SIRI ILIYOJIFICHA KWA WATU WENYE ALAMA YA NUSU MWEZI KWENYE VIGANJA VYA MIKONO YAO gusanisha viganja

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • #fafanuomedia #tujengemahusiano #knowledgeforyourfuture

КОМЕНТАРІ • 165

  • @Nancy-b8m
    @Nancy-b8m 6 місяців тому +6

    Kaka ni ukweli mwaka huu namwomba mungu anisaidie .shukrani sana kaka

  • @mohammedalemin3297
    @mohammedalemin3297 Рік тому +5

    Uko sahihi kabisa bwana kaka,Mimi mwenyewe Niko na alama hii ya nusu mwezi, Asante sana

  • @LilyMinja
    @LilyMinja 6 місяців тому +3

    Nashukuru sana kwa kjjua maana ya mistari iliyo katika viganja

  • @denismuthuri9810
    @denismuthuri9810 Рік тому +3

    Kweli kabisaa napenda kukufuatilia sana na umenijuza mengi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 Рік тому +2

    Asante sana ninavyo nl kua cjui na ni kwel kabisaaaaa ume tisha kka shikamoo

  • @stacynyae7630
    @stacynyae7630 Рік тому +2

    Asante Kwa somo lako kaka nimejifunza kitu

  • @user-fm2zb6fs8m
    @user-fm2zb6fs8m 6 місяців тому +1

    Asante kwa masomo yako Niko nazo na niukweri kabizaiyo matatizo Aki ni mingi

  • @CatherineMuthoni-xq3pu
    @CatherineMuthoni-xq3pu 2 місяці тому +1

    Very....very true yani napendwa na wanaume wengi sna mpaka nachukiwa na malafiki

  • @EstherMusa-n4g
    @EstherMusa-n4g 24 дні тому +1

    Kweli ata mm napendwa sana mhmh

  • @user-ez9oy3bp1c
    @user-ez9oy3bp1c Рік тому +1

    Asante hy yt uliyoongea yinayopitia now ha hiyo alam y mwez ninayo daaaah❤❤❤

  • @stacynyae7630
    @stacynyae7630 Рік тому +1

    Asante sana ni ukweli nimeamini kwani alama hiyo ninayo nimeshukuru sana kujuwa ukweli wa maisha yangu mungu akubariki

  • @zainabzain3434
    @zainabzain3434 Рік тому +3

    Asante upo ukweli ndani yake ❤❤❤

  • @AsmaEdgar
    @AsmaEdgar 4 місяці тому +1

    Asante kwa kunijuza ilo

  • @IbrahimJutta
    @IbrahimJutta 10 місяців тому +2

    truuuuuuuueeeeeee mi ni mmoja wao kila kitu kweli kaka

  • @AmeenaTanzania
    @AmeenaTanzania Рік тому +3

    🎉🎉🎉Asante sana nimejua leo kwann nasikilizwa

    • @Nyamwiru
      @Nyamwiru Рік тому

      Hahaaaaaa

    • @FrankBaruti
      @FrankBaruti 12 днів тому

      Ume juwa lakini siyo ivio mimi tangu kuzaliwa sijaona bina damu mwenye mstari tafauti n'a binadamu wengine iyo siyo ukweli jamaani, ebu uchunguze marafiki zako katika viganja vya mikono Yao hata maaduyi zako wote wana viganja vya miko sawa sawa na WE we

  • @julianamello4288
    @julianamello4288 7 місяців тому +1

    🙏🙏 asante nami ninayo nilikuwa sijui

  • @grasiuschalle3735
    @grasiuschalle3735 Рік тому +2

    Ninazo hizo alama nikweli Mambo yako hivyo hivyo.ila nilikuwa silifaham Hilo Ahsante.

  • @VeronicaMushi-ms1tn
    @VeronicaMushi-ms1tn Рік тому +2

    Very true ❤❤

  • @ZenabKordi-ib3nr
    @ZenabKordi-ib3nr 11 місяців тому +2

    Yani nime amini kabisa ndivyo nilivyo jamani tena huwa na chunguz sana kama utanidanganya amini tuu nikiweka kiwango chakuku fatilia hufui dafu❤❤❤

  • @deborahmussa-mt2cb
    @deborahmussa-mt2cb Рік тому +1

    Asante sana

  • @user-km6li5tf4s
    @user-km6li5tf4s 21 день тому

    Waaaaa exactly ❤🎉🎉❤

  • @AdveraPhilipo
    @AdveraPhilipo 6 місяців тому +1

    Asante mungu

  • @aishasaidi1045
    @aishasaidi1045 Рік тому +1

    Hujadanganya kabisa 🎉🎉🎉🎉Asante tena

  • @josephcharo1356
    @josephcharo1356 Рік тому +1

    Hapo ni kweli kabisa. Mimi hupenda kujishusha kila wakati ili amani iwepo.

  • @user-nt7yg6es3n
    @user-nt7yg6es3n Рік тому +2

    Uko sahihi kabisaa Wala hujakoaea na mm niyo hiyo alama

  • @fettymo2055
    @fettymo2055 4 місяці тому

    Hicho kitu nikweli maana uloyasema yote huwa yananikuta Asante sana nimejifunza

  • @muniraomar2235
    @muniraomar2235 Рік тому +1

    Shukran

  • @KesterKanon
    @KesterKanon 5 місяців тому

    Dah! Kweli kabisa nimejionea mwenyewe kwani hata Mimi Nina alama hii Kila unachokisema kipo kwangu Asante

  • @ashuu7972
    @ashuu7972 Рік тому +1

    ❤❤tanx

  • @LazaroRingo
    @LazaroRingo 20 днів тому

    Somo zuriii

  • @SaudaMfaume
    @SaudaMfaume 3 місяці тому

    Asante kak nimeelew

  • @peridhahassan2891
    @peridhahassan2891 3 місяці тому

    Niukweli kabisa❤ asante sana kwa kutujuza

  • @EstherMusa-n4g
    @EstherMusa-n4g 24 дні тому +1

    Yani apo umenipatishia sans

  • @MagrethBoniface-z2y
    @MagrethBoniface-z2y 11 місяців тому +2

    Ni kweli 100%

  • @faithsimiyu5228
    @faithsimiyu5228 5 місяців тому

    Nimejijuwa asanti

  • @KhadijaKhamisi-t1f
    @KhadijaKhamisi-t1f 29 днів тому

    🎉🎉🎉 nikwel kaka mungu akuongoze kwaufafanuzi wako,,

  • @thrivehappy9610
    @thrivehappy9610 5 місяців тому

    Asante umepatia for 100 %

  • @RayyaHinay
    @RayyaHinay 9 місяців тому

    Shukran huo nusu mwezi ninao na tabia ulizotaja ninazo" hongera sana!!!

  • @NahGonya
    @NahGonya 2 місяці тому

    Asante kaka ❤❤❤

  • @Venerandamassawe-r6y
    @Venerandamassawe-r6y 2 місяці тому

    ❤❤kwel mungu akubarik

  • @AsmaEdgar
    @AsmaEdgar 4 місяці тому

    Daaaah kaka ni mimi mtupu na alama iyo ninayo na kwenye kupenda na kuchunguza jambo niko vizuri sana daaah najivunia kuwa na alama ya mwezi

  • @LingconBaro-cs2cj
    @LingconBaro-cs2cj 7 місяців тому +1

    kweli kaka saluti

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 Рік тому +1

    Alhamdullillah

  • @ManirambonaIssa
    @ManirambonaIssa 7 місяців тому

    Uko Sahihi ❤kk

  • @naimamussa-i2y
    @naimamussa-i2y 2 місяці тому

    Gud brother❤

  • @GaheshiFunny-zw2nj
    @GaheshiFunny-zw2nj 4 місяці тому

    Hiyo nikwelii kakaa unaongelea point 👍

  • @user-po1vi4du6h
    @user-po1vi4du6h Рік тому +1

    Kweli kabisa nami naalama hizo

  • @bakarirutengwe3036
    @bakarirutengwe3036 11 місяців тому

    SWADAKTA MASHALLAH ❤️

  • @JanemukuiMusili
    @JanemukuiMusili 7 місяців тому

    Asante bro

  • @reemareemo2698
    @reemareemo2698 Рік тому +1

    Asante nime jitest nipo kwenye kundi la alama lamwezi

  • @sylvestershaib3527
    @sylvestershaib3527 Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @TheresiaYohana-xy5vj
    @TheresiaYohana-xy5vj Рік тому +2

    Ninazo hizo alama but sikua nafaham za maanisha nn, thanks

  • @theresekyoni8721
    @theresekyoni8721 11 днів тому

    Kbs hujakosea Kaka ,kila ulich kitaj kwangu ndivyo vilivy

  • @EstherMusa-n4g
    @EstherMusa-n4g 24 дні тому +1

    Jamani mbona uniogelee Mimi jaman

  • @Rod-n6w
    @Rod-n6w Місяць тому

    Daa nimim kabis

  • @AlmasiMohamedy-sc9bz
    @AlmasiMohamedy-sc9bz 6 місяців тому

    Kweli kabisa kaka ata mimi pia Nina hiyo alama ya herufi M mikono yote asant sana

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 6 місяців тому

    Ni kweli kabisa, mimi nina alama hiyo kwenye viganja vya mikono yangu. Nayote uliyoongea huwa nayaona kwangu, ila sikuwa naelewa. Ndivyo nilivyo, upo sahihi.

  • @TgxdChvgk
    @TgxdChvgk 2 місяці тому

    Kiukweli kbx sifa zote zilizotajwa ninazo ❤❤❤

  • @Martin-q4z7y
    @Martin-q4z7y 7 місяців тому +1

    Am one of them

  • @FungamtmaMadonya
    @FungamtmaMadonya Рік тому +1

    Mm ni nazoalama

  • @sylvestershaib3527
    @sylvestershaib3527 Рік тому +1

    Ukweli 100%

  • @ayubukbayubukb
    @ayubukbayubukb Рік тому +1

    Asnteeee... ukweli mtupu mi pia alama hizo ninaz

  • @theresekyoni8721
    @theresekyoni8721 11 днів тому

    ❤❤❤❤❤❤❤👌

  • @DulaYanga
    @DulaYanga 5 місяців тому

    True kabisaa ndio mm uyo🎉❤

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 Місяць тому

    Kweliiiii kabisaaaa❤🎉🎉🎉

  • @OnesmasMuthini
    @OnesmasMuthini Місяць тому

    Iyo nikweli kabisa Kaka Mimi Niko na alama iyo

  • @SalmaHassani-i7h
    @SalmaHassani-i7h 3 місяці тому

    Ni kweli kbs❤❤❤

  • @MilkaOscar
    @MilkaOscar 8 місяців тому

    Thanks God

  • @WilliamLukas-ub1mg
    @WilliamLukas-ub1mg 3 місяці тому

    Kaka kaka pamoja sana

  • @mfalme31
    @mfalme31 7 місяців тому

    Upo vzur sana hakuna ulipokosea

  • @allyally3209
    @allyally3209 Рік тому +1

    Upo sahii nipo hinyo hinyo kweli

  • @Glorytv5111
    @Glorytv5111 5 місяців тому

    Kweli kabisa kaka hakika huja danganya

  • @ZuhuraTakadiri-ui7dj
    @ZuhuraTakadiri-ui7dj Місяць тому

    Uko sahihi

  • @user-ug4tj4sy1o
    @user-ug4tj4sy1o 10 місяців тому

    Daa kweli kabisa kaka

  • @deboraelias3333
    @deboraelias3333 6 місяців тому

    Dah,, jaman kaka mbona ni mm hapa kabxa

  • @directorkingright
    @directorkingright 7 місяців тому

    nice

  • @TabizaAa
    @TabizaAa 7 місяців тому

    aah aki ni kweli kabisa jmn ndugu

  • @MrishoMzelela-xb9bb
    @MrishoMzelela-xb9bb Рік тому

    Jamaaa umetisha umenizungumzia Mimi kabisa oficn kwangu mtumishi mwenzangu alikuja na kunitukana saana nikajishusha na mpka sasa tunazungumza nae vzr tu.daaah

  • @JeneBatumike
    @JeneBatumike 5 місяців тому

    Kwan kuna watu Awana alama iyo

  • @doreentonga7818
    @doreentonga7818 5 місяців тому

    Kweriiiii kabisa yan

  • @ChristineNyongesa-qf2im
    @ChristineNyongesa-qf2im Місяць тому

    Kweli kabisa hivo ndio mm hunitokea katika mahusiano

  • @MwantumHamisi
    @MwantumHamisi 11 місяців тому

    Ni mimi haswaa❤

  • @mamuu_nash254
    @mamuu_nash254 8 місяців тому +1

    Kweli kabisa 😂

  • @FatimaAs-d4f
    @FatimaAs-d4f 11 місяців тому

    Very true

  • @epifaniaamasi486
    @epifaniaamasi486 7 місяців тому

    Ni kweli ❤❤

  • @EvansiIginasimvungi
    @EvansiIginasimvungi 8 місяців тому

    True story.

  • @ayushayush2313
    @ayushayush2313 11 місяців тому

    Alhamdhullilah kila ulichokiongea nisahihi kwangu

  • @BolasieNgongo-rh9wm
    @BolasieNgongo-rh9wm 6 місяців тому

    Nikweli Kaka kabisa

  • @Glorytv5111
    @Glorytv5111 5 місяців тому

    💯💯🔥

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 5 місяців тому +1

    KAMA KUNA MTU HANA HIYO ALAMA YA MWEZI ANIJULISHE

  • @SUZANAMASESA
    @SUZANAMASESA 5 місяців тому

    🎉🎉

  • @irinelucywasilwa3166
    @irinelucywasilwa3166 9 місяців тому +1

    Ni mimi tu kweli😢😢😢😢😢

  • @josephatmwananjela368
    @josephatmwananjela368 5 місяців тому

    kweli kabisa

  • @ShedrackMsafiri
    @ShedrackMsafiri 4 місяці тому

    Is true

  • @LucyFrank-pt6be
    @LucyFrank-pt6be 5 місяців тому

    Ndiyo hata mimi pia

  • @AqulinaGodfrey
    @AqulinaGodfrey 2 місяці тому

    Aseee kabisa ni kweli akuna ulipo kosea

  • @RitaNyaboke-o7e
    @RitaNyaboke-o7e Рік тому +1

    Nimefikiwa

  • @tgvzz3240
    @tgvzz3240 4 місяці тому

    Naked truth

  • @RosetteMaarachi
    @RosetteMaarachi Місяць тому

    Nikweli Kaka ninazo sifa zote mimi

  • @winniekiarie2530
    @winniekiarie2530 Рік тому +1

    Hukweli huo kabisa