S2KIZZY AMJIBU MASTER JAY "MIMI SIO CHAWA,DIAMOND ANANILIPA ZAIDI NIKIENDA KWAKE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 76

  • @travellingandadventures2549
    @travellingandadventures2549 3 роки тому +11

    S2kz kaa kimya usimjibu.. Lazima waelewe swala la muda ma mabadiliko.. Your still young...upo na muda wa kumake it hayo majumba utayapata tu.. Take t as a challenge.. Acha kumjibu jibu kila media.

  • @kiatu
    @kiatu 3 роки тому +2

    Ni kweli hizo handout toka kwa wasanii zinawapa uwezo wa kumiliki hiki na kile bali alichomanisha MJ ni kwamba producers wako “more worthy or worthier than what they are now” kama wangeungana chini chama chao loyalties kutoka katika kila stream ya kazi zao. Kuanzia mechanical, performance, sync etc. Tunajua wengi walikoanzia kwa hiyo labda wanachopata sasa ni overwhelming. But wanastahili zaidi, zaidi ya “artists”.

  • @stn4873
    @stn4873 3 роки тому +5

    People are just jealousy....Everyone has his own way to do his/her work PERIOD.

  • @jeremihraphael3259
    @jeremihraphael3259 3 роки тому +19

    Jamaa anakili na amejibu VIZURI SAAAAAANA

  • @fredysanga8154
    @fredysanga8154 3 роки тому +2

    Dogo anaakili sana..kajibu Kwa akili vibaya mno...big up kwake

  • @joackimmutulu
    @joackimmutulu Рік тому

    Best producer in east and central Africa

  • @stevenjonas8269
    @stevenjonas8269 3 роки тому +12

    Well talk bro 🙌🙌🙌

  • @kenedymselu8209
    @kenedymselu8209 3 роки тому

    Oioi nakubari sana kazi zako aesee unajua sana jembe BC mwendo wakukaza tuu adibac

  • @salumluzila680gmail.comluz4
    @salumluzila680gmail.comluz4 3 роки тому +9

    Zombie 🇹🇿🇹🇿tunaomba amapiano mix brother

  • @mcpaulmkopa4798
    @mcpaulmkopa4798 3 роки тому +5

    Huyu mwandishi sijawahi kuona akiuliza Maswali ya msingi, amekuwa Kama anaendesha kipindi cha umbea Cha kina soudy brown.... ndio maana anajifunika kitambaa tusimjue

  • @HamisiMtityo
    @HamisiMtityo 2 роки тому

    1 year later, it has proven he was actually Producer Chawa. Ukiambiwa na wakongwe sikiza. hahaha its like alikosa grant ya sony music (USD 75,000 for he has no copyright to anything he has done.

  • @troubleboy2590
    @troubleboy2590 3 роки тому +6

    He sayin the truth

  • @MikiGermany210
    @MikiGermany210 3 роки тому +6

    Piga kazi, master kashazeeka

  • @kipsjr3664
    @kipsjr3664 3 роки тому +5

    kwa iyo laiza amekua producer wa zuchu 🤣🤣🤣

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 3 роки тому

    Well answered

  • @kbclassicbeat
    @kbclassicbeat 3 роки тому +7

  • @RuzoOwzy
    @RuzoOwzy 3 роки тому

    Master Jay, alisema anamuheshimu s2kizzy na wala hakummaanisha yeye. Waandishi wanataka iwe hivyo, coz ndio story itauza na sisi kuendelea kuiongelea km hivi.

  • @festongoy5067
    @festongoy5067 3 роки тому

    Umejibu kistaarabu kinoma noma showrout brow

  • @ezekielmbazi.8687
    @ezekielmbazi.8687 3 роки тому

    Yeye master Jay akubali tuu wakati wake umepita mda ni kitu kingine. Hawez tena kurud iyoo ishapita

  • @zerochanneltanzania3797
    @zerochanneltanzania3797 3 роки тому

    S2kiz kaelewa alipo sema "wanatuelimisha" na "kutupa challenge"

  • @mohammedikitambulio2621
    @mohammedikitambulio2621 3 роки тому +5

    We Chawa Tu Kuma We

  • @saidishebuge4796
    @saidishebuge4796 3 роки тому

    Akili kubwa Bro achana nao hao zama zao zimepita hawana jipya

  • @designeridrisa6079
    @designeridrisa6079 3 роки тому +2

    S to the Key's 🌺🌺🌺❤️❤️

  • @simonpaulokosiando4484
    @simonpaulokosiando4484 3 роки тому +4

    Nini tofauti ya mipango na plain?

    • @djdondullah8215
      @djdondullah8215 3 роки тому +3

      Plan sio plain, naam plan na mipango tofauti yake ni lugha tu, ni maneno ya lugha ya kiswahili na kiengereza yenye maana moja,
      "Plain" sasa kama ulivyoandika inamaanisha wazi, au tupu, mfano mtu akikwambia nilivaa tisheti ya white plain, ina maana alivaa t-shirt isiokua na rangi yoyote ile isipokua nyeupe, Plain yenyewe inatamkwa ple-i-in

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 3 роки тому +1

      @@djdondullah8215 👍👍👍👍 darasa zuri

    • @djdondullah8215
      @djdondullah8215 3 роки тому +1

      @@RuzoOwzy Safi sana bro ,

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 3 роки тому +4

    Sasa hiyo glasi ndio nini bro?

  • @mariamdimosso621
    @mariamdimosso621 3 роки тому +2

    KHA KASHIKAJE GLAS

  • @HammadSalumu
    @HammadSalumu Рік тому

    Akuna Cha ukubwa ,uyo anatafuta kk ,amesha ishiwa mchongo njaa hahaha

  • @dekayoadrinizer9173
    @dekayoadrinizer9173 3 роки тому +1

    S2kizzy ni zombie 2

  • @hassaniboy1287
    @hassaniboy1287 3 роки тому +4

    Chawa

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 роки тому +4

    Thaudhafrika ndio wapi ss

  • @africano98.
    @africano98. 3 роки тому +4

    Iyo sauthi Africa anavyoitaja 😂😂😂😂

    • @gracemamuu5937
      @gracemamuu5937 3 роки тому

      Kama Mpare kabisa🤣🤣

    • @dnashkibamba51
      @dnashkibamba51 3 роки тому

      Nawewe ulivoiandika duh,,siyo sauthi Ni south Africa

  • @issaclassictz2959
    @issaclassictz2959 3 роки тому

    Kaz iendeleee

  • @fadhiliaswa5063
    @fadhiliaswa5063 3 роки тому +1

    Zombiiiii

    • @taufiqkimpa904
      @taufiqkimpa904 3 роки тому

      Master j aendeleee na magumash Yao ya bongostarsarch

  • @farajamusic7621
    @farajamusic7621 3 роки тому

    Naamini

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 3 роки тому +3

    genius

  • @web2.095
    @web2.095 3 роки тому +2

    S2kizzy ana kithembee

  • @nellymatalanga5033
    @nellymatalanga5033 3 роки тому

    Media mnapenda kugombanisha watu sana get the facts right kwanza.plus he's right most artist wana watumia tu n not paying you guys what u deserve. Invest guys invest dah kelele tu .hampendi ukweli . hapendi kukoaolewa,learning 🙄🙄🤔

  • @ramakimolo125
    @ramakimolo125 3 роки тому +1

    toka+255 zombie👺unaumiza sana kwenye amapiano

  • @amidushaban8081
    @amidushaban8081 3 роки тому +2

    I hope he pays you bro 😎 cause I see you can’t even pay you rent

  • @mzeewamjegeje
    @mzeewamjegeje 3 роки тому +3

    HIYO NI ROO MBAYA HATA DIAMOND MWENYEWE HATOPENDA KWA KUJUA HUJUMA ZENU

  • @bornifacecharles9555
    @bornifacecharles9555 3 роки тому +4

    Una kunywa unatafunwa bigjii

    • @moneytv524
      @moneytv524 3 роки тому

      Hhhhhhhhh🤣🤣🤣🤣🤣🙌

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 роки тому +1

    We chawa 2

  • @marcosjorge1724
    @marcosjorge1724 3 роки тому

    Chawa tu

  • @djmackmovies.
    @djmackmovies. 3 роки тому

    😁😁

  • @focusedsinner1625
    @focusedsinner1625 3 роки тому +2

    Stukizi the worst producer❗❗❗ Glorified Gibberish🚮🚮🚮🚮

  • @pierreoriva4131
    @pierreoriva4131 3 роки тому +2

    Point ya master Jay malipo yenu ya wimbo ni Mdogo ukilinganisha na ya video kubwa ,why isiwe angalau kukalibia malipo ya kideo

    • @focusedsinner1625
      @focusedsinner1625 3 роки тому +1

      Kwani maproducer ndo wanatoa video?

    • @dr.ayoubmsalilwa2738
      @dr.ayoubmsalilwa2738 3 роки тому +1

      Upo sahihi... kwa dunia ya sasa lazima producer awe na percentage kwenye Mauzo ya wimbo mana ile beat ni creative knowledge yake...
      Analipwa wakati wa kutengeneza na wakati mziki ukiuza mfano UA-cam, Itune n.k.
      Master J hakuwaponda maproducer ila ameweka challenge na kuwaonesha jicho la pili ili wakomae zaid na walipwe zaid....

  • @leonardgodliver9043
    @leonardgodliver9043 3 роки тому

    MASTER J UPRODUCER UMEMSHINDA KABAKI KUPIGA VIJEMBE

  • @idontknowwhoami3066
    @idontknowwhoami3066 3 роки тому +4

    Huyu jamaa ni chawa ndio

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 3 роки тому +2

    Alipe kodi basi

  • @rogersfredrick9715
    @rogersfredrick9715 3 роки тому +1

    Noooomaaaaa