DUDU BAYA AONGEA MAZITO MOTO UNAOTEKETEZA MAREKANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 88

  • @NtiyonkuruLiam
    @NtiyonkuruLiam День тому +6

    Mungu akupe umri mrefu

  • @ramadhanimwanyumba2955
    @ramadhanimwanyumba2955 День тому +2

    Napenda sana mahujiano na Mamba, Dudubaya!

  • @lucasbatano333
    @lucasbatano333 День тому +10

    Hivi dudu baya we kila kitu unajua😂

    • @achilemtela3846
      @achilemtela3846 День тому

      Huyu mwamba kila kitu annual 😂😂😂😂😂

    • @DeogratiusMelchior
      @DeogratiusMelchior День тому

      Oil chafu

    • @salmanassor8732
      @salmanassor8732 День тому

      😂😂😂😂😂

    • @MfalmeDoss
      @MfalmeDoss День тому

      😅😅😅😅😅

    • @MamuduAziz-h1z
      @MamuduAziz-h1z День тому

      Mjanja anatembelea mgongo wa matukio alafu anakuwa km mtu wa bible na Quran kifupi mwanjilisti au sheikh Lkn hawwjui chochote kuhusu uhalisia wa jambo hajui ata chanzo, California ni aridhi kavu kila miaka inatokea wildlife kutokana na mazingira y hali y hewa mtu ukitupa kipisi cha moto wa sigara basi California majanga, Lkn moto huuu ni mipango ya wao wenyewe ni mambo y kisiasa na visasi tu mungu hawezi kulaani binadamu wake, sisi tunaoneana wenyewe kwa wenyewe ndio Tatizo la majanga ni visasi

  • @BatistikatumbiKatumbi
    @BatistikatumbiKatumbi День тому +2

    Yani didubaya nimtumishi.kabisaa naww umezaliwa kwenye familya wanajua mungu akubalicki Sanaa ndugu yangu

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO День тому +2

    Dudu baya-uko vizuri mno-nina ku-admire

  • @HUpendo
    @HUpendo День тому +2

    Kuna MD unakilii sana wewe baba ❤❤❤❤

  • @PaulKisui
    @PaulKisui День тому +1

    hii ni kweli kabisa dudu baya anasema ya Mungu na atafanya kenya hivi karibuni!!!

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 День тому +1

    Safi kaka ukweli mtupu Mungu akulinde baba 🙏🤲🤝

  • @goddymchau1712
    @goddymchau1712 54 хвилини тому

    Ila dudu baya . Eti bikra ya marinda 😂😂

  • @elizabethmkude9452
    @elizabethmkude9452 День тому +3

    Mungu akutunze mwenye masikio ataisikia

  • @eddyedduu6912
    @eddyedduu6912 14 годин тому +1

    Hii ndio interview. Yule Jamaa wa Bongo touch ni utoto kabisa.

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 День тому +2

    Brother unaongea point sana

  • @KasaKamanga
    @KasaKamanga 10 годин тому

    Wewe ni mtusana.kunanjia mwenyezi mungu.anakutumia.
    Heshimu2,Mila na desturi.
    Utashinda.

  • @T-Fellow
    @T-Fellow День тому

    That's facts legend Uncle, big up sana

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 3 години тому

    Nakupenda Dudu baya'

  • @leomika8473
    @leomika8473 День тому +1

    Safi kabisa dudu baya

  • @edennkulikiye2330
    @edennkulikiye2330 17 годин тому

    Nakukubali sana my brother

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 15 годин тому

    Tumaini uko vizuri sana unaabusara sana jamani mungu akupe afya njema

  • @YulinaKbk
    @YulinaKbk 17 годин тому

    Hongera Sana hoja nzuri

  • @emmanuelherman-pb9dx
    @emmanuelherman-pb9dx День тому +2

    Andika ngoma kaka, mbona hatuskii ngoma kali kutoka kwako siku izi

    • @SifranLove
      @SifranLove День тому +1

      Mziki ni haram na hapati faida bora atupe elimu kama hii itufae wengi na tumuombee dua,

  • @knight6757
    @knight6757 День тому +2

    💯 🇺🇸...kama hawaamke hawatoamka tena ngooo

    • @geraldadolf4928
      @geraldadolf4928 День тому

      Kweli huo ndio ukweli marekani ni sikio la kufa

  • @RespiciusMrokoz
    @RespiciusMrokoz 4 години тому

    Unasema ukweri dudu bingapu

  • @ShabaniMohamed-t1y
    @ShabaniMohamed-t1y 7 годин тому

    bro uko vizuli sana

  • @TausiAlly-d8e
    @TausiAlly-d8e 19 годин тому

    umeongea point 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @onesmoshija9904
    @onesmoshija9904 День тому +1

    Hivi kumbe dudu baya asipolewa anakuaga na akili eti

  • @RespiciusMrokoz
    @RespiciusMrokoz 4 години тому

    Ata dudu nawana wake wanakose ahitakiwi,

  • @CornelThomas-gc8rz
    @CornelThomas-gc8rz 13 годин тому

    Hata hao wanao kusapoti hawajui chochote masikini kweli ujinga kitu kibaya sana wanakusapoti kwa mihemko tu hata chanzo moto hawajui.mtu akishindwa kufikiria anakimbilia kumsingizia Mungu.

  • @CornelThomas-gc8rz
    @CornelThomas-gc8rz 14 годин тому

    Acha kutishia watu unajua nn kuhusu Mambo ya mwoto kwanini unamsingizia
    Mungu kwahio Mungu nimuaji acha hizo

  • @MusaRajabu-rw7uz
    @MusaRajabu-rw7uz 8 годин тому

    Duwa nyingi konki

  • @ElizabethMuia-ro9yh
    @ElizabethMuia-ro9yh День тому +1

    BONA DUDU BAYA WEWE NI KAMA MTUMISHI KIMPANGO, BONA USIWE MCHUGAJI UCHUNGE KONDOO ZA MUNGU, NA UBADIRISHE HIO NJINA LIWE DUDU LA YESU

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 День тому

    Konki Wadai Wanapigwa miti na nani😂😂😂 Mashoga wapo Walaji

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO День тому +1

    Dudu baya kuanzia leo badili jina uitwe Duduzuri.

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod День тому +1

    Duduzuri 😊😊

  • @FrancesMachelela-g4y
    @FrancesMachelela-g4y Годину тому

    We mwenyewe hujielew mbona hata hap mnasema 50kwa50 tofauti n hambeb mimba2

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 23 години тому

    DUDU BAYA Mungu akubariki. Texas wanawake kutembea vifiwa wazi. TRUMP AMALIZE TU USHOGA MUNGU YUKO ANAONA.

  • @BtrainTv
    @BtrainTv День тому +1

    Wambie konki 😅

  • @PetroSawa-q8w
    @PetroSawa-q8w 22 години тому

    Kila kitu dudu baya anajua

  • @Unknown_blox-yt
    @Unknown_blox-yt 18 годин тому

    Mamba, kila mada anajuwa 😮

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 5 годин тому

    safi kaka

  • @JescaMwakaponda
    @JescaMwakaponda День тому

    Upo sahihi sans dudu baya

  • @hitiyisedidace7377
    @hitiyisedidace7377 День тому +2

    Kweli bwana

  • @masterkimbunga
    @masterkimbunga День тому

    Safii dudu baya..

  • @chingychingy2066
    @chingychingy2066 День тому +3

    Dudu baya apo umechanganya story mbili ya nuhu na ya nabii luty...nuhu yy ndo alijenga safina ila iyo alie ambiwa asigeuke nyuma na watu wake ni nabii luty wakiwa wanatoka kwenye mji wa sodoma na gomora

  • @OmaryUkwama
    @OmaryUkwama День тому +1

    Upo sahihi blothel

  • @safiasuleiman-t9d
    @safiasuleiman-t9d День тому

    Kaka njoo kwenye dini yetu ya kiislamu nakuomba

  • @ArnoldMbulawa
    @ArnoldMbulawa День тому

    Huyu jamaa anajuwa kila kitu hapa Duniani?? Mbeya wa kiume huyo.😂

    • @hadijahamza-l9z
      @hadijahamza-l9z День тому

      kichwa kinaelimu siyo chako na mimi kinawaza majungu tyu

    • @mpajlmbwilo72
      @mpajlmbwilo72 День тому

      Wenimjinga kweli ndugu yangu ko kuhusuuo moto ulitaka aseme ni moto wa kawaida acha ujinga wako

    • @mpajlmbwilo72
      @mpajlmbwilo72 День тому

      Shetani wa kimalekani kabisa ww nawe ni mmoja wao.

    • @fatumajuma592
      @fatumajuma592 14 годин тому

      Yuko na maneno ya busara wacha wivu autokufaa

    • @ArnoldMbulawa
      @ArnoldMbulawa 8 годин тому

      @@fatumajuma592 punguwani mkubwa wewe na huyo shoga wako.

  • @amadiisaa
    @amadiisaa 17 годин тому

    kumbe zanziba wanamatatizo😢😢😢

  • @jumaalmasjuma1700
    @jumaalmasjuma1700 День тому

    Kapoteza diraaaa huyooo

  • @EliamanMzava
    @EliamanMzava 14 годин тому

    Dunia imeisha

  • @HabaYee
    @HabaYee День тому

    Dudubaya unafaakia kiongozi

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel День тому +2

    Unafanya vizuri kulaani na kukemea. Lakini toa taarifa kwa hekima na heshima usiwatukane watu wasiohusika. Hao mashoga wote na huyo Mchungaji mpya Aggrey, na anayejiita Nabii Tito na wengi ni watu wa Kanda ya Bahari? Fanya utafiti mdogo humu humu kwenye U tube yapo matukio mengi ya hovyo hata Mwanza, shinyanga nk

    • @JabirKasm
      @JabirKasm День тому +1

      Unapo comment inatakiwa kwanza akili yako iwe imetulia sana huu ushoga unakua Kwa Kasi sababu wamarekani

  • @JosephSambai-g2i
    @JosephSambai-g2i День тому +1

    Dudu baya hivi umeokoka?

  • @PaulSanga-bn2zv
    @PaulSanga-bn2zv День тому +1

    Point

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 День тому +1

    Chinga kalime mengoko

  • @MohamedJuma-k6q
    @MohamedJuma-k6q 17 годин тому

    Wale. Vidonge. Vyao

  • @mohammedmeja6211
    @mohammedmeja6211 19 годин тому

    Dudu baya pongezi

  • @ZakaliaMkhothia
    @ZakaliaMkhothia 10 годин тому

    Safi dudubaya

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 19 годин тому

    Kama Unataka Ukweli Basi Uwambie Na Hawo Wanaouwa Watu Hapo Kwenu Tanzania Waache Dhulma Na Kuwa Watu Wasio Hatia Ipo Nawao Siku Kama Mwenyezimungu Anahasira..

  • @FelixByabato
    @FelixByabato 3 години тому

    Trampu hawezi kumaliza ushoga.Ushoga ni maandiko lazima yatimie tu ataufanyeje kikubwa nikumkilia Bwana Yesu Kristo.Kinyume na apo hutaweza kuepuka kuwa shoga kwa akili yako.

  • @MuzammilMundu
    @MuzammilMundu 17 годин тому

    Silimu kaka uko jambo

  • @rachidemomademomaderachide5897
    @rachidemomademomaderachide5897 День тому +2

    Mamba 24hrs

  • @MdackShabani-y1h
    @MdackShabani-y1h День тому

    Uwe unachana nyele unakuja kichaa haya kama utaongea point bilakuwa msafi Bado utaonekana mwehutu

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw День тому

      Pengine nywele zake kama zangu. Maana hata ukichana , unaonekana hata hukuchana. Za kipilipili

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 17 годин тому

      Kama hauna akili wewe hauna tu ata uvae suti watu wenye akili tu watakutambua wewe ni zumbukuku , looooooh wewe mwenzetu bado una fikra zakitumwa, .. Mshamba kweli wewe ndio ninyi mnaoingizwa chaka na mapatapeli mjini

  • @michaelthomas7243
    @michaelthomas7243 3 години тому

    Shaken dish

  • @AMISIMISHIMA
    @AMISIMISHIMA 18 годин тому

    Shua

  • @MustafaSeleman-e3y
    @MustafaSeleman-e3y День тому +2

    Mungu akupr umri mrefu