TIMBWILI KALI BUNGENI, MZOZO WA KUTISHA/ MBUNGE WA PASSPORT KUINGIA ZANZIBAR AKATAA SIO MTANZANIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 тра 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 613

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko Місяць тому +19

    Lisu ni mkweli sana

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances Місяць тому +28

    ILA JAMANI WATANGANYIĶA TUNATAWALIWA KIENYEJI SANA JAMANI.WANANCHI TUAMKE KUTETEA UTAIFA WETU VINGINEVYO NCHI INAUZWA JAMANÌ na NCHI INA HALIMBAYA KIUCHUMI,, KISIASA na KIJAMII "

    • @user-nt3my1jf9t
      @user-nt3my1jf9t Місяць тому +1

      Ww mvutu kweli itauzwa na Nan?

    • @JacksonFrances
      @JacksonFrances Місяць тому +2

      inauzwa na CCM Wenzio Wasiolitakia mema Taifa Letu Rushwa na Ufisadi Huoni Vimetapakaa kila kona au ??"

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      Suala hili mlaumuni julius nyerere alieikataa Tanganyika kuwa na serikali yake​@@JacksonFrances

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 28 днів тому +1

      @@JacksonFrances KWANI HAO MAFISADI NI CCM PEKE YAO??? WEWE UKIPATA UPENYO WA KUIBA UTAIBA NA RUSHWA UTAPOKEA USIJIFANYE MALAIKA.

    • @JacksonFrances
      @JacksonFrances 28 днів тому +3

      @@salimmalaka256 Acha Kuchukulia Kwamba Watu Wote Wana tabia Za Kishenzi Pasipokuwajua,
      CCM Wametufikisha Pabaya Sana Haijawahi kutokea Kwahiyo Ni Wakati Wao Kuachia Na Kukaa Pembeni Kabla Mabaya Hayajatokea "

  • @japhetlinus3891
    @japhetlinus3891 Місяць тому +18

    Wabunge wakishiba posho zetu wanaanza kuongea wanachojickia na sisi tunaendelea kuwatafutia kwa jasho ...

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo Місяць тому +35

    Kumbe TUNDU LISU yuko sahihi kabisa kusema kuwa Wazanzibar sio Watanzania.

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 Місяць тому +5

      Kumbe tukisema kwamba Watanganyika wengi wamefanywa wajinga kuhusu kujua ukweli wa muungano huwa hatubahatishi.
      Hivi unaweza ukatutajia kirefu cha Tanzania, na ilikuwaje jina la Tanzania likapatikana?
      Jibu swali bwege we.

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 Місяць тому +3

      Hakuna mahali alinukuliwa Lissu akidai wazanzibari siyo watanzania, sijui hayo uliyapata wapi? Wazanzibari hawataki kuficha uasili wao, wanajivunia na kujitambulisha kwa uasili wao. Hawataki kuwa mbumbumbu walioisalimisha na kuifuta historia yao. Badala ya kuwabeza wanastahili kuigwa na kupongezwa!

    • @user-xe1im9tt1z
      @user-xe1im9tt1z Місяць тому +2

      Elezea wanzibari ni watanzania ila watanzania si wanzanzibar

    • @talibsaid8096
      @talibsaid8096 Місяць тому

      Si kweli wazanzibari ni watamzania lakini wwabara huwa mnafanya ishu kutibagua

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor Місяць тому

      @@omaryjumas6327 Wa Zanzibari sio Wa Tanganyika kwani kabla ya 1964 kulikua nchi inaitwa Tanzania?

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Місяць тому +13

    Zanzibar tukipata wabunge kama hawa kumi tu bungeni muungano ungevunjika 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @julianamwalongo6047
    @julianamwalongo6047 Місяць тому +5

    Yaani Umeenda kwa wananchi kusikiliza shida zao, na wamekutuma, wamekuchagua uwawakilishe hoja zenyewe Ndio Kama hizo ,hata mpangilio wa kuongea huna ,hii nchi ni ngumu Sana.

  • @erickchaula5084
    @erickchaula5084 Місяць тому +14

    Hakika lisu na mbowe naona wako sahihi kabisa na ss watanganyika tudai uhuru wetu

    • @faridmohammad3801
      @faridmohammad3801 27 днів тому

      Yani ww ndio mwenye akili nyingi ktk watu 100 niliowasikiliza ni kweli coz u haven't government so struggle ur cntry.. am srry umoja ni nguvu..

    • @SalumJuma-iz2gj
      @SalumJuma-iz2gj 15 днів тому +1

      Bora mudai uwo Uhuru wenu wazanzibar angalau tunywe maji hatuna Raha kwA nyie nahaya yote kayataka karume kuitoa nchi kw warabu kuipeleka kw wanyAmwez

    • @Pemba680
      @Pemba680 11 днів тому

      😂😂😂😂😂😂endeleeni tu kujiita Watanzania

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 дні тому

      ​@@SalumJuma-iz2gjmmejazana bara

    • @SalumJuma-iz2gj
      @SalumJuma-iz2gj 3 дні тому

      @@FridayMwassa sindio tuna watajirisha

  • @celestinaregi
    @celestinaregi Місяць тому +11

    Ubaguzi mnao. Kweli wazanzibari. Leo umefanyiwa wewe unaona uchungu. Mnayotufanyia huku hamuoni kama ubaguzi. Shilingi Ina pande mbili mweshimiwa. Leo shilingi imekugeukia umeumia😂😂

  • @jumasaid2792
    @jumasaid2792 Місяць тому +6

    Tatizo lipo ila wanapotezea kwa kuwa wanapenda sana pesa kuliko ubinaadamu wa binaadamu.

  • @IsidoreMakutu
    @IsidoreMakutu Місяць тому +5

    Viongozi walioko madarakani wanajifanya hawaoni tatizo kwa sababu ya maslahi binafsi.Halafu wanaanza kuwalaumu Akina Lissu kwa kivuli Cha ubaguzi...

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 4 дні тому

    " Abrave and honest hounerable member of parliament representing the interests of this romantic, beautiful island! Hata Mombasa na Pwani ya Kenya has the same problem! Kuna ukabila, ubaguzi, ufisadi wa kila aina! Serikali zinaongozwa ni watu kutoka bara zinabagua wenyeji wa pwani na kisha sisi ndio tunautajiri/ Uchumi mzuri! Nahisi siku moja kenya itagawanyika kwani tuliunganishwa ni wakoloni na hatukutaka kamwe kuwa na ushirika na Nairobi! Isitoshe, tuliunganishwa kwa miaka 50 na mkataba ukaisha 2013!! Love from Mombasa!!

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 25 днів тому +4

    Mtu wa Bara haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar! Ila Wazanzibar wanamiliki ardhi Bara! Mbona huo ni ubaguzi wa wazi tu!?

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 15 днів тому

      Siyo kitu cha ajabu mwanza kabla wewe hukuzaliwa watu wa Zanzibar walikuwa wakiingia Dar es salam kwa passport. Na yuko alokuwa mshenzi mmoja wa Zanzibar ndio alosema wa Bara waingie Zanzibar bila ya passport na wengi walikuwa hawajataka jambo hilo.

    • @huriyaomar3313
      @huriyaomar3313 15 днів тому

      UNAJUA KUWA ZANZIBAR INAINGIA KWA TZ BARA MARA NGAPI? INAMEZWA NA BARA ZAIDI YA MARA LAKI TATU !! NA TANZANIA YOTE BARA NA VISIWANI HUMILIKI ARDHI KAMA YAKO ILA UNAPEWA LIZI NA HIYO LIZI INATEGEMEA NI MIAKA MINGAPI AIDHA 33 ,66, AU 99 LAKINI ARDHI SIO YAKO LAU KWENYE HIYO ARDHI KWAPATIKANA MAFUTA BASI SERIKALI WANACHUKUA WENYEWE, LAKINI NCHI ZA WENZETU ARDHI MALI YAKO KIKIPATIKANA CHOCHOTE MALI YAKO!!!!

  • @khanifamussa2554
    @khanifamussa2554 26 днів тому +1

    Achen ujinga nyiee hii nchi ina amani kulko nchi nyngne yyote ndio kitu tunachotkiwa kujivunia iv mushafkiria kuh vitukuu vyenu hao wabunge wengne wavurugaji tu..ss n wamoja❤Ilove u Tanzania

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 25 днів тому +2

    Safii mbunge

  • @DAIMASHAIBU
    @DAIMASHAIBU 20 годин тому

    Uyo amezingua

  • @hassanhass1721
    @hassanhass1721 3 дні тому

    Safi sana muheshi tuko pamoja kaza kamba hataka wengine tuko Kenya but tuko wote hatutaki muungano tena wabaki na utanganyika wao tubaki na Zanzibar yetu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Місяць тому +4

    Huyu asikilizwe vizuri huenda ana hoja za msingi kama tunaingia Zanzibar Kwa passport basi lije suala la vibali Kazi, kila upande uombe vibali vyote vya makazi na Kazi, na si ruhusa kumiliki ardhi upande wowote hadi Uwe mzawa

  • @Pemba680
    @Pemba680 11 днів тому +1

    Mh mohd issa yupo sawa

  • @user-tp7or8or4k
    @user-tp7or8or4k 2 дні тому

    Hamna jipya Roho za dhuruma zinawatafuna mnatapatapa kujadili mambo ya msingi hamna mumeuza bandali na ngorongoro mnajinenepesha ninyi wengine wafa njaa Mungu anawaona

  • @user-xe1im9tt1z
    @user-xe1im9tt1z Місяць тому +5

    Tanzania ina mazombi sio watu

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz Місяць тому +5

    Huna lote limekuganda hilo Passport ni lazima ipo zamani

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 25 днів тому

      Co passport ht mkitaka 2gawane fresh 2 cc 2nataka nn kwenu marais wt wawil wazanzibar na cc ha2semi nyinyi wazanzibar mnajitambua kwer mm naona samia na mwinyi akir zao zingekuwa km nyinyi ingekuwa vurugu mechi

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 25 днів тому

      Co passport ht mkitaka 2gawane fresh 2 cc 2nataka nn kwenu marais wt wawil wazanzibar na cc ha2semi nyinyi wazanzibar mnajitambua kwer mm naona samia na mwinyi akir zao zingekuwa km nyinyi ingekuwa vurugu mechi

  • @augustinemainde
    @augustinemainde Місяць тому +1

    Hiyo ndio demokrasia ya kweli na Uhuru wa maoni

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 29 днів тому +15

    Wazanzibari wabaguzi sana

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 28 днів тому +1

      Ulikuja Zanzibar ukabaguliwa

    • @kassim1262
      @kassim1262 27 днів тому +1

      Nyinyi wtnganyika munongoza kwakubaguliwa duniani 😂😂😂wzungu wbguzi wkenya wbguzi wznzbar wbguzi ondokeni duniani bc

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 26 днів тому +2

      SAFI SANA, KILA MMOJA ASHIKE NJIA YAKE. UKOLONI UMESHAPITWA NA WAKATI. TWATAKA NCHI YETU

    • @bellalygeomecky1145
      @bellalygeomecky1145 19 днів тому +2

      Hata tukiwa wabaguzi.......ni heri kwetu na nyie bakini na utanzania wenu

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor 17 днів тому +1

      Kweli Wabaguzi kwa ajili ya Nchi yetu si Mukaungane na Machogo wezenu Kenya Uganda Congo Burundi nyie Wa Tanganyika sisi Wa Zanzibari na Timu yetu ya Taifa Zanzibar Heroes

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 24 дні тому +1

    Mashallah

  • @twoboyztv1
    @twoboyztv1 Місяць тому

    Duh!

  • @CornenciaFaustine-pd2rc
    @CornenciaFaustine-pd2rc Місяць тому +4

    Hii ni dharau na ni kejeli ya kiwango ati na yeye ana fikra ya kuja kututawala watanganyika. Aah halafu waheshimiwa wetu wa bara wanashangilia.aah sijui afya ya akili wanayo kweli.

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 Місяць тому

      Kuna shida kubwa kwenye huu muungano, Kuna kesho na kesho hiyo Kuna watakaokaa na kuangalia maslahi ya muungano kwa pande zote mbili

  • @user-nm5sn2vr8c
    @user-nm5sn2vr8c Місяць тому +1

    Tunadai Tanganyika yeti! Wazanzibari wasitutanie

  • @JumaSalim-bd1ff
    @JumaSalim-bd1ff 25 днів тому +1

    Safi Sanaa mbungunge w konde

  • @madoiedo_nalis
    @madoiedo_nalis Місяць тому +4

    Nyie ndio mna tubagua sisi

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 Місяць тому +2

    ZANZIBAR ipo na itaendelea kuwepo hofu Tanzania kuwepo miaka 60 ijayo coz Tanzania imeundwa ili kusudi kuidhibiti Zanzibar na wazanzibari wameamka sasa

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 25 днів тому

      Mimi sio Mzanzibar ila nakubali hili Muungano huu upo kwa ajiri ya kutawala Zanzibar

  • @christinamselle4490
    @christinamselle4490 9 днів тому

    Leteni hoja za kulijenga Taifa acheni kucheza na Kodi za Wanzania bungeni, unapoteza muda kwa sababu hauna cha kuchangia. Jamani😳!!!

  • @user-mk6my3gb4s
    @user-mk6my3gb4s 24 дні тому

    Kweliii

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 Місяць тому +3

    Juzi nolimsikia Mh Warioba. Nilimuelewa sana. Ukweli kuna changamoto za Muungano ambazo kila upande unalalamika. Ila Tanganyika ndo imeonewa zaidi. Kwa vitu vingi tu. Inafaa kukaa chini na kuziondoa changamoto hizi.

    • @FeymaarOfficially-uu4nr
      @FeymaarOfficially-uu4nr Місяць тому +1

      Umeanza kuelewa ila endelea kufanya research ujue nani anaeonewa zaid zengo sisi tunaupenda muungano ila vitu vingi tunaumizwa sie leo imekua mtu wa Kenya akija na mzigo kutoka kwao kuingia tanga halipi we njo undue TV upitishe apo wanataka pesa ulipie ushuru

    • @LUBAINAMOHDRAJAB
      @LUBAINAMOHDRAJAB Місяць тому +1

      Muhimu Hata huu muungano hatuutaki tena sote kila upande iwe kivyake lakin ccm ndio wanalazimisha tufanane

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 26 днів тому

      KWANINI TUNAUNGANA PARSPOT?. WANYAMWEZI MJE NA PARSPOT ZENU PEMBA😂😂😂

    • @TheresiaAndrea-hv9dg
      @TheresiaAndrea-hv9dg 23 дні тому

      Mi natamani hoja hii ifanyiwe kazi, wabara waridi bara ili wazanzibar viwanja vya kujenga wapate, and vice versa wazanzibari warudi kwao halafu tuone kama kile kisiwa kitawatosha. Lakini pia tutawauzia chakula kama tunavyowauzia Kenya na kwingineko nione kama hamtakula......yenu.

    • @TheresiaAndrea-hv9dg
      @TheresiaAndrea-hv9dg 23 дні тому

      ​@LUBAINAMOHDRAJAB kila watu wajitegemee, maana sisi tunaoumia hata hatusemi, ila wao wanaotunyonya kelele juu baada ya kushiba kiporo cha ugali wa mtama.😅😅😅

  • @hassansingano1150
    @hassansingano1150 14 днів тому

    Kaa chini

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu Місяць тому +4

    Yaani huyu mbunge imekuaje anaongea lsfudhi ya kibara kamavile haja zaliwa na ku kukulia Pemba. Au ndio wale ambao makaazi yao yapo Bara ila jimbo liko Pemba 😅😅😅

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 26 днів тому

      TUNATAKA WAJE PEMBA KWA PARSPOT HAWA WANYAMWEZI😂😂😂

  • @mrfix6596
    @mrfix6596 2 дні тому

    Mbona taarifa zimekuwa nyingi, Why!

  • @user-fb6dh6sz2g
    @user-fb6dh6sz2g Місяць тому +5

    Kwa nn serikari 3 inakigugumizi??

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s Місяць тому +1

    Ni kweli sijui Nyerere alikua na nia Gani mpaka anatuajia bomu kubwa namna hii ambaye Leo tunafarakana

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 26 днів тому

      KWASABABU NYERERE ALIKUWA MLAFI NA ULAFI WAKE ALIFIKIRI ATAIFANYA ZANZIBARI NI JIMBO LAKE NDIO MAANA BARA MKAINGIZWA MKENGE 😂😂😂. TAMAA MBAYA ZA MWALIMU WENU MJINGA NDIO WAZANZIBARI BARI TUNAPATA FURSA YA KUUZA BANDARI ZENU KWA WARABU WETU NA MBUGA ZENU ZA WANYAMA MPAKA TUMALIZE. HATA WABARA MKIPATA UHURU UJUE ZANZIBARI TUSHAWALA KISHUNDU 😂😂😂

  • @MsanangoMwalabu-rx1oo
    @MsanangoMwalabu-rx1oo 15 днів тому

    Huku Tanganyika wazanzibali wapo wachache sana kama polisi wataanza wao,sisi tutawagawana wasisahau hilo.tutafanya kama Nigeria kujibu ubaguzi waliofanya South Africa tunawakumbusha

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy Місяць тому +1

    Mheshimiwa presha yako iko juu sana fanya mazoezi broo.

  • @Mmdttt6653
    @Mmdttt6653 25 днів тому +2

    Yote ni tanzani ni sawa nitakavotoka mwanza kwenda dar sa passport ya nni na nchi ni moja ye mwenyewe apo alipo hana paspoti afu yupo bara mpuuzi kwel,,, ukitaka urais gombea tukupe kura acha upuuzi

  • @nabilasaidkhalfan4401
    @nabilasaidkhalfan4401 25 днів тому +1

    Safi sana , naunga mkono wazanzibar tunataka passport yetu , hatutaki kuwa na machogo

    • @JIWE-G-UNIT
      @JIWE-G-UNIT 24 дні тому

      Nadhani ni vizuri sana tukitengana coz Tanganyika tuna kila kitù sioni maana ya kuungana, wazanzibar wakae na zanzibar Yao na Tanganyika tukae Tanganyika yetu ltakuwa poa sana

    • @BennyJumah-hd8yf
      @BennyJumah-hd8yf 21 день тому

      Akili hunaa

  • @abdultour1647
    @abdultour1647 Місяць тому +1

    Zanazibar, Tanzania , Tanganyika iko wapi apo hatutaki muongano imetosha apo bc kila mtu achukue ubao wake ishaAllah vunjika shetani muongano toka na uwende Zako

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 15 днів тому

    Siyo Nchi mmoja ni Nchi mbili. Wacheni ubaguzi.

  • @bikoolaizer2737
    @bikoolaizer2737 7 днів тому +1

    Kwa hiyo Zanzibar ni mkoa?????

  • @user-rn9og1rk3l
    @user-rn9og1rk3l Місяць тому +10

    Ivi huu muungano nyie wabunge wa ccm mmeung'ang'ania wa nini
    Huyo mwenzenu kashasema yeye ni mzanzibar,
    Sasa kama pana mzanzibar kwenye bunge la muungano kwanini mbunge wa mtu wa bara hawezi kuwa mbunge wa zanzibar??..?..?????

    • @shaviercharvinho18
      @shaviercharvinho18 Місяць тому

      Watanganyika wanatung'ang'ania wazanzibar sijui kwanini

  • @YoshuaSeverino
    @YoshuaSeverino Місяць тому +1

    Yeye anataka serikali 3, ya Muungano na serikali ya Zanzibar na Tanganyika. Pia anahangaika na Uzanzibari ambao hawezi kumsadidia.

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor 17 днів тому

      Sisi Muhimu kwetu ni Zanzibar yenye Mamlaka kamili sio Tanzania tunajua Tanzania ni Tanganyika ni kivuli tu cha kuikalilia Zanzibar

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qm 24 дні тому +1

    Mimi mwenyewe siwapendi wa znz kwa kuuzaa bandari zetu bara mmeanza ubaguzi na mwanzirishi wa ubaguzi ni Mh samia na limote yake ya msoga tutamzomea samia wakati wa kampeni zake

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 2 дні тому

    Hawa wanzanzibari ni matatizo sana

  • @EarnestMwangombola-iv7hr
    @EarnestMwangombola-iv7hr 17 днів тому

    Muungano utakapozingatia matakwa ya wananchi kama walivyojieleza katika rasimu zote za katiba, kwa kutaka serikali 3, ndio utakuwa mwisho wa mtifuano wa wabunge wazanzibari na watanganyika. Huo ni mwanzo tu wa muungano wa Lazima serikali 2.

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 Місяць тому +1

    Hoja ya hovyo kbs

  • @RajabKhamis-il5to
    @RajabKhamis-il5to 19 днів тому

    Ww mbunge Malaya wa Tanganyika Kwa nn msingie na passport sisi hatumutaki huku Zanzibar watanganyika kumamazenu manyamwezi

  • @user-hn6kv6xe7m
    @user-hn6kv6xe7m 28 днів тому

    Mbunge huraaaa 💪👏👏👏

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 7 днів тому

    NAHAPO HAMGUNDUI CCM hamuoni Kama mnajipendekeza?

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu Місяць тому +1

    Muungano mnaungangania wa nini au mna manufaa gani kwa huo Muungano. Ipitishwe referrendum wakati wa uchaguzi mkuu, ili tujue kama Muungano uendelee au uvunjike

  • @RawsonNkini
    @RawsonNkini 6 днів тому

    Mtaelewa tuu maana hamjui kitu mpaka msikie

  • @SalumJuma-iz2gj
    @SalumJuma-iz2gj 17 днів тому

    Lakini kweli sisi wazanzibar tunawabagua sana wanyamwezi tunawalimisha tuu halafu hatukubali watoto wetu kuolewa na wanyamwez

  • @Mweya-87
    @Mweya-87 Місяць тому +2

    Hivi kumbe wa Zanzibar ndiyo wanachangia hivi?

  • @ahangfaith1180
    @ahangfaith1180 16 днів тому

    Nikwli mbunge asnt mungu akulinde na watanganyika wanasema kwl

    • @ahangfaith1180
      @ahangfaith1180 16 днів тому

      Ikiwezekana waufute tu muungano tmechoka wazanzibar kwa maneno ya watu wabara

  • @epaphraslugendo8790
    @epaphraslugendo8790 Місяць тому

    😂😂😂 aisee nimecheka sana Leo.

  • @DeusdeditKapenegele-hj8qy
    @DeusdeditKapenegele-hj8qy Місяць тому

    Duuh aisee

  • @maxlesijila6598
    @maxlesijila6598 День тому

    Wewe kama Mzanzibari ?? Wewe siyo kama Mtanzania ?? mmh!!

  • @johnalto2619
    @johnalto2619 26 днів тому +1

    Dooooh hao wanaoishi visiwani hawataki muungano muungano uvunjwe tuu watanganyika tubaki kwetu na wao warudi kwao na walipr Kodi ya makazi kama wageni

  • @user-go3bk6wr8u
    @user-go3bk6wr8u 2 дні тому

    Vichogo wanaumia sna.

    • @user-bz5gl7nb4m
      @user-bz5gl7nb4m День тому

      Wewe ni mbora ulieumbika lakini hii ni dunia hujafa hujaumbika una uwezo wa kumkufuru Allah kwa viumbe vyake

  • @AbeidMabrouk-yu7iy
    @AbeidMabrouk-yu7iy 16 днів тому

    Haiwezikua mtanganyika na mzanzibar sawa numbingly na ardhi watanganyikaniwashenzi nushenziwaowameufikishahadi zanzibar wiziwalevimalaya zanzisasakunanukakwasababuyawatanganyika

  • @AguliSimchimba-fq7ep
    @AguliSimchimba-fq7ep 7 днів тому

    Mna nini ambacho mnajivunia huko zanzibar,mbaki pekeyenu baharini muone.Someni history ya zanzibar kiundani na location yake.Kama hamtavuliwa nguo

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 24 дні тому

    Dada umetisha sana juu ya passport

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 24 дні тому

    Yeye Anasema Apokei Sio Mtanzania Sasa Yupo Apo Bungeni Kama Nani Amevamia Bunge Au Amefika Vipi Apo Mana Mbunge Wa Apo Ndani Ni Mbunge Wa Tanzania Akutakiwa Aendelee Kujieleza Uyo

  • @saulmwalubunju1076
    @saulmwalubunju1076 16 годин тому

    Huyo ni mbunge wa kuokotwaokotwa

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s Місяць тому

    Kuna zanbari na tanganga nyika la sivyo kuna tanzania bara na tanzania viziwani .

  • @KimanguShemwaliko-ht2jr
    @KimanguShemwaliko-ht2jr Місяць тому +1

    Mwenyewe kasema yeye ni mzanzibar nyie mnamlazimisha awe mtanzania, kwakua nyie hajitambui kuukana utanganyika wenu,lisu hana mpinzani kwenye hoja yake,tumpe maua yake lisu🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 15 днів тому

    Hamwishi na hizo taarifa. Mwecheni akamilishe.

  • @PatrickJoel-pi6jx
    @PatrickJoel-pi6jx Місяць тому

    Me naona mungano huu niwaneno sio vitendo viyongozi wahangarie vzr

  • @user-yw5ix9gg4d
    @user-yw5ix9gg4d 28 днів тому

    Siyo mtanganyika we

  • @HamisiMwalimu-pp9ci
    @HamisiMwalimu-pp9ci 15 днів тому

    Huo ni ubaguzi mzee mwwnzangu wapemba acheni siasa musiikaange mbuyu mukaja walisha wengine

  • @AbdulrahmanSalum-vs4jd
    @AbdulrahmanSalum-vs4jd 15 днів тому

    Muungano usivunjike lakin passport muhim

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Місяць тому +2

    Kumbe wazanzibar ndivyo walivyo ndio maana

  • @user-tq4go3sn5b
    @user-tq4go3sn5b Місяць тому

    Nyi nyi ndo mnaubaguzi kwendaaaa

  • @fredducaunt
    @fredducaunt 23 дні тому

    Naona wazanzibari wanasema wanadhulumiwa
    Nataka kujua wanafhuliwa wapi

  • @flaviankiria8251
    @flaviankiria8251 Місяць тому

    Analia

  • @user-vz3bb3ch3z
    @user-vz3bb3ch3z 21 день тому

    Wazanzibari ni wabaguzi kwanini hata kipindi chauchaguzi ukiwa kitambulisho cha Zanzibar ila ukigundulika ni mtanganyika unawekwa ndani? Na kwanini asilimali zetu tunawakatia fungu ila wao hawajawai jaman mfikirie apo viongozi na mlitatue

  • @emanuelnyab9872
    @emanuelnyab9872 День тому

    Serikali ya Tanganyika Iko wapi?

  • @user-is2pj2vq3r
    @user-is2pj2vq3r Місяць тому

    Me ni Mtanganyika kwanzia leo

  • @fatumamlangi5996
    @fatumamlangi5996 26 днів тому

    Hahaha mh znz ipo na itakuwepo tu

  • @user-vk4zb8fo9u
    @user-vk4zb8fo9u 17 днів тому

    Uyu sio mbunge uyo msengetu

  • @babazizu1255
    @babazizu1255 25 днів тому

    Huyu mbunge ana akiri kwer mbona watanzania hawachukii maraic wote kuwa wa zanzibar huyu mpumbavu nn huyu nimependa sanaaaa wabunge wa ccm walivyo na mcmamo vzr sanaaaa mm nilijua watamuunga mkono na ujinga wake kumbe wamemkataa mpuuzi huyu

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 7 днів тому

    Nayeye aonyeshe pasipoti

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 25 днів тому

    Sasa si nchi mbili mbona watu wa bara hawanunui ardhi zanzibar,, na wa zanzibar wamenunua huku bara😢😢😢wako tele ila watu wa wanaroho ngumu sana

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 25 днів тому

      Co roho ngumu wazanzibar ni acri yao waarabu kwahyo wana roho mbaya hawa

  • @user-pn7fk7xx5x
    @user-pn7fk7xx5x 13 днів тому

    Wewe mwenyewe mbaguzi mbunge mpumbavu tu.

  • @lameckkayanda3293
    @lameckkayanda3293 27 днів тому

    wazanzibar wanajielewa sana.hata wabunge hawtaki kuitwa watanzania..lakini watanganyika wanapenda kuitwa watanzania na kusahau utanganyika wao.ndio maana za Tanganyika zinachezewa lakin za zanzibar zinalindwa kwa kiza kijacho.jamani wabunge tulio wachagua watanganyika wenzetu.ebu situken bac.punguzen uchawa angalien Tanganyika kwanza. mukizubaa mutakuja kustuls Kila kitu sio chetu tena.mutakiambia Nini kizaz kinacho kuja.

    • @kassim1262
      @kassim1262 27 днів тому

      Uko wp huo utanganyika wenu kipi kinachokufanyeni nyinyi kujiita wtnganyika muliaminiahwa kwmba hkun mtnganyika wa mznzbar munaamini hivyo lkn cc wznzbar tunaamini hkuna Tnznia bli kuna mznzbar tu na hkuna mznzbar anaejiita yeye nimtnznia bli kuna wtu wliokua wtnganyika wnajiita wao niwtnzania 😂😂😂😂nakuikana nakuifuta tngnyika yao

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 Місяць тому +1

    Msipoachana na sera ya uwekezaji mtaliangamiza taifa kwasababu ni aibu kutuletea wawekezaji na wabia watuletee ufanisi kwakisingizio wtz hawana

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qm 24 дні тому +1

    Mbona znz aijawai kua na Rais mtanganyika?? Rais Husein ni mzariwa wa Zanzibar huku mnaturetea samia atutaki aende kwao kizimkazi sawa waarabu nyiee nendeni hata Dubai atuwataki

  • @user-yw5ix9gg4d
    @user-yw5ix9gg4d 28 днів тому

    Siyo kwero

  • @AbduliHalim
    @AbduliHalim 26 днів тому

    Sio ktu kimoja nyinyi mnazaa ovyo halafu halafu mnaowana

  • @paulmbogela5147
    @paulmbogela5147 Місяць тому +1

    Huyu mbunge mjinga sana

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 Місяць тому +1

    TANYIKA NA ZANZIBAR SIO NCHI MOJA! ZANZIBAR INA KATIBA YAKE NA RAIS WAKE, WATANGANYIKA NDIO MAZUZU NA WALEMAVU WA AKILI!

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 Місяць тому

    Hayuuwapinchii. Nyinyyi btena

  • @berthatz
    @berthatz Місяць тому +2

    Wabaguzi na wazanzibar cyo Sisi…Haki huu Muungano ungevunjwa tu au kuwe na serikali tatu..

    • @ibrahimame9805
      @ibrahimame9805 Місяць тому

      Wazanzibar hatuutaki muungano .kwani lazima .mitanganyika nyieee.

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari Місяць тому

      ​@@ibrahimame9805 moto ushawaka hata watanganyika nao hawataki tena na Hali inazidi

  • @danielonyango7234
    @danielonyango7234 Місяць тому +1

    Zama za giza ziliisha kitambo, it is just the matter of time

  • @apostlejacksonkalinga5191
    @apostlejacksonkalinga5191 26 днів тому

    Mbona viti Bungeni viko wazi sanaaa.