Exclusive|| Mbunge aliyesema watu waingie kwa pasipoti Zanzibar "Msimamo wangu huu siwezi kuugeuza"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 тра 2024
  • Mbunge wa Jimbo la Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa amesema msimamo wake kuhusu watu kwenda Zanzibar kwa paspoti bado uko vilevile isipokuwa awali watu wengi hawakuelewa maneno yake lakini alichokimaanisha ni kuweka paspoti kwa lengo la kuvilinda visiwa hivyo.
    Mohamed ameyasema hayo leo Jumanne, Mei 7, 2024 alipozungumza na Mwananchi Digital Bungeni jijini Dodoma ambapo amesema kumekuwa na watu wengi ambao wamekuwa wakienda Zanzibar kutoka mataifa ya jirani bila paspoti kwasababu ya utaratibu uliopo sasa hivi.
    Aidha katika mahojiano haya Mbunge huyu pia ameeleza kuwa angetamani Watanzania wote wapewe pasi za kusafiria punde wanapozaliwa ili kurahisisha usafiri kwenda maeneo mbalimbali pamoja na kulinda visiwa vya Zanzibar kwani utaratibu huo unatumika nchini Uchina pamoja na Uingereza.

КОМЕНТАРІ • 419

  • @user-no2ut7yd3e
    @user-no2ut7yd3e Місяць тому +14

    Haki iwe pote Tanganyika na Zanzibar tutumie posipoti.

  • @NassorMohammed-oy7bc
    @NassorMohammed-oy7bc Місяць тому +9

    Kazungumza vizur

  • @khelefmatelephone9653
    @khelefmatelephone9653 Місяць тому +6

    Hongeraa muheshima

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 Місяць тому +8

    Good kiongozi, umeeleweka

  • @samsonogunde4508
    @samsonogunde4508 Місяць тому +8

    Nakukubali Zanzibar Lazima Mlinde Nchi Yenu, Muungano ni Kesi Nyingine na Nyie Watanganyika tafuteni Nchi yenu Hakuna Tatizo na Hakuna Ubaguzi hapo.

    • @DavidSemu-gu6wp
      @DavidSemu-gu6wp Місяць тому

      Watanganyika tutafute nchi yetu!!!?? Ama kweli! sawa iko siku tutaipata Tanganyika yetu, jeuri hiyo isi kusahaulishe nusu ya wapemba wamelowea huku.

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go Місяць тому

      ​@@DavidSemu-gu6wpWazanzibari tupo kila eneo duniani so uwezo wao unawaruhusu bc wataishi uko

    • @East_Africa_120
      @East_Africa_120 Місяць тому

      Tanganyika ndio nini

    • @abdifaraji2883
      @abdifaraji2883 Місяць тому

      Sehemu yote ya pwani ilikuwa miliki ya Zanzibar tumenyang'anywa na Wajarumani na Waingereza wakati wa vita vya pili vya dunia, na sehemu hii ikitwa Mrima. Mpaka leo ukitokea Posta kuu, karibu na mahekalu ya Wahindu kuna kipande kidogo sana kinaitwa Mtaa wa Mrima, yaani Mrima Steet. Sijui kwanini jina hili limefichwa pale. Nadha Watanzania wasijue historia ya huu Mwambao wa Arika ya ashariki. Nalotaka kusema ni kuwa kuoana baina ya Wazanzibari na Watanganyika kulikuwa hata kabla ya huu Muungano. Nyumba nyingi hapo kitumbini karibu na Msikiti wa Ijumaa zilijengwa na watu kutoka Zanzibar. Hata bandari ya Mombasa ilikuwa Zanzibar mpaka 1963 kabla ya uhuru wa Zanzibar Kenya ilipoidai na Jemshid akaridhia iwe milki ya Kenya. Inashangaza kuona watu wakisema Wazanzibari wamejaa mpaka Katavi. Nakumnika katika miaka ya hamsini kule Kitoroni karibu na Ndagaa Wazaramu na Wanyagatwa na Wandengereko lijigawa makundi mawili, kundi moja wazawa, yaani wale mababu zao wamezaliwa Zanzibar na kundi jingine likiitwa wakatamaji. Wakatamaji walikuwa ni watu wasiozaliwa Zanzibar. Mlezi wangu alikuwa mkatamaji aliyezaliwa huko Nyamisati kabila yake ni mnyagatwa. Jifunzeni historia ya Mwambao wa Africa ya mashariki kabla ya kuropokwa, hasa Viongozi wanaotoka huko Madongoporomoka wanaoleta jeuri na kashfa.

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 15 днів тому

      Sisi nchi yetu ipo hatuna haja ya kuitafuta. Na ndio nchi hiyo hiyo inayokuleeni nyie.

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim Місяць тому +8

    Hujakosea,kiufupi waingie na tuingie Kwa passport kwisha kabisa.umeongea point xn

  • @MainlandFc-xc3bi
    @MainlandFc-xc3bi Місяць тому +2

    Good dear brother, umeongea vizuri sana

  • @ZuenaSharifu
    @ZuenaSharifu 20 днів тому +2

    Good

  • @YusuphHamadi-wy7rt
    @YusuphHamadi-wy7rt Місяць тому +3

    asalam alaiku muheshimiwa mbunge nakusapoti uko sahihi

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 Місяць тому +8

    Tanganyika irudi ili ku ondoa yote hayo

  • @phabiankagoma5144
    @phabiankagoma5144 Місяць тому +3

    Kwa hoja hizi nadhani Tanganyika kama Nchi inahitajika.!!!

  • @Pemba680
    @Pemba680 20 днів тому +2

    Mmbunge mzuri sana Allah akuweke

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 Місяць тому +8

    Mimi sioni ubaya Tanganyika ni kubwa mara 470 kuliko Zanzibar ni muhimu kuweka utaratibu.

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 Місяць тому

      Utaratibu ni kuwa na serikali tatu, hivi ni watanganyika wangapi wanaingia Zanzibar? Mambo ya funika kombe mwanaharamu apite hayana tena nafasi!

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Місяць тому

      Wale Wa Mpango Mkakati haqatamuelwa/watampinga

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 Місяць тому +2

    Upo sawa kwa hilo.Ila Tanvanyika ni pakubwa na pia tupo wengi.

  • @iddihassan2677
    @iddihassan2677 Місяць тому +9

    Ssi wazanzibar tutaingiya tanganyika na pasport na watanganyika mtaingiya zanzibar kwa paaport

    • @ayshasaid1547
      @ayshasaid1547 Місяць тому

      Ni vizur sana itakua poa

    • @GoodTeck90
      @GoodTeck90 Місяць тому +2

      Bwege wewe ..... hata unachoongea hukijui ...... Zanzibar ina Immigration department ??!! au ina Wizara ya mambo ya nje ??!! ...... Sasa kama hawana nani atamkagua mwenzie kati yenu na sisi ??!!

    • @BennyJumah-hd8yf
      @BennyJumah-hd8yf Місяць тому +2

      Kichwa kisicho na a kilo ni mzigo kwa shingo

    • @jumannemumbi9911
      @jumannemumbi9911 Місяць тому +1

      sasa ukiangalia uku Tanganyika wazanzibar wapo wengi Sana na wamejiwekeza Sana apa inakuwaje

    • @jakobongwara3038
      @jakobongwara3038 16 днів тому +1

      Wewe mnyamwezi utaludi kwenu kisiwa hicho hakikua nawatu zaidi ya wakoloni kiliitwa kisiwa ausio

  • @user-re6bk6cd6o
    @user-re6bk6cd6o 6 днів тому +1

    Good leader 👏👏👏

  • @user-km5eg5ze6m
    @user-km5eg5ze6m 26 днів тому +1

    Huyu ndo kiongozi hodar

  • @NassorMohammed-oy7bc
    @NassorMohammed-oy7bc Місяць тому +2

    Sawa

  • @alexmalindo8179
    @alexmalindo8179 Місяць тому +2

    Jamani wana CCM wenzangu kwa nini tusiwape hawa watu nchi yao. Ili tuone hayo maendeleo wanayo sema wameyakosa kwa sababu ya muungano.

    • @sabrinaali9750
      @sabrinaali9750 5 днів тому

      Tunatamani nutupe ata leo hii hatui kwanini mbatung'ang'ania , mmekua ving'ng'a kwa zanzibar kwanini tuachieni tunaotaka wenyewe kwa sauti pana sana

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 Місяць тому +1

    Nikweli mh ana Manisha z ni nchi uko vizuri Tanganyika yetu jamn

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 Місяць тому +11

    Hujakosea kabisa muheshimiwa passport muhimu kwa tanganyika na Zanzibar. Kwahiyo ssa ni wakati sahihi wa kuidai tanganyika

  • @saadaliy3979
    @saadaliy3979 Місяць тому

    Sahihi

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 Місяць тому +2

    Muheshimiwa umezungumza maneno mazima kwa utetezi juu ya wazanzibari tunateseka sana juu ya wageni waliojazana zanzibar mabaa hayasemeki machangu dowa kila kona

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 Місяць тому +1

      We umeona ma bar tu hujaona swala watoto wa kike kuingiliwa nyuma ya maumbioe ety kisa kutunza bikra mpk kuolewa, kwann iwe nyuma ya maumbile ongeleeni hilo ndo Jambo la msingi sio muongelee bar,

  • @user-gy5og1ts9n
    @user-gy5og1ts9n Місяць тому +1

    Ndio mie mtanganyika lkn ss watanganyika tumezid kuharibu tabia na huruka ya kizanzibar inasikitisha kweli Bora aseme tyuu.

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb Місяць тому +1

    Big up kaka

  • @Worldunite
    @Worldunite Місяць тому +3

    Wazungu kutembea na vichupi jee? hawaharibu tamaduni zenu huko?

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Місяць тому

      Nyie watanganyika hamtembei na vichupi, bora hao watembea na vichupi. Nyie mnavaa nusu utupu na kuuza utupu kwa bei rahisi, angalau wazungu hawauzi utupu

    • @Worldunite
      @Worldunite Місяць тому

      ​​@@Sheba4651ulijuaje sie watanganyika hatuvaagi chupi?
      Unatutukana?, labda wewe ni mzoefu wa haya mambo

    • @Worldunite
      @Worldunite Місяць тому

      @@Sheba4651 we ulijuaje kwamba sie wabara hatuvai vichupi?

  • @christineaimtonga9872
    @christineaimtonga9872 Місяць тому +2

    Lakini je kitambulisho kinamaanidha nini?

  • @bellalygeomecky1145
    @bellalygeomecky1145 28 днів тому

    Safi

  • @user-kf6po4ux2n
    @user-kf6po4ux2n Місяць тому +1

    Mh keep it up

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 Місяць тому +1

    Huyu mbunge mpuuzi na aliyejaa chuki! Eti mwanamke kufunua nyweke ni sawa na mwanamke kuwa uchi na anavutia zinaa. Sasa kwa nini anaingia kwenye vikao vya bunge, maana humo Bunge i kumejaa wabunge wanawake wenye kuacha kichwa wazi, hivyo kila siku kwa kuwaona wanawake hao anafanya nao zinaa, mpuuzi kabisa! 18:03

  • @user-gu1ij5ke9y
    @user-gu1ij5ke9y Місяць тому +1

    Mh.mbunge anajenga maswali mengi sana dhidi ya maelezo yako,

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku Місяць тому +3

    Hili swala la ushoga nilishangaa nchi kama Zanzibar kuna mashoga

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq Місяць тому +2

    Watu wa vijisiwa hivi vidogo vidogo dunia nzima wagumu sana .

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k Місяць тому

      Ahaaaa😅

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k Місяць тому

      Hata shujaaa wao pia alisema hivo hivo watu hawa wavijisiwa hivi vidogo vidogo bila ya kujua ni nchi kamili yenye mamlska yake

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 Місяць тому +1

    Passport ianzie pemba na unguja kwanza

  • @nassercurtis9579
    @nassercurtis9579 Місяць тому +3

    Mimi ni mtanganyika naunga mkono Zanzibar waru waende na passport sababu ni 1/kulinda visiwa vya Zanzibar 2/kuongeza thamani hasa sehemu za beach maana uhuni umekithiri baharini. 3/kusafisha madada poa maana asilimia 99wanatokea tanganyika. Visiwa vinatakiwa kulindwa kwa wivu mkubwa mno mno. Tuache mihemko ya kisiasa zanzibar inapaswa kulindwa.

    • @jumannemumbi9911
      @jumannemumbi9911 Місяць тому

      kwa koment hii wewe sio mtanganyika watu sasa hivi wanaalibika Ata kupitia social media ndio inaalibu jamii zetu

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 Місяць тому

      @@jumannemumbi9911 nimezaliwa Tanga hospital ya Bombo nimekulia tanga chumbaageni na Dar es salaam kinondoni district/ kijitonyama nimesoma tanga na Dar pia, then nimesafiri na mpaka sasa nipo nje lakini nitarudi nyumbani nimejenga dar na sasa ninajenga tanga huko Zanzibar sina hata kiwanja wala biashara ila ndugu wapo wanaoishi huko na wao pia hulalamika kuwa siku hizi zanzibar sio kama zamani uhuni ni mwingi mno na hasa husema wanaofanya uhalifu nyumbani wote wanakimbilia huku na hata waliokosa soka haramu la kuuza miili yao nyumbani sasa wapo huku wengi wao wakijaribu kupata bahati za kupata wazungu so bro mimi ni mtanga mtanganyika, hatupendwi kuambiwa ukweli zaidi hupenda kusifiwa sifa za kijinga kuwa bongo ulaya sio! Tuwe wazalendo tuilinde zanzibar ni faida kwa wote iwe i mzenji au mtanganyika sisi wote ni wamoja na ndio maana passport yenu ni moja na lugha yetu ni moja, usiwe kama mama mwenye mtoto mwizi akiambiwa mwanae muizi anasema haiwezekani siku amepigwa ameuwawa kwa wizi anasema mwanae ameuwawa na majambazi au ameonewa ila ndani yake hulia nilikwambia mwanangu za mwizi arobaini sasa unaona. Kuwa jasiri kuusema ukweli au kukabiliana na kweli tupu, ikitokea useme amepata alichokipanda kwa muda mrefu na kifo ndio mavuno yake. Haitakuumiza sana ukiwa mkweli.

    • @IssaMohamed-mp4hj
      @IssaMohamed-mp4hj 21 день тому

      Unaliwa nini wamapokuja Bala nawao waje na paspt

  • @AlnordGozonga-gw2sb
    @AlnordGozonga-gw2sb Місяць тому

    Huyu jamaa point ress kweli
    Huyu kabugia

  • @allymganga3223
    @allymganga3223 Місяць тому +1

    Mbona uzungumzii wazanzibar wanaomiliki ardhi bara na wanaoishi maisha yao ya kudumu bara unazungumzia upande moja na kutolea mfano nchi zingine

    • @saidmohammed9832
      @saidmohammed9832 29 днів тому

      Huo upande mwengine zungumza ww

    • @Silay1034
      @Silay1034 11 днів тому

      Hilo suala la kumilik ardh syo hoja la msingi na wala syo ubaguz bali hilo linatokana kwa mujibu wa sheria katiba ya Zanzbar inasema asokuwa mwenyeji haruhusiwi kumiliki ardh na katiba ya Tanganyika inaruhusu mgeni kumilik sasa ubaguz uko wp

  • @user-vv4wo5fu9t
    @user-vv4wo5fu9t Місяць тому +1

    watizame hawa wazanzibar msiupende utumwa nia yenu kuwarudisha Warabu hili muwatumikie

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 Місяць тому

    Bwege

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Місяць тому +1

    Ujue unalipwa kwa kodi zetu watanganyika

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 Місяць тому +1

    Tazama mifano ya nchi za kiarabu oman na dubai watu wanasafiri na vitambulisho tu sio pasport najivunia kua mtanganyika huyu yupo lama netanyau

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Місяць тому

      Aysha:Natanyahu ni muuaji na mkorofi.huwezi kumlinganishe mbunge wa Konde na Natanyahu.Wazo la kuingia Zanzibar kwa kitambulisho kama passport ni jambo la maana na lenye misingi ya kiusalama wa WaZanzibari

  • @EnekiGauni
    @EnekiGauni Місяць тому +1

    Huyo mbunge ni mbaguzi kwasababu yy hajui kwamba tumekuw kwajina Moja Tanzania. Ahojiwe selikari ni moja, hakuna T bira Z nahakuna Z bira T . Yuyo ni mdini .Ajui kama Afrika tuna dini yetu, na tunatumwa na dini . Kuna nchi nyingi Afrika waass walikataa sana unini

  • @muhammadmassoud3576
    @muhammadmassoud3576 Місяць тому +1

    Hayo ni maoni yako ni mpaka serikali ikubali maoni yako.

  • @mwajumaabdallah5435
    @mwajumaabdallah5435 23 дні тому

    Wanaelewa vizuri hawataki tu

  • @user-ry8xf1no2s
    @user-ry8xf1no2s Місяць тому

    Nimekuelewa kiongozi

  • @mohammedbakar4142
    @mohammedbakar4142 Місяць тому

    ID VERY IMPORTANT zanzibar tokea mwaka 1976 watu walikuwa wanaigia zanzibar kutoka tanzania bara walikuwa wanakuja na vitambulisho na walikuwa wa kiripoti kwa Balozi wa nyumba 10 wabunge dodoma waweke kumbukumbu kuwa kulikuwa na passport za mchele walikuwa zinatumiwa kwa pande zote mbili yani ya karatasi na ipo na picture ya mtumiaji miaka ya 1976 yani wanataka kutujazia majambazi immigration tanzania bara na zanzibar muhimu kuzibiti uhamiaji

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn Місяць тому

    England, Scottland Yard, Wales ni nchi za Uingereza zimeungana! Pole sana. Rudi darasani urudie masomo na mtihani wa Historia na Jiografia ili uwe vizuri zaidi.

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel Місяць тому

    Huyu Mbunge yuko sahii Hila anakwepa kunyooka
    Mi naitaji kuwa kwenye huo mdaalo please Naomba hukiwepo Nami nikaribishwe

  • @abdisalamjamal2128
    @abdisalamjamal2128 Місяць тому

    Huyu Mbunge ameonyesha dhamira yake ya kutumiya Passport kuingiya Zanzibar kama ni hivyo basically kuwe na Passport tafauti ya Zanzibar na ya Tanzania Bara(Tanganyika).it will be impossible to enter and exist within your own country. With the same Passport.

  • @emmanuelmruve821
    @emmanuelmruve821 23 дні тому +1

    Kwa ujinga wangu tu nikitoka Arusha kwenda kilimanjaro lazima niwe na passport kwasababu wanalinda mlima wao

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 15 днів тому

      Kweli kwa ujinga,maana muungano wa nchi,ni arusha na Kilimanjaro,

  • @iddihassan2677
    @iddihassan2677 Місяць тому +4

    Wabara zanzibar yetu ndogo mnatujz t

    • @user-qj2fz8uq3j
      @user-qj2fz8uq3j Місяць тому

      Harafu nyie mbona mnapojazana hawasem

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go Місяць тому

      ​@@user-qj2fz8uq3jbakini kwenu

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      Wazanzibari wote ni kutoka bara sasa sijui unaongelea kitu gani wewe mbwiga.
      Halafu karibu wazenji wote wapo bara hadi mikoani huko mkiitwa wapemba, Zanzibar bila bara hacienda na ndio maana chakula kikuu ni MAPEMBE Michele uliopitwa na wakati (expired) halafu ndio kitovu cha mashoga mkifuatiwa na Mombasa.
      Passport nyie ndio itawaathiri sana kuliko bara.
      Achana na bara ni maji marefu.
      Tangu mapinduzi ni kiongozi yupi ambae ni mzanzibar asilia?

  • @HawaKashililiks
    @HawaKashililiks Місяць тому

    Mmhh

  • @abashamad9929
    @abashamad9929 Місяць тому +1

    Bora iwehivo

  • @SalamaM-jv9lf
    @SalamaM-jv9lf 19 днів тому

    Wewe unae sema Zanzibar Kuna njaa mbona mmejazana tele munauza njugu kwaiyo kwenye njaa wapi kati ya Zanzibar na tanganyika

  • @LUBAINAMOHDRAJAB
    @LUBAINAMOHDRAJAB Місяць тому +2

    Zanzibar ilikuwa na passport kabla ya Muungano. Kwani kuna tatizo gani na ni visiwa vyao. Wapeni haki yao Tanganyika ibaki kuwa Tanganyika na Zanzibar ibaki Zanzibar muungano utakuja kwa mambo maalumu. Leo Zanzibar imekua jaa kila baya unalikuta watu wabaya wanapenda wakafanyie kule. Kwanini hamkutaka kuungana na kenya uko au burundi mkataka Zanzibar?

    • @HappyBooks-dj6oy
      @HappyBooks-dj6oy Місяць тому

      Hauna Story.Muulize karume

    • @aproniamasatu5810
      @aproniamasatu5810 Місяць тому

      umeongea point hata mimi mtanganyika sipendi muungano na Zanzibar na kiukweli nachukia muungano

  • @emlongetcha88
    @emlongetcha88 Місяць тому +3

    😂😂🤣🤣 Binti akiwa kichwa wazi... Anapata hamu ya kufanya ngono 😅😅😅. niaJabu (nywele tu unatamani ngono duuu!!)

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Місяць тому

      Usllete udini

    • @hajinassor6369
      @hajinassor6369 27 днів тому

      Wew huna ujualo Bora unyamaze

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 15 днів тому

      Katika vishawishi vya kufanya mapenzi vipo vya aina nyingi,na hivi vishawishi vipo kwa mwanamke na kwa mwanamme katika miili Yao,Leo nitakupa kwa upande wa mwanamke tu,kumbuka kwenye kupenda Kuna sababu nyingi zinazokushawishi uanze uhusiano na mpenzi wako,kwa mfano umempenda mtu kwa nywele yake imekuvutia uwe na yeye kimapenzi au kwa macho yake au bodi yake jinsi alivyo,na ndio maana tukahimizwa kufunika miili ili kuepusha kutamania kwa haraka

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 Місяць тому

    Hakuna tatizo lakini hoja ingekuwa kwa pande mbili. Pande zote waingie kwa passport. Mimi sioni maajabu ya mimi kwenda Zanzibar na hata ikibidi wapewe passport yao. Kila mtu akae kwake. Tumechoka na malumbano ya muungano. Mtu wa kawaida hawezi kuona faida za muungano. Sasa tumepata bahati ya marais wa Zanzibar ni rahisi kwao kufanya maamuzi magumu ya Tanganyika na Zanzibar.

  • @EliauMtishbi-os5ky
    @EliauMtishbi-os5ky Місяць тому +1

    Mtanganyika kwenda Zanzibar hakuhitaji passpot ila huyu jamaa itabidi hata mzanzibari waje Tanganyika na Passport .

  • @abuually7797
    @abuually7797 2 дні тому

    Kila mzanzibari ni mtanzania lkn.sio kwa kila mtanzania ni mzanzibari itoshe kusema hapo hakuna muungano ni uhuni tuu

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Місяць тому +1

    Acheni ubaguzi una lengo baya kwani hao aliowaona Zanzibar hawana passport kwa nini ana mashaka na watanganyika???

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Місяць тому

      Wewe ni mpuuzi na mwendawazimu!Lete hoja juu ya hoja zake

  • @user-rk9gr9yf3i
    @user-rk9gr9yf3i Місяць тому +3

    Kweli Mitanganyika mingi ni mikiristo ikija Zanzibar inajifanya waislam na hili pia tatizo

    • @aliferuzi1537
      @aliferuzi1537 Місяць тому +1

      BRO KAULI YAKO POTOFU KABISA YAANI UMEFELI

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen Місяць тому

      @@aliferuzi1537 Ndio Ubaguzi wao Mkubwa 🤔Na Wamesahau Kama Sio Muungano wangekuwa na Hali mbaya Zaidi nyambavu huyu mwache mungu ampige makofi 🫣

    • @user-xv4tl8iv4l
      @user-xv4tl8iv4l Місяць тому +2

      UKRISTO UMEANZIA ZANZIBAR UKAENDA TANGANYIKA.

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 Місяць тому

      We ni mkundu unaefirwa na babaako,umezaliwa na kahaba aliyepandikizwa na hanisi,choko wewe

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 Місяць тому +1

      Mwambie mungu wako mwarabu,maku wewe

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 Місяць тому

    Hatutaki Muunganoooo

  • @user-fm1kj4hm4n
    @user-fm1kj4hm4n Місяць тому

    Zanzibar tukifanya masihara bas muda usio mrefu itazamishwa na wageni
    Mh, M'bunge upo sahihi tena ww ndo unasimamia makubaliano ya Muungano

  • @IssackMussa-dz1hw
    @IssackMussa-dz1hw День тому

    Ubaguzi huuu kabisaaa

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw Місяць тому

    Naww ukija huku bala uingie na passport

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 Місяць тому

    Hata kama watalipuuzia leo liaibuka kesho, kesho kutwa na siku zijazo na baadae watasubiri tuwe wengi ili tudai tanganyika yetu halafu wakubali kwa aibu.

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 Місяць тому

    Uko sahihi kaka mimi wa bara, nakuunga mkono

  • @BrunoShao-je2yv
    @BrunoShao-je2yv 8 днів тому

    kwa unavojieleza tu ni mbaguzi mbona ninyi mnamiliki ardhi huku bara?

  • @mishindurya9075
    @mishindurya9075 29 днів тому

    Hana hoja kabisa unasema kisiwa ni kidogo ssa mbona kwa watu wataka uishi?mbona huku umiliki ardhi lakin kwenu hutaki wasema walinda kusijae na ss pia ni wengi msije huku muondoke dar mbaki huko..

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 Місяць тому

    Wasipodhibitiwa watazidi kuharibu jina la Zanzibar

  • @Kokhaako
    @Kokhaako 29 днів тому

    Passport irudi Zanzibar ni ndogo mno inahitaji kulindwa.

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 14 днів тому

    iv wazanziba wana mashamba je waende shambani na paspot mtu ulie na paspot unarusiwa kua nashamba sehemu unayoenda na paspot je hakuna kitu chakumtalisha mtanzania . Lahasha kama Zanzibar nikuzur sana kaa pekeenu wazanziba kusanya wazanziba mukae huko. Muje kwapaspot Kwan paspot nn. Kwani tabia ya madadapoa hiyo tabia wameitoa WP na nitabia ya wap ko nitabia ya watanganyika. Ww jamaa unamaneno matamu Zanzibar kilakitu bule mafuta beichn petroli dzel yataa oo

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 Місяць тому

    Yeye anaingia bila passport, wabara tuingie na passport!

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 Місяць тому

    Wa Zanzibar wako zaidi ya milioni 6 lakini wengi hawa ishi zanziba

  • @fahimali4086
    @fahimali4086 Місяць тому +1

    Huyo ni msaliti kama wasaliti wengine

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 Місяць тому +1

    Huu uzanzibar na utanganyika tusipokuwa makini utavunja muungano kwa sababu upande mmoja unanufaika sana na muungano huu na upande wa pili unatumika kunufaisha upande mwingine suala hili litazamwe kwa kina sana kuleta matokeo chanya

    • @user-zj4ii6uf7t
      @user-zj4ii6uf7t Місяць тому +1

      Ndo maana sisi watanganyika tunamakodi mengi yanayotuumiza watanganyika,kumbe upande mwingine wanatunyonya watanganyika bila hata huruma, viongozi wetu mna zambi ninyi!!!

    • @user-zj4ii6uf7t
      @user-zj4ii6uf7t Місяць тому +1

      Kututesa watanganyika kwa Kila kitu,kwa Mungu mtaenda kujibu

  • @hakimhakim9631
    @hakimhakim9631 Місяць тому

    safi sana,wabara wanaivamia zanzibar

    • @onelovetz7935
      @onelovetz7935 Місяць тому

      Tunataka Tanganyika naninyi nje kwa pasipoti

  • @LastdayJesu4153
    @LastdayJesu4153 Місяць тому

    Wajifunze somo la historia kwanza ndo wataelewa nini ni kipi😂

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or Місяць тому

    Watu wengi hawajui hilo.
    Wazanzibar naturally wabaguzi..hata huku ughaibuni ndio kabisaa.
    Tatizo wamesahau asili yao..ndio tabu ya utumwa humfanya alie kua mtumwa asahau asili yake

  • @princematumbo
    @princematumbo 19 днів тому

    Huyu mmakonde mtumwa huru ana shida sana,luck of education

  • @omardamka9708
    @omardamka9708 Місяць тому

    Unaposema mambo ya muungano sawa lakini washauri wa zanzibar wenzio miswaada inayosomwa bungeni ambayo siyo ya muungano muwe mnatoka bungeni na kurejea mkae kwenye bunge mjadili yanayohusu muungano tu ukiambiwe wewe utoke kwanza ukasubiri siku ya wizara ya nje ndani ulinzi ndiyo uingie huwezi kubali nakutafakari sana mbunge wenye chama iwapo ccm mtambue mliwekewa pandikizi

  • @abdisalamjamal2128
    @abdisalamjamal2128 Місяць тому +1

    Huyu Mbunge asitutukane kwani hawo madada poa wengi wametoka Tanzania bara(Tanganyika)mbona madada poa kutoka Zanzibar wamejaa Daresalam.tafadhali aombe msamaha kwa matusi kwa kiongozi kama huyu.

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 Місяць тому

    ni sawa na zanzibar wakija bara wabebe passport

  • @zabronmshana3277
    @zabronmshana3277 24 дні тому

    Tukubali TU kuwa mzanzbar sio mtanzania na mtanganyika sio mtanzania tukiwaita watanzania ni makosa kwakuwa upande matinabu Bure na mwingine kwa malipo utanzania unasimama wapi?

  • @user-sy4wf5ll4o
    @user-sy4wf5ll4o 3 дні тому

    Bora tutumie paspoti anae Toka bara zanzbar pia watumie

  • @DaimaMmari
    @DaimaMmari Місяць тому

    Mwandishi wa ajabu,amekuja kujieleza au umuhoji kuhusu kauli yake ya watanganyika kwenda Zanzibar Kwa passport.

  • @hadijamkieti1751
    @hadijamkieti1751 Місяць тому

    Cheza na maneno lakin ukumbuke wanao kusikiliza wanauelewa

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv Місяць тому +1

    Tanganyika tumelala usingizi wa bono...watu wa Zanzibar ndiyo wenye faida kubwa na Tanganyika

  • @NOORMOHAMED-sg9lo
    @NOORMOHAMED-sg9lo Місяць тому

    Nyie msiingie kabisa .
    Nyie hampo zanzibar .
    Nyie Kwenu ulaya na oman.
    Na arabuni.
    Ndiyo mnatuchekesha mkiongelea ubaguzi na visiwa kuchukuliwa.

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 Місяць тому +1

    Mbona wakati Bunge Wakijadili mambo yasiyokua ya Muungano hamutoki nje ya Bunge na Posho munachukua? Kama huo sio Wizi ni nini?

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go Місяць тому

      Hakuna sheria inazuia wabunge wa Zanzibar wasijadili mambo yasiyokuwa ya Muungano
      La pili hiyo bajeti inayotumika kwa mambo yasiyokuwa ya Muungano ni bajeti ya Muungano pia sio bajeti ya Tanganyika

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Місяць тому

    Ulaya wameungana husafiri Bila viza Leo hii Huyo mbunge toka ujijikigoma kama mtumwa Leo hii anatuomba viza 😂😂

  • @Worldunite
    @Worldunite Місяць тому +1

    Juzi wazungu wamenunua nyumba na wamepewa kibali cha kuishi LKN WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA NYUMBA ZNZ

    • @user-cq4lp5rv1l
      @user-cq4lp5rv1l Місяць тому

      Una uwezo wa kununua nyumba wee mwehu si utfute kiwanja uko elf 50

    • @Worldunite
      @Worldunite Місяць тому

      @@user-cq4lp5rv1l mmedai wenyewe kuwa "wabara wanne tu wanaweza kununua kisiwa cha zan,ibar, ila km mie nanunua eneo huko znz wewe ntakujengea kibanda cha uani na hiyo elfu 50 uliyotaja, mi ntakulipia bili ya maji na umeme, waonaje?

    • @AliAbdalla-lb8su
      @AliAbdalla-lb8su Місяць тому

      Ww muongo wabara pia wanajenga

  • @user-hl9xu4vo1q
    @user-hl9xu4vo1q Місяць тому

    Kwani kaz ya kitambulisho ulaia kaz yake nini?

  • @habaritz8262
    @habaritz8262 Місяць тому

    Huyu jamaa yupo sawa kweli si swala la ubaguzi ila ni ubinafsi ....

  • @nassorshaaban7295
    @nassorshaaban7295 Місяць тому

    Mbuge toka Chama gani huyu.!Hoja yake sio Mbaya Ila tafsiri za watu ndo Mbaya Zanzibar ni Nchi Tanganyika ni Nchi wao waingie Kwa Passport na sisi Tuingie kwako Kwa Passport.

  • @GoodTeck90
    @GoodTeck90 Місяць тому

    Kwani MAFIA siyo Kisiwa ??!! Kwa hiyo Zanzibar tuende kwa Passport ila MAFIA tuende bila Passport ??!! .... Kama siyo ubaguzi ni nini ??!! ..... Wenzenu Mafia wamekaa kimya hawana mambo mengi ila nyie ndiyo shidaaa

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 Місяць тому

    Wazungu hawana ruksa kutembea na vichupi hata mashamba vijijini hawaruhusiwi ila kwenye hotel zao

  • @FrolahRimo-cm3tu
    @FrolahRimo-cm3tu Місяць тому +1

    Nchi Moja paspot yanini

  • @KilwaStar23
    @KilwaStar23 Місяць тому +2

    Kumbe muheshimiwa unaitambua Tanganyika!? Iko wapi sasa ndo mana wadau wanaidai Tanganyika yao

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Місяць тому

    huyu mbege sijui Kala maharage ya wapi... kwaiyo visiwa vyenu vya zanzibar tu ndo vina hitaji kulindwa kwani nchi ya tanganyika haihitaji kulindwa? angeonekana wa maana kama angesema wazanzibar waingie tanganyika kwa paspot na watanganyika waingie zanzibar kwa paspot mana nchi zote mbili zinahitaji kulindwa na sio kuzungumzia upande mmoja huo ni ubaguzi