Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Nenda na Uzima

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2008
  • Praise be to God the most high

КОМЕНТАРІ • 216

  • @JacklineGasper-th3jl
    @JacklineGasper-th3jl 7 місяців тому +16

    2024 Enenda pamoja nawenye hekima nawe utakua mwenye hekima😇🙏

  • @joshuamasele2267
    @joshuamasele2267 4 роки тому +23

    Nani yup na mm 2020 jaman wimbo mzur kwer

  • @omanphone185
    @omanphone185 5 років тому +92

    I'm a Muslim lakin napenda sana njimbo za injili' zimenikaa kwenye moyo wangu kuliko zile za din yangu' mbarikiwe ic changombe

    • @benardmzumala9447
      @benardmzumala9447 5 років тому +1

      Oman Phone amina watumishi kaziiyenu si bure fanyeni Msizini moyo

    • @zabsabu4420
      @zabsabu4420 5 років тому +4

      Neema ya wokovu inakusubiri

    • @bonniemwanzia1417
      @bonniemwanzia1417 5 років тому +2

      @@zabsabu4420 Amen,,Oman atakuja kuokoka na kuhubiri injili kwa mataifa

    • @nyamogafamily4262
      @nyamogafamily4262 4 роки тому +1

      Karibu hata kwangu,maana utaipata kila nyimbo uipendayo,,Karibuni Wasp

    • @NeemaKmussa
      @NeemaKmussa 4 роки тому +2

      Ubarikiwe Mimi pia ni mkiristo hata mimi napenda kusikiliza kaswida sometime

  • @shambosowela9219
    @shambosowela9219 2 місяці тому +2

    My finnest choir till now from my childhood

  • @juliannekinyingi2133
    @juliannekinyingi2133 4 роки тому +4

    Nyimbo zanikumbusha baba yangu. Bado nazisikiliza.Mungu amuweke pema.tutakutana tena

  • @young_brother27
    @young_brother27 3 місяці тому +2

    Huu wimbo unazidi kuchanja mbuga na unapendwa na waislamu karibu wote sijui kwanini🤗🤗
    Mungu awabariki sana

  • @mutalemwagabriel2277
    @mutalemwagabriel2277 4 роки тому +38

    2020 nipo tu ninaangalia huu wimbo, Hadi machozi yananitoka😭😭

  • @jeropkibett6036
    @jeropkibett6036 Рік тому +8

    For the past ten 🔟 years I have been watching this songs it makes me very emotional, God it's my wish that one day I fellowship in AIC Chang'ombe... Lots of love from Kenya. 🇰🇪

  • @juliusnyonyi1565
    @juliusnyonyi1565 5 років тому +15

    Nakumbuka huu wimbo ulipigwa sana Saloon moja ITAJA Singida mara ya kwanza mm kuusikia na kuupenda toka 2010 mpaka sasa 2019 na sitauchoka

  • @lebaijeremiah4540
    @lebaijeremiah4540 3 місяці тому +1

    Mbarikiwe sana,wimbo huu kila mwaka hauchuji nimpya mpya

  • @justerdeus7790
    @justerdeus7790 4 роки тому +13

    Nyimbo inagusa mpaka mifupa😇🙏wangp tunafatilia mpk sasa nymbo za wapendwa wetu walioitwa kikwel kwel mtu anaimba mpk unapokea uponyaji

  • @justerdeus7790
    @justerdeus7790 4 роки тому +32

    Nani yupo na mm 2019 tumeitizama hii video

  • @cyrusmutie7271
    @cyrusmutie7271 4 роки тому +7

    Gives me so strong nostalgic feelings,leaving my heart so heavy. Makes me tearful for no good reason 😥😥.

  • @mabitajunior
    @mabitajunior 2 роки тому +1

    the lyrics,voices and instrumentals you did it well,congratulations to date 2022 we Love you.

  • @junissybunani2458
    @junissybunani2458 17 днів тому

    May God bless you Changombe Choir. Missing you

  • @hottkingdaniel7700
    @hottkingdaniel7700 5 років тому +3

    I'm crazy with this song's, A I c chang'ombe Gusa vol:1 my favorites like nenda na uzima wako,

  • @elizabethshayo1829
    @elizabethshayo1829 5 років тому +7

    Ulitamba sana 2009 nilikuw mdgo...now naangalia2019

  • @mouneeray
    @mouneeray 15 років тому +10

    There are songs that engrave the images of certain performers into popular consciousness as this one does. The tune, the orchestration, especially the bass and solo guitars, the saxophonist, the two soloists, and the stage management: the harmonious sweetness of these steal attention from whatever they are saying. Well conceived and well executed.

    • @sylvanomwaka3180
      @sylvanomwaka3180 6 років тому

      Its worth,all glory ,honour,praise be to God

  • @jackmaritn8941
    @jackmaritn8941 Рік тому +1

    Nawapenda saana mungu tu ndio anajua ninavyopenda nyimbo zenu

  • @juliusnganda5472
    @juliusnganda5472 5 років тому +1

    Siku zote huwa naskiza nyimbo zenu na nabarikiwa sana...Mungu awazidishie na awatie nguvu...siku moja Mungu akinijalia nitaabudu nanyi huko changombe!..

  • @HumanBeing-pj4hm
    @HumanBeing-pj4hm 8 років тому +9

    More than 7 yrs past this wonderful composition and am still on it enjoying!,bless you Chang'ombe

  • @filothea8392
    @filothea8392 Рік тому +1

    My mom used to listen these songs I miss her😭❤️

  • @nyash4435
    @nyash4435 2 роки тому +2

    My all time favourite choir

  • @josephinetibasaga8022
    @josephinetibasaga8022 7 років тому +14

    hii nyimbo zina nibariki sana Mungu wambinguni awabariki

  • @user-wc9zg6hk5s
    @user-wc9zg6hk5s 4 роки тому +1

    Daaa nashukuru kweli huu wimbooo mungu Awabariki sana tena sana

  • @user-xd6zn2bg9n
    @user-xd6zn2bg9n 10 місяців тому +1

    Wabarikiwe sana watu w mungu

  • @nyanyamasomba1533
    @nyanyamasomba1533 3 роки тому +1

    Napenda sana kusikiliza wimbo huu

  • @nestormaasay7547
    @nestormaasay7547 6 років тому +3

    One of my best gospel songs...keep it real

  • @mwinamilapaul352
    @mwinamilapaul352 4 роки тому +1

    God is great!!!!!! Tunyenyekee mbele zake Bwana,tulinde matendo yetu.....

  • @aloysnt
    @aloysnt 15 років тому +2

    Mbalikiwe na amani ya Bwana. Nami pia nime balikiwa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yani sana.

  • @elizabethmwinzi342
    @elizabethmwinzi342 4 роки тому +3

    I love this song so much.....u just a blessing to us

  • @petermudagale8015
    @petermudagale8015 2 роки тому +1

    Inapendeza jamani

  • @geofreymsawila8888
    @geofreymsawila8888 4 роки тому +1

    Watu hawa Mungu kawainua kwa viwango vya juu sana Mungu endelea kuwainua Amen

  • @nthewawabwenzi5329
    @nthewawabwenzi5329 7 років тому +4

    thanks all members of this choire I'm blessed with your song nenda nauzimawako god bless you all

  • @maryjustapeter5430
    @maryjustapeter5430 6 років тому +1

    mbarkiwe watumishi kazi yenu ninjema Mungu awatiyenguvu mwendlee kuhubri injiri ya Bwana

  • @bonnysureolkokolaboy4342
    @bonnysureolkokolaboy4342 4 роки тому +2

    Hawa watu waliotengeneza BT jamn mko vizuri na hiyo brass

  • @aloycempanduji9514
    @aloycempanduji9514 3 роки тому +1

    Nakukubali sana

  • @deuskaballega1910
    @deuskaballega1910 11 місяців тому

    Kongole sana kwanza Mtunzi na pia Waimbaji wote wa Wimbo huu wa Nenda na Uzima wako... Pamoja umeshakuwa wa kitambo kirefu lakini bado uko vizuri sana. Sifa na Utukufu kwa walio na mapenzi mema--Amen

  • @kervinkopwe4779
    @kervinkopwe4779 5 років тому +1

    Barikiwa sana wapendwa mmefanya kazi yabwana ipasavyo

  • @tuliakiholo2693
    @tuliakiholo2693 3 роки тому +1

    Amen amen

  • @abeddisilas620
    @abeddisilas620 4 роки тому +1

    Good song, reminds me when I was in marabit Kenya 2007

  • @winnieoctaviah7545
    @winnieoctaviah7545 5 років тому +2

    nice song,, mmbarikiwe sana

  • @bethsaida121
    @bethsaida121 4 роки тому +1

    Mungu awatende mema

  • @zakayomahindisimon4414
    @zakayomahindisimon4414 Рік тому +1

    Linda matendo yako na uzima wako ili ufike mbinguni. 💕💕💕

  • @user-ej1zz4yn5w
    @user-ej1zz4yn5w 3 місяці тому

    Kipindi hicho tunaenda kuangalia movie,nyimbo hii ilikuwa kiitikio cha treller,nakumbuka

  • @tusemwandambo6747
    @tusemwandambo6747 5 років тому +3

    ahsante sana kwa huduma nzuri

  • @samuelmutombo7997
    @samuelmutombo7997 4 роки тому +1

    Depuis les USA. God bless you

  • @estermpemba9295
    @estermpemba9295 4 роки тому +2

    Nabarikiwa na nyimbo zenu

  • @annetpeter7242
    @annetpeter7242 5 років тому +1

    Nawapenda sana nyie watu mungu awabariki sana

  • @ezekielkioko1572
    @ezekielkioko1572 5 років тому +2

    choir songs are always the best. mbarikiweni sana for this

  • @gladnesskweka9468
    @gladnesskweka9468 4 роки тому +1

    Acha niende na uzima wangu

  • @adammsuya9716
    @adammsuya9716 5 років тому +1

    Kwaya nzuri sana

  • @rogerskabaka3696
    @rogerskabaka3696 4 роки тому +1

    am pst rogers kabaka from nairobi kenya with christ redeemer gospel worship ministries church i like your songs it has good and true messages thankyou

  • @uhilekatema4535
    @uhilekatema4535 5 років тому +3

    Hakika nimebarikiwa sana na hii nyimbo

  • @user-wq5vf3rq7o
    @user-wq5vf3rq7o 10 місяців тому

    Nakushukuru Mungu kwakuwa na Mimi Hadi 2023 na sasa tunakalibia Christmas nilinde na kuniongoza katika kila jambo

  • @elizabethbokepeter5699
    @elizabethbokepeter5699 5 років тому +2

    All songs are good for me waaaaooo be blessed

  • @evelyne5580
    @evelyne5580 Рік тому +1

    My favourite choir

  • @stephenngugi7741
    @stephenngugi7741 8 років тому +5

    may the name of God be grolified always

  • @rayzersaid2611
    @rayzersaid2611 7 років тому +9

    usidanganyike ukageuza mwenendo wako ndugu

  • @edwinamenya5417
    @edwinamenya5417 5 років тому +1

    best song wapendwa. luv it all tru'

  • @finnastive165
    @finnastive165 21 день тому +1

    2024 gonga like hapa

  • @georgejoshua3524
    @georgejoshua3524 2 роки тому +1

    June 2022...I feel blessed

  • @roseurio1876
    @roseurio1876 7 років тому +5

    Apao nilazima waachee kutenda dhambi, nenda na uzma wako wala udhubutu kutenda dhambi

  • @rozinakomba2911
    @rozinakomba2911 5 років тому

    Mungu awabariki sana kwa nyimbo zenye ujumbe mzuri ktk maisha yetu ya hp duniani Amina

  • @njillihotz2785
    @njillihotz2785 3 роки тому

    Nani yupo namm 2021 tukiangalia ujumbe mzur hapa

  • @gracebuhatwa6359
    @gracebuhatwa6359 Місяць тому

    Namwona mama yangu Martha mwakatobe

  • @saramapenzi
    @saramapenzi 14 років тому +2

    ayayayayayaya! wah! mbarikiwe sana,sauti zenu zimejipanga vizuri sana.

  • @elizabetjmillel3351
    @elizabetjmillel3351 7 років тому +4

    mbarikiweee sana wimbo mzr

  • @mizunguful
    @mizunguful 15 років тому +2

    I am so much humble to say thank you to this choir. This is Marvellous. Am so much touched with the message. It gives me a lot hope in life.

  • @julietakinyi4231
    @julietakinyi4231 10 років тому +2

    May God bless you all. Your songs encourage me very much. Stay blessed. Thanx much

  • @josephmuyonga744
    @josephmuyonga744 4 роки тому +1

    Nice choir i love it

  • @user-rn9lk1ck7m
    @user-rn9lk1ck7m 8 місяців тому

    Iam in ltk kenya

  • @isaacmutungakatua7329
    @isaacmutungakatua7329 Рік тому

    2023 still AIC changombe ,their song don't become old

  • @martinsirma6033
    @martinsirma6033 7 років тому +3

    Mungu ashukuriwe kwa ajili yenu

  • @josephmichael2225
    @josephmichael2225 7 років тому +28

    alie piga tarumbeta anastahili zawadi sio mchezo balikiwa sana wapendwa

  • @aloycempanduji9514
    @aloycempanduji9514 3 роки тому

    Zinanikumbusha marehemu mama yangu alipenda sana kisikiliza hii kwaya changombe

  • @barakamjuba7893
    @barakamjuba7893 Рік тому

    Ujumbe mzuli Sana

  • @jacobdavid8269
    @jacobdavid8269 5 років тому

    wimbohuu unanifundisha kusamehee nendanauzima mngu awabaliki waimbaji

  • @lilianelias5468
    @lilianelias5468 5 років тому +2

    Nafurahi sana kusikiliza hizi nyimbo

  • @lawrencedite9181
    @lawrencedite9181 8 років тому +2

    BE blessed guys.Continue with the mission in jesus name.

  • @kagiyehekazuba1449
    @kagiyehekazuba1449 7 років тому +2

    nmebarikiwa !!!@nenda na uzima wako

  • @fridahkawira3832
    @fridahkawira3832 7 років тому +5

    nice song

  • @syliviamgeta8131
    @syliviamgeta8131 3 роки тому

    Jaman 🙆 mwaaaa!❤️❤️❤️❤️

  • @user-dr6gl4dq7v
    @user-dr6gl4dq7v 4 місяці тому

    Napenda

  • @manjaruujr6504
    @manjaruujr6504 6 років тому +5

    NASEMAAAAAA

  • @otienodesmus4138
    @otienodesmus4138 7 років тому +2

    what can say? May Jehovah God bless you all choir members.

  • @ephraimandrew8649
    @ephraimandrew8649 4 роки тому

    2020 tuko wangap jaman

  • @giftnachilima
    @giftnachilima Рік тому

    This is 2023 still watching this song

  • @paulmakono8012
    @paulmakono8012 6 років тому

    Barikiweni sn wapendwa! Nabarikiwa sana ninapoziskiliza Albam zenu. Songeni mbele

  • @velejilyomhongole1641
    @velejilyomhongole1641 2 роки тому

    2022 Bado nipo naenda na Uzima wangu

  • @gilbertmcopal8798
    @gilbertmcopal8798 7 років тому +4

    Be blessed all the Changombe choir members

  • @margaretmuranga1362
    @margaretmuranga1362 6 років тому +1

    Very good song

  • @fredrickmdikullah2527
    @fredrickmdikullah2527 7 років тому +2

    AIC Chang'ombe ni waimbaji mnao nibariki xana, Mungu awabariki -amen!

  • @emilynaswa7365
    @emilynaswa7365 4 роки тому +1

    I love singing its wonderful

  • @ednahable
    @ednahable 13 років тому +3

    May our Good Lord be praised today, tomorrow and forever. Amen.

  • @mamyeduine3676
    @mamyeduine3676 3 роки тому +1

    Nawapenda sana

  • @catherinfabiani5265
    @catherinfabiani5265 4 роки тому +1

    Dah inanikumbusha kipind nasoma 2010 mpk Leo 2019

  • @robertomartino6388
    @robertomartino6388 Рік тому

    Mbarikiwe

  • @rayjay7017
    @rayjay7017 5 років тому +3

    Tamu Sana kutoka 254

  • @athanaschannel6391
    @athanaschannel6391 Рік тому

    safi sana