VISIWANI ZANZIBAR
VISIWANI ZANZIBAR
  • 207
  • 196 810
Makamo Hemed anena mazito kuhusu udhalilishaji Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiahirisha Mkutano wa Kumi na Saba(17) wa Baraza la Kumi (10) la Wawakilishi katika Ukumbi wa Braza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Переглядів: 52

Відео

Waziri Tabia aonya wapigishaji mziki baa na DJ's.
Переглядів 1242 місяці тому
Waziri Tabia aonya wapigishaji mziki baa na DJ's.
Mtuma SMS kwenye kifusi Benedict ameokolewa mda huu
Переглядів 202 місяці тому
Mtuma SMS kwenye kifusi Benedict ameokolewa mda huu
Nilifunikwa na Vifusi kutoka ni rehema za Mungu.
Переглядів 1942 місяці тому
Nilifunikwa na Vifusi kutoka ni rehema za Mungu.
MANUSURA WA GHOROFA LA KARIAKOO LILILOANGUKA
Переглядів 1002 місяці тому
MANUSURA WA GHOROFA LA KARIAKOO LILILOANGUKA
ZANZIBAR YAWEKA RECORD KWENYE BASKETBALL
Переглядів 1343 місяці тому
ZANZIBAR YAWEKA RECORD KWENYE BASKETBALL
Raisi mwinyi ashiriki makachu , aweka alama isiyofutika.
Переглядів 4543 місяці тому
Raisi mwinyi ashiriki makachu , aweka alama isiyofutika.
Kituo kiunganishi cha biashara kusini na mjini
Переглядів 733 місяці тому
Kituo kiunganishi cha biashara kusini na mjini
JUMUIYA YA WAZAZI YAJITOSA KIMALEZI KWENYE JAMII.
Переглядів 113 місяці тому
JUMUIYA YA WAZAZI YAJITOSA KIMALEZI KWENYE JAMII.
CHEKI KATIBU DEBE AMWAGA MAHELA TUMBATU
Переглядів 264 місяці тому
KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA WATU WENYE ULEMAVU ZANZIBAR USSI KHAMIS DEBE AMEWATAKA WAZEE KUWAPA KIPAOMBELE CHA ELIMU WATOTO WENYE ULEMEVU KISIWANI TUMBATU.
HESABU ZA MIPANGO NA MIKAKATI YA NEEMA ZA DR MWINYI MAFUTA NA GESI WAZIRI AWEKA WAZI
Переглядів 524 місяці тому
HESABU ZA MIPANGO NA MIKAKATI YA NEEMA ZA DR MWINYI MAFUTA NA GESI WAZIRI AWEKA WAZI
Waziri Uchumi wa Buluu atangaza neema kwa wawekezaji Mafuta na Gesi.
Переглядів 844 місяці тому
Waziri Uchumi wa Buluu atangaza neema kwa wawekezaji Mafuta na Gesi.
AFISA MDHAMINI W.E.M.A PEMBA ATAKA MAKUBWA KWENYE MCHEZO HUU.@Zinjibartvzanzibar
Переглядів 1204 місяці тому
AFISA MDHAMINI W.E.M.A PEMBA ATAKA MAKUBWA KWENYE MCHEZO HUU.@Zinjibartvzanzibar
ZOP YA KAMILISHA KAMPENI KWA MAFANIKIO
Переглядів 854 місяці тому
ZOP YA KAMILISHA KAMPENI KWA MAFANIKIO
EDI BADRU AUNGAMA KWA MAFUNZO
Переглядів 214 місяці тому
EDI BADRU AUNGAMA KWA MAFUNZO
"LIGI KUU ZANZIBAR NI FATIKI" KOCHA MKUU CHIPKIZI SC
Переглядів 324 місяці тому
"LIGI KUU ZANZIBAR NI FATIKI" KOCHA MKUU CHIPKIZI SC
HAIKUWA RAHISI MULILOTUFIKISHIA ASANTENI KWA MOYO HUU.
Переглядів 394 місяці тому
HAIKUWA RAHISI MULILOTUFIKISHIA ASANTENI KWA MOYO HUU.
WENYE ULEMAVU WAPATA MKOMBOZI
Переглядів 894 місяці тому
WENYE ULEMAVU WAPATA MKOMBOZI
MAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI VTA YAJA NA MPYA 2024
Переглядів 1194 місяці тому
MAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI VTA YAJA NA MPYA 2024
HILI LIWE LENU KUJENGA UMOJA.
Переглядів 415 місяців тому
HILI LIWE LENU KUJENGA UMOJA.
KUELEKEA MCHEZO WA MUEMBE MAKUMBI NA NEW CITY TAMBO HIZI APA.
Переглядів 275 місяців тому
KUELEKEA MCHEZO WA MUEMBE MAKUMBI NA NEW CITY TAMBO HIZI APA.
WALIMU WA SKULI YA MAGUFULI WAPONGEZA KAMPENI YA TEEN 4 TEEN
Переглядів 515 місяців тому
WALIMU WA SKULI YA MAGUFULI WAPONGEZA KAMPENI YA TEEN 4 TEEN
WAZIRI TABIA ATAJA MABADILIKO YA VIWANJA VYA MAU
Переглядів 165 місяців тому
WAZIRI TABIA ATAJA MABADILIKO YA VIWANJA VYA MAU
ICPS WAWEKA REKODI KWENYE MASHINDANO HAYA
Переглядів 105 місяців тому
ICPS WAWEKA REKODI KWENYE MASHINDANO HAYA
MKURUGENZI VTA AWAPAMBA WASHINDI WA MASHINDANO YA VTA
Переглядів 205 місяців тому
MKURUGENZI VTA AWAPAMBA WASHINDI WA MASHINDANO YA VTA
JESHI LA POLISI LATOA TAHADHARI KWA JAMII. KUFUATI UVUMI.
Переглядів 395 місяців тому
JESHI LA POLISI LATOA TAHADHARI KWA JAMII. KUFUATI UVUMI.
MASHINDANO YA VTA MAKUNDUCHI NA INCLUSIVE WALIVYOJIPANGA NA UBINGWA.
Переглядів 335 місяців тому
MASHINDANO YA VTA MAKUNDUCHI NA INCLUSIVE WALIVYOJIPANGA NA UBINGWA.
Katibu mkuu CCM aendelea kuwapigania wananchi kupata mambao ya msingi.
Переглядів 85 місяців тому
Katibu mkuu CCM aendelea kuwapigania wananchi kupata mambao ya msingi.
katibu mkuu WEMA ataja fursa za ujerumani kwa wazanzibari,
Переглядів 775 місяців тому
katibu mkuu WEMA ataja fursa za ujerumani kwa wazanzibari,
WALIMU WA KIKE MAFUNDI WAONESHA UTAYARI KWENYE TAALUMA ZAO.
Переглядів 835 місяців тому
WALIMU WA KIKE MAFUNDI WAONESHA UTAYARI KWENYE TAALUMA ZAO.

КОМЕНТАРІ

  • @TatoIssa-w3q
    @TatoIssa-w3q 10 днів тому

    Mafungwe Hao.mbuzi

  • @TatoIssa-w3q
    @TatoIssa-w3q 10 днів тому

    Safi.sana

  • @EmmanuelPeter-v2s
    @EmmanuelPeter-v2s 27 днів тому

    Ni wimbo mzuri Sana

  • @ahimtymhande
    @ahimtymhande 28 днів тому

    Nimekumbuka mbali sana madrasa yangu siraj muniraaaaaa

  • @IdrisaSharef
    @IdrisaSharef Місяць тому

    Daaaah nakumbuka zaman sana enzi hizo

  • @songombingo108
    @songombingo108 Місяць тому

    Wimbo una maneno matamu lakini hayaakisi chochote. Yalikuwa Mavamizi na Mauwaji na sio Mapinduzi. Na hadi leo Zbar imebaki Koloni tu la Tanganyika. Na wote waliodhulumu roho za Wazanzibar watajibu mbele ya Allah siku ileeeeee inakuja.

  • @allyislam4286
    @allyislam4286 2 місяці тому

    Ipo sehem gani hii school

  • @ZuenaSharifu
    @ZuenaSharifu 2 місяці тому

    Ninachokiona karume hakua nalengo baya ila😂😂😂😂

  • @MaryamSimai-b9f
    @MaryamSimai-b9f 3 місяці тому

    Tuwekeeni na nyumbo ya jamuhuri visiwani ya seif salim

  • @ghullamtv8948
    @ghullamtv8948 3 місяці тому

    KILA LA KHEIR KWAKWELI NCHI IMEPIGA HATUA

  • @zahiribrahim8319
    @zahiribrahim8319 3 місяці тому

    Alhamdulillah Tanzania 🇹🇿 Zanzibar nchi moja tu....❤😂🎉😢😮😅😊

  • @AbdulrahmanAliKhamis
    @AbdulrahmanAliKhamis 4 місяці тому

    Kazi Kwa vitendo

  • @OmanIbri-hj8ss
    @OmanIbri-hj8ss 4 місяці тому

    Hhh maajabu ya dunia haya

  • @ibrahimaboker9086
    @ibrahimaboker9086 4 місяці тому

    Old is Gold

  • @IdrissaAbdalla-j3c
    @IdrissaAbdalla-j3c 5 місяців тому

    Pamoja sanaaaa

  • @scoutpwanimchangani6711
    @scoutpwanimchangani6711 8 місяців тому

    Kwa mujibu wa Sheria zetu mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ndani ya mkoa wake ambao anausimamia. Ila kwenye katiba sijafahamu ni kosa gani mtu anapaswa kuwekwa Mahabusu. Ikiwa kamati imefanya kwa makusudi basi mimi mkuu wa mkoa simlaumu tena awaongezee japo wiki.

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 8 місяців тому

    Harutaki muungano huu wa haramu tunataka tuekewe wazi mambo yote tulio ungana kama nchi mbili huru

  • @AhmedSalum-s9m
    @AhmedSalum-s9m 8 місяців тому

    Hapa ndotulipo uzanchiyetu

  • @jumanjiku163
    @jumanjiku163 8 місяців тому

    Naomba uwekwe youtube ule uloimbwa na Kikundi cha Sanaa Zanzibar una tofauti kidogo ya maneno...una maboresho zaidi.

  • @jumanjiku163
    @jumanjiku163 8 місяців тому

    Naupenda sana wimbo...hongera sana Wakuu wa Mapinduzi 2:09

  • @Omarykalage
    @Omarykalage 9 місяців тому

    I love you zanziba

  • @AbdallaKhalfan-s8g
    @AbdallaKhalfan-s8g 11 місяців тому

    Naomba huu wimmbo mzima kama unapatikana

  • @SALMASEIF-c4p
    @SALMASEIF-c4p 11 місяців тому

    mafunzo mazuri kwa vijana wakileo

  • @gordianngoli6906
    @gordianngoli6906 Рік тому

    😂😂😂 fimbo imetembea kwelikweli

  • @wilbertalfred7388
    @wilbertalfred7388 Рік тому

    Askari wa zenji mko pisi sana wangekua wa bara huku hao wezi wange koma 😂

  • @yasirshee3152
    @yasirshee3152 Рік тому

    Wafungwe maisha kwa usalama raia Wakitoka hao vinyanya watakiona

  • @Sarimuamiriamirisarimu
    @Sarimuamiriamirisarimu Рік тому

    Nice song

  • @Sarimuamiriamirisarimu
    @Sarimuamiriamirisarimu Рік тому

    ❤❤❤❤

  • @makongoronyerere1564
    @makongoronyerere1564 Рік тому

    Police anachapa mtu juu ya difenda, au nimacho yangu

  • @AziziKipande
    @AziziKipande Рік тому

    Nime ipenda hii

  • @deusngowi
    @deusngowi Рік тому

    Dua twawaombea hakika Wakuu wa Mapinduzi.

  • @simbanomsangi4806
    @simbanomsangi4806 Рік тому

    Huu wimbo ni mzuri na maishairi yake na sikukuu ya mapinduzi ikikaribia. ndio unasikika sana Mimi binafsi naupenda

    • @Amina-zs5gf
      @Amina-zs5gf Рік тому

      Hauchoshi

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 Рік тому

      Sana huu wimbo mzuri unakumbusha zamani kiukweli Zanzibar kinara Kwa muziki wa mwambao

  • @HassanMchoro-nh9gv
    @HassanMchoro-nh9gv Рік тому

    Kweli mweshimiwa rais ilo nakunga mkono

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc Рік тому

    Polisi kama hawa wataenda peponi

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 Рік тому

    Nasema sikuzote na stoacha kusema uongozi nihekima nabusara nasio ngumvu

  • @JosephJon-wk6il
    @JosephJon-wk6il Рік тому

    Mama kaganda nambayako nimuhim sana kwawanainchi

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 Рік тому

    Baraa liko Tanganyika

  • @kamagaissa4561
    @kamagaissa4561 Рік тому

    Haahaahaah rahaaaa sanaaa naamia Pemba muda si mrefu

  • @kassimkhamisi794
    @kassimkhamisi794 Рік тому

    😂😂😂😂😂

  • @manstiko5890
    @manstiko5890 Рік тому

    😂😂😂😂

  • @MJRashiid
    @MJRashiid Рік тому

    Polisi wa TZ nimewapenda sana ila hapa +254 🇰🇪 Bora uhai

  • @juliusdominic-uk4bu
    @juliusdominic-uk4bu Рік тому

    hekima ya hari ya juu sana

  • @edwardraymond8643
    @edwardraymond8643 Рік тому

    😂😂😂 Zanzibar Raha sana

  • @nassirfarah3159
    @nassirfarah3159 Рік тому

    Pemba Raha mwizi anakupa nafasi unaenda shtaki kwa baba

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s Рік тому

    Hawa ndio polisi sasa. Sio wa bara wanaua tu

  • @amlikejames646
    @amlikejames646 Рік тому

    😂😂😂😂😂

  • @ramadhanimwinyi-7445
    @ramadhanimwinyi-7445 Рік тому

    kamera man onesha hao watu

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 Рік тому

    anziba polisi hawana shida Ila baraa ni hatari

  • @salimhamad-ms6qo
    @salimhamad-ms6qo Рік тому

    Hamtaki kuonea watu ivi sasa munasuburi 2025

  • @suadbarwani4117
    @suadbarwani4117 Рік тому

    Mbona hali ya wananchi iko chini