ALIKIBA KWENYE BABY SHOWER YA MARIOO NA PAULAH
Вставка
- Опубліковано 16 кві 2024
- President wa CROWN MEDIA na Mwanamuziki wa Bongo Fleva Alikiba alivyowasili kwenye usiku wa Baby Shower ya Marioo na Paulah Kajala wanaotarajiwa kupata Mtoto wa Kike.
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: profile.php?...
TIKTOK:
- www.tiktok.com/@crownmedialiv...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz - Розваги
Raha ya alikiba ndo hii na baya na mtu kwak kicheko tu sio wengine wakishajiona wako juu bas wasanii wadogo wanahadhi ya kumbato safi sana King 👑 mbinguni kuna kiti chako
Chakwako kipo na wazaz wako maana unamsujudu m2 hata hana gaida kwako
Kbx
Sema wew ❤ maan c wngin htuaminik
Nampenda King kiba....hana ubaguzi❤❤❤
King himself 🤴 everybody was happy to the king and more respect 🤴🔥🔥🙌
Ufalime wa crown media 👑 hapa ni nyumbani
Hii Ndo maana halisi ya kuwa mfalme wasanii wote walio kuwepo wakaammka kwenda kumsalimia HANA BAYA hongera Sana hiyo ndo picha halisi tunayo taka kuiona nchini Tanzania #beblessed
Nampenda alli hana maringo naahaachi kusalimia watu ❤
Kumbe ukiwa na Radio 📻..mtu unaeshimika kiasi hiki..Ahsante kiba 😂
❤❤ king ana upendo sana MashaAllah Allah amlinde🙏
Jamani mbona kila mtu anatamani ashikane na Alikiba ❤
Ali Kiba,you are smart....very quiet... intelligent.God bless you.from Lusaka.
King kiba, napenda sana ulivyo mambo ya kusuka, kuweka vipini hakuna safi sana hiyo big up to you Ali kiba 👊👌👍🇹🇿🇹🇿
Uyu kaka mungu amuweke kbx ❤❤
Mashallah alikiba Kila mtu anataka ampe hi hii n good heshim umepewa nmependa
Ali is so down to earth
King kiba ni mtu poa hana makubwa🤝
Sikuzote.
Wabongo Kwa Kuiga wanapeana Mikono Kizungu.
Mstarabu sana wewe Ali kiba, NI MTU WA MAMA SANA WEWE, ALI KIBA 💐💐👌👌
Kingkiba❤❤❤
😂😂😂king kiba ila babaake na levo bhana
Hongera sana kiba🎉
Kiba hongera sana
Haringi anajua Kuna kesho
❤big love Alikiba
Angekua mwingine asingepita kusalimia wote ivyo ❤❤❤❤
King 👑 n mmoja tu❤
Alikiba anavaa kama mwanaume siyo wengine siyo wengine wametobowa masikiyo na puwa mpaka uwezi kujuwa wanawake au wanaume
Hana baya msanii wangu ❤
Ndagukunda Alikiba❤
Alicia wew kak pic sana umewapa Hai Watu mpk rahaaa❤
Woow very respective man. Yan anashow love kwa kila mtu. Hugs from me Broh. u nailed❤
Nimependa king alivopass by kutoa hi kwa wasanii
Nimefurahi Kama nmeona kuku wasikukuu
Crown media 🎉
Boss kama bos❤❤
Wasanii wengi wanaunafiki mwingi😢
My king kiba 💯
Very humble guy🎉
Nani kamuona dulvani kamkumbatia king
Upendo raha sana
Baba levo nmafki sana anajua kug'ata na kupuliza 😅😅😅😅😅😅
Nilikua natafuta coment kama hiii nikajua nimeona peke angu😂😂😂😂
🎉
Huna baya king✌️
❤❤
Kiba❤🎉
Mchicha mwiba dullvan anaona aibu mwnyw alisema hamjuh kiba
king kiba ❤❤❤❤ huna baya kaka nakupenda bure
Crown hapa n nyumban
Namependa kweli nimtu wawatu
❤❤❤❤❤❤
King kiba 👑👑👑
Spelling ya baby is wrong , correct it
Safi sana hajikwezi,ana Imani kubwa ya MUNGU,mengine yamekaa kishetani
Respectfully to presider
❤❤❤
Huyu ni rais sio.mkurugenzi hao muwambie tena ili wapate akili
😂😂😂😂nimecheka aki ongeza sauti hawajasikia
Uhakika
Ohoo
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
King❤❤❤❤❤
Nice
💞💞💞
Kingkiba
Sasa mbona Ali ajaongea jamani
King Kiba 👌
Crown vamos 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Baba levo kwa ali kiba t😮😊
Raha ya alikiba no tattoo no kusuka appreciating you bro❤
✍️✍️
Thats ma king
🤴 🎉🎉🎉❤❤❤
Baba Levo kingkiba
Nimependa
Hii ndoheshma unapokuta watu salimia wot bila kujal we ninan wao ninan
Hakika
@@talibthetruth8709 😘
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yaan mi nimependa kwakwel hata huyo dulvan kasema hamjui alikiba lakn kamsalimia ali nimtu pisi kwakwel
Babay
Ali MTU WA watu❤️❤️
Jamani mashabiki wenu mnatunyima raha njoeni hewani basi na wapenda sn
Kwa aliyezingatia apo atagundua kuna ka attention flan hv ka tofaut wasanii wamekuwa nako wakat wanampa salam kiba🤣🤣🤣
Yeah I see too
Ali kiba ni king❤🎉
Broo huna baya all the best
Hapa ni nyumbani tuu
Yeeebabah 😇 😇 😇 😇 😇
Kiba ni kipenzi ca watu wote
Huyu jamaa anapendwa sana
King 👑 kiba
Uyu baba levoo mmmh
jaman uyu ni raisi sio mkurugenzi tafadhali
Nimependa Chino wameerewana na malioo
Kweli King👑 paka wasani wana shimama.. na ule wa👃
wanyamwezi wamepoa
Jaman Duluvani alisema hamfamu alikiba, mbona kamkumbatia?
Tupo visuri
Kwel alikiba ni king 🤴 alipoingia tu kila mtu anatak kumusalimia
Kesho 2tapata habari nyengine kuhusu Ali k. Kukumbatiana na baba levo. Mana njua wabongo wamepata content tyr.
King kiba ❤❤❤❤❤❤
Kiba
Kipenzi cha watu
Bado sana
Alikiba mtyu na heshima zake mjini
Mtu poa san
hana bayaking kiba salut kwake
King 👑
1:07 1:12