Enzi Zao: Gilbert Olet
Вставка
- Опубліковано 6 бер 2012
- Huku ushindani kati ya timu za soka ukiongezeka nchini, kila timu inatumia mbinu yake ya kujitambulisha ikiwemo kuwa na nyimbo zinazohusishwa na timu yenyewe. Timu ya Gor Mahia basi ni mojawapo ya zile zilizo na wimbo rasmi wa kushangilia wachezaji wake... katika makala ya enzi zao wiki hii, mwanahabari wetu Franklin Macharia anaangazia mtunzi wa wimbo rasmi wa kushangilia timu ya Gor Mahia uliotungwa miaka ya sabini, mtunzi akijulikana kama Gilbert Olet.
Good updates from Gilly, na sheng kibao.
Frank u called me b4 doing this story and indeed told u Olet's claims to the song are not valid. This song has no single composer. Did Olet date his composition? How did he come up with the tune? and the wording? I think tht cud hav brought out an interesting story. I may be wrong anyway!
lakini wapi meno? uliuza ama ndyo kutahiri ya kijaluo?