WAZIRI AWESO AFANYA KUFURU AMLIPIA MSTAAFU DENI LA MIL 3/ FUNDI BOMBA WA DAWASA KIKAANGONI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лип 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 10

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 27 днів тому +2

    Omary ni shida sana

  • @gwamakajohn7122
    @gwamakajohn7122 23 дні тому

    Dah

  • @godsonrwegasira4414
    @godsonrwegasira4414 28 днів тому +1

    Ila mwanza jamn awesu angalia watu wako, mkandarasi wa butimba hamalizagi mradii?

  • @kato_tz
    @kato_tz 28 днів тому +1

    Ninachokiona hapo ni kwamba DAWASA hawana utaratibu mzuri, wao wameweka kipaumbele kwenye kukata maji kwa wasiolipa.
    DAWASA ni taasisi ambayo inahitaji customer care ya hali ya juu, wajifunze basi hata kwa Tanesco, tanesco ukiwapigia simu kwamba umeme umekatika wanashughulikia na wanakupigia simu wakati mwingine kujua kama tatizo limeshatatuliwa.
    Sasa DAWASA mtu unaenda halafu wao wanakupatia namba ya fundi kwamba umpigie mwenyewe wao hawamwambii kitu. Hili si tatizo aisee

  • @gililwise
    @gililwise 28 днів тому

    Njoo morogoro mh AWeso morowasa wanawabambikia watu bili

  • @user-oy2gp3nq4j
    @user-oy2gp3nq4j 22 дні тому

    Punguzeni Gharama maji yanapita mlangoni kwako ukita kuvita maji unaambiwa 270000 ni wizi

  • @user-ev7rm8kd2w
    @user-ev7rm8kd2w 27 днів тому

    idara hii have the worst service everywhere in Tz

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 27 днів тому

    KUMLIPIA DENI MTU NDIO KUFURU,..WAANDISHI WA HABARI HOVYO KABISA