Iv kwanini RK upendi kulike comment zetu sisi mashabiki wako ukweli ni kwamba sisi mashabiki zako tuna penda tunavo comment kama ujajibu bas ata like tu 😢😢😢 kadama from gulf
Kanzi mzuri mnayo fanya ira mbona kama rk ana jichubua na anapotenza muonekano wake unao nifanya niendelee kufatilia tamsilia zenu mana nilikua napenda muonekano wake ila sasa naona anabadilika sula kwanini asiendelee kua na muonekano na muonekano wake ninao upenda na ndo unao nifanya nifatiliye kanzi nzenu ni ushauli tu
Napenda RK,jameni❣️,ebu mnipee likes za RK,, RK karibu Kenya nyumbani
Omba namba yake
Uko saw,kipj allah amzidishie
@@user-xb8bp9wg7o 🤣🤣do naona sasa
🤣🤣🤣
@@BulaloJared 🤣🤣
Jaman hii movie naipenda sana ebu kama waikubali kama mm mwaga likes apa,Af Rk acha kutu cheleweshea ivo basi, much love from Kenya ❤❤❤❤❤
Iv kwanini RK upendi kulike comment zetu sisi mashabiki wako ukweli ni kwamba sisi mashabiki zako tuna penda tunavo comment kama ujajibu bas ata like tu 😢😢😢 kadama from gulf
Bora umesema ukhuty ummy
Ameskia😂😂😂
sio lazim alike achana naye kikubwa wasichelew maana hawa wakikaa mpak movie yapotez mvuto
Rk you are one of the best actors in tanzania i can congragulate for bringing new contents after clam vevo big ups from kenya
Leo wakwanza nipe like zangu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤
Kuja Kenya uambie dem hivi🤣🤣 maumbwa utaitwa hiyo siku ndio tutajuwa kadeki nikakonde ama nikanono🤣
❤
Very good kwa kazi nzur mnayo ifanya sisi ni watu🇧🇮
Big up broo,,unaweza kiukweli mungu azidi kukupa nguvu 💪💪❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wakwanza from Qatar , ,,,❤
Nimewahi na Mimi naombeni like hta 5
Rk anajua sana washiliki wote mmeitendea haki❤
😢Likes zangu jamani ,,DR BEN FROM 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Uyu Ben mungu anamuona Dah sisi wadada tunakazi kwakweli Ila ni nzuri❤❤❤❤
Beni ana play part yake vizuri😜
Yan na surual yke ya kike
😅😅😅
@@Thedy-tp5ei😂😂😂
Naipenda sana hii tamuthilia inanifundisha vitu vingi sana katika mapenzi mtu akijua unampenda anakutumia vibaya sana Pole Jack Kwa unayo pitia
Ila Ben kiboko jmn wanaume n wakuogopa sana
Keep up the good work
Nakubali kazi zenu, na leo nime wai, naomba likes ata ngapi from marekani
Move nzuri na inamafundisho, jaman RK naomba wimbo wa hii move naupenda
Much love from Kenya 🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤😮😮😮😢😢
Uwiii umchezo wa Beni hapana kabsa mm siwezi Fanya jamani😂😂much love from 🇰🇪
😂😂😂
Much love from Kenya guys like e❤❤😂
Waooooo❤❤❤❤❤napenda sana ku toka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kazi nzuri sana RK, likes zangu from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jamani mwendelezo wa boss mchawi na wrong house 😢😢
Yani. Wanaboa move hawazimaliziiii8
Hv weee kaka umechanjia dawa y wanawake au, mbn km unawapelekesha Sanaa, lkn km n me wala siongei kt naondok kimyakimya
Nawapenda mnoooo ❤❤❤🇹🇿🇴🇲
R k Ni up sana
Nawafuatilia kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kazi nzuri sana Rk ❤❤❤❤bt ongeza mda nae isikae fupi nawapenda sana 💞💞💞💞💞🤷🤷🤷
Jaman na mm Leo nimewah naomba like zangu at 3😂😂
Much love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇿🇦 ila kafupi sana
Nakupenda sana RK jamani l love you baby boy❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ai miss you sili ya huba nikiwa burundi ❤ mbona dakika chache Rk nini chida
Kaz nzur ila jacky uko na moyo lkin mim hee napasua kichwa na pita wallah
Hongereni sana mpo vizur napenda kazi zenu kwakweli
Ben waaaaaa fantastic
Oooh nzuriiii Ila fupi ongezen kidogo
Rk hkk unaupga mwing sana,huna_baya brow God bless 🙌 you 🙏
Wow next episode plz ❤❤❤
Kazi nzuri sana ila jaribuni kutoa hata episode tatu kwa wiki, hii moja moja inabana sana
Much love from saudi ❤❤❤❤
Rk pacha wako bosi mchawi nataka nimuone umo❤❤❤❤❤❤
Jaribuni kuongeza,kazi nzuri❤❤❤
Tunaitaji wroung house mwendelezo
Na Mimi toka Tanzania..
RK apo sawa nakupenda sna bac tuletee boss mchawa pliiz❤❤❤❤❤❤
Rk. Hii kazi. Niya 🔥🔥🔥🔥🔥. Sana. Tatizo dakika. Please. Tuongezee. Dakika. 👏👏👏👏
Nakubali kaz wadau bg up sana
Mna fanya kaz vizur Ila mnatowa dakika ndogo sana 🥰😜🧡
Jamani ongezene dakika😮
Tam lkn fupi❤❤❤nawapenda nyote
Rk mbona fupi mno ❤❤Ila upo Sawa kabisa
🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️♥️walai hii movie tamu napenda saaana Rk
Nyie huyu kaka anaikosha na hayo macho kayalegeza kama vile anavuta
Movie ni ya moto sana 🔥 🔥 rk usitucheleweshee episode ya 4 na dakika uwe unaongeza
Rk upo moto nakubal kaz zako
Asalamualeykum team Rk good job 👏 👍 👌 🙌 💪 😀 ❤❤🎉
Kazi nzuri ila dakika chache mno
Movie tamu😊😊😊😊ongeraaaaaaa
Tamu sana ❤❤❤🎉🎉🎉 Rk ila fupi movie Rk
Vizuri sna bro RK Kwan kazi unayoifanya kwakweli ww ni kiboko
Sijachelewa sana 🔥
Rk unajua sna jamaa
Vip kuhusu boss mchawi na wrong house 😢au ziliisha ivyo majamani 😅
Wanakera jaman
Kazi nzuri Rk❤️❤️❤️❤️❤️
Kazi Yenu Iko Nice Big Salute Kwenu
RK nakukubali sana kwa movie zote your big fun from Kenya RK the star ⭐✨⭐⭐❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Keep up good work
Nampenda sana rk, akika unaweza jaman ila vipande vifupi❤❤❤
Kanzi mzuri mnayo fanya ira mbona kama rk ana jichubua na anapotenza muonekano wake unao nifanya niendelee kufatilia tamsilia zenu mana nilikua napenda muonekano wake ila sasa naona anabadilika sula kwanini asiendelee kua na muonekano na muonekano wake ninao upenda na ndo unao nifanya nifatiliye kanzi nzenu ni ushauli tu
Hiyo n camera tu inangalisha
Mambo rk kazizako nzuri tunazipenda❤❤❤🎉napiya naomba tuwe Mara foki🎉
Ila mapenzi konyo kabisa huyu dada namwonea mpaka huluma💔💘
Dakuka kidgo sana muongeze mda kiac bac😢
Wau mumewesa rk kazi zuri sana lakini munajelewa sana 🇰🇪
Rk jameni 💋nakupeda ✌bure kwa zako move kenya wooooye
❤❤❤Rk uko pw
Movie ni nzuri sema inachelewa toka and nimeupenda Sana wimbo wa hii movie kongole Sana kwake aloimba apewe maua yake kwa kwl🌺🥀💐🌹
Nzuri sana ongezeni mda kidogo
Very good Rk napenda video zako
Nakupendaa Alakey
Alakei unatowa story nzuli sana
Nakubali ❤
RK mimi naomba nyimbo ambayo inatumika mwaiyi movies ❤❤
Rk hajibu comments, tatizo
Wapili... Likes zikam
Rk kazi nzuri sana ongeza❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Safi sana 🎉🎉❤❤
Kazi nzur RK
Bern unatisha sana kam unamkubali jamaa gonga like 10 hapo
Good movie RK
Rk unanilenga Ivo wapi like zako karibu Kenyatafadhali na kundi lako
Dahhh mapenzi bana
Yani Ben Aca Hizo Tabia Zakudanganya Wadada😢😢❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Tunaomkubali Rk tujuane apa 🎉🎉🎉🎉🙌🙌👊👊👊💚
Rk ametulia sana vitu vyake havina majungu from 254
Ben nimekupenda too bure😂😂😂♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🥳🥳🥳🥳🥳🥳
Much love from TZ🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Aki kazi n nzuri ila mda ndio kidogo
RK MUNGU AKUBARIKI SANA KWA MSIMAMO WAKO ❤❤❤❤
Kazi nzuri RK much love ❤️ 😍
Nakukubali sana rk kazi mzury ila ombi langu dk ziongezwe kidog
Nimechelewa ndugu zangu nawapenda sana Team RK mukowapi? Tumupe 💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀
Oioioi hatari nakukubar sana rk
Kazi nzuri ❤❤from🇲🇿🇲🇿🇲🇿