Kitaheleweka kabisa Nilazima injili ifike pale ambapo wengine wamehachiya Baba yangu Nilazima wimbo YESU naomba miguu ifike kwa 10M nakuombeya kama mtoto wa Mungu aliye ayi.
Amen...very nyc...niombee ata mimi ni muimbaji mchanga. Nisupport kimaombi plz Mtumishi na wengine nyote niombeeni. Mi ni cecil karush kwa you tube. Natama nifikishe huduma pahali Mungu Anataka.
Kipaji chaos na Bwana yesu akiangalie na kukikuza, maana kwacho watu upokea kuitafakari njia sahihi, nguvu na faraja. Na uzidi kupanuka kwenda viwango na viwango
Is true He is taking the gospel to a higher level. Preach the gospel up to the end of the world Annoint. Blessed you young bro. Way from Namibia every time I listen to your songs. Even feel no one to talk to
Malaika baruwa ninakupa Ninakutuma nenda kamwambiye yesu Yeye ni baba tena kila kitu kwangu Wamechukuwa miguu yangu Yesu naomba miguu Barikiwa sana baba yangu
Praise the LORD everyone Who ever watching this song will it be a portion for you and your blessed family Ebu skiza hii wimbo tena na tena ..there's revelation about you ..you yes you...
kama tuko pamoja kwa haya maombi,nipe like jameni,be blessed amani good music all times
Baba nataka miguu.Nipe miguu mungu
Kitaheleweka kabisa
Nilazima injili ifike pale ambapo wengine wamehachiya
Baba yangu
Nilazima wimbo YESU naomba miguu ifike kwa 10M nakuombeya kama mtoto wa Mungu aliye ayi.
Wimbo zako zote Zina nguvu na faraja
Kak nimebarikiwa sana huu wimbo jamn had machoz yanitoka jaman 😢😢😢😢😢
Amen. Jaman huyu kaka nampenda xana maan nyimbo zake zote zinaguxa xana moyo wang na zinanifundixha xana
Upo vizuri annoint Mungu akuweke na unabii utufikie kupitia nyimbo zako
Mungu akuinue sana nyimbo zako huniinua nkiwa Chini sana
MUNGU WANGU ULIEMBINGUNI NIKUMBUKE NA MM KAMA ULIVYO WAKUMBUKA WATUMISHI WAKO WENGINE. ANNOINT NAKUPENDA SANA MY D,A
Wamechukuwa miguhu yangu
Yesu naomba miguhu
Sinatena musahada
Yesu naomba miguhu baba yangu
Nabaki najihuliza labda nimizimu ya kwetu
Utajiri tuliyo naho...........................................wamezaha namaskini
Watching from Kenya... Annoint Amani nyimbo zako zanibariki..Mungu naomba miguu Ili nisonge
Mzee wa Mshangao nakupongeza Kwa kazi nzuri mtumishi
Mbn huu wimbo inaniumiza😭😭😭😭Yesu nisaidie miguu, asante sn mtumishi Wa Mungu🙏🙏🙏
Wow nyimbo zako tu ndo zimejaa kwa my phone out of 100 zako no 80%
Mungu naomba miguu ili nisonge mbele, maisha yangu imekuwa ya changamoto tangu nikiwa mdogo 😭😭😭😭
😭😭😭mungu niwewe umeruhusu niwe yatima nacokifanya akisongi ruhusu niwe mubarikiwa nani amini 🇧🇮🇧🇮
Good song bwana annoint plz keep it up
Yesu nipe Miguu....What a Beautiful Song? ata mimi nahitaji miguu....Annoint you are Annointed 🙏🙏🙏
Dady una double to double umependeza sana wimbo mzuri sauti nzuri pia suti zako Ni juu fireeeee .by fireeee.like it.
Wacha Mungu akutie nguvu na Hekima unapomtukuza mungu,unazidi kunibariki unapoimba
Keep it up mtumishi wa MUNGU, nyimbo zako ziko na uepo wa MUNGU
Nabii bikemwa Alesha fika CONGO
Asante kwa usikilivu mwema bikemwa yupo Congo kwasasa amefika vizuri
Kaka waniguza saana na huduma yako wimbo huu ni kweli yaani sio utunzi.. Mie Baraka toka Kenya nakupenda
GOD GIVE YOU EVERYTHING THAT YOU need He will answer your prayer
Keep up annoint from Kenya napenda sana muziki wako endlea mungu akulinde
Good message ya mbinguni amen amen
Amen...very nyc...niombee ata mimi ni muimbaji mchanga. Nisupport kimaombi plz Mtumishi na wengine nyote niombeeni. Mi ni cecil karush kwa you tube. Natama nifikishe huduma pahali Mungu Anataka.
Yaani nyimbo za annoint hunibadilisha sana nkisikiliza may god bless you dear brother 🙏🙏🙏
Mungu akubarik
I'am a Muslim but this song aki maneno yake its true
Hii nyimbo naisikiza almost daily three to four tyme. This year lazima Mungu aturegeshee miguu in Mighty name 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
well points.power prayer.good song.all well done bro big up!
Naomba miguu heeeh Yesu wangu
Annoint mungu akubaliki 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Kazi Nzuri Sana Boss Wetu Chapa Kazi Injili ifike Kimataifa Sisi Aea Online Tuko Nyuma Yako Tunakuombea....!!!
Mimi nabarikiwa sana na nyimbo zako
Naomba miguu Bwana niendelee 🙏🙏🙏
Ninataka hatua bwana be blessed 🙏🙏🙏
Mungu akuzidie neema ndugu... Nyimbo zako zatia mtu nguvu
Nyimbo zako ziko na messages poa be blessed with the blood of jesus🙏🏾🙏🏾
Hmm I'm going I'm in Gunn gg
Wow more grace @Annoint
Hii nyimbo ina ufunuo na ujumbe mzito🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kipaji chaos na Bwana yesu akiangalie na kukikuza, maana kwacho watu upokea kuitafakari njia sahihi, nguvu na faraja. Na uzidi kupanuka kwenda viwango na viwango
image nzuri sana kabisa
Apo ulipo baba yangu
Atuwa mbele
Ndugu,naona umerudibkwa mpigo,nngekua na number ya ya simu nngekupigia,hope u r well in Christ Jesus...keep up the song is lit.
Ameeen Hallelujah anoint mtumishi wang
Baba naomba mwendo maadui wamenipunguzia mwendo. Hakika annoit umenikumbusha kitu, hakika bwana akuongezee mwendo uzidi kuhubiri.😮😮😮😮😮
Bado nasikiza wimbo mtamu kumbe imeisha......inanibariki ndugu.....
Good job amani keep the fire burning 🔥🔥🔥🔥,,, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tupo pamoja mtumishi 💪💪
How this man blesses Me 🙏🙏🙏🙏 may God continue uplifting you my brother
Amen mungu akubariki
I love this song ❤️❤️❤️
Mungu azidikuku baliki eti sikuadi sku Amina🙏🙏 ♥️♥️♥️♥️♥️♥️💐 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹
Is true He is taking the gospel to a higher level. Preach the gospel up to the end of the world Annoint. Blessed you young bro. Way from Namibia every time I listen to your songs. Even feel no one to talk to
Anoint amani mtumishi wa mungu umenibariki sana mimi ni paster kutoka kenya ningetaka naba ya simu yako niongee tu na wewe pls🙏🙏🙏
Annoint Amani muimbaji hodari kutoka pale Tanzania 👏 pongezi motomoto kutoka kwa Lizylizy msanii entertainer ❤️❤️kazi njema msanii 🔥🔥
Kweli nahitaji miguu ya Mungu nani nisonge mbele
Wow amen man of God continue to be flourish in Jesus name, very powerful message 😭
Hizi nyimbo zake huwaga nabarikiwa sana na kila siku lazima nizipige
Nimebarikiwa na hii wembo God bless you 🙏
Mungu nipeatuwa hinikwajili yangu Amina 🙏🙏🙏♥️♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Malaika baruwa ninakupa
Ninakutuma nenda kamwambiye yesu
Yeye ni baba tena kila kitu kwangu
Wamechukuwa miguu yangu
Yesu naomba miguu
Barikiwa sana baba yangu
Good message
yesu naomba miguu. Ubarikiwe mtumishi
My brother,,my role model ubarikiwe sana Annoint,,,I can't get enough of this song💔💔💔I watched again and again❤️❤️🙏🙏🙏
These man takes gospel to another level God bless you annoit kenya we lov you
Thankyou God kweli ndivyo ilivyo mungu atusaindie mtu wa mungu
Amen Amen mungu anipe miguu
Kwa kweli ni jitu limekuja Kwa wakati wake
Duuuuuh mungu azidi kukupaka mafuta mabichi yasiyogoshiwa mtumishi uimbaji wako uwe juu zaidi na zaidi
Kakaa just imagine nilisikia nyimbo yako ya raisi ikanigusa Sanaa Kenya tuko pamoja alaf huku bado ndoo home sio
Mmmmm hiyo base👏👏👏👏🙏
Mungu wng na Baba yng Naomba Miguu
so touching, may God bless you for your songs. Imeniguza hadi nikahisi majonzi yanitoka.
Ameen I love you and your songs too from Kenya b blessed Annoint continue spreading gospel
I really love ur music man of God let our sweet Father continue using u and lifting u high Mungu akubariki sana
Your songs have really blessed me
Amen barikiwa aki mungu akuzidishe nguvu 🙏🙏💪
Uko juu bradha...tayari wewe star in Jesus name,zidi kunyenyekea chini yake ili akuinue zaidi.,..umenibariki sana....Kenya twakuskiza
Sitachoka kamwe kusikiliza nyimbo zako nzuri zidi kubarikiwa sana
Ameeeeen yaan mm ata sichoki na hii nyimbo mngu akuzidishe zaadin🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hata mimi Mungu nipe hatua. Nimechoka na maisha ya chini. Mungu akuine Annoint
Nyimbo zaki zanibariki sana .barikiwa sana na mungu aedelee kukuongoza .Kenya twakupenda sana
Napenda huu wimbo sana wacha mungu akupaliki man of God
Praise the LORD everyone
Who ever watching this song will it be a portion for you and your blessed family
Ebu skiza hii wimbo tena na tena ..there's revelation about you ..you yes you...
Emeeen
Aky you sing well God bless you nyibo zako unibariki sana
Hi bro,Your song is Very Blessed . Is very touching in my Heart. God bless you more and more🕊️🕊️🕊️🙏🙏🙏
Amen may Almighty God be with you
Bado naskiza huu wimbo mara kadhaa kwa siku. Barikiwa sana
Ondoa hiyo denge kaka,andiko liko wazi linalozuia,
Haaalleelluuuyaaaa!! Yesu Ni Bwana!
Ameona akujuze kwa ujumbe youtube bikemwa amesha fika déc CONGO
Baba naomba miguu nipige hatua mbele maishani. Wimbo mzuri mnooooo.
Bro Annoint Amani barikiwa sana wimbo mtamu sana endelea kutia moyo na nyimbo . Amazing bro Esther kutoka kisii kenya
Ulie iruhusu ndoa yangu iishe nilejeshee ingine....unae niluhusu niitwe Msanii chini ya manji,niluhusu nikue star.🙏🙏🙏😊
Bikemwa apo congo kwasasa
Amen🙏🙏mungu azidi kuinua huduna yako ,nyimbo zako Zina upako tele
Ruhusu Mungu😭😭😭🙏🙏🙏
Mungu akubariki Kaka, unahimba vizuri sana
Nyimbo nzuri sana 💕💕💕💕
Ujawahi niangusha ,,,,roho mtakatifu na akupe mengi bro,,
Bikemwa amesha fika CONGO
Annoit your songs r so encouraging and blessing to me especially when am down May almighty God continue using you