LOVE BITE 《03》
Вставка
- Опубліковано 10 тра 2024
- SUBSCRIBE BONCENA GOT TALENT
FOLLOW US IN
+255659096471
FACEBOOK; / angess.nsyengula
INSTARGRAM; boncena_tz...
TIKTOK ; / boncena_gottalent
YOUYUBE ; / @boncenagottalentfaceb...
OR BONCENA GOT TALENT
INSTAGRAM; BONCENA_TZ
IIKTOK ;BONCENA_TZ
Nawa kubari man mnao nisapoti man❤❤❤❤ LOVE BITE
Yaan hii filam mchezaji ni Rutaman tu wengne bado mkaze but mnarudiarudia maneno mfuatiliji wenu from oman 🇴🇲 😊
Luta man
Tunakusapot man
Tuko pamoja Sana tukupe maua 🎉🎉 yako
Kula chuma hicho man🌹🌹🌹
Uyu dada tifa mbwa kabisa wanao nikubali nipeni lake zangu 50 tu
Unae mpenda hakupendi usiye mpenda anakupenda ndo dunia ilivyo
Gumbwa nakuonea sana uluma kipenz... Ila umetisha san
Jamani hata mm naombani like
I love the way they are coming up with EPISODES. 30minutes above . Keep it up
Ruta Man natamani kuandika ujumbe mrefu sana ila staki nikuchoshe kwa ufupi Mungu awe pamoja na wewe ktk shughuli zako na akufanyie wepesi ktk mipango yako yote nilikuwa sijawahi kufatilia movie ila wewe umenishawishi endelea zaidi na zaidi🤝🤝🤝🙏🙏🙏🙏🙏
Daah muvi kali saan alafu vipande havikawii kutoka Big up brooo
Mbwa mm na wewe tunaendana😂😂😂 like zangu kwa kuunga kaul hii
Tuko pamoja shikilia hapohapo mnakuja vizuri
Maskini gumbwa njoo kwangu nipo single mimi sitaki hela
Wakwanza kutoka Kenya ❤ naombeni like zangu
Kumbe tumerauka hivi
@@elizabethcatherine-jm8fr nakwambia 🤣
Dah mapenzi haya jaman,unaye mpenda kampenda mwingi kwako anachuka chapa ilale tu..🚲🚲🚲
Wa kwanz mm jomon luta man juuuu juuuuuuuu sn🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wanawake wwngine bna kazi kweli pesa kwanza kweli na wanaume sisi ni noma
Poleni😂😂😂😂
Wa kwanza kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
NC mungu akubrk🎉🎉😂😂
Unafatilia dem Hana mbele wala nyuma😂😂😂, yani mtulinga hana kabisaa
Licha ya mtulinga.. Hana ata Shep.. Mwembamba kama mwiko wa pilau 😂😂😂😂😂😂
@@AshaAlly-mo6bd mwambie sikuizi hatuwapi wanawake hela
Anapenda asiekupenda nae anapenda asiempenda data kweli dunia sasa mapenzi pesa
Dah nafs mbili hapo. Kama mzee tupa tupa
leo wa kwanza toka kenya
Kindly instead of asking for likes peaneni lessons learnt from the movie... have learnt lessons from gumbwa ❤❤...we need to learn from this movies
Wa tano kutoka Kenya ❤️❤️❤️❤️
Much love from Burundi💞♥️
Leo wakwaza kama unamkubali ruta man naomba like na comment zenu.
Naitaj hiii nyimbo ya hiiii movie
mwanaume gani hujui kukataliwa mpk vibao unapigwa kisa kupenda 😆
Aki nimeumia sana😢😢😢
Ngubwa kuwa muelewa epi ana kupenda
😂😂
Jamn me nimsanii pia wa mziki wa bongo flavour naitaji sapot zene wadau
Am enjoying from kaloleni giriama
Frahia broo tuu
Pamoja mkuu
Sina cha kusem brother ila hich ndo unacho sitahili 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Niliisubirii hii🔥🔥🙌
Brother man, wagan? Best actor, best short story films.
Love you man.
G acha ushamba demu uyo Hana mapenzi na wewe
Sasa kila mmoja anaomba like hyo ndo support ya movie au inakuwaje
asee huyu jamaa saivi ni 🔥🔥wa kuotea mbali sana
Msinibishie nmba 1 from Oman 🇴🇲 like sihitaji
ENHEEEEEEEEEEEEEEEEE LEOOOOOOOOOO MNIPEEEEEE LIKEEEEEEE ZANGUUUUU JAMANIIII HATA KAMA NI KUMII TUUUU 🙏 🙏 🙏 🙏
Mbwa ni mbwa kweli chukua hype ule hype.
Courage sana❤❤❤
Wa kwnza like zngu naomba😢😢😂
❤❤❤❤❤❤❤❤
Movie nzuri sana master nawakubali kinoma noma 🎉🎉🎉
Huyo tifa mwenyewe sasa 😂😂😂😂😂
Ruta man usibadilishe uhusika wako man mana unanikosha mani unavyolalamika mani😂😂😂❤ Love bite
Dah kweli mapenzi upofuu na unapopendwa hupaonii ira rutha man nakusoma Sana man
Gooood talent ruta mani kazi nzur
Uyuu happy kwanza sasa jicho langu lita muangaliya namaanisha nitamufatiliya mpaka mwisho wake naona anafika mbali 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yupo vizuri
Hyu gumbwa ni mpuzi 😂😂😂😂
Tifa siyo mwanamuke nzuri kupelekesha mwanaume nakuhona afai sisi wanaume shida kbs rutaman usianze kosa kucheza nayule mdada tif ulibebeshaka mimba getini nakugeuka kuwa boss
Jaman mpenz yana tesa wat sana huyu kaka mmmh
Nataman amjuwe Shem wake ndo dem anaemlilia mapenz shikamoo😂😂
Hii series ya love bite happy ndo inaifanya kua tamu sana, Alf happy n mrembo saana nilitamani nimsifie toka series ya mgeni wa kijiji na pia kwenye series ya Risky lkn leo mmmmh acha nimpe mau yake 🌹🌹🌹 happy dadangu unaweza zidi kuongeza bidii sister much love from 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Uko makini mzee
Huyu tifa namchukia mimi😢😢😢😢, ila happy nakupnd sana unakuja vzr dadaa hongera sana,nimekupnd sana❤❤❤❤❤❤❤❤ from kenya
Ongereni sana kwa kazi mzur
First today like zenu jamani🎉❤
❤❤❤❤❤
Movie wamecheza vzr lkn uyo jamaa mjinga anakomalia manzi ambae ampendi 😂 duuh
Gubwa......mjinga wewe🤣🤣😂😂😂😂 mapenzi wewe aky🥰🥰😘😘🥰😍
Bro, wewe bingwa man kazi nzuri man
Ruta usimuache happy yupo vizuri sana
Mbemuebue muxavamushyamba ryari tubkne shenge kombona mufite ubuiru bukomeye mukomere cyane abomulishenge ilove you ♥️ ❤❤❤❤❤
Gumbwa zamwamwa kweli mbwa kabisa😂😂😂😂
❤❤❤from DRC Congo
🇨🇩
Jaman akina happy wapo kweli dunia ya leo
Wapo
Maskini bungwa amekua zezeta wa mapenzi😂
Jaman uyu gumbwa ajarogwa kwel na uyo kibib chembamba kama mkate wa silesi
Dah happy katisha Sana
SEMA Baisa Anajua sanaaa yani kwenye uganga alipita 100% kwenye risky 100% umu na ubishoo wake vile bado anafanya safi dah aje tu Kenyaa ❤❤❤
Likes na support yenu ikam through 😊
jaman si atokee mwanamke kama Happy aje kunitetea na mm 😂😂
DJamaa chukua chombo hapi uyo tifaa ata kumaliza
Demu so mzury anakutesa 😅😅 inachekesha kwel😅
yaan mtu from no where anakupiga kibao duh😂
❤❤❤❤ nawa Kubali man endelea
Nataka Pete yanguu ❤️❤️❤️
😂😂😂😂😂😂
noma sana😂lutaman
Huna kaz mbovu kaka 🎉🎉❤❤❤❤
Daaah kaz lutaa nd binadam walivy
Gumbwa huyo tifa anakukula tuu ila hakupendiiii
Jaman nyimb ya Nan inayosema maisha yangu
Hapo sawa man
❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas ruthaaaaaaaamaaaaaaaan
Kazi safi bro hapa Kenya tumekubali boncenaaaaah! a.k.a mkeni wa kijiji🥰🥰🥰🥰🥰
Pongezi kwenu wahusika ❤❤❤❤
Unajua katika maisha mtu nasasahau fazila
Gumbwa unakwama wapi kofi ulilo pewa hepi kakulipia huku😂😂
Naomba hiyo Pete ruta man😂😂
Kaz nzur sana hongeren 💪
Npee peteeee yanguuu😂😂😂😂😂😂😂
Boncena AKA roota man, ongera sana, kaza hi ni international ( inafanya vizuri saana ). Na tunaikubali, tunaipokea hi zawadi...big up man
G utakuja mkumbuka happy
Bungwa anawafunza mazezeta wa mapenzi
Yaani nachukia mtu anang'ang'ania kuitisha hela na yeye mwenyewe hata hawezi pata hata elfu kumi pekee team kuosha choo team kujitegemea team strong wenye mnajitegemea gonga likes hapa💓😢😂😂😂
Sema hilijamaa linazingua😂😂😂 so liachane nae tu
@@ambindwilehosea6837 😁😁😁
Happy na ww kuwa km mwanamke bc uskate nywele sukaa
Happy kamtamka😢 France wakee😂😂😂
luta man kazi njema man na kufuata nikiwa kenya man, sema nini man achilia vitu vyote man nasubiri sana sehemu ya nne man
Kutoka Tajikistan Omar Bay hapa, ni mzuri ila tatizo mzigo munauchelewesha
ila huyo Tifa anaemtesa mwanetu Gumbwa 😂😂kama ubao
Wanawake wembamba hatar sanaaa😂😂😂
Kazi nzuri
Slogan ya gumbo nimeikubal😂
uyu dada ratfa nimxeng kbxa yahan wanangu wakunishabekia mnipe sapoti
Ila Gumbwaa mwehu kweli 😂😂unamtesa mdada mbona wakenya hatupo Ivo kakangu😂😂😂
Hahahah tangia ln wakenya mkawa romantic
Much love from Bujumbura Town