📢📣Jumatano hii tarehe 23/10/2024. nitaweka video inayoonesha namna ya kutengeneza mfumo mzuri wa kunyweshea nguruwe kwa kutumia Nipples na hasa kwa wale watu wenye mabanda ya kawaida na hawawezi kumudu mifumo mikubwa ya gharama na hio itakufanyia mapinduzi ya ufugaji wa Nguruwe maana NGURUWE ni maji kwa %75. Endelea kujifunza mambo mengi sana hapa kwenye chaneli yetu ya youtube ambapo utapata mafunzo mengi kutoka kwa wadau na wabobezi wa ufugaji kote nchini.
Kitu chema zaidi ni wewe unatambelea mashamba mengi sana na ukifika kwa mtu ambaye ana fuga lakini ana connection ndogo unampa elimu na uzoefu wako. Huu ni wema.
Juma tano hii nitaweka video inayoonesha namna ya kutengeneza huo mfumo mzuri wa kunyweshea nguruwe kwa kutumia Nipples na hasa kwa wale watu wenye mabanda ya kawaida na hawawezi kumudu mifumo mikubwa ya gharama na hio itakufanyia mapinduzi ya ufugaji wa Nguruwe maana NGURUWE ni maji kwa %75.
📢📣Jumatano hii tarehe 23/10/2024. nitaweka video inayoonesha namna ya kutengeneza mfumo mzuri wa kunyweshea nguruwe kwa kutumia Nipples na hasa kwa wale watu wenye mabanda ya kawaida na hawawezi kumudu mifumo mikubwa ya gharama na hio itakufanyia mapinduzi ya ufugaji wa Nguruwe maana NGURUWE ni maji kwa %75.
Endelea kujifunza mambo mengi sana hapa kwenye chaneli yetu ya youtube ambapo utapata mafunzo mengi kutoka kwa wadau na wabobezi wa ufugaji kote nchini.
Asante sana Kaka Musa🙏🏻🙏🏻
Asante Sana leo nimependa sana somo hili kwa sababu umefika kwa mtu ambaye Bado hajapata elimu ya kutosha na umetoa elimu nzuri sana
Asante sana kaka Musa 🙏🏻🙏🏻
Nakukubari sana niko burundi napenda habari zamifugo
Wow! Karibu sana rafiki kutoka nchi nzuri ya Burundi ninyi ni majirani wetu kabisa. Tumefurahi kufahamiana na wewe na kujua kama mnatufuatilia🙏🏻🙏🏻
Nakufuatilia kwa karibu sana ni kama umeamua kutusaidia tufanye maamuzi
Kabisa kaka haya mambo lazima tufahamishene kila mtu ni mwanafunzi acha tupeane ujuzi ili tujikomboe kiuchumi
Asnte kwa maelekezo.naomba mawacliano na hao wanunuzi wa Dar es salaama
Hongera sana
Kbs
Mawacliano tafadhali
Nimekwelea Sana mtangazaji
Asante sana Nddugu yangu Elia
Kitu chema zaidi ni wewe unatambelea mashamba mengi sana na ukifika kwa mtu ambaye ana fuga lakini ana connection ndogo unampa elimu na uzoefu wako. Huu ni wema.
Asante sana kaka Justine kwa ujumbe wenye kunitia moyo
Naomba Hilo somo la nip holes
Juma tano hii nitaweka video inayoonesha namna ya kutengeneza huo mfumo mzuri wa kunyweshea nguruwe kwa kutumia Nipples na hasa kwa wale watu wenye mabanda ya kawaida na hawawezi kumudu mifumo mikubwa ya gharama na hio itakufanyia mapinduzi ya ufugaji wa Nguruwe maana NGURUWE ni maji kwa %75.
Asante sana@@aBjofarm_tz
Hongera sana
Asante sana ndugu kwa pongezi