Kwaiyo diara na aucho wakiondoka pale utopoloni na hii nyimbo inaondoka nao wasanii acheni kuwa machawa nyimbo nzuri ila mnaharibu kuleta utimu kwenye mziki
Hii nyimbo #yule remix ni nyimbo kali sana hivyo tunaomba official video iwe bora sana sio hiv ukizingatia lengend Ay angalieni Mfano wa remix mapozi platinum, melod na blue wameitendea haki video 📹 kwahiyo na sistiza hii video ya yule iwe bora kulingana na wimbo hii sijaipenda.
Verse ya AY kali sana kwanza unatukumbusha mbali sana pia kaiongezea hizo swaga za sasa hatari sana 🔥,all and all wote wametisha bonge la remix..
From Kenya Wapi likes za bongo East Africa
Malioo 0:55
Original kali remix kali, washenzi kabisa mmeuwa
Kiukwel nimempenda ila sijui nifanyaje
Patamu apo
Atar san mtoto Bad🔥
Muhuni wazaman Ay umetisha san☠
Mwaka huu Ay, ntaka utoe nyimbo kali ngoma juu ya ngoma, halafu nyimbo zako zote za zamani utoe remix
Timu bad dondosha like zangu apa 🇨🇩🇨🇩☝️
Hii ngoma imeingia mjini kwa tetemeko kali
Youuuuu noooo whaaat
Halooooooo 😂😂 Bad nation toto
Kama unakubali nadnation gang gonga like hapa
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi mario
Am always supporting good music 🎵 this song is 🔥🔥💪🙏 Ay and marioo are unstoppable 🔥🔥
Mtu mbili kwenye track moja ❤❤
U can only find me where there is good music.. Ambwene nailed it
So-o-o hmm patamu hapo",whaaaat a voice AY ft Marioo!
Wapi likes za style deadly deadly
Team AY naombeni likes zenu tafadhari ❤❤
Yuleee nampenda sana jinsi alivyo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Marioo killed it, AY mastered it 🎉🎉🎉
Watu wa Kenya nisiwaone huku kwenda muandamane
😂😂😂😂😂
Kali sana
Mnanikumbusha ujana 😢🎉😊
Hii ni remix ya pili wanaojua "yule" remix ya kwanza ,respect u alot tumetoka far
Naona Wana gotha........ma style Ni deadly deadly
Kali sana ...niite Dafude ama soma bwoy from 🇰🇪
Sema hii ngoma kali mgemuweka na darasa ingekuwa noma zaidi🔥
AY. MASTER😮😮Kutoka ALOOOO
Alooooooooh 🤭👌
This song mannn I was just entering my teenage years… great memories for sure❤
Ay yule long time sana legend anazeeka na utamu wake Ay respect
Marioo is a beast, can't get enough of this song ❤
Jini kqmq jini umeua mzishi india kihind kwambari tisha sana kaka
From Kenya likes for cool music
Young Lunga he is not doing this for fame, mwambieni yule shoga yenu kwamba wanaume wapo huku.
AY Respect❤
Umbo lake pale yanga anavaa aucho.... 😍😍
Noma sana namba 1🔥🔥🔥
Kwaiyo diara na aucho wakiondoka pale utopoloni na hii nyimbo inaondoka nao wasanii acheni kuwa machawa nyimbo nzuri ila mnaharibu kuleta utimu kwenye mziki
Nice love the remix....and the love genda in it
Mario nikupenda San wa😮😮😮😮😮😮
Bad to the world
Mario nakubali kaka we auchuji kilasiku MPy kaka
Marioo mtunzi mzur sana ....I appreciate 👌
AY umshilikishe au akushilikishe, ni lazima akufunike
Like za kudonjoo wakuu 🇰🇪🇰🇪🔥🔥💯
Byadi kabisa 🔥
Kwa mziki wa africa mashariki nakupa diarra
Bad Nation🔥🔥🔥👏
AY ewaaaaaaaaa yan n fire turud kuimba
Ni Moto 🔥
Classic Song. Japo wameibadilisha sana haifanani na ya mwanzo
Ndio maana ya remix
Marioo ndo mwenye mzk wake,hanaga baya
Bad n treasure ya taifa alindweee
Wakukajaaaa hii ni nomaa🔥🔥🔥
Ila AY
Master is killeng from the bad nation
Old is Gold joo🎉🎉🎉
Original na remix Zote kaliii🔥🔥
Bonge la dude🔥🔥🔥🔥
Big up sana 🎉🎉ngoma kali
Mhuni wa kitambo🎉🎉🎉🎉
Im the first where are my like❤❤
Umetisha broo
Mr Alloo! Nic th song🎉🎉🎉
Daah ngoma kali mnooooo hii
has been on reply on my playlist hadi kichwani 'patamu hapo'.
Wahuni unatuwakilisha vyema baddie
Ngoma kali kinyama yani hii remix imefanya orginal niipende zaid🍟🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nomaaa
Mastaaaaa on 🔥 📛
👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑AY KITENGO
inyimbo n kboko yan❤❤
Oyaaaaaa kaz nomaaa
Zee❤🙌🏾Hauishii
Hi sri I am big fan your
Your all video is I like you 💓 👍😇
WIMBO MKALI SANA 🔥🔥🔥🔥🔥
Kanyimbo katamu ila kafupi
Safi sana marioo kaitendea haki hili goma
Ten limezagaa zagaa
Naipenda sana hii ngoma❤❤❤
Yuleee🎉🎉🎉🎉
Ay biggest
I looooove it
Patamu Hapo🤚
Masta 🤝
Ngoma kali sana wapi mashabiki wa yanga❤❤❤
From uganda 🇺🇬 ♥️
wuuehh
Here from Africa❤
Namba 8 Ay
Ngoma Kali Sanaa
Mastaa
Golden masta nakubali
Kutoka alooo😂😂
Hii nyimbo #yule remix ni nyimbo kali sana hivyo tunaomba official video iwe bora sana sio hiv ukizingatia lengend Ay angalieni Mfano wa remix mapozi platinum, melod na blue wameitendea haki video 📹 kwahiyo na sistiza hii video ya yule iwe bora kulingana na wimbo hii sijaipenda.
Ngoma kali ila chino kaiaribu
🔥🔥
Mariooo ni moto wa kuotea mbali
Marioo on that Gunna vibe…
🔥🔥✔️✔️
Mario fundi wa sasa🇹🇿
❤❤❤ ay
Ngoma yenyew og wakat inatok marioo alikuwa anaumri wa miaka 9 😂😂ila nin imebamba saan big up