Barnaba - Nawaza (Official Lyrics Video)
Вставка
- Опубліковано 24 вер 2023
- Watch Lyric Music Video by Barnaba performing "Nawaza" (Official Release) 2023 (c) Hightable Sound, The Lyric Music video was shot in Dar es Salaam.
Get it now "Shobo":ziiki.media/Shobo
Stream/Download:linktr.ee/barnabaclassic
Listen to Barnaba on Digital Streaming:
Audiomack: audiomack.com/barnabaclassic
Apple Music: / barnaba
Boomplay: www.boomplay.com/share/artist...
Spotify: open.spotify.com/artist/3ICwB...
Deezer: www.deezer.com/en/artist/5244406
Catch Up With Barnaba on Social Media:
Instagram : / barnabaclassic
Facebook: / barnabaofficial
Twitter: / barnabaclassic
+For More Information Booking Barnaba:
Contact:Barnabamanagement@gmail.com
Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)
©2023 Barnaba.All rights reserved.
#Barnaba #Nawaza
Nipe likes zenu please 🙏 Kwa Mr classic baranaba Kenya
Barnaba classic unajua sana twende na gongaa like za barnaba classic hapa zote ❤❤😂 nawaza
Dah mwanangu hii goma langu la mwaka
Kinyamasanaaaaaa
Kama ww n shabiki wa muziki na hampendi @baranaba basi jua uko na shida
Nakubali bro🔥💪 wa kwanza Leo nipeni like zangu
Noma sana Mzee wangu,sauti manze
Pisi kali bro🇰🇪🇰🇪
Ngoma kali nakukubar sana braza Barnaba unamelod nzur naitwa Marco classic nimsanii wa bongo freva naomben like
Sasa huyu ni Barnaba tunayempenda sisi Kenya
Na kukubali siku zote kaka msanii wangu namba moja bongo nzima japo simanishi wengine sio wazuri...keep up the fight na karibu Texas USA 🇺🇸
Kaka umenenepa,kweli ndoa haiongopi
Wow good song
Nakubali hii umeuwa
Wanao mkubali barnaba gonga like
hiyo nyimbo ni nzuri xna
Big sanah!!
Umetisha sana bro nakukubali sana kiongozi
Hum ni mziki mkali sana,na hunafunguwa mihoyo vyetu,
Mshanii ambae nnae mkubali sana bongo...hana shobo🙏 Dear lord protect barnaba..nataka kujua lini ataweka show Mombasa 🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️
Natabir ...........wimbo vizazi ❤
Daaaaaaa mwamba huyu hapa,,,,,,unajua brother,,, God bless you
Nakubali kaka
Barnabas Barnaba Barnaba Noma 🔥🔥🔥 yaani speechless duh! Asante
Pamoja sanaaaaa❤❤❤
Mtoto mdogo anabeba kitambi❤❤😂😂😂
Nakubali saba Barnaba
Kazi nzuri snaa,ila director katumia neno read instead of lead
Boll kazi sana achana na mapiano hii nyimbo Kali sana
Aiseeh, ebwana hili goma limefika.
Tisha sanaaaaa🙌🙌🙌🙌
❤ nice
Cool Barnaba
Nakubali kazi yako brooo
Let's go camand,, nakubaliiii 🙌 sn
Yahan kk ww uwa unajuwa sana kweli
Hot one man
The most admirable thing about Tanzanian artists is that they are always on the go. They don't give up, neither do they quit. They only take a step back to firmly hold and accumulate enough energy for the next throw. And every time this happens, it's always the loudest. Now the opposite is with our Kenyan artists! Let us learn jameni✔✔✔
noma sanaa
Alhamdulillah Allah the one everyday
Unajuwaaaa sanaa❤❤❤
Kwer kaka😊
Mopao❤ from D.R.CONGO
Much love bro... vocals beat lyrics all in the mastering🔥🔥🔥
This song is more great full as long as you understand the verses
Punguza mdomo sasa big up brother
Tusfundishane kula bata so♥️♥️ big up bro
Kaka mimi naishi Congo nikwambiye ule ukweli Kaka unajuwa sana naku eshimu sana 🙏🙏🙏
❤❤❤
💪💪💪classic
Umeua🔥🔥🔥🔥
Maneno mazito 😢
Good melodies ngoma kali kaka
Vocal zimenyoka njia zote zipo dah umetisha sana
Thank you🌹
Magnificent Kaka...Amenia
Bg up Bro❤❤
Nakukubar brother
Monday cyo siku ya kaz....tusishauriane
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Barana umeua
Nice one
Safiiiii bro👏
Noma brw 🔥🔥🙏🙏
Bro kazi safi 🔥💯
Daah huyu anajua kuimba jaman😂😂
Haii bro mziki wako kwangu ni mpya kila siku
Nimejifunza kitu kwenye nyimbo hii
Nakubalii kaka
My mentor ❤🎉🎉
Bless up nimelia ad
US❤❤❤
Parabéns irmão Música de Mensagens o que acontece na vida real ❤❤❤❤
dah apa umenikosha sana asee
Mmmmmmmmmmmmm me nimeguna tu sinachakusema kaka nimoto ❤❤❤❤😂😂😂
Mashabiki wa BarnabaNa waomba Baada ya kusikiliza wimbo Mtamu Pia Mpitie kwangu Then Support nawaomba 🙏
Safi sana wimbo umetulia unaimbika ujumbe kwa kila raia hahahahah
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰
Mawaidh nmazuri❤
If you hear me speaking of good music this is the kind of music I Speak of.......
Maneno ya hekima hayo.. big tune🔥🔥🔥
Umetisha mkuu... vibe la reggae afu na ujumbe mkali 🔥🔥 🔥
Favorite
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tisha sana kaka kali sana
Pamoja big
Nice song
Much L❤ ve, dear God show us the good way 🙏 be blessed 🙌 my brother #legend.
Moto sana na mawaidha kama yote 🇰🇪
wow sina neno mkuu 😢😢
Big bro 🎉
Big bro Salut Mr MOPAO NAKUKUBALI SANA KAKA
Kama umeikubali iyi kitu ya kaka MOPAO BASI MWAGA LIKE PYA TUMPE MAUA YAKE
Nawaza
One of the most iconic writers I know in the world 🌍 blessup brother 🔥🔥🔥🇰🇪
Classic
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
The heart of music stays in this man ❤❤❤❤
finaly video is out much love from kenya
Love from burundi 🇧🇮❤️❤️❤️
🔊
The most talented artist i know, go go bro