SIKU NA WAKATI HUU UKIOMBA DUA ALLAH ANAKUBALI MOJA KWA MOJA// SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 15

  • @bakarhamadhassan4484
    @bakarhamadhassan4484 Рік тому

    ALLAHSWT AKUPE KILA LA KHERI ZA DUNIA NA AKHERA UHAI NA UZIMA AKUPE TAWFIQ UENDELEE KUTUS9MESHA .
    INSHAALLAH.

  • @JumaChuma-s4p
    @JumaChuma-s4p Рік тому

    Maasha Allah, jazzakum-llah khayra

  • @zuhoor-mc7hq
    @zuhoor-mc7hq Рік тому

    masha Allah tabarakallah jazakumllahu khayra ❤❤❤
    Mola atufanyie wepx tuweze tekeleza hvy ❤❤

  • @salmsalmo931
    @salmsalmo931 Рік тому

    Mashallah kwa ukumbusho

  • @hamidaviolet8710
    @hamidaviolet8710 Рік тому +1

    Alhamdulillah. Nauliza kwa wanawake ambao si lazima kwenda masjid nao wakiomba jambo wakiwa majumbani pia wamo kwa watakao jibiwa.

    • @jumasuhaila2538
      @jumasuhaila2538 8 місяців тому

      Ndio Dua ya mja wowote inakubaliwa na Allah akiwa msikitini na hata asiwe msikitini. Tudhikirishe kuomba na kumchaa Allah popote tulipo.

  • @umhanadi6828
    @umhanadi6828 Рік тому +1

    Mashaallah Mashaallah tabarak rahman shekhe mwenyezimungu atakulipa inshaallah yarab shukran

  • @salmamfaume1073
    @salmamfaume1073 Рік тому

    MashaAllah Nakupenda Allah akuongoze kwenye kher

  • @salassalas-eo6vo
    @salassalas-eo6vo Рік тому

    Masha Allah Allah akujaalie iwe mawaidha yako iwe sadakatuljaaria yako yarab akupe na umri mrefu in sha Allah

  • @FahadElhadady-po4tv
    @FahadElhadady-po4tv Рік тому

    Shukran

  • @rizikia6765
    @rizikia6765 Рік тому

    Mashallah

  • @MesalimRashid
    @MesalimRashid Рік тому

    Ma Sha Allah.

  • @ZyidSeleman
    @ZyidSeleman Рік тому

    Safa maalim

  • @hajimlenge76
    @hajimlenge76 Рік тому

    3

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc Рік тому

    Tuwaombee waparestina awaepushe na kikombe hiki cha mateso kumbe tuna siku ya uhakika kupokelewa Sala zetu Sasa tunakwama wapi VT viko wazi? Jamani