Moni Centrozone - Lamoto [Official Music Video]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • Moni Centrozone - Lamoto
    Produced by S2kizzy
    Video directed by NiCKLASS
    MAJENGO SOKONI MUSIC (MSM)
    All Rights Reserved...!

КОМЕНТАРІ • 240

  • @nasibukiangai4639
    @nasibukiangai4639 5 років тому +129

    Wangap wankubal Majengo Sikoni Music tujuane kwa likes

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 5 років тому +72

    Kweli La 🔥 🔥 🔥 sema nini #zone wewe mziki wako ni wa miaka 40 ijayo ndiyo wataelewa namaanisha kizazi hiki Hakuna anayeweza elewa. Big Up Brother

  • @athumanimrope3611
    @athumanimrope3611 5 років тому +7

    Uyu video vixen kafanana na babeeeeeeee etu Nai balaaaaaaah

  • @emmanuelsenghunda6786
    @emmanuelsenghunda6786 5 років тому +44

    Wanang was dodom like zen Kwa mdau

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 років тому +3

    Nani amejikuta anacomments kabla hata ajaangalia video kama mm😊.Ngoma Kali blaza😍😛

  • @Would436
    @Would436 5 років тому +3

    Nakubl Sana majengo sokoni saluti San kutoka Kwangu #Laxmajormusic

  • @CasmaRamadhani
    @CasmaRamadhani 11 місяців тому +2

    In 2024 march kama bado tunaangalia hii like hapa please ❤

  • @Bigboy-nx3nc
    @Bigboy-nx3nc 5 років тому +10

    What a great song , Tatizo wabongo wameshikwa akili na malaya wa Tandale, keep up the good work.

  • @djchazymahookah2213
    @djchazymahookah2213 5 років тому +24

    Ulijuaje #_MONI_CENTROZONE yani Leo nimekaa Na MWANANGU Tukawa tunackiliza AUDIO halafu Tukawa twajiuliza CHUPA ni veep maana NGOMA ni WIYU WIYUU king`OLA ile ile kumbe nawe wapika Kitu huko Daah xaf xana #_BLOOD maana c MA DJ tunacheza Ngoma xana Kona za XTAREHE big Up

  • @hamzaharuna2053
    @hamzaharuna2053 5 років тому +20

    Moni unajuaa sema hawakupi heshima yako💥💥

  • @diti4899
    @diti4899 5 років тому +1

    ukitazama mwaka huu umekua mtamu sana kwa moni na country. nafeel good music ya hawa machalii in termz of rap music

  • @augostinopaul3601
    @augostinopaul3601 5 років тому +28

    Kama saiv una mtoto mzuri kitandani anakupa vitu vya moto kama mimi dondosha like tujuane

  • @godfreypaul5245
    @godfreypaul5245 5 років тому +1

    Asilimia % kaka, hatar bro wahunii so watuu

  • @BhaiMwadidu
    @BhaiMwadidu 5 років тому +5

    Huku #lamoto kule #moto 🔥🔥
    @young lunya

  • @nkosibroka6191
    @nkosibroka6191 5 років тому +4

    Better trapper la motoooo #midoli @broka best olso

  • @benjaminleonard5470
    @benjaminleonard5470 4 роки тому +1

    Hii ngoma kali sana sema tz sijui tunafeli kwenye view hii ngoma

  • @MansuLi
    @MansuLi 5 років тому +7

    Bishoo wa raba safiiiii 🔥🔥🔥🙌🏿

  • @zillawakitaa7140
    @zillawakitaa7140 5 років тому +7

    Nilikuwa nasubiri hii chupa la moto mjomba ako kakutafutia wa kukueka nda licha ya kufuga mbwa kanunua na gani sikuiz nacheza kalate mbwa nawapiga lock tu🤗🤗

  • @MultiKasuku
    @MultiKasuku 3 роки тому +1

    Moni unajua sana kama playlist wako hadi wazee wa kilingeni -- heshima kwako not to mention Hans Zimmer na "Now we are free"

  • @chulyboy926
    @chulyboy926 5 років тому

    Mina shangaa kuna watu hawakubali hii ngoma ok kama umekubali naomba like hata kumi2 oyoooo lamotoeeeeee👊

  • @MwinyiTHEdon
    @MwinyiTHEdon Рік тому

    Goma kali sana 🙌

  • @maulidimsafigold8282
    @maulidimsafigold8282 5 років тому +1

    moni unajua bro # unyamwezi tuu

  • @hassanjuma4870
    @hassanjuma4870 5 років тому +2

    Mon tuna kukubar sana nan kakubar hii ngoma gonga lik tuend sawa

  • @xamailadrey8204
    @xamailadrey8204 4 роки тому +2

    Goma lako lamotooooo pa1💪💪

  • @arafanakijwa5736
    @arafanakijwa5736 4 роки тому +1

    Hii nyimbo huwa siichoki jmn

  • @highlesrhombusagachu3373
    @highlesrhombusagachu3373 5 років тому +13

    Vannesa kaua moyo I like dis braza

  • @duncangilberth7715
    @duncangilberth7715 4 роки тому +2

    Madem wa mjini hawako Loyaly" Wakiombwa siyo wachoyo" Mabrother man hawako loyal wamemfanya Vanessa akawa moyoooo Konki sana

  • @jafariosujack7183
    @jafariosujack7183 5 років тому +2

    Hujawah niangusha toka nikujue.... You deserve to be the best

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 5 років тому +1

    Watu kutoka #majengo_sokoni_music tujuane kwa kugusa like apa 🇹🇿🇰🇪🇺🇸💪

  • @phinny5378
    @phinny5378 5 років тому +1

    nyimbo kaliiiiiiiiiii balaaaaaa

  • @comedyclips4274
    @comedyclips4274 5 років тому +6

    Love from Kenya ♦♦♦BEST RAPPER👑👑👑

  • @emmaeliya8971
    @emmaeliya8971 5 років тому +5

    Sawa mwakilishi we2 dom town majengo sokoni hom boy

  • @alphamovies8935
    @alphamovies8935 5 років тому +13

    Moto fire 🔥 🔥 bwaga lyk kama unaikubali hii ngoma

  • @janethlucas1482
    @janethlucas1482 2 роки тому +1

    Napenda sana mziki wako nakukubali sana napenda sana ngoma zako na unavorap

  • @eliasgembe934
    @eliasgembe934 5 років тому +2

    Leo mm wa kwanza moni video kali good song

  • @evansmhogosi3566
    @evansmhogosi3566 5 років тому +4

    Kazi nzuri sana kaka 👍🏾

  • @erickjohn7731
    @erickjohn7731 5 років тому +10

    Moni Unajua 🔥🔥🔥

  • @MITIKASIFILMLAB
    @MITIKASIFILMLAB 5 років тому +2

    kali nyingine kutoka makao makuu ya nchiiii gonga like kama unatoka dodoma

  • @paschalsanya8339
    @paschalsanya8339 5 років тому +1

    We jamaa nakukubali sana 🙌 🙌

  • @kedyjohn1848
    @kedyjohn1848 5 років тому +1

    Mchizi anakiamsha mnooo... kwenye show akiwa na watu wa drums na violinist vizuri, anaua show zote. Nyimbo za Majengo Sokoni zinaamsha sana.

  • @amanisangawe1202
    @amanisangawe1202 5 років тому +3

    bonge la ngoma kwel la moto

  • @mtuljrmtul4999
    @mtuljrmtul4999 5 років тому +2

    Nakubal cetrozone udom hapa

  • @viunoman
    @viunoman 5 років тому +1

    Kazi nzur

  • @fahadichande1815
    @fahadichande1815 3 роки тому +1

    Ngoma hiii iko vizur

  • @Mentorship_clips
    @Mentorship_clips 5 років тому +42

    Wapi Like zenu #singida & #dodoma gang (centralzone),,,,majengo sokoni to the world

  • @JamesKirundwa
    @JamesKirundwa 2 місяці тому

    Lamoto lamato hii ngoma ni chuma cha pua

  • @mussasekwao2809
    @mussasekwao2809 5 років тому +15

    You killed man"
    Big-up home boy

  • @bakarininga4100
    @bakarininga4100 5 років тому +4

    Ya moto never give up

  • @hkfreeboy9533
    @hkfreeboy9533 5 років тому +1

    Licha ya kufuga mbwa kanunua na GUN Sasa nacheza KARATE mbwa nawapiga ROUND KICK❤️lamoto

  • @richmontana1296
    @richmontana1296 5 років тому +8

    Shkopa Mbayaa!! 💪🔥

  • @sarahalfred5633
    @sarahalfred5633 4 роки тому +1

    Naikubal sana hii nyimbo

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 2 роки тому

    Moni Centrozone wamoto sana brother

  • @sampalsa_Official
    @sampalsa_Official 5 років тому +1

    Kizazi sana mkuu wangu duh! @moni amna chakusema apo mzee wangu

  • @evaristgabriel5561
    @evaristgabriel5561 5 років тому +2

    Kali sana hi moon

  • @gabylovestech
    @gabylovestech 5 років тому +2

    Sio Fan Wa Trap Musics..Buh Lamoto Ni Ngoma Kali Daily naskiza..kama marks bas naipa A ya 80

  • @abymdone4797
    @abymdone4797 5 років тому +6

    Goma la 🔥🔥🔥 kinyamaa💪

  • @frankchangala3772
    @frankchangala3772 5 років тому +9

    🔥🔥🔥 bonge la ngoma keep making some good music bro respect 👍👍🙌

  • @fedrickhaule2464
    @fedrickhaule2464 4 роки тому

    Saaa nachezaa karatee mbwaa ntawapigaa papiii😄

  • @gladymsuya1310
    @gladymsuya1310 5 років тому +3

    yan uyo dem ndo wakampa viwig vya nai ad akafanana nae 😂😂🙌

  • @jaytheboy2393
    @jaytheboy2393 5 років тому +2

    Endelea kuporomosha mangoma,,,,,siku moja wataelewa tu
    kama penzi lako 🔥🔥🔥👍👍
    👇👇👇👇👇👇

  • @iamlevybrian5914
    @iamlevybrian5914 5 років тому +4

    This biiig bro lit

  • @csmwazito298
    @csmwazito298 5 років тому +3

    Madem wengine awako loyal,
    wakiombwa sio wachoyo,
    kama umeskia hii mistari weka like yako apa.

    • @zarubiasalum7257
      @zarubiasalum7257 5 років тому +1

      Mabraza men amko loyal mmemfanya vee kaumwa moyo
      pia tumeuckia

  • @kajuthecousin1032
    @kajuthecousin1032 5 років тому

    moni m ni xhabikia yako number 1👌👌

  • @selemaniamiri5916
    @selemaniamiri5916 5 років тому +2

    kichupa kikali bro ,Shangaz na asubir tu posa!!!

  • @NameisFort
    @NameisFort 5 років тому +28

    Likes zangu👍🏾

  • @mohammedishayo1801
    @mohammedishayo1801 5 років тому

    Kwahyo wote kwenye comment zenu mnajifanya hamjaliona jicho la kungu 😂😂...tulio liona jicho la kungu like zenu hapa

  • @eddiedomicianprez186
    @eddiedomicianprez186 5 років тому +4

    Majengo finest🚀

  • @bilikwijavalentino5392
    @bilikwijavalentino5392 7 місяців тому

    Goma hili noma sana

  • @rasulymramba2389
    @rasulymramba2389 5 років тому +1

    Mambo ya visosi na korodani... Tanga moja hiyoo hahah

  • @mbugangal4124
    @mbugangal4124 5 років тому +1

    Lamoto lamoto kweli..safi sana mdogo wng

  • @manjarujr9797
    @manjarujr9797 5 років тому +3

    Emo nae moni centralzone majengo sokoni #LA MOTO#

  • @youngmreno9931
    @youngmreno9931 5 років тому +2

    Ngoma kali sana hii
    Beats kali 🙌🙌

  • @shozylamparboom8393
    @shozylamparboom8393 5 років тому +2

    Wanangu Wa Chugga naomben like hapa

  • @alvinziddie6309
    @alvinziddie6309 5 років тому

    We jamaa ni Moto
    Kipaji chako sio cha kawaida kaka

  • @ramadhaniayubu6103
    @ramadhaniayubu6103 5 років тому

    mwambieeeee shangazi naleta posaaaaa

  • @Pedi_Wa_Meme
    @Pedi_Wa_Meme 5 років тому +3

    Amazing Sana

  • @richardmussa1342
    @richardmussa1342 7 місяців тому

    Jana ndio nimeskiliza hili goma asew kali ikabid nilifate kulichek

  • @gabrielayub5978
    @gabrielayub5978 5 років тому

    Kwahii ngoma umeongeza shabiki ambae ni mm

  • @stellavennace4509
    @stellavennace4509 5 років тому

    Nan kaona monicetrozone pacha wake mlela

  • @shimeboy4307
    @shimeboy4307 5 років тому

    Muzki mzuri video kali noma saana

  • @ramadhaniayubu6103
    @ramadhaniayubu6103 5 років тому

    mon apo umetisha mzee baba nakubaliiii bro

  • @richardmloha1762
    @richardmloha1762 3 роки тому +1

    Ambaye ameelewa mpaka leo 2021 tjuanee

  • @tejawamuziki8560
    @tejawamuziki8560 5 років тому

    Dah Moni msanii sana basi tuu hatuna management strong za kutosha

  • @gftdson4158
    @gftdson4158 5 років тому +7

    My big broski 🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Baaaaddd Man 🔥🔥🔥

  • @juniorbaiano8539
    @juniorbaiano8539 5 років тому

    Kinyamweziiii....trap ya level za mbele.

  • @alexmurithi1327
    @alexmurithi1327 5 років тому

    Hakuna msanii hapa. Kuimba huwezi

  • @mayagillamussa9486
    @mayagillamussa9486 5 років тому

    huyu dogo noma sn anacheza na beat yoyote

  • @NameisFort
    @NameisFort 5 років тому +4

    Oyooooo 😁😁😁 five minutes

  • @ZIP255-j6r
    @ZIP255-j6r 5 років тому

    M mwenzako kila kitu chako nakiona kizuri your m fvrr artust trap unajua

  • @georgemartin6297
    @georgemartin6297 5 років тому

    Kweli la moto mzee kama mimi na baby wangu penzi letu la moto

  • @lucianjr6807
    @lucianjr6807 5 років тому +1

    Wakukaya we ni moto...

  • @wishjuniortz7714
    @wishjuniortz7714 5 років тому +3

    Moni mtu mbaaaaad majengo sokon 🔥🔥🔥

  • @rmellymiime3230
    @rmellymiime3230 5 років тому +6

    😍😍 Wimbo wangu 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🖤

  • @Sincerelykentrell038
    @Sincerelykentrell038 3 роки тому +1

    Big🔥🇰🇪💣

  • @saidawadh3870
    @saidawadh3870 5 років тому +2

    Big up moni

  • @pambakaliboy3693
    @pambakaliboy3693 5 років тому

    mi naona hizi ngoma munazotoa zitakuja kutuua maghetoni mana zinatupaisha juu respect moni

  • @aristidesmtui6593
    @aristidesmtui6593 5 років тому +1

    Moni wa centrozone mtu hatari sana

  • @rashidmomba9909
    @rashidmomba9909 5 років тому

    Moni ili ngoma Ni hatariiii kweli video out now tena Ni LA moto mzee baba mungu awe nawe kW kila kazi yko

  • @lovinomwamtambulo6629
    @lovinomwamtambulo6629 5 років тому +1

    Makao Makuu ya Nchi Stand Up mtoto wa MAJENGO SOKONI

  • @millermzeiyaa324
    @millermzeiyaa324 5 років тому +1

    Noooooooommmaaaaaaaaa🙌🙌🙌🙌