MARIA SARUNGI AWATAJA WALIOMTEKA NCHINI KENYA MMOJA ALIONGEA KISWAHILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 403

  • @SauwaeliNnkoEbenezer
    @SauwaeliNnkoEbenezer 8 днів тому +1

    Hongera Sana Maria

  • @ZiggysebahZiggysebah
    @ZiggysebahZiggysebah 14 днів тому +13

    Mungu Atakulinda daima. Kwa kuwa umesimamia hali kama Mungu. Apendavyo na Atendavyo

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 14 днів тому +11

    Pole Mary mungh wetu ni mwaminifu amekupigania.Mungu akulinde na atazidi kukulinda.

  • @salomembiro5017
    @salomembiro5017 11 днів тому +1

    Pole sana Maria! Love u!

  • @JibeMwaijibe-p1z
    @JibeMwaijibe-p1z 13 днів тому +2

    Sasa ndo nimekufahamu mwanaharakati wetu ahsante na pole sana🙏🙏🙏🙏

  • @Nyamohangahellen
    @Nyamohangahellen 10 днів тому +1

    Mwnyezi Mungu akulinde Kilauea uendapo dadangu

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 12 днів тому +1

    Pole sana Maria,Mungu akulinde daima, Ameni.

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 14 днів тому +12

    Pole sana Mary Mungu amekuokoa kwakuwa umekuwa mtetezi wa wanyonge Mungu azid kukukinga na mabaya

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 13 днів тому +3

    Ashukuriwe Mungu wetu, hili genge la utekaji ni la kuzimu, Mungu atawalipa Sawa Sawa na uovu wao,

  • @rosemarymungai2415
    @rosemarymungai2415 13 днів тому +2

    aalaaaah jeshi ya kasongo kaongo imeingia international sasa utekaji wa nyara ni real hapa kenya

  • @maryhando227
    @maryhando227 14 днів тому +2

    Pole sana Maria, Mungu aendelee kukulinda, mpk Soka apatikane labda uko hai.

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo7128 13 днів тому +4

    Sarungi Pole Sana. Lakini Tafafhali Usiitaje Marekani kwani wao Ndio Wavunjaji Wakubwa wa Haki za Binadamu kwa Kuua hata Viongozi wengi wa Afrika. Tuwe na Democrasia yetu ya Afrika, itakayowezesha Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Kiuchumi.

  • @DanielyMuhanyi
    @DanielyMuhanyi 10 днів тому

    Pole

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 12 днів тому

    POLE SANAAA MZEE SALUNGI.. HUNA BAYA MTOTO ANAKUKETEA PRESSURE😢😢😢

  • @HH54508
    @HH54508 13 днів тому

    Pole sana Maria Sarungi, binafsi naomba kwa Mungu ata hao Wamarekani watatulazimisha tukubali haki zote lakini haki ya binadamu zinazohusu ushoga na usagaji kwakweli mimi kama Mtanzania sitokubali

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 12 днів тому

    Kasongoooo eee mobali na ngai kasongo mbona wewooooo😂😂😂😂kwa iyo ulitoa password na had ukapata muda wa kuzifuta hizo access 😂😂😂

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 13 днів тому +1

    Ali Kibao Alishutumiwa Sana Na Msigwa Siku chache Kabla hajauwawa...Akidai Kuwa Ali Kibao ndiye Aliyefanikisha Kumyima Uwenyekiti wa Kanda...

  • @kevinalusura941
    @kevinalusura941 10 днів тому

    Kenya,,,Uganda,,,Tanzania

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 14 днів тому +11

    They she explain anaonekana ni muongo muongo hivi , huwez kuhisi watu wanaongea kwa ishara na huoni ....lkn she is beautiful 😊😊

  • @komangohill5957
    @komangohill5957 14 днів тому +4

    Uji uji wa mashoga unatokota .
    Tangu Enzi za JPM

  • @sgjjkwbueow
    @sgjjkwbueow 12 днів тому

    Pole ,Mungu azidi kukulinda.

  • @leothardngonya4842
    @leothardngonya4842 9 днів тому

    Acha upuuzi we mjinga , Nenda kafanye umalaya huko kwa Wazungu.

  • @sharralucy5231
    @sharralucy5231 13 днів тому

    Mungu atakulinda Maria. Tz hii ni wachache sana wana moyo wakutetea haki za binadamu. Tunakuombea

  • @missp-dv6qd
    @missp-dv6qd 14 днів тому +4

    Huyu alisema nondo amejiteka yeye amejifanyaje sasa. Mana alisema ndugu yak3 zito kabwe aache utoto

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 12 днів тому

    HAO WATEKAJI WANA MAMBO YAO.. YANI HAWAJATAKA KADI YA BENKI WALA NINI.. SHIDA NI SIMU WAONE UNAO CHAT NAO NA UNACHAT NINI😢😢😢DUH OKAY

  • @EzekiaNyakonge-q2c
    @EzekiaNyakonge-q2c 12 днів тому

    Pole mwana harakati. Hiyo ndo vita yake...!!??

  • @MathiasSongoyi
    @MathiasSongoyi 12 днів тому

    Huyu mama ni kweli alikuwa ameyekwa,kwa wale mnaombeza huyu mama na wao iposiku mtatekwa au mkeo ndo utajua maana ya kutekwa endeleeni kubeza siku likikufika usilalamike.

  • @EdwardKessy-c9z
    @EdwardKessy-c9z 14 днів тому +1

    Hahahah😂😂😂😂 kumeshaanza kumenogaa...

  • @JoelSanka-u3n
    @JoelSanka-u3n 12 днів тому

    Pole san

  • @w4058
    @w4058 13 днів тому +1

    Hapo sikuungi mkono Maria maana alisema atairupuwa Ghaza MMungu Mkubwa karipuwa kwake kwanza

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 13 днів тому +1

    Kwa mazungumzo yake inaonesha alikua amejiteka mwenyewe mipango ya kiki kwa umriwangu wote sijawahi sikia hili jina isipokua leo sasa siunaona anajitambulisha kwa kutumia kiki wakuteka alafu wakuachie mtizameni macho yaka wakati anaongea yani macha yanasema ukweli na mdomo wake unasema uongo nahuku moyowake unamsuta kwasiri minamwambia ache unafiki amuache kijana wawatu achape kazi

  • @suleimanabdillah7490
    @suleimanabdillah7490 13 днів тому +1

    Ikifikia watu wanatengeza story za uongo na usaliti kwa nchi yao,huyu dada anachotafuta ni kuichafua nchi kimataifa.zipi Simu walizochukua na zipi ulikuwa nazo mwisho.unajichanganya.
    Iachane tanzania,unadai si mpinzani lkn unalalamikia CCM.
    Ali kibao lisu alichosema utekaji na mauaji mnafanya wenyewe

  • @ericrukamba6802
    @ericrukamba6802 11 днів тому

    Alifanya mpango wa kujiteka mwenyewe mwongo mkubwa maelezo yake yanaonyesha kuwa ni mwongo, hayajanyooka,watekaji huwezi kuwabishia wakati unajua unakwenda kufa,mwongo mkubwa

  • @leobalige7069
    @leobalige7069 13 днів тому

    I wonder!!!

  • @sindanokali
    @sindanokali 10 днів тому

    Watanzania wapumbavu sana, wanakosa kuona hatari ya kushabikia ccm.

  • @leobalige7069
    @leobalige7069 13 днів тому +2

    Hii, imepangwa, kuwa hivi! Watekaji na kuhojiwa imepangwa.

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 14 днів тому +1

    Huyu mama hayuko mzima hata ukimuona machoni unaona ana mental issues , hivi yeye ni nani kwa Tanzania na serikali ya Samia mbona sio tishio kabisa , tuwe wakweli ni nani Tanzania anamjua huyu chotara wa hungary 🇭🇺 😅, na mbona huku kutekwa ni anaongelea ni utoto yaani usalama wa Taifa wa Tanzania wateke mtu kitoto hivyo very unprofessional wakati ni watu ambao wamekaa darasani Na wanaijua kazi yao kwa vitendo Na watu wa kwenda kwenye mafunzo nchi za nje kwenye nchi zinaongoza kwa ujasusi ,mimi naona kama mnasikia mtu aliyekuwa depressed na bipolar kweli kabisa Na anafikiria ni mtu mkubwa sana hatari kwa serikali ya Tanzania 🇹🇿 wakati hamna kitu chochote Yani Hana impact yeyote 😂😂😂

  • @zulungconde1647
    @zulungconde1647 12 днів тому

    🇿🇦 The problem of you people of East Africa, mnapenda sana kujipendekeza kwenye zile nchi zisizotakia mema Africa, yaani mkiwa nje ya nchi mnazalilisha nchi zenu mlizozaliwa, kwakufanya hivyo mnasababisha nchi zenu kuwa unstable. Huo sio ukweli kwamba Tanzania hamna democracy, sasa wewe ndio Mungu utakae badilisha kila kitu nchini Tanzania.?

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 13 днів тому +3

    Hii haituhusu kabisaaa katekwa na huko na Majirani 😂😂😂😂

    • @FredWabwire-w3q
      @FredWabwire-w3q 13 днів тому

      Upumbavu ndio muwache nyinyi watanzaniya, muwache kuabudu Suluhu wenu si Mungu.

    • @vitalisjuma4451
      @vitalisjuma4451 13 днів тому

      Kabisaa haiwahusu ina tuhusu sisi wa Kenya

    • @EliyaPaulo-uf6hh
      @EliyaPaulo-uf6hh 10 днів тому

      Nikweli haikuhusu kwasababu wewe ni joka huna Moyo wa Mungu

    • @mocua2910
      @mocua2910 10 днів тому

      Wewe endelea kumpigia rahisi wenu mama suluhu magoti tu. Tulieni hivyo hivyo pia muendelee kulala.

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 14 днів тому +3

    Umekuwa kwa kodi za watania ni kweli una kidomo kama jlivyo kiri mwenyewe

  • @simbaedouardo8499
    @simbaedouardo8499 13 днів тому +2

    Dhaaaa kama kauongo but I don't know ila ....

  • @MahamoudWalii
    @MahamoudWalii 13 днів тому +1

    Kama kweli ametekwa.halafu wamuachie bila madhara yeyote.hiyo ni ajabu.hakuna chochote huo ni mchezo tu

  • @ngashjr
    @ngashjr 13 днів тому +1

    Ruto must GO!!!

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 14 днів тому

    Pole sana sister, Madhalimu Jahanamu inawasubiri

  • @josephchaba6007
    @josephchaba6007 13 днів тому +1

    Huyu dada ni muongo sana hata Kenya atawachafua

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 13 днів тому +3

    Mh !!! Mwanaharakati amekodi marafiki wamtrendishe .

  • @CAPYBARA-r6w
    @CAPYBARA-r6w 14 днів тому +1

    Unaichafua Kenya kuwa sio sehem salama kabisa.

  • @mhehear
    @mhehear 13 днів тому +2

    Acha kuchafua jina la nchi yako kwa maslahi yako.. nimesikiliza interview zako zote unajigonga sana.. Nairobi kuna Traffic Jam kubwa sana kwa mtu kutekwa katikati ya jiji.. kukiwa na msiba watu hukusanyika nyumbani kwa marehemu.. ila wewe ulirudi nyumbani hakuna mtu😁😁 .. tengeneza sinema ingine..hata macho yako yanaonyesha wewe mwongo ..

  • @RashidiMbena
    @RashidiMbena 13 днів тому

    Wewe wa Daraja la kidatu huna Akili kwa Nchi Gani Iliyo safi Kwa taarifa Yako TANZANIA Rwanda Uganda Kenya sasa hivi ni Wauwaji Toka Kagame amuambukize utekaji Magufuli watawala wamerithi huo ubaya ila Hakuna kisicho na mwisho pole sana dogo kwa akili ya woga.

  • @SarahAstariko-n4c
    @SarahAstariko-n4c 12 днів тому

    Mmmhh

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 14 днів тому +5

    Wewe Maria, Dr slaa ,askofu msukuma.lisu na madiaspora wenu wa mchongo.mmejeuka mmekuwa wapumbavu.mnarusha maneno hiding ya ccm leo mnageukia chadema. Mattishall maandamano wenyewe hampo tz.kafieni mbali huko.

  • @comics3437
    @comics3437 14 днів тому +9

    She is very bright

    • @petersilas4234
      @petersilas4234 14 днів тому +1

      I doubt it, she is full of negativity

    • @emmakicham4664
      @emmakicham4664 14 днів тому +1

      If I look at the comments section 😂😂yenyewe Tanzania has a long way to go waaah😂😂😂aty aliji abduct😂😂😂

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 14 днів тому

      Hakuna cha bright lolote chizi km machizi wengine tu.

    • @petersilas4234
      @petersilas4234 14 днів тому

      We have no time with this cheap politics, after all Africa should do away with multiparty politics, it's a waste of time. China should be a model for our politics.​@@emmakicham4664

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 14 днів тому

      Mama Lea wajukuu...kula ugali na samaki oumzika watakumaliza

  • @smartjayrockcity4344
    @smartjayrockcity4344 13 днів тому +3

    Kwa mtazamo uyu dada akipigwa kofi atoi pin ya simu au analeta zesheni
    Hii ni stori atakama ni mm niambiwe nichukue password kwa uyu nishindwe.
    Jamani tujue kusuma lugha za mazingira hapa kunastor hawa watu wanapotafuta kuzungumziwa lazima watengeneze kitu cha kufanya watu wawafatilie uyu katudanganya tu.

  • @SylvesterChuwa-bs7tl
    @SylvesterChuwa-bs7tl 11 днів тому

    Mwaka mpya na akiri mpya maan tunaitaji mabadiliko

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 14 днів тому +4

    Mungu akulinde daima Maria Sarungi
    ccm mwisho wao umefika

  • @RrufaidaJaafar
    @RrufaidaJaafar 14 днів тому +3

    Malekani mabwanazenu wao Wana halo kwao

  • @annndunda3953
    @annndunda3953 13 днів тому +1

    Aliji abduct huyu❤❤, leave our kasongo alone

  • @richardrichope3528
    @richardrichope3528 13 днів тому +2

    Kumbe wewe mwenyewe unajua kidomodomo hhhhhh nenda huko nakidomodomo chako

  • @elizabethmassi7327
    @elizabethmassi7327 12 днів тому

    huyu hamutekwa ana lake jambo lengo amchafue Makonda na si jambo lingine.

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 13 днів тому

    Mungu ni mwema kabla hujafa hujaumbika

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 14 днів тому

    Pole dada hata kama umeliwa kwakuwa upo salama mungu ni mwema

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 13 днів тому +1

    Democrasia nila maendeleo ni uchafu tu. Sasa hv watanzania tunashindwa hata yumuamini nani.

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 14 днів тому +1

    UMEKULA PESA WAKOLA CASSINO...☹️

  • @husseindinongo4798
    @husseindinongo4798 14 днів тому +4

    kajiteka huyu,wewe utekwe halafu uachwe hv hv .

  • @zuhurageyash3519
    @zuhurageyash3519 12 днів тому

    Ingekuwa mwanangu nigekukataza hio harakati yako yanini kuuza roho yako kaa ulee wanao na mumeo

  • @masoudpandu4404
    @masoudpandu4404 12 днів тому

    Hii ni story huyu mzushi hana harakati yoyote anifaham nini serekali na nguvu zake

  • @MACHAGGECHACHA
    @MACHAGGECHACHA 13 днів тому +1

    Anatafuta umaarufu huyo malaya. Nani atapoteza muda kushughulika naye.

  • @LovelyDiamondRing-nr7lq
    @LovelyDiamondRing-nr7lq 11 днів тому

    Ubongo unajulikana tafuta kiki

  • @JerrySmartfarm
    @JerrySmartfarm 12 днів тому

    Muongo mkubwa utekwe utakuwa jasiri vile Tena ndani ya Gari,kajipange upya

  • @kwamnkurumah8574
    @kwamnkurumah8574 13 днів тому +1

    Hawakuwa na mpango wa kuku huwa wange taka kuku huwa ww ungekuw tayar umekufa tayar mshamba wewe ucha ushoga ww utapotea wewe Kwanza NI Mkenya

  • @omaryjumas6327
    @omaryjumas6327 13 днів тому +1

    Maigizo in action.

    • @w4058
      @w4058 13 днів тому +1

      Na wewe hasidi nenda ka act kama yeye nyoka hasidi mwenye sumu kali

  • @abasiachimika541
    @abasiachimika541 13 днів тому

    Pole dada mung yupo naww

  • @SylvesterChuwa-bs7tl
    @SylvesterChuwa-bs7tl 11 днів тому

    Watanzani tunawakati mgumu xan mifumo yetu ya kuendesha nchi ndio tatizo hawakubali kuweka mifumo mipya wanajua watakosa kila kitu kwa sababu wameweka mifumo yao mambo ya kifalme akitoka uyo anakuja huyu je ww utakuwa mkia mpaka lini kwani hauna akiri ukoo wako au ndio zero zero za madaraka ila siasa hapa hatuna ila nguvu wanazo

  • @hamismasoud8306
    @hamismasoud8306 11 днів тому

    Tatizo nyie mnatumika sana na mabeberu wa kizungu kuharibu amani ya nchi lengo lenu mnataka kuuza nchi yetu

  • @mushumbaeric4916
    @mushumbaeric4916 12 днів тому

    Huongo kiki hiyo unatengeneza mazingira na kundirako mmetengeneza move

  • @AhmedYusuph-g3f
    @AhmedYusuph-g3f 13 днів тому +1

    Kwani raisi marekani atafanyanini yeye ninani aweze moto

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 13 днів тому +1

    Kuna watu nchi hii wanajifanya nchi ni yao peke yao

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 13 днів тому +3

    Huna lolote kenge wwe mwaharakati gani hana vyanzo vya kutekwa kwake. Hizo nini. Kk nyau wwe. watu wenye usumbufu na serikali mpaka leo wali tekwa hajawahi rudishwa

    • @EliyaPaulo-uf6hh
      @EliyaPaulo-uf6hh 10 днів тому

      Wewe ndio kenge mkubwa tena mwenye manyoya unafurahia Mtanzania mwenzio kuumizwa? nenda kwa mumeo Pi didy

    • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
      @EmmanuelNyinyigwa-m1o 10 днів тому

      @EliyaPaulo-uf6hh Kwa nini usiwe wewe

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 13 днів тому

    Dada pole mungu akulinde

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 14 днів тому +4

    Pole sana mama yetu dada yetu kwa kunusurika kufa kwa kutekwa na leo upo hai mshukuru mwenyezi mungu mwingi wa heri na Rehman

  • @ignasmethod4239
    @ignasmethod4239 10 днів тому

    Kwahiyo nawewe umeamua kusema unatekwa wakati hapo hapo unasema Kuna mtu ametekwa na amekufa wewe usife una nini

  • @mbarakahaji4302
    @mbarakahaji4302 14 днів тому +7

    Wewe muongo umejiteka muongo

  • @khalifanoti6974
    @khalifanoti6974 13 днів тому +1

    Hiyo ni kiki ya kutuchafua sisi kama wa tz

  • @mosabinyamohanga6996
    @mosabinyamohanga6996 13 днів тому +2

    Wewe
    Unaichafua tu TANZANIA
    Endelea na umalaya wako
    Unatekwa kenya kisha unalaumu Tz?
    Nyie ni hovyo sana

  • @faredamobilo3678
    @faredamobilo3678 14 днів тому +2

    ❤ May God guide abd bless you eith youyrfamily plys your country etc na pia keep itup na pia mungu mbele kwa.kila kitu hada huwe mwente kuombq na kugunfa nk hada ,hobgeta mama Matia' ya allah kreem, amina.

  • @EdnaMuneja
    @EdnaMuneja 13 днів тому

    Mungu azidi kukutetea

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 13 днів тому

    Pole sana Maria

  • @aminamollel3571
    @aminamollel3571 13 днів тому +1

    Uongooo mtupuuuu unatafuta kikiiiiiii

  • @jamalahmed7057
    @jamalahmed7057 14 днів тому +3

    Wameanza propaganda zao kila ikifia wakati uchaguzi lazima wanatafuta kiki

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 13 днів тому +1

    Waandishi mlivyo kua wa hovyo hamuulizi namna alivyoachiwa

  • @davidwerewesonga5225
    @davidwerewesonga5225 12 днів тому

    Usituchafulie sifa kenya

  • @saidbawazir2879
    @saidbawazir2879 14 днів тому +1

    Ww ungelamba kibao pin ungetoa na kama kukuvusha serikali kitengo cha intelengence zinashirikiana interpol ipo pia wacha owongo maria

    • @ahmedsultan8561
      @ahmedsultan8561 14 днів тому

      Interpool haifanyi kazi km hioni half fu wa kimataifattuu

  • @maryjohn1235
    @maryjohn1235 14 днів тому

    Pole sana maria

  • @saidbawazir2879
    @saidbawazir2879 14 днів тому +3

    Mwongo huyo movei

  • @erickagwe8841
    @erickagwe8841 13 днів тому +1

    bora ninyamaze tu, maana......

  • @DeogratiusMwanicheta
    @DeogratiusMwanicheta 14 днів тому +1

    Lakin mzee wako Professor Sarungi yupo Nzega umekulia Serikarin

    • @jumamakuri9176
      @jumamakuri9176 13 днів тому

      Babake amemuacha kwanza aone harakati zake zitafikia wapi possibly alishamkaraza hakumuelewa. Kashupaza shingo

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 13 днів тому

    Tz na Kenya zote shida ni moja

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 14 днів тому +1

    Nichangamoto sana mwanamke kutekwa maana itategemea na huruma ya watekaji, usipobakwa uwe na mungu wako na hapo huwez kusema nilibakwa inakua siri yako tu mung akulinde

    • @Qqambaa
      @Qqambaa 14 днів тому

      Mbona sikuizi ata waume wanabakwa😂

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 12 днів тому

    Pisi kali mnaiteka kienyeji enyeji tu acheni ushamba

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 14 днів тому +3

    Nilijua tu kipindi hiki cha uchaguz matukio ya kujitek mengiii😂😂😂 watanzania wengi #ElimikaUsiweMsomi huku chini tushawajua mbinu yenu tulieni tu😂😂😂 hii nchi ya Mama 5 yake ileeeee