LIVE: MAGUFULI AMUITA JOSHUA NASSARI AMUAHIDI KAZI "EBU NJOO UWAOMBEE KURA WENZAKO, NITAKUPA KAZI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 373

  • @lucymashamba1571
    @lucymashamba1571 4 роки тому +30

    Mungu akutunze mh Rais Magufuli wetu, kuizungukia nchi nzima si kazi ndogo

    • @esteredward6980
      @esteredward6980 4 роки тому +4

      Baba umemaliza

    • @esteredward6980
      @esteredward6980 4 роки тому +4

      Ww ni zaidi ya rais

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 4 роки тому +5

      Wenzetu upande wa pili wakisha kuzunguka mikoa miwili mitatu wakirushwa kwenye UA-cam wanajiona tayari..... WASUBIRI KIPIGO CHA KURA ZA KUMWAGIKA KWA CCM CHAMA CHENYE KUJITAMBUA NA MIPANGO.... ANGALIA KILA KONA WAMEFIKA NA KILA KUNA WAMEPELEKA MTU MUHIMU KUNA KONA YUPO SAMIA, KWENGINE MAJALIWA...PINDA....NDUGAI....LOWASA.... MANGULA...KIKWETE,PINDA,SAMIA,MAJALIWA,MANGULA,NDUGAI..HUKU AKIJA HUKU YULE ANAKWENDA KULE YAANI MPAKA UNAONA HAWA JAMAA WAMEJIPANGA KIASI GANI....ILA HUWEZI KULIONA HILI IKIWA MTU WA KUKURUPUKA NA MITANDAO.... TAYARI CCM WAMEMALIZA KAZI.......... TUSUBIRI TU KURA ZA KISHINDO.......

    • @lucymashamba1571
      @lucymashamba1571 4 роки тому +2

      @@esteredward6980 baba kamaliza, acha tuwatazame wapiga kelele darasani

    • @lucymashamba1571
      @lucymashamba1571 4 роки тому +3

      @@esteredward6980 Mungu ametupa anaekula jioni baada yakutafutia watoto wake riziki, hatuna budi kumsapoti

  • @adammakoye4198
    @adammakoye4198 4 роки тому +40

    Nassari mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aiseee !!!

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 роки тому +36

    SAFI SANA MAGUFULI ✔️✔️28

  • @amanmbaga8676
    @amanmbaga8676 4 роки тому +2

    sema Mzee mtayo same hatumtaki tuna mtaka kairuki mama yetu anjela kairuki asante baba magufuli.

    • @HASASON
      @HASASON 4 роки тому

      Dah huyo mzee toka nasoma same FDC nikiwa mtoto mdogo mpaka leo mtu mzima bado yupo tu 😁😁😁

  • @faustinaurio3703
    @faustinaurio3703 4 роки тому +23

    Safi sana Nasari

  • @Special4uTV
    @Special4uTV 4 роки тому +17

    Nakubali Tanzania

  • @gloryulomi5495
    @gloryulomi5495 4 роки тому +17

    Magufuli miaka mitano tenaaaa......👍

  • @vincentdanny7267
    @vincentdanny7267 4 роки тому +15

    Wow!!! Nice sana mweshimiwa Raisi wa jamhuri ya Tanzania Dr John pombe Joseph magufuli

    • @robosia2915
      @robosia2915 4 роки тому

      MAGUFULI ndiyo baba. Hoyeeeee.

  • @mossymtwana6422
    @mossymtwana6422 4 роки тому +26

    Nyie yoote mnaopinga huyu ndani angalieni like mtapata jibu MGufuli anashinda

    • @EngJosh
      @EngJosh 4 роки тому

      Tumeweka likes ili kuhifadh kumbukmb tukitak ku search tupate kwa urahis

    • @bernardmkama4057
      @bernardmkama4057 4 роки тому

      Shashinda njaa au,km NI uchaguz NI kwa kubebwa maana Kuanzia tume,Jeshi la polic na wakuu wte wa uchaguz kawateua yeye Sasa kwnn asishinde,ila Kila kitu kina mwisho ucione Mungu yuko kmya

    • @hamisimussa2228
      @hamisimussa2228 4 роки тому

      @@bernardmkama4057 wewe akili yako lisu anaweza Malinda magu kwa kujaza ujui hta takwimu wale anajaza lisu robo ndio watakaompigia kura ila magu wote lisu sio kama lowasa uwezi ishinda ccm ikiwa haina makando chukua hiyo lisu hkipata12 asilimia haiwezi tokea ccm wanatafuta ushindi wa kishindo na Mungu unayemsema wewe yeye mawazo yake sio yako Mungu ameibariki ccm na sio cdm Kama hkitaka Hta ccm angeifuta

  • @mankialema6490
    @mankialema6490 4 роки тому

    Safi sana Nasari,aombae.msamaha kusamehewa
    Bravo Nasari

  • @allyflavour8005
    @allyflavour8005 4 роки тому

    Uko sawa kabisaa maana maendeleo aliyo fanya huyu baba nimakubwa Sana dogo umefika pahala sahihi elimu kubwa sana

  • @mkemiamagege8477
    @mkemiamagege8477 4 роки тому +1

    Mwanasiasa ukimpa kuongea bwana , Dah! Anaweza kutelemka na MIC chini. Ona mzuka wa Nassar jukuwani.
    Hongera sana NASSAR KWA KUFANYA MAAMUZI MAKUBWA KWA KUTETEA MAENDELEO YA WATU WA ARUMELU

  • @hakitv4717
    @hakitv4717 4 роки тому +29

    Vijana vijana Tanzania! Eeee vijana! ....Alivyo smart halafu yuko ndani ya chama Hiyo ni OG

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 4 роки тому +17

    Ukiwa na akali sahihi utasimama mahala sahihi Magufuli ni mtu sahihi kwa kipindi sahihi Cha maendeleo sahihi

  • @gloriakiria6096
    @gloriakiria6096 4 роки тому +1

    Safiii sana kaka vizuri

  • @mussajuma1736
    @mussajuma1736 4 роки тому

    Hongela sana rais wetu kipenzi magufuri.

  • @raymondkaswaga8334
    @raymondkaswaga8334 4 роки тому

    Safi sana Mhe Rais wamembeza sana huyu mtu mpe kazi tu boss mpe wizara na mimi nipe unaibu uwaziri tu nifanye naye kazi namuelewa sana

  • @dorcasseruhere6875
    @dorcasseruhere6875 4 роки тому +37

    Nasari una Akilii.Magufuli juu Mungu amekuchagua na miminakuombea wewe ni Rais wetu

  • @oscarbaltzar1645
    @oscarbaltzar1645 4 роки тому +12

    kama haujamwelewa Joshua hautaelewa maisha yako yote.Joshua oeeeeeeee

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 роки тому +20

    SAFI SANA... KAONA MBALI.

  • @johnmagwila3002
    @johnmagwila3002 4 роки тому +1

    Ninalia machozi kwa ajili ya Raisi wangu John Pombe Joseph Magufuri kwa jinsi ulivyo mwema kwa Watanzania ,kijana Nasari ameongea ukweli na ndivyo ulivyotufanyia Watanzania kila mahari kutuheshimisha dunia nzima.Kweli Viva Magufuri viva,hakika wanyonge umetutendea haki kwa kutuletea maendeleo kila mahali umeweka miundo mbinu mbalimbali na huna ubaguzi,kwakweli kwa hilo tunakupongeza.Watanzania tunaendelea kuhamasishana ili tukuchague kwa kishindo,kila ninapo kutana na Watanzania nawahamasisha ili wakuchague ili ukamilishe kipindi hiki cha pili cha awamu ya tank.Mungu aweke baraka zake kwako ili upate kibali cha kutuongoza sisi na kutupa maendeleo makubwa zaidi ya uliyoyafanya,wewe ukisema unamaanisha na ni mkweli maana kila ulilolisema na kuahidi umetekeleza na zaidi mengine yamezidi.Naiona Tanzania ya neema kupitia wewe jembe letu na hatutaacha kukuita jiwe maana hutikisiki na hutikiswi na mtu kazi mbele kwa mbele.Watanzania tarehe 28/10/2020 tumchague ndugu John Pombe Joseph Magufuri.Mungu mlinde na damu ya yesu imfunike mzee wetu AMENI.

  • @naftaliwilliam514
    @naftaliwilliam514 4 роки тому +17

    Wabelgi mpooooo Magufuli baba loooo

  • @salmaayub61
    @salmaayub61 4 роки тому

    RAISI MAGUFULI NAKUOMBA MPE NASARI UBUNGE KISHA WAZIRI ANAKUFAA SANA KUWA WAZIRI MAANA ANABUSARA SANA PLS NAKUOMBA SANA RAISI WANGU

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 4 роки тому +3

    Nimeipenda sana hii hahaha😂😂😂lazima wataisoma namba mh.Magufuli ni no.1

  • @zuberimbaruku3356
    @zuberimbaruku3356 4 роки тому +24

    Nimependezwa sana na hili ccm hoyee

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 4 роки тому

    Kazi kazi hongera kijana kwa kujitambua

  • @lovinomwamtambulo6629
    @lovinomwamtambulo6629 4 роки тому +11

    Hadi machozi yamenitoka kwa Huyu Kiongozi Nasari Hakika ww ni Jembe Elimu kubwa sana hiyo

  • @naomybenedict5855
    @naomybenedict5855 4 роки тому

    Nakupenda baba angu Magufuli nakuombea baba ili Mungu akulinde

  • @joshualaitei6275
    @joshualaitei6275 4 роки тому +10

    Omba MUNGU usiku na mchana Mr NASARRY Maana akipita tu wew umepata kazi
    Unaweza kuwa mkuu wa mkoa yoyote

  • @abdifarah1152
    @abdifarah1152 4 роки тому

    Hongera brother nassary,nimekuelewa sana .

  • @munajafu3080
    @munajafu3080 4 роки тому +12

    Big up brother

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 4 роки тому +18

    Uguwa pole baba etu magufuli

    • @bibletv9818
      @bibletv9818 4 роки тому +7

      Haumwi, sauti Imeisha kwa kutafuta nafasi ya kututafutia maisha bora

    • @gwanman1858
      @gwanman1858 4 роки тому +1

      @@bibletv9818 🤣🤣🤣🤣et maisha bora,anaumwa 🩸 zinamlilia

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 роки тому +1

      @@gwanman1858 wewe jinga sana

    • @gwanman1858
      @gwanman1858 4 роки тому +1

      @@J4UPro Ahsante sana

    • @danilobabajr6584
      @danilobabajr6584 4 роки тому

      Cheo bana ujinga sana yani

  • @ponciopaul4405
    @ponciopaul4405 4 роки тому +18

    Uko vzr nasar unaongea points

    • @veronicaphilip4230
      @veronicaphilip4230 4 роки тому +2

      Yuko vizuri wapi njaa inamsumbua ,anajua kabisa asiporap kazi hana maana ubunge ndo kashaupoteza

    • @barakaathanas4030
      @barakaathanas4030 4 роки тому

      Anasimama ili apewe kazi...anaongea kirugha ili waone yuko pamoja nao...kavaa ccm kisa aliteswa na kunyimwa fursa alipokuwa upinzani.....anajivunia kusomeshwa na mabeberu....nimechoka sana

  • @hegatz2263
    @hegatz2263 4 роки тому +31

    Tim nassari Tim magu wote mikono juu 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️ kwa umoja wenu naomba mnisaidie kusubscribe account yangu ya youtube kwa kugusa picha yangu Apo juu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 new project coming soon

  • @Calmsam
    @Calmsam 4 роки тому +5

    Hata mm nilisapoti sn Chadema hadi kura niliwahi wapigia kipindi cha ufisadi na ubadhirifu. Ila Magufuli matendo yake yanaongea yenyewe, machale kundesa 😂Mitano tena 🖐️ 🇹🇿

  • @bakarimlagilo5060
    @bakarimlagilo5060 4 роки тому +35

    Kumbe una akili Nassary

    • @streetview3045
      @streetview3045 4 роки тому +1

      akili gan aliyo nayo huyo mnafiki tu yupo kwaajili ya tumbo lake

    • @devidpanja115
      @devidpanja115 4 роки тому +2

      Ana akil sn amejitambua

  • @kundaelynassary449
    @kundaelynassary449 4 роки тому +12

    Good brother.......2ko nyuma yako

    • @hamidmohamed7806
      @hamidmohamed7806 4 роки тому

      Hana ishu labda huko kwenu Bara

    • @hamidmohamed7806
      @hamidmohamed7806 4 роки тому

      @@barakangobile8870 labda huko kwenu Bara lakini ishu hana

    • @hamidmohamed7806
      @hamidmohamed7806 4 роки тому

      @@barakangobile8870 labda uko Bara lakini sio Zenj

  • @kibotheexplorer1
    @kibotheexplorer1 4 роки тому +3

    Kijana mmoja genius sana 👊

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 4 роки тому

    Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.

  • @kissarungereuwalemuuya1715
    @kissarungereuwalemuuya1715 4 роки тому

    Tunakupenda sana sana Mh, Rais wetu John Magufuli na tunakuombea kwa Mungu wetu uzidi kutuongoza katika Taifa Letu la Tanzania.
    Magufuli oyeeeeeeeee,,
    Ccm oyeeeeeeeeeeee,,
    Tanzania oyeeeeeeeee.

  • @joshuajoel6376
    @joshuajoel6376 4 роки тому

    Wana Arusha mmejua kunifurahisha........Magu hoyeeeee

  • @baltzrluus3287
    @baltzrluus3287 4 роки тому +35

    mzee hadi sauti imekauka, ila utatoboa tu mkuu bado wiki 1

  • @emmanuelowiti8217
    @emmanuelowiti8217 4 роки тому

    safi sanaaa mh jpm,ni kweli kabisa nasari sio tu anajielewa pia anajitambua.ccm chama cha kazi na sio maneno.jpm 5 kweupeeee mnoo.

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 4 роки тому

    Ubarikiwe sana kijana wewe mungu amekusamehe dunia fii akhera piga kazii nassar

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 4 роки тому +6

    Nassari juuu kaka etu

  • @beduelmaldy4449
    @beduelmaldy4449 4 роки тому

    Siasa bhana! ukihamia upande mwingine tu utasifiwa na kuonekana unafaa sana!

  • @witmuniss9919
    @witmuniss9919 4 роки тому +5

    Daaaaaaa sijui lakini

  • @martinhinda5233
    @martinhinda5233 4 роки тому

    Barikiwa sana kijana mwenzute

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 4 роки тому +9

    Magufuli baba lao

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 4 роки тому +5

    Wewe ndiye Rais wetu wa Tanzania yetu John Pombe Joseph Magufuli miaka 5 Mingine wewe ndiye Rais wetu wa Tanzania

  • @stanleyfocas8250
    @stanleyfocas8250 4 роки тому

    RAISI wangu najivunia kuwa mtanzania najivunia raisi wangu udumu udumu daima

  • @salimalaquimane2640
    @salimalaquimane2640 4 роки тому +13

    Viva nasar

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 4 роки тому +10

    Siko chama chochote ila ssm ina hazina ya vijana kwa taifa leo na kesho ndo maana kuiondoa madarakani ni ngumu sana:
    Nasari, katambi, ali happy, makonda, silinde, jokate, jafo, mwanaFA, .........................etc

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 4 роки тому

    Safi sana Raisi John pombe magufuli umehakikisha Taifa linakula riziki za halali ,niulize Kuna aliyepunguziwa mshahara? Bora ya kidogo cha halali kitakuwa na baraka , na lazima muache kufanya isirafu ya riziki

  • @wazirisukari5178
    @wazirisukari5178 4 роки тому

    Alikuwaga chadema kweli huyu broo anajielewa aisee amehamia ccm ameona maendeleo ya ccm

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 4 роки тому +2

    Njaa hii

  • @johncavishe353
    @johncavishe353 4 роки тому +2

    Barabara ya arumeru mashariki tnaomba muheshimiwa utuwekee lamii

  • @susanraphael5894
    @susanraphael5894 4 роки тому +15

    Nilikuwa natamani sana uje ccm yani umechagua fungu lililo jema wewe ni jembe hakika utafanya kazi kama Joshua according to biblical detail nassary upo mahala sahihi usiogope

  • @dayjamakangira2951
    @dayjamakangira2951 4 роки тому

    Pia Tanzania Inaongoza duniani kwa kuwa na neema kubwa ya Mungu na Imani Kubwa.

  • @thekingbudah3711
    @thekingbudah3711 4 роки тому +20

    Nasali anajielewa majukumu yake

    • @veronicaphilip4230
      @veronicaphilip4230 4 роки тому

      Sasa hivi hana majukumu hana tofauti na wewe ndo anatetea tumbo

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 4 роки тому +5

    JPM huna mfano wake baba yaani wewe ni fahari ya Tanzania, ni zaidi ya rais. Mungu akulinde. Viva CCM, viva Tanzania. Wengine mjiandae kurudi wodini ubelgiji

  • @godfreymbitwa1481
    @godfreymbitwa1481 4 роки тому +1

    Njaaa mbaya sana ata kama unaakili inageuka kuwa mavi

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 4 роки тому

    HATA MI NINGEKUWA NA UWEZO WA KUKUSHAURI MH.RAIS BASI TOKEA MWANZO ILIKUWA NATAKA KUKWAMBIA KUWA USIMWACHE KWENYE SEREKALI YAKO... BADO DAMU CHANGA NA KAJITOLEA SAANA NA ADA BIDII KWA UTENDAJI..... BIG UP MR. PRESIDENT HII TANZANIA MPYA 🇹🇿✔

  • @allyjuma4262
    @allyjuma4262 4 роки тому

    Big up bro nasari

  • @shukurumwalukopetro6757
    @shukurumwalukopetro6757 4 роки тому +4

    Hujielewi wee dogo kwani ulikuwa unahiti sasa unampigia mwanaume mwenzio awe mbunge halafu ww umekuwa mpiga bede hadi aibu hata unavyoongea

  • @nasibubalonzizubusa3449
    @nasibubalonzizubusa3449 4 роки тому +10

    We nasari si wakuisema vibaya chadema ww

    • @susanraphael5894
      @susanraphael5894 4 роки тому

      Acha aseme amechagua fungu lilijema amen na iwe ivyo

    • @robosia2915
      @robosia2915 4 роки тому

      Nyie chadema lieni machozi ya damu. Nasari kijana mwenye akili safi saaana.

    • @saladaniel9274
      @saladaniel9274 4 роки тому

      Nacheeka 😂 kwa nguvu
      Maaana mnaweza mkajikuta mkagombana wenyew kwa wenyewe wakati wao wanajuana🤣

  • @mamukassim4075
    @mamukassim4075 4 роки тому

    Una mafuwa muheshiwa. Pole baba. Ndo ukubwa uwo

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 4 роки тому +23

    Lisu ni kibaraka wa mabeberu na Hana Nia nzuri na taifa hili

    • @bernardmkama4057
      @bernardmkama4057 4 роки тому +2

      Injilibya Luka12:5.. husema"Uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu alvyo navyo" Nami nasema uzma au Aman ya Tz haimo ktk barabara,ndege no! Nawaombea watanznia Mungubawafungue macho mtoke gizan la mwaka64....

    • @afropatriot7769
      @afropatriot7769 4 роки тому +1

      @@bernardmkama4057 Mwanzo katika uumbaji Mungu aliumba vitu kwa siku sita alafu ndio akamuumba mwanadamu siku ya Saba,huyo lissu ametoka ulaya ambako vitu ni bingo Sana vinarahisihsa maisha ya watu,wewe ndio uko gizani kasome uchumi vizuri usome na biblia vizuri Kisha uje tuongee ,

  • @doctorzero-dj5xg
    @doctorzero-dj5xg 4 роки тому

    Mmmmmh ! Namfurahia sana nasari !

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 4 роки тому

    Mungu tusamehe,machozi yamenitoka.hakuna kitu kizuri kama msamaha.

  • @evahenry7798
    @evahenry7798 4 роки тому

    Imeisha iyoooooooo......jpm ni mshindi

  • @jamesswai6583
    @jamesswai6583 4 роки тому +7

    Siasa Ni Kama kamchezo flan hiv. Kumtaja Mungu, uongo nk ni mambo ya kawaida.

  • @alexmussa2598
    @alexmussa2598 4 роки тому

    BAWASILI/HEMORHOID.
    hii ni hali inayotokea baada ya kuvimba kwa mishipa midogo (vena) inayozunguka sehemu au tishu za tundu la haja kubwa.
    Bawasili zipo za aina mbili kulingana na sehemu inapotokea... Inaweza kuwa ndani au kwa nje.
    SABABU
    -👉mtu akiwa anahara sana
    👉kuwa na kinyes kigumu mara kwa mara
    👉ujauzito
    👉kuwa na uzito kupita kiasi
    👉kufanya ngono kinyume na maumbile
    👉kula sana vyakula vya kukoboa
    👉kuchuchumaa mda mrefu wakat wa haja
    👉mtu mwenye tatizo la ini huweza kupata pia
    DALILI
    👉damu kinyesini
    👉maumivu wakat wa haja kubwa
    👉kuwashwa kwa tundu la haja
    👉kujitokeza kinyama kwenye tundu la haja kubwa
    Nb
    Ni watu wengi wanao ugonjwa huu ila huona aibu kujionesha na hatimaye huenda kupasuliwa.... Usiogope endapo unalo tatizo au unamjua alienalo mfahamishe kuna bidhaa ataweza kuzitumia na hatoweza kupasuliwa coz zinaondoa kabisa na huo uvimbe hautarudia tena kama ambavyo angeenda kupasuliwa
    Contact us ☎
    Whtsp/call 0744481111

  • @thebellas7458
    @thebellas7458 4 роки тому +2

    Duuh Nassari unaakili Sana...

  • @daudirajabu6798
    @daudirajabu6798 4 роки тому

    Huna sera wajumbe walifanya kazi nzuri

  • @elizafumbuka8668
    @elizafumbuka8668 4 роки тому

    Big up dogo janja Nassar

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 роки тому +1

    Tano tena PERIOD

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 4 роки тому

    Pole pole, tunaelekea kwenye ukabila.

  • @hassanchauluwa7308
    @hassanchauluwa7308 4 роки тому

    kwa nasali namaliza bando langu bure katika maisha naogopa sana utumwa.

  • @officialstoner771
    @officialstoner771 4 роки тому

    Aise Nasar asante Sana kwa kuwaombea kula na maelezo yako ni mazuri sana

  • @aloycechamnda2769
    @aloycechamnda2769 4 роки тому +2

    Kwanza magu ndio maana unpiga mgoti kuomba kura na kura ni kura kupata au kukosa kwa hiyo usitulishe matango pori huna wakika kurudi Tena kutokana na maovu yako mengi akina yuda hawezi kukutakasa

  • @wallesdavidprimarymasinga3382
    @wallesdavidprimarymasinga3382 4 роки тому

    African political vert fan

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 4 роки тому +5

    Minatka kujuwa konikiwa mpinzani maendeleo spati kwanini mchukuwe kodi kwangu maendeleo hayana chama

  • @fidemgina9979
    @fidemgina9979 4 роки тому

    Kweli saizi tutaunga mokono juhudi kwalazima

  • @hamadkimicho9552
    @hamadkimicho9552 4 роки тому

    Umenunuliwa kama unajiuza mrina, hata kama anakiba100 lazma usifie sababu unataka hela usifie njaa.

  • @radhiambwana8787
    @radhiambwana8787 4 роки тому

    Apo sawa MPE ukuu wa Mkoa wa Arusha.

  • @baiaaa2809
    @baiaaa2809 4 роки тому +7

    Good

  • @revelianalphonce8115
    @revelianalphonce8115 4 роки тому

    zimebaki ck chache sana, pole rais wetu kwa campen nzito tarh 28 kura kwa J P M

  • @vicentshonyela1710
    @vicentshonyela1710 4 роки тому +1

    Viva Magufuli

  • @saidbakari1127
    @saidbakari1127 4 роки тому +8

    Nakumbuka maneno ya nasari kabla hajajiunga CCM aiseee siasa Ni sawa na ile movie ya GAME OF THRONE

    • @kadylucas9378
      @kadylucas9378 4 роки тому

      Kumbe na ww unakumbuka km mim? Siasa acha iitwe siasa Kaka

  • @getrudechiluba5183
    @getrudechiluba5183 4 роки тому +4

    Sijaona Mimi anaejitambua ccm

  • @jeremiahkilato295
    @jeremiahkilato295 4 роки тому

    Sijutii kumpa mwanangu jina la Joshua, akili nyingi sana kichwani

  • @heriholder2937
    @heriholder2937 4 роки тому

    Uwanja umejaaaaaaaaaaa Magu 5 tena.

  • @edwiniedwin3347
    @edwiniedwin3347 4 роки тому

    Duhhhh njaaa mbaya sanaaa, Leo hii Nassari anahangaika hivi ?

  • @nolanraphael8502
    @nolanraphael8502 4 роки тому +5

    Falaaaa uyooo kwendaaaa

    • @zeralucyntazimila6600
      @zeralucyntazimila6600 4 роки тому

      Nani fala kati yako na Nasari😳ona aibu

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 роки тому

      AIDHANI ULISHAWAHI HATA KUONGEA MBELE YA MWENYEKITI WA KIJIJI

  • @meshacknassary3394
    @meshacknassary3394 4 роки тому

    😂😂😂😂na me nataka kuwa mbunge

  • @sabatoelia312
    @sabatoelia312 4 роки тому

    Pole mzee wetu Magu

  • @edenbaraka7533
    @edenbaraka7533 4 роки тому

    Anajtambua kwa sabab mjinga halaf mmemshibisha

  • @julianamasunga700
    @julianamasunga700 4 роки тому

    Safi nasarii

  • @stevendemetrees2187
    @stevendemetrees2187 4 роки тому

    Unafki ukizidi unazaa dhambi mwisho wake nimauti r.I.p nasari mbele yetuu kenge mmojaa!?