema Sana mi hata sijafahamu😏