MSUKUMA AKILI NYINGI ATOA SOMO LA MWAKA "Tusijaze degree za ovyo, anayepinga asimame, TZ kuwa Dubai"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @ramadhanihassani5542
    @ramadhanihassani5542 Рік тому +1

    Yani napenda kisikiliza nikisikia watu wa darasa la saba napenda sana wanaongea pwenty MBUNGE MSUKUMA PONGEZI ZIKUFIKIE HONGERA ❤❤❤❤❤

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 Рік тому +6

    Message imefika msukuma kweli bandari yetu ni ya ovyo.

  • @makuzaomary6677
    @makuzaomary6677 Рік тому

    Msukuma uwa nakuelewa sana

  • @mwaisejeimtv5113
    @mwaisejeimtv5113 Рік тому +1

    Elimu ya darasa la saba inaweza kuwaza leo tu, utakula nini ili ushibe, baadae ukashangilie simba na yanga
    Lakini kutathmini mambo ya miaka mingi mbele SUFURI

  • @fifo262
    @fifo262 Рік тому +1

    Kwakweli sichoki kukusikiliza

  • @heriethkitururu4401
    @heriethkitururu4401 Рік тому +1

    Watu wana degree za ovyo sana

  • @mariamnimbo8394
    @mariamnimbo8394 Рік тому

    Kahamie Dubai!!!!

  • @AbuuHabibu
    @AbuuHabibu Рік тому

    🙏🙏🙏🙏

  • @paschalmahonajulius3530
    @paschalmahonajulius3530 Рік тому +2

    Leo ndio nimeelewa vizuri hili swala la bandari 😁😁

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 Рік тому

    Unajua, sema huna support! be
    blessed.

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 Рік тому

    Vyovyote hamna kitu hapo.shida n mkataba kichefuchefu.hakuna kitu hapo papet tu huyo

  • @adammwakalonge3573
    @adammwakalonge3573 Рік тому +1

    Mi natamani nimsikie Gwajima kwenye suala hili la Bandari

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 Рік тому +2

    Namuona magufuli

  • @AbdulrahmanHassan-rc1kr
    @AbdulrahmanHassan-rc1kr Рік тому

    Tunachelewaa kuanzaa midomo imepasuliwaa itasema tuu baadae watu watafahau hao

  • @petrokinorya4038
    @petrokinorya4038 Рік тому

    Huyu ni mtu ambayo SS watanzania tutachelewa xna kujuwa na kuelewa anatuelekeza nn maana anatoa hoja za mzngi hawafanyii kaz

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 Рік тому +1

    Miaka 61 kama 46

    • @GibonsiKaminyoge
      @GibonsiKaminyoge Рік тому

      Daaa mshukuma tulikuwatuna kutegemea lakinidaa hilisuala badali bonautusaidi umechukua chako mapema ila ukumbuke unawatoto nyumayako

    • @mudighurayra
      @mudighurayra Рік тому

      @@GibonsiKaminyoge ndio wale wale

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 Рік тому +1

    Msukuma n 1

  • @festokitule9727
    @festokitule9727 Рік тому

    Kiongozi mkubwa aseme wapi mmetangaza tander? Jambo la kitaifa lilitakiwa kwenda bungeni kwanza ndipo lipewe baraka ndipo litekelezwe.Binafsi nasema mchakato haujafuata taratibu

  • @danielnyamhanga8814
    @danielnyamhanga8814 Рік тому +4

    Kiukweli huyu msukuma huwa anatoa michango ya maana sana

  • @josephatkiliko2546
    @josephatkiliko2546 Рік тому +1

    Shule unayo STD VII

  • @mubaarakmakiin8748
    @mubaarakmakiin8748 Рік тому +1

    Kweli hiki ni chuma

  • @khamismtoma4902
    @khamismtoma4902 Рік тому +2

    Msukuma PhD

  • @mustafahakim-iq7dj
    @mustafahakim-iq7dj Рік тому

    Ukovizuri mashallah

  • @kilalaurio9922
    @kilalaurio9922 Рік тому

    Wabunge mnafanya watu wakose imani nanyi . Jambo kubwa namna hii haliwezi kujadiliwa muda mfupi. Leo ndio nimesikia kuwa maswala ya bara ni ya wote bali visiwani wanaamua wrnyewe. Bandari

  • @shijangosha7509
    @shijangosha7509 Рік тому

    Msukuma nazani ndo msomi maana kuna faida gani kuwa na drii isiyo na faida jamani c bora darasa la saba hii yenye kujitambua

  • @OdliaMbengwa
    @OdliaMbengwa Рік тому

    Unaakili nyingi

  • @MakameAbdallah-wn3hc
    @MakameAbdallah-wn3hc Рік тому +1

    Msukuma wewe mtamu