KUNDI LAKO LA DAMU LINAELEZA KILA KITU KUHUSU TABIA NA SIFA ZAKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • KUNDI LAKO LA DAMU LINAELEZA KILA KITU KUHUSU TABIA NA SIFA ZAKO #fafanuomedia #knowledgeforyourfuture #tujengemahusiano
    ‪@FAFANUOMEDIA‬

КОМЕНТАРІ • 105

  • @GloryDanieli
    @GloryDanieli Місяць тому +4

    Kundi B pamoja nami wekeni like zenu hapa tujuane tuko vizuri sana

  • @magrethmichael3922
    @magrethmichael3922 4 місяці тому +9

    O ni kwel huwa naongeaga peke yangu na kujijibu nakutatuta tatizo 😅

    • @EstherManoso-df3pd
      @EstherManoso-df3pd Місяць тому

      Tupo wengi mm ata nishazoea nitakapokua tu naongea tena mtu akitokea anaeza Dhani naongea na mwenzangu kumbe nko solo 😅😅

  • @AbeilAbeil-h6h
    @AbeilAbeil-h6h 13 днів тому +3

    Tujuane group B mwaga like za kutosha

  • @sabathmnubi5033
    @sabathmnubi5033 2 місяці тому +5

    Familia yetu tuko watu watano baba, mama na watoto watatu wote kundi O+ tupeni pole maana kila mtu anaamini anachotenda ni sahihi tu, na wote wanataka kutawala, duh!!

  • @husnathabiti4114
    @husnathabiti4114 4 місяці тому +7

    O tujuwane

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f 2 місяці тому +3

    B kabisa nimimi hapa❤❤❤❤

  • @ShedrackMdonondo
    @ShedrackMdonondo 2 місяці тому +2

    Kabisa o

  • @ECAAminadabu
    @ECAAminadabu 5 місяців тому +1

    Kaka shukrani,kwakweri ni ukweri...

  • @gloryfidelis102
    @gloryfidelis102 5 місяців тому +2

    Yes AB ndivyo nilivyo

  • @MysalaTan
    @MysalaTan 5 місяців тому +1

    Yan ujakoseakabisa mimi ni AB nandivyonilivo nazoeamazingila alaka namausiano ndoniiv ❤❤

  • @InnoJr-mk6kt
    @InnoJr-mk6kt 5 місяців тому +3

    O ni kweli kaka❤❤❤❤

  • @TasmiaDulla
    @TasmiaDulla 4 місяці тому +1

    Ujakosea kaka AB ❤

  • @leilaekesa3394
    @leilaekesa3394 4 місяці тому +2

    O ni kweli kabisa umesema ukweli

  • @hassanyunus4634
    @hassanyunus4634 3 місяці тому +2

    My brother hapa Kwa 0 umenigusa,

  • @mwashamleo9996
    @mwashamleo9996 Місяць тому +1

    Mimi na mr wote O

  • @habibarashidi-xn6mb
    @habibarashidi-xn6mb Місяць тому

    Nashukuru sana Umesema kweli kaka

  • @MpokiAmos
    @MpokiAmos 13 днів тому

    Upo sahihi baba mm fundi o

  • @marykweka8220
    @marykweka8220 5 місяців тому

    This is the well done research

  • @ERICKCHENGULA
    @ERICKCHENGULA 5 місяців тому +3

    Kundi A iko sahihi kabisaa

  • @janemumbua4683
    @janemumbua4683 5 місяців тому +2

    Mimi ni huyo AB BILA SHAKA NAJIONA 🎉

  • @lilimoswambu9934
    @lilimoswambu9934 5 місяців тому +3

    Group A

  • @Lordrich-m7y
    @Lordrich-m7y 3 місяці тому +2

    O ni mm kabisa

  • @salomekadzo2491
    @salomekadzo2491 5 місяців тому +3

    Ni kweli kabisa hapana kurudi nyuma Mimi group B

  • @AngelChristian-w9r
    @AngelChristian-w9r 9 днів тому

    Waaaa AB kweli bna napenda usawa sana hadi home wananiita bibi falsafa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 5 місяців тому +2

    Mimi hapa group A, 🎉

  • @MaryLyimo-fy5ml
    @MaryLyimo-fy5ml 3 місяці тому +1

    B ❤

  • @eliasmwassi8104
    @eliasmwassi8104 3 місяці тому +1

    true o itrapersonal

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 5 місяців тому +2

    Mm ndivyo nilivyo

  • @IslamAhmed-xd5my
    @IslamAhmed-xd5my 5 місяців тому +2

    O+

  • @DottoLwambo
    @DottoLwambo 4 місяці тому

    AB broo uko fact mno juu yangu ujakosea

  • @rehemakenga609
    @rehemakenga609 5 місяців тому +3

    Mm ni B

  • @user-wx9wv2hw7y
    @user-wx9wv2hw7y 5 місяців тому +2

    Mm A wala hujanikosea

  • @AziziPonera
    @AziziPonera 2 місяці тому

    Hatari we noma hiyo tabia ya kuongea peke yangu ninao,na naweza kuona hii kitu hapo mbele kina faida au hakina faida ❤ group 0 hatari

  • @asiyajuma3135
    @asiyajuma3135 2 місяці тому +1

    Mm huyo o jamani

  • @julietwafula3729
    @julietwafula3729 5 місяців тому +1

    Waaa kwa o Niko apo

  • @MercyKadenge
    @MercyKadenge Місяць тому

    Mimi ni b😂😂

  • @user-lv7ul1hw1d
    @user-lv7ul1hw1d 2 місяці тому

    O ni kweli kabisa

  • @LoolKing-z5z
    @LoolKing-z5z 5 місяців тому +1

    Mimi ni AB na venye imeongelewa nikwel kbsaaa 💯 hivo ndio niko❤🙏

    • @elizabethmkude9452
      @elizabethmkude9452 5 місяців тому +1

      Tujuane we a Yani nimimi kabisa

    • @LoolKing-z5z
      @LoolKing-z5z 5 місяців тому

      @@elizabethmkude9452 Imgne venye imeongelea ni hvo kbsaaa huezi Amini 🥰🥰

  • @user-dp9bq8jt8r
    @user-dp9bq8jt8r 2 місяці тому +1

    Mimi ni AB apa

  • @FlorahEliakimu
    @FlorahEliakimu 4 місяці тому

    AB, nikwel ndio nilivyo ❤

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 5 місяців тому +2

    Yani hapo kwenye O kama umeniona vile au kama unijuwa Yani mbona umeweza Mm na O yangu

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 5 місяців тому +2

    Group B ndio mm nikweli kabisa sifa zote ulizosema ninazo

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 5 місяців тому +3

    Me ni group o

  • @SuhelaAbdi-i7w
    @SuhelaAbdi-i7w 5 місяців тому +1

    Mm niko hapo o

  • @FeywisNoel
    @FeywisNoel 4 місяці тому

    Langu ni AB postive

  • @Mamantontine
    @Mamantontine 3 місяці тому +1

    Mimi ni o hiyo nikweli

  • @AdelinaPaul-k1d
    @AdelinaPaul-k1d 3 місяці тому +1

    0 nikweli

  • @judymosomi7811
    @judymosomi7811 5 місяців тому +4

    Mm ni 0

  • @wardakatana
    @wardakatana Місяць тому

    Mimi nikona O kaka nikweli

  • @DayanaIgobeko
    @DayanaIgobeko 5 місяців тому +1

    Sifa za AB ni zangu kabsa na ndyo group blood yng..

  • @halimaomar3280
    @halimaomar3280 2 місяці тому

    A, positive mm hapa na niukweli mtupu umenipa

  • @FlorenceJohn-xd2qb
    @FlorenceJohn-xd2qb 3 місяці тому +1

    Mm NI o

  • @angelinatryphone6152
    @angelinatryphone6152 5 місяців тому +3

    Niko na 0 nikweli ndivyo nilivyo

  • @ConsolateAbel
    @ConsolateAbel 5 місяців тому +3

    Kund B nilangu hujakosea kabisa sipendi kurudishwa nyuma

  • @NifashaBertha
    @NifashaBertha 5 місяців тому +1

    Kundi o Niko hivyo kabisaa

  • @veronicaboniface3028
    @veronicaboniface3028 5 місяців тому +1

    Fact ni group o yan ni ivy ivy

  • @CHENGOKALAMA-n6g
    @CHENGOKALAMA-n6g 5 місяців тому +1

    Yes ni hivyo kbs ktk O

  • @user-sl9ii6pb6i
    @user-sl9ii6pb6i 4 місяці тому

    Kundi B ni kweli ujakosea

  • @mwashamleo9996
    @mwashamleo9996 Місяць тому

    Mi O lakin mbona ni muoga?

  • @LenathaCholobi
    @LenathaCholobi 5 місяців тому +1

    N kwel aseee mie npo hvo2 grpB hapo

  • @DenisAntony-z7h
    @DenisAntony-z7h 5 місяців тому +1

    Kundi O hujakosea kabisa imenigusa sana tabia zangu kabisa hizo

  • @mwashamleo9996
    @mwashamleo9996 Місяць тому

    Mi huwa naongeanga na kujijibu mwenyewe yan najiuliza na kujiiibu 😅

  • @ludoviclymo2044
    @ludoviclymo2044 3 місяці тому +1

    Nikweli 0.ndivyo nilivyo

  • @husnathabiti4114
    @husnathabiti4114 4 місяці тому +1

    O ujakosea hata kidogo duh wewe noma

  • @LoolKing-z5z
    @LoolKing-z5z 5 місяців тому +2

    Naomba hii ya kujua damu yko kama waeza changia mtu ama labda ni wewe ndio wachangia sijui km umenielewa? Naomba unijibu please kwa kutumika hizi hizi group 4 za damu🙏

    • @perfectpixelsstudio3603
      @perfectpixelsstudio3603 5 місяців тому

      Group 0 unachangia damu mpaka mijusi linaingia kwenye kila kundi hapo

  • @rashidhussein-cq2si
    @rashidhussein-cq2si 4 місяці тому

    Wanafki ni grupu Gani la damu?

  • @joyceodamba
    @joyceodamba 5 місяців тому +1

    Group A na hivyo ndivyo nilivyo

  • @SusanMuthoni-dl3ve
    @SusanMuthoni-dl3ve 2 місяці тому

    AB NAJIONA TU 😅😅😅😂

  • @MevisWaziri
    @MevisWaziri 5 місяців тому

    Ndiyo Mimi ni AB ndivyo nilivyo

  • @Mapenzisafari-lj1mo
    @Mapenzisafari-lj1mo Місяць тому

    Mm nipo 0 non group waaaa ninanvyo penda kuongea pekeangu 😂😂

  • @Simbajseleman
    @Simbajseleman 5 місяців тому

    Mbn mm nikama nipo kwenye alama hizi a ab b pia, mpo vzr utabili wenu Kwa aslimia100 hampingwi

  • @LUPIMO_TV
    @LUPIMO_TV 5 місяців тому

    🔥🔥🔥

  • @anthonyndungu5636
    @anthonyndungu5636 4 місяці тому

    AB haki ya nani...😂😂😂😂 Myself 😂😂😂

  • @user-gg4yo8jl1r
    @user-gg4yo8jl1r Місяць тому

    0 niko hapa hujakosea kabisa 100%

  • @neemamakundi6407
    @neemamakundi6407 5 місяців тому +1

    0+ hujskoseaaa😂😂

  • @mememe5689
    @mememe5689 5 місяців тому +1

    Mimi. Asilimiayote. Nipo. O.

  • @lightnesssanka1928
    @lightnesssanka1928 5 місяців тому

    Yaani nikweli kabisa

  • @KhadijaMuyaone
    @KhadijaMuyaone 4 місяці тому

    Mm kundi B yaani ujadanganya niko ivyo ivyo

  • @hadijajuma3773
    @hadijajuma3773 3 місяці тому

    Mimi B.Hujakosea kabisa.

  • @AbelMagava-uq8dz
    @AbelMagava-uq8dz 5 місяців тому +1

    O

  • @MariahMnjeja
    @MariahMnjeja 5 місяців тому

    Apo AB ni kwelii kabisaaa

  • @khadijaboki3494
    @khadijaboki3494 5 місяців тому

    Hapo kweli kundi b ujadanganya nipo ivo😂

  • @AbdiMohammed-gm3ik
    @AbdiMohammed-gm3ik 3 місяці тому

    Kunya ngisi zyako AB hujakosea kweli kabisa

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 5 місяців тому +2

    Mm nko grp O-

  • @FatumaMombo
    @FatumaMombo 5 місяців тому

    Mimi group A ila umesahau mtu akinizingua namzingua mara 2 sitakagi ujinga

    • @joharifarahani2739
      @joharifarahani2739 Місяць тому

      Ww kama mm mcheshi huruma upende ukinizingua mm nakuzingua mara mbili... group lngu ni A negative

    • @joharifarahani2739
      @joharifarahani2739 Місяць тому

      Ww kama mm mcheshi huruma upende ukinizingua mm nakuzingua mara mbili... group lngu ni A negative

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 5 місяців тому

    Mm AB

  • @LusindeChitojo
    @LusindeChitojo Місяць тому

    Huja kosea kaka ni ukwel kabisa

  • @faustinbyendeye7954
    @faustinbyendeye7954 5 місяців тому

    Tuachane na unajimu ,
    Mwafrica yeyote huzaliwa na ubunifu hata kushinda
    Weupe ,
    Ila tuu ,tumefinywa ,
    Na hasa wanao jiita viongozi wetu
    Nao pia akili zao zimefinywa na freemason.

  • @shadrackchemwor3354
    @shadrackchemwor3354 5 місяців тому +1

    O +