🛑LIVE: WAZIRI AWESO ANAUNGURUMA DAR ES SALAAM MUDA HUU, ANAWAWEKA KIKAANGONI WATUMISHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • ..................
    Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii
    Instagram, Twitter na Facebook

КОМЕНТАРІ • 4

  • @cecykahunde761
    @cecykahunde761 3 місяці тому +1

    Huku makabe mtaa wa hekima hakuna maji ya bomba na lililolazwa likaishia agunda halitoi maji.

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 3 місяці тому

    Wataendelea hivyo hivyo kukaa kwenye viyoyozi magorofani wakizembea wakipuuza na wakitoa lugha za dharau na kebehi fukuzeni hao wote wanaofanya kazi kwa mazoea vijana wengu wamemaliza vyuo vikuu hawana kazi nyinyi munawabembeleza tu.Watawashika matako mwisho.Fukuza wote waje wapya wakijua wenzao wamefukuzwa kwa sababu gani nchi hii itaendelelea.Fukuza.

  • @BarakaThoas
    @BarakaThoas 2 місяці тому

    Jamani waziri me kwaushari fanya kama makonda yaani hao watuhumiwa wawepo kwaajiri yakujibu ili kukupunguzia kazi waziri