Punguza maneno ni mengi mno ni Bora uweke clips kumi kwenye channel yako kwa siku moja lakini ziwe fupi fupi. Jaribu kuongea bila mlolongo wa maneno meeengi ambayo hayaja maana. Huwenda ujumbe wako huu ni mzuri sana na utawavutia wengi ila Mimi tayari ishanikera unarudiarudia kitu kimoja mno.
@@FAFANUOMEDIA nampenda mwalim muelewa anae balansi paniki...nimeipenda san iiyakutusikiliza tunaokufatilia...nabila ya kumchukia mshauli saf sn kaka ..kazi ienderee.
Unasimulia vizuri sema tatizo lako unarudiarudia maneno.
Ahsante kwa maoni yako
Asante kwa kunipenda na kupenda wengi
Shukran Kwa wasia yako,twaweza safisha je?
Asante sana kwa mafundisho yako but naomba unifundishe jinzi ya kurudisha yota yangu
Asante kwa ushauri wako mzuri Mungu akubariki sana
Asante. Kwa somo lako. Tuletee somo la kusafisha nyota na kuilenjesha
Amesha fundisha hilo ktk somo lililopita.
Umuombe kurudia somo tena,Kama itampendeza atamisaidia
Endelea kutoa neno la mungu utabarikiwa naye maana anajua unavyo wasaidia watu
Unenda mbele ukirudi .nyuma acha kurudi riverse bana ongea kitu kidogo chenye mwelekeo bhana
Maneno mengi bro jitahidi kwenda kiimpangilio....
Utarundishaje
Toa darsa ya kurudisha nyota
Sasa tunasafishaje nyote please
Utarudishaje Nyota Yako amakusafisha.
Je kama aloiba ni mme wangu nae atanichukia ?
Shukurani
Nitasafishaje nyota?
Nitasafisha nyota yanguje
Nime ibiwa nyota yangu, nahitaji kurudisha nyota yangu kwangu unisaidie mwalimu
Tufundishe jinsi ya kusafisha nyota yako au kiurudisha nyota yako plz
Ebu tuelezee vile tunaeza safisha
Nenda kwenye point unaongea sana
Sasa dawa yake nini
Unaongea kwa kuvuta vuta sana maneno inakera ongea kawaida na kwa ufupi usirudie maneno
Nitairudishaje?
Hayo Yote Ninayo Ulio yasema Kuchukiwa
Yangu imechafuka SANA 😢
Ikiwa imeibiwa nifanyeje iliirudi
🔥🔥💯💯
Hizi porojo tu
Puuza elimu hivyo hivyo,
ubaki kupiga mizinga tu mtaani
Siwezi kuendelea kuckiliza kwakusomatu baazi ya koment bloo punguza maneno
Punguza maneno ni mengi mno ni Bora uweke clips kumi kwenye channel yako kwa siku moja lakini ziwe fupi fupi. Jaribu kuongea bila mlolongo wa maneno meeengi ambayo hayaja maana. Huwenda ujumbe wako huu ni mzuri sana na utawavutia wengi ila Mimi tayari ishanikera unarudiarudia kitu kimoja mno.
Ahsante kwa maoni yako hakika tunathamini saana mchango wako
@@FAFANUOMEDIA nampenda mwalim muelewa anae balansi paniki...nimeipenda san iiyakutusikiliza tunaokufatilia...nabila ya kumchukia mshauli saf sn kaka ..kazi ienderee.
Ulitakiwa kutoa Dawa ya kuirudisha.
asantesana
Ni maombi
🇧🇮🤍🇧🇮🙏🙏🙏🙏🙏