Diamond Platnumz - Kosa Langu (Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 1,7 тис.

  • @luqash_luqman9744
    @luqash_luqman9744 10 місяців тому +98

    Kama ndio mwaka umeachwa ukaja kuskiza hii ngoma 2024 tueke likes zetu bas😢

  • @ernestcharles4288
    @ernestcharles4288 10 місяців тому +53

    Wangapi tunasikiliza 2024 🔥🔥

  • @OfficialBadal24
    @OfficialBadal24 7 місяців тому +20

    Kama bado unafatilia huu wimbo gonga like tuendelee nao 2025💙

  • @mfamauathumanimasai8512
    @mfamauathumanimasai8512 11 місяців тому +10

    Diamond please just read my comment, I would like you knowing that I feel you so much, when I listen to your music even though am stressed you make me feel like I bone again with your master piece of your music, bro unajuwa, I wish I could see you 1 day. I hope.my lovely musician diamond plutnums.unajua unajuwa tena

  • @ZolufaMas-ie4un
    @ZolufaMas-ie4un Рік тому +9

    Simba nkupenda bure kakangu,,💝💝💝💖💖💕🥰

  • @najmiinadebritishgwl1740
    @najmiinadebritishgwl1740 6 років тому +30

    Hii ngoma inanikumbusha mapenzi yangu yaani nimefeel so guys kama umeipendezwa hii ngoma gonga like

    • @HumoudAli-yt5gj
      @HumoudAli-yt5gj 9 місяців тому

      Pole sana iyo hali ya kutengana kila mtu anapitia sema tunaficha tu maumivu yetu

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 роки тому +45

    Licha ya matendo mazuri upendo na heshima😭😭😭 mapenziii 💔💔💔

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 4 роки тому +19

    Ukiimfuatilia Diamond kuimba huu wimbo na ukose kudondokwa na machozi basi hauna hisia ya muziki mzuri😭😭

  • @joelelia7724
    @joelelia7724 Рік тому +4

    Ngoma nzuri sana hii hadi sasa 2023 inabamba

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 4 роки тому +34

    Sasa hii ngoma utalinganisha na gani hapa East Africa,,sikiliza instruments zilivyopangwa jamani,,this is what I call good music,,,Diamond Platnumz and WCB forever#🦁🦁🦁

  • @StyleandMusic552
    @StyleandMusic552 6 років тому +126

    DIAMOND how many songs in a day..... you are a true Legend .....GOOD MUSIC VOICE ,,,,,,,Everything...This song more of a replica of Nikimuona....

  • @romiohbianga1366
    @romiohbianga1366 3 роки тому +9

    Hili goma bado lamoto mamaee.....mondi ni mwanamuziki halisia

  • @mapandejr8932
    @mapandejr8932 5 років тому +19

    Barua yako ulotuma kwa Iddy kisoma nimeisoma,ila nimechelewa ijibu sababu moyoni Imenichoma,Nilichotegemea ni tofauti na nilichokiona !!!Daah ngoma Kali sana forever🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fathiafathia6324
    @fathiafathia6324 10 місяців тому +2

    Yani leo ndo napigwa tukio nikakumbuka hii sang shukran simba

  • @adypraizemusic661
    @adypraizemusic661 6 років тому +19

    tokea Nairobi Kenya mziki tumeupokelea kwa upendo mwingi kwako @Diamond Platsnumz
    wapi likes za wakenya

  • @lecreateurs8348
    @lecreateurs8348 Рік тому +1

    ❤❤very much proud yes go out of the frontiers

  • @mohamedaminosman4380
    @mohamedaminosman4380 5 років тому +31

    Best african artist ever gonga like basi🇰🇪🇰🇪

  • @chirezialinoti4728
    @chirezialinoti4728 Рік тому +2

    Simba aaaaa mondi hakifa ziskizi mziki mungu AKULINDE KIJANA SIMBA

  • @billyopiyo6049
    @billyopiyo6049 6 років тому +61

    Waited for this song for a really long long time chapa like hapa ka umemkubali simba

  • @getrudewanjiku1307
    @getrudewanjiku1307 11 місяців тому +1

    This song hits different ukiwa kwa heart break😢

  • @aalleeyah5299
    @aalleeyah5299 6 років тому +48

    Napendaaaaaa😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️Masha Allah love from Kenya

  • @lameckissack
    @lameckissack Рік тому +2

    Why me kosa langu kwani nini kwake??🔥🔥📌

  • @thebestzanzibarholidays6102
    @thebestzanzibarholidays6102 2 роки тому +22

    The way he sings more than anyone in east Africa and African in general

  • @Raynize_Moneyboy
    @Raynize_Moneyboy 7 місяців тому +2

    Najua kunawalio commenthapa na washakufa rip

  • @bakaribakari_
    @bakaribakari_ 4 роки тому +26

    That second verse is the BEST verse Diamond Platnumz has ever written.

  • @fridahkirema9422
    @fridahkirema9422 6 років тому +81

    I celebrate Diamond here in my wheelchair he entertains me...again he and my son Moha shares birthday 2nd October.
    Wish to meet him some day for he makes me miss my dancing legs b4 accident which made me paraplagic. Love your songs Diamond..❤

  • @ashappyful
    @ashappyful 5 років тому +144

    I listen to this song every single day! Thank you, Mr Platnumz.

  • @eddiecurrents721
    @eddiecurrents721 3 роки тому +21

    You know we can't compare diamond to anyone he is the best......the song is something else.....i know to those who love it whenever you listen to it you're quite to grasp every line......since each goes deeep.......long live diamond 🙁

  • @Njokahthe1
    @Njokahthe1 6 років тому +47

    barua yako...........nimeishndwa kuisoma coz moyon yanichoma.. .. .......

  • @jaspreetkaur-qq7mr
    @jaspreetkaur-qq7mr 3 роки тому +45

    I am Indian....i don't understand single word of his songs...but idk why i love almost all of his songs...this man really have something....

  • @kiokomartha3849
    @kiokomartha3849 6 років тому +46

    Hi dogo, umeicha mda, naifahamu, tamu xana, mistari umebarikiwa mchezo kando

  • @robertmwachofi6064
    @robertmwachofi6064 3 роки тому +11

    Siku zote uta baki kuwa wewe simba wa East Africa 💪💪💪💪💪👊👊👊👊

  • @amnemkubwa7353
    @amnemkubwa7353 6 років тому +1047

    Kama unaiskiliza ili beats uku unasoma comments gonga like km lotteeee👍👍🙌🙌🔥🔥🔥🔥😍😗

    • @aishakhamis2996
      @aishakhamis2996 6 років тому +5

      Amne Mkubwa mxxxx" love you so much❤💋💋

    • @aishakhamis2996
      @aishakhamis2996 6 років тому +6

      Amne Mkubwa nimekupa like nyingi jamani mwaaaaah

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 6 років тому +3

      @@aishakhamis2996 Thnks sweety... me more❤❤🙌

    • @aishakhamis2996
      @aishakhamis2996 6 років тому +1

      Amne Mkubwa asante sana, GOD bless you.....

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 6 років тому +3

      @@aishakhamis2996 😂😂😁.. snteee😋😋❤.. ur so sweety wallahy 🤗🤗😗😗😗😗

  • @kelvinogaro6948
    @kelvinogaro6948 6 років тому +30

    Leo pia mm nimeingia before ifike elfu moja ...

  • @chekishambarealestate5210
    @chekishambarealestate5210 4 місяці тому +2

    💯 Diamond Kwa kweli anajau muziki..2024 Bado hii Ngoma naipenda kabisa

  • @Saved_001
    @Saved_001 6 років тому +125

    dah!!! naikubali#WCB,gonga hapa from +254

  • @sulehrajah292
    @sulehrajah292 6 років тому +68

    Kosa langu Kama unaikubali ii ngoma gonga like from +254

  • @abdifatahcoutinho5817
    @abdifatahcoutinho5817 6 років тому +825

    If you are big fan of diamond gve me like from Kenya 🇰🇪

    • @kimah9855
      @kimah9855 6 років тому +3

      Yes🇰🇪🇰🇪

    • @bidiiyako6803
      @bidiiyako6803 6 років тому +3

      Alimwimbia wema kitambo sana.

    • @xusnimoha8352
      @xusnimoha8352 6 років тому +2

      🤗🤗🤗No iam from somalia
      And iam a big fan of him
      😁😁😁😁

    • @rutigandapie610
      @rutigandapie610 6 років тому +2

      Diamond nakupenda sana kutoka Rwanda 🇬🇦

    • @rutigandapie610
      @rutigandapie610 6 років тому +1

      Big fan🇰🇪

  • @fardinaabdulmajid65
    @fardinaabdulmajid65 Рік тому +2

    Umenimaliza simba this song uko juu

  • @microkosrae
    @microkosrae 6 років тому +60

    I am loving african music because of Diamond Platnumz and Harmonize.
    And look, my body is dancing all by itself 🙈👯👯💃🏽💃🏽💃🏽👯👯🙈

  • @salwasalim8735
    @salwasalim8735 3 роки тому +3

    Dunia inataka uishi vzr na Kila mtu tuwache chuki zisikwisha bila sababu. Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Nashkuru kwa yte Wala cna chuki na mtu roho safi

  • @patientGrevislay
    @patientGrevislay 6 років тому +384

    Duhhh...hii ngoma imepigwa vinanda vizuri sana ...hadi mtu ana vi feel....gonga like hata moja tu jamaniiii

  • @feronandsulubu6711
    @feronandsulubu6711 Рік тому +2

    Founder and CEO of WCB💪

  • @moniqk9420
    @moniqk9420 6 років тому +25

    Kama kawa he never disappoints👍🇰🇪

  • @zuhurayahya6411
    @zuhurayahya6411 6 років тому +7

    Kutoka Kenya ...nyimbo safi kabisa gonga like kama unakubali wimbo huu

  • @mogiabdallah824
    @mogiabdallah824 Рік тому +5

    Wale tulio sikiliza hili goma 2023 weka like apo 😂🔥

  • @abuumussa6913
    @abuumussa6913 5 років тому +1

    Mungu azidi kuku weka brow maana una upendo sana haija wai kutokea toka mziki wa tanzania kupata mwana mziki kama wewe neva

  • @asmamsati48
    @asmamsati48 Рік тому +3

    Simbaaaa👹 una bayaaa nasibu chibudeeeee jmn nampendaaaa sanaaa nyimbo zako

  • @PUGBFORBEGGINERS
    @PUGBFORBEGGINERS 4 місяці тому +14

    2024 button 👉🏾

  • @unkolli
    @unkolli 6 років тому +10

    Nasib pole sana kwa Aliye ku,umiza moyo.
    I'm casting my love all the way from U.S.A ngoma inakubalika

  • @zainabuyusuf7730
    @zainabuyusuf7730 4 роки тому +1

    Kawaida MTU akipata kitu best lazima atakuwacha mataani kwahiyo kosa lako nikuzidiwa kimichezo au pesa na mwenzako.

  • @BuyFromDubai
    @BuyFromDubai 6 років тому +68

    First one for the love of Good Music from motherland Africa... 🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @chicharitoronaldo5950
    @chicharitoronaldo5950 4 роки тому +2

    Hakuna KENGE Atakaeweza kuziba Pengo lako siku ukitangulia mbele za haki

  • @suthnr3igns992
    @suthnr3igns992 6 років тому +42

    Team Yow hamjambo 😂😂😂😂😂😂.
    Poleni Team Yow , Kosa langu lazima niwafkirie 😂😂

  • @claudekalyembe82
    @claudekalyembe82 4 роки тому +6

    Mfalme naomba ututolee video hii song wangapi wanapenda Kuona video tuungane kilike king aone na atusikie

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 6 років тому +30

    pamoja sana simba mwaka wako huu baba.. pande za chuganian tushakusoma..

  • @fairuznahar7928
    @fairuznahar7928 5 років тому +33

    The only song I repeated trillion times much love from Somalia 🇸🇴 Diamond Platinumz🔥🔥🔥

  • @akanmpokeje4281
    @akanmpokeje4281 6 років тому +39

    Nyimbo kali inaweza mrudisha adi Mo

  • @lifeisgood5681
    @lifeisgood5681 6 років тому +337

    Wakenya in the building gonga like hapa

  • @Ismail4rl
    @Ismail4rl 5 років тому +13

    Licha matendo mazuri upendo na heshima mad of this song🥺😭😭✌️🔱⚠️🔱🥺🙌🤔🤪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✳️👁🤫🤫🤫🤫🤫🤫

  • @Potatoboymusic
    @Potatoboymusic 6 років тому +31

    ASHALA itaweza tu usijali chibu.............. like zakuweza nayo mafans msini angushe tu jameni chibu ashanipatia like na wewe je

  • @NaomiNgaira
    @NaomiNgaira 11 місяців тому +2

    Heartbreak wewe😫😭😭

  • @innocentgideon9167
    @innocentgideon9167 Рік тому +4

    2023 mwezi wako 10 mko wapi

  • @ivylyn8965
    @ivylyn8965 10 місяців тому +1

    2024 I'm here! Never gets old ❤

  • @KyaloKiema_
    @KyaloKiema_ 6 років тому +59

    nipeni likes za platnumz basi

  • @iam-penolive
    @iam-penolive 3 роки тому +10

    Hao wa kuomba likes najua kufikia Sasa mshanunua viwanja bado kujenga Sasa🥴🥴😂😂😳

  • @Tino_Official_tz
    @Tino_Official_tz 6 років тому +11

    From 🇹anzania to African icon. 🙏🙏🙏 proud of you Diamond platinum

  • @AngelinaJoseph-ht1ep
    @AngelinaJoseph-ht1ep Рік тому +3

    Kama unasikiliza wimbo huu 2023 gonga like

  • @rachaelmisiko7047
    @rachaelmisiko7047 5 років тому +15

    This is the kind of music we want

  • @randyaston505
    @randyaston505 2 роки тому +4

    "...licha ya matendo mazuri,upendo na heshima...." I just love the part

  • @karhutka
    @karhutka 5 років тому +17

    I dont understand language ,but i love African songs 😍🥰💃

  • @pauljaguar7410
    @pauljaguar7410 4 роки тому +2

    Uko vzr mwana wa tandalee

  • @KingnizerII
    @KingnizerII 3 роки тому +5

    ayolaiza nakurank bado iyo introoo👌👌👌👌👌

  • @khaifanmwapakia2957
    @khaifanmwapakia2957 4 роки тому +2

    Nassib ako yuuuu jamaaa wengine mifano tuuuuu

  • @ismaaciilmahamod8249
    @ismaaciilmahamod8249 6 років тому +188

    from somalia i like it this song

  • @shariffmwagagah2195
    @shariffmwagagah2195 Рік тому +2

    Hadi 2023 ngoma inaniumiza

  • @sadamporero9414
    @sadamporero9414 5 років тому +11

    i think this is the best of diamond .......lyrics message.....sound and just onpoint ......not a hit song but true music that one can listen for many many years to come.............i love the song

  • @yasirarafat2860
    @yasirarafat2860 4 роки тому +2

    Kosa langu ujanambia

  • @terrywatahi1203
    @terrywatahi1203 3 роки тому +19

    This song never gets old 💯🙌🥰my all time favorite song

  • @leticiambilinyi1708
    @leticiambilinyi1708 28 днів тому +2

    Nani anausikiliza November 2024 like ziwe nyingi. 😂

  • @bentahakinyi8498
    @bentahakinyi8498 2 роки тому +5

    😭😭😭,,,,,,,,,,,You will never disappoint your funs

  • @samke-i7g
    @samke-i7g 27 днів тому +1

    From Kenya nipeeni like

  • @hamoody1704
    @hamoody1704 2 роки тому +29

    It’s 2022 and I’m still listening to this song🤍

  • @ngasikajoel9576
    @ngasikajoel9576 3 роки тому +2

    Dah una nyimbo kibao mdogo wangu zote nzuri ... Mungu mwema kakubariki una kipaji kitumie kuwasaidia wengine

  • @kevinotieno2010
    @kevinotieno2010 6 років тому +7

    Hits after hits,everything diamond touches/features in turns to platnumz.

  • @stephenotieno4499
    @stephenotieno4499 5 років тому +4

    Ata naibika kusema hii ndio mara yangu ya kwanza kuskiza hili bonge la ngoma. Naipenda sana. Watching from kenya 16/8/2019

  • @tishangulube4403
    @tishangulube4403 6 років тому +11

    Wow, loving the 🔥 fire of the African song. Diamond you are the best

  • @gospelsingerstz
    @gospelsingerstz 6 років тому +15

    Those instrumentals baba ..... Great hit as always...!! Big love from Mozambique

  • @romamkatoliki6177
    @romamkatoliki6177 6 років тому +32

    Mzee baba youtube umeiwakisha moto tutaskizwa kweli 💣💣💣💣

  • @ceosylvan5695
    @ceosylvan5695 6 років тому +4

    alaaa!!!!! Simba kutoka tandale karudi Tena kwa fujo 💖💖

  • @hannahpeterhannah585
    @hannahpeterhannah585 5 років тому +32

    Sijawai ona iii ngoma 🙄🙄🙄chei but ni tamu chibu una ngoma nyingi kali.the best bongoliest Eva ..woia kosa langu kweli ungeniambia nilikosea wapi

  • @benzoetz6348
    @benzoetz6348 4 роки тому +2

    ukweli tukutengenezee sanamu ya kumbu kumbu smbaaaa

  • @pascovagaz7260
    @pascovagaz7260 5 років тому +3

    Mwanangu unajuwa sana ata sijue nikwambie nn mwanangu ww ndio umeukuza mziki wabongo ww ninoma like zenu APA wcb nawakubar

  • @vannnyclassic3328
    @vannnyclassic3328 5 років тому +1

    Bdo cjaona kama mond wallah anaweza mungu amuweke cmba wetu

  • @adamsuhayb6266
    @adamsuhayb6266 6 років тому +106

    iam not understand song
    but i like it go forward bro
    give me like if you love diamond
    from Somalia🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴

    • @mohamedhusein5
      @mohamedhusein5 6 років тому +1

      suhayb Adam 👍👍👍👍👍

    • @mohamedhusein5
      @mohamedhusein5 6 років тому +2

      suhayb Adam anaaa joogo oo somalia 🇸🇴 ka imid walalkeygow

    • @adamsuhayb6266
      @adamsuhayb6266 6 років тому +1

      @@mohamedhusein5 thanks bro

  • @StephanoJonas-h8r
    @StephanoJonas-h8r Місяць тому +1

    Simba nakuerewa sana mwamba unatikisa kwenye mziki

  • @vanessaandrew737
    @vanessaandrew737 Рік тому +7

    Huu wimbo nausikiliza every day thanks diamond ❤🌺

  • @wardamasoud4061
    @wardamasoud4061 3 роки тому +3

    Hii nyimbo sichoki kuisikiliza

  • @LuAiseyo
    @LuAiseyo 6 років тому +12

    #kosalangu😍😍 hujaniambia na ukanikimbia😢😢😢

  • @omarnguta12
    @omarnguta12 2 роки тому

    Mond waumizi tupo pia twakupenda bado lita new song kwa sai umetulia sana kaka nataman kuimba nawe ila dunia nkama nikaipa kisogo so we wakilisha bongo