Ngoma za design hii ndio ilifanya Wana Afrika Mashariki tukamkubli Diamond Platnumz kuwa na ujuzi wa kuimba na alituonyesha anaeza kufanya ata zaidi na hivyo kupenya Kwote Afrika💪💪💪💪💪#Once a Simbaa Always a Simbaaa
Diamond, your music just hits straight to the heart like an arrow. I might not fully understand some of the lyrics but the emotions and love behind your voice is unparalleled to no other! Reppin’ Kenya all the way from U.K. 🇰🇪 ❤️ 🇬🇧
Something unique about Diamond that his fans love and he knows that they love is the fact that his relationships help him to compose very emotional songs
ayaaaa!!! diamond kijana wa tandale ,,,ii moto sana simbaaaa👌👌🔥🔥🔥254naipenda ,,,unaiga sauti ya simbaa sauti inakukapa koo unakufa hehehehe like apa #team simbaaaa
Ngoma za design hii ndio ilifanya Wana Afrika Mashariki tukamkubli Diamond Platnumz kuwa na ujuzi wa kuimba na alituonyesha anaeza kufanya ata zaidi na hivyo kupenya Kwote Afrika💪💪💪💪💪#Once a Simbaa Always a Simbaaa
Nice song forever hukosei kma unamukubal diamond like bax thanks, talata akonayo.kma mwedzako anafanya vzuri msaport.uko juu my boss.
Ndio kaimbiwa zali
Naisikizia tu hapa Switzerland dogo umewasha. Je t'aime
Diamond, your music just hits straight to the heart like an arrow. I might not fully understand some of the lyrics but the emotions and love behind your voice is unparalleled to no other! Reppin’ Kenya all the way from U.K. 🇰🇪 ❤️ 🇬🇧
Simbaaaaa katisha humu ndaaaaani jooooooh
Fire @nikuone wcb for life. Jiwe, bomb kwa lingine. Joone nikuone napatwa na kizunguzungu. Roho yangu inaenda manjegere.
None like you in Bongo flavor
kama unakubali hii wimbo umeimbiwa zari gonga like .Diamond still loves Zari even if anamtreat vibaya
Imetawala Kenya...au sio wakenya wenzangu
Tamu Sana
Ngoma kali sana, platinum, amna wa kukulinganisha nimekosa
All the way from Kenya, who is still listening to the Nikuone na halali kama mm
It's me from tanzania😁
Zoa hapa kenya
Yeah bomet county
Still locked in
Pamoja simba
HUU WIMBO KAIMBIWA ZARI ASILIMIA 100, ATAKAE BISHA ANYE BOGA
Ash AS je km ni Wema
This album was 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥. The first album I have ever bought on iTunes
Njoo nikuone president salute
Anaeikubal Hii kitu gonga like twendeeee
I come from Sénégal but I love Diamond Platnumz, I am your fan number one
🔥💯
Something unique about Diamond that his fans love and he knows that they love is the fact that his relationships help him to compose very emotional songs
😅😅
Come on !!Diamond platnumz tutolee tena muziki huu !!!Please
Hello from Qatar 🇶🇦! Love Swahili music ❤️ I have a lot of Kenyan friends in my work place 😁
😂❤❤
Diamond zaman ulikuwa unaimba sanaaaa baadae Ya kuumizwa kweny mapenz leo nimekumbuk nyimbo za zamani kizaizai 'ukimwon 'n.k....
Umuone zari ahaaaaa n lazma umkumbuke tu tatizo mnafanya mambo kimwil amshirikishi moyo
Heart touching.... jamany simbaa eeeh😙😙😍😍😍😍❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
*njoo basii nikuoneee😙😍
Bado hit had inanikumbucha kipindi nilikua dar
It's always a pleasure to listen to u Diamond.
My name's are Levy Tito platnumz the boy from chibolya Zambia mond nakubali
ayaaaa!!! diamond kijana wa tandale ,,,ii moto sana simbaaaa👌👌🔥🔥🔥254naipenda ,,,unaiga sauti ya simbaa sauti inakukapa koo unakufa hehehehe like apa #team simbaaaa
Ni za Lin hz nyimbo?
simba kweli wewe ni simba always on top eagerly waiting for the video...........
Kama bado unaikubali ngoma ngonga like tujuane
unayoyafanya leo makubwaa🙌 afadhari yajana makubwa🙌 wengine wataumwa makubwa🙌🎼🎼☝☝🏃🏃
hukoseag mzee baba m nakukubaliii kinyamaaaa an fanyaa kuwamodolea pens ya pepe kale ilii ziwabaneeeeeee!!!
Roho yangu ianenda. Thanks Diamond Platinumz for keeping good music alive
Nangoja bana ishuke, umewexa nakuaminia
Ukiwa team wcb hautakiwi kuwa na mb za mawazo
Hahaa,kweli kabsaa
Nice
Miss piano💖
Miss Piano😣😣
miss piano 🙌
Natamaninikuone kaka nitakukumbatia
kwa dakika kumi hadi lisaa limoja nakupenda sanaaaaa😭😭😭🥰🥰🥰
Best melody... gonga likes kama zote.. 👑
Achia hiyo ngoma jaman, bando langu linakaribia kukata
Simba achia hii bana
Nyimbo yakitambo saana iyoo kaka
Mambo viipi???
Aca nasimba ni mupenzi wangu anakata muziki muzuri
Nikuone 👌hii song iko juu. Sauti yake Nassib tu!!!!!!
🙌🙌🙌 Leo ni leo achia mpaka 6 in the morning
😀😀😀😀😀
Diamond unajua bn hakuna kama ww afrika hii respect kwako my brather simba toka mbuga ya tandale.
simbaaaaa +254 gonga like hapa niwaone
Mimi shahrukh ninaomba chase kutoka kwenu please ninakuoba
Wowe nagupenda sana mipenzi wangu ❤❤❤❤❤❤❤💌💌💌💌💌💌💌💌💌💌💌💌💌💌💌
Simba
Moto sana!
This is the real deal. Wakenya wako wapi?
Tuko
No question boy from tandale hachemshi 😊
Hahaa...... Heshima kwa huyu kijana
Ni, "Pia huyu ndio real deal"😊
All the way from Malawi keep the fire burning I love your work
Aisseee hii album sijutii kutokuwa nayo. Mbaya katika kiwango chake.
Njoo uniwashie taa kizaa kitaniua!mamaeee this is king simbaaa
🤗🤗🤗🤗 am excited kuskia huo wimbo
😘😘
ika maz hi hatal
Kali Sana Kaka Simba ,,,,,utatuhuwa Sana mmmm siwezi kukulinganisha Yule fala
Niliyo yasikia Leo makubwa huaga naona Kwa video 💝💝💝
When will u ever dissapoint me Simba 🔥
directly from Mozambique ... I love Tanzania ... I admire your culture ... Congratulations .... This young man really sings...
Good sana Brother Simba k2 kong kii fire 🔥🔥🔥🔥kama umeielewa ngoma hii dondosha like yako hapa ili twende sawa. From Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Am from South Africa 🇿🇦 and am your biggest fan😍😚
This guy is phenomenal
Niliosikia leo makubwa ,manjegelee manjegele 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 NIKUONE🙌🙌🙌
incredible act of african ,messi of music
respect broh🔥🔥🔥🔥🔥
inasemekana kuwa mtanzania ukilaiki ngoma hi atawahi kuiachia kamaunamkubali wegonga laki hapo
Là je reconnais le rythme de diamond et je veux dire coup de chapeau à toi
i can't stop listening to this track
Me too
I can't stop listening this song ❤❤❤
sana yani
Simbaaaaa 2021am still listening to this I love u brook❤😭😭😭
niungue n platnumz mr President nitimize malengo yngu
tunaisubir kk simba.. apa cn'gooki ata jua likizama..
I am from somaliland I like African music 😘😚
Daamn… i love this song
mod wewe mbaya sana,umenishitukiza mbayaaaaaaaaaaa
NIKUONE PAMELA KOSA LANGU BAIKOKO AMANDA SIJAONA Akaja Kupumzika na Jamaica ×Africa Mambo ya Utimu
Kwa kuchora mistari nakukubali sana #Mondi👊👊
Ataliii zariii mwenzio anatesekaa..ukuu manjegere
Simbaaa 🦁🦁🦁🦁 nakwaminia sana 💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼 penda san ww ❤❤❤❤💋💃🏼
Hili Songi hili lilipikika...Tuddy thomas Fanya jambo na huy kijana tuna miss ladha ama kazi ya kwenu kwapamoja
Pumbavu sana.. mnatumalizia mb zetu.. mi nilfiri huyu jamaa kafyatua chuma kipya ktk mwaka mpya 2019
Nyundo ju ya nyundo kazi kwangu kuzipakua w c b for life
I love diamond music from Uganda thnxxx
Hakuna na nasema tena hakuna wala hatatokea Kama wewe Mondi🦁🦁🦁
Subscribe to my chaneell and I will do the same for you
Wow nice am waiting from Lebanon Beirut l 🇱🇧🇱🇧
All the way from kenya😍😍😍😍😍 tupewe zetu hapa
All at once 😘....lam your biggest fan l love you B
Kali
love you too
kama unasubiri "nikuone" gonga like hapa
luv this boy 4sure &4real
Lol
Ziangushe kama zote simba himself👏
Kabisa aziangushe
Diamond platnumz uko juu kama maharage ya kuoza mumayi nimeku vuliya 🎓kofiya kaka ❤❤❤wewe ni 🔥🔥🔥🔥
I'm 🇰🇲 comoros i like musique tanzania.... Diamant platnumz Simba ya musique afika nzima....
How I wish we had video for this song😢
love from ELDORET kenya
unadalili yakuishiwa sasa... mpaka unarudianyimbo za zaman daaaaaaa!!!!! huna jipyaaaa
Nyibo bora ksanaaaaa nanaikubali ksanaaaa%%%%
Kumecha sasa!! nahisi kuna kitu kinakuja!!!
I'm from Cape Verde 🇨🇻,i just love you,i'm your fan ❤
How is 2-0?
@@top20africamusics31 i'm sorry i didn't understand?
And he loves you too😊
@@viviene910 he's talking about the football match Tanzania won 2-0 against cape Verde
Cape vede soon I will have a show be ready
That voice oooh
Ni kama ile maradhi ya moyo! I love it!
Wangapi kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Wanangoja????
Tupooo
Bn 254 tuko
Tupoooooooo
Tupoo dia
Tuko wengi brathy
Mwenye mziki wake kaja. Simba toka mbuga ya tandale.......manjegere manjegere manjegere
Chibu nakuelewa sanaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
mungu akuweke miaka buku jembe langu nakkubali sana,
Duuuuh. Oe Jamaa leo Pratt kuruka. Hamna kulala 🔥
Chibu❤...vybe vybe vybe. ..I miss the original version 🇰🇪
Manjegere,manjegere,manhegere 😂😂😂💗💗💓💓
noma
Cela veut dire quoi :mangegeré
My favorite track from the Album
Diamond tutole video phpa audio iko fiti kma unakubaliana n mm toa like yko hpa👇
Wimbo mbaya kichiz😁😁😁
Kama hujakubaliana na Mimi Gonga like
Mbona nmechelewa kuiskia hii aseee!
Yani simba wew kbs mungu akulinde. Ila tuna miss kitu camwaka 2021, 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nikuonee sana my brother hukoseii ckupingiii.