RIDHIWANI : MZEE KIKWETE YANGA IKIFUNGWA/ MKATABA WA BANDARI UKO VIZURI/ BANDARI BAGAMOYO KUJENGWA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024
  • Huyu ni #RidhiwaniKikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora na Mbunge wa #Chalinze. #Kikwete #BandariYaBagamoyo #MamaSalma

КОМЕНТАРІ • 17

  • @martinmukude8258
    @martinmukude8258 Рік тому

    Kaka muogopeni mungu haya maisha siku gani mama aliyasema hayo

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 Рік тому +1

    Ni nikweli kbs mzuri juu ni family yao inafaidika

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Рік тому

    Mikataba mizuri kama loliondo ngorongoro mbalali epea richimondi kagoda merermeta gessi migodi eskro safi saaaana

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Рік тому

    Wafaidika wa nchi haya bana!😊

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 Рік тому +2

    Hawa wa nafikiri wao ni nchi yao hii, wezi wakubwa hawa. Tuwashitaki wako-retire. Mafisadi wakubwa hawa!

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Рік тому

      Acha makasiriko unaweza kuwa mwanga ukizeeka😅😅😅

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 Рік тому

    Moja ya mnufaika wa nchi ya tz, ahaa tamba mwamba na uraisi huo unaunyemelea, kuleni maisha c ngoja haso.

  • @martinmukude8258
    @martinmukude8258 Рік тому

    Watu wote hawakusoma kweli? Acheni bwana

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg Рік тому

    Hata huku iringa mpaka Sasa mapori makubwa yote yanatajwa kuwa ni ya ridhiwan

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg Рік тому

    We kikwete mdogo acha kupotosha mkataba ni mbovu

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Рік тому

    Mama Salma ni Nani hapa Tanzania .amekula na kufuja na familia yake mpaka akala bila kunawa.akae na Mme wake. Nyumbani walime Mahindi

  • @GreysonMheni-ln9rm
    @GreysonMheni-ln9rm Рік тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 Рік тому

    Ni shida katika nchi kuwa na aina hii ya viongozi wanaofikiri wawekezaji Toka nje ndio wanawezakutatua matatizo ya bandari badala ya kutumia mtaji na akili za watz, ukiona miradi ya uchumi ya umma haiendi tujitathimini badala ya kukimbilia kwa wawekezaji hao ni wakoloni wamebadili koti TU wamevaa la mtaji

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Рік тому

    Utuambie kuna mafanikio yapi yaliyo leta mafanikio. Acha ya uuongo kwa hakuna mwisho hiyo igar haina. Latino wewe Huna jaabu kwa sababu ninyi ni hao makundi mnaodhani Inchi ya TANGANYIKA wengine ni kama watumwa wenu

  • @borcherwilliamborchert3090
    @borcherwilliamborchert3090 Рік тому

    Muuza vitu hatarishi