Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Huu wimbo ni mzuri na maishairi yake na sikukuu ya mapinduzi ikikaribia. ndio unasikika sana Mimi binafsi naupenda
Hauchoshi
Sana huu wimbo mzuri unakumbusha zamani kiukweli Zanzibar kinara Kwa muziki wa mwambao
Daaaah nakumbuka zaman sana enzi hizo
Naupenda sana wimbo...hongera sana Wakuu wa Mapinduzi 2:09
Naomba uwekwe youtube ule uloimbwa na Kikundi cha Sanaa Zanzibar una tofauti kidogo ya maneno...una maboresho zaidi.
Old is Gold
shukrani sana kutuwekea wimbo huu hakika umebeba udhati wa Zanzibar yetu
Ni wimbo mzuri Sana
Dua twawaombea hakika Wakuu wa Mapinduzi.
Ahsante sana sana sana kwa kuuweka huu wimbo. Naupenda mno
Safiii shkh wangu
Nice song
Wimbo una maneno matamu lakini hayaakisi chochote. Yalikuwa Mavamizi na Mauwaji na sio Mapinduzi. Na hadi leo Zbar imebaki Koloni tu la Tanganyika. Na wote waliodhulumu roho za Wazanzibar watajibu mbele ya Allah siku ileeeeee inakuja.
AhsanteSane
Wimbo muhimu sana lakini umechelewa kuuweka youtube
❤❤❤❤
Nice 👍
Pili mudawote wakupandishwa nakushwa bendera yanchi zipigwe nyimbohizo
Hayatusedi tena zama hizi ya mepita na wakati kwa sasa ni sawasawa na wimbo wa kumuimbia mtoto apapate kulala tu
Itakuwa hata MTU akikusaidia baada wiki huwezi kumshukuru tena manake mda umeshapita

Ahsante
Sane