Aman Martins
Aman Martins
  • 77
  • 141 965

Відео

MTU MMOJA ANAYEWEZA KUKUTOA KIMAISHA: MTU MMOJA ALIYENISAIDIA MIMI
Переглядів 79Рік тому
MTU MMOJA NILIYEMHITAJI KATIKA KAZI NILIZOWAHI KUFANYA NA WATU WA OFISI YA #RAIS NA NYINGINE ZILIZOKUWA ‘PRESHA’. . . Mwenyezi Mungu aliweka uwezo mkubwa ndani yako, wazazi wako hawakuzaa wala kulea mjinga, una wajibu wa kufanya : #MtuMmojaUnayemhitaji. . Sikufundishie kiburi na jeuri kusema kwamba huhitaji mtu yeyote kwenye maisha, ndio unahitaji watu lakini hao watu hawawezi kuwa na maana kam...
RAIS SAMIA ANAKWENDA INDIA; JANUARY MAKAMBA AELEZEA
Переглядів 2,1 тис.Рік тому
#JanuaryMakamba #RaisSamiaSuluhu #India #Tanzania
RIDHIWANI : MZEE KIKWETE YANGA IKIFUNGWA/ MKATABA WA BANDARI UKO VIZURI/ BANDARI BAGAMOYO KUJENGWA.
Переглядів 4,8 тис.Рік тому
Huyu ni #RidhiwaniKikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora na Mbunge wa #Chalinze. #Kikwete #BandariYaBagamoyo #MamaSalma
ZIARA YA MHE. RAIS DKT SAMIA NDANI YA DAKIKA 6 NA SEKUNDE 20
Переглядів 170Рік тому
Kwa ufupi kuhusu ziara ya #RaisSamiaSuluhu huko #Mtwara #Lindi na #Pwani. Sauti ni ya #MtigaAbdallah Video kafanya #NassoroBuriani
HASSAN NGOMA : MTANGAZAJI WA ZAMANI WA CLOUDS/ MIGODI YA MADINI/ ZIARA YA RAIS SAMIA
Переглядів 92Рік тому
Niliwahi kufanya kazi na #HassanNgoma pale #CloudsMedia. Alikuwa mtangazaji wa kipindi cha #Clouds360 kabla ya kuteuliwa na kuingia katika utumishi wa umma. Hivi sasa ni Mkuu wa Wilaya ya #Ruangwa. Nilikutana naye kwenye maandalizi ya ziara ya Rais #SamiaSuluhu
RAFIKI YANGU WA MTWARA : NIMEISHIA LA PILI/ WAZAZI WALIKOSEA/ SINA SHIDA YA UBONGO/ HARMONIZE
Переглядів 76Рік тому
Nilikutana na huyu mshkaji hapa #Mtwara. Nilivutiwa tu kuongea naye.
#Historia: ZIARA YA KWANZA YA MAGUFULI KUSHTUKIZA/ KIKWETE ALIVYOONDOKA NA NDEGE IKULU
Переглядів 281Рік тому
Hayati Dkt John Pombe #Magufuli, aliapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Novemba 5, 2015. Kesho yake alifanya #ZiaraYaKushtukiza kwenye Ofisi za Wizara ya fedha zilizo jirani na #Ikulu ya Dar es Salaam.
KIKEKE AMESAJILIWA EFM? / JONIJOO ANAENDA WAPI? / WANACHOKIFANYA
Переглядів 236Рік тому
#KikekeNaEFM #Jonijoo #BangoKubwa #EFMTanzania
#Siasa: BAADA YA SIKU 650, JANUARY MAKAMBA APOSTI/ MANENO YAKE BAADA YA KUHAMISHWA WIZARA
Переглядів 155Рік тому
#JanuaryMakamba ameposti kwenye ukurasa wake wa Twitter leo. Mara ya mwisho alipost mwezi Novemba 27, 2021. Hii pia ni posti yake ya kwanza tangu ateuliwe kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mshariki. Kwenye Posti yake amesema "Nawashukuru nyote kwa salamu za pongezi katika jukumu jipya la kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mas...
DADA YAKE RAIS : WAMEZALIWA 18/ RAIS SAMIA NI WA 4/KUONANA NAYE SIO RAHISI/ WAKIMSEMA VIBAYA
Переглядів 4,5 тис.Рік тому
DADA YAKE RAIS : WAMEZALIWA 18/ RAIS SAMIA NI WA 4/KUONANA NAYE SIO RAHISI/ WAKIMSEMA VIBAYA
#Siasa: MIPANGO YA RAIS SAMIA SULUHU KUONGEZA MASOKO KWA MAZAO YA WAKULIMA WA TANZANIA.
Переглядів 54Рік тому
#Siasa: MIPANGO YA RAIS SAMIA SULUHU KUONGEZA MASOKO KWA MAZAO YA WAKULIMA WA TANZANIA.
#Wimbo: SASA WAONESHE ( Wimbo wa Mwanamke wa Shoka)
Переглядів 351Рік тому
#Wimbo: SASA WAONESHE ( Wimbo wa Mwanamke wa Shoka)
#Wimbo; MAMA SAMIA (Official Video)
Переглядів 446Рік тому
#Wimbo; MAMA SAMIA (Official Video)
#Documentary: HISTORIA YA RAIS SAMIA / WAZAZI WAKE / UKARANI HADI URAIS/ KIKWETE AELEZA WALIVYOMTEUA
Переглядів 850Рік тому
#Documentary: HISTORIA YA RAIS SAMIA / WAZAZI WAKE / UKARANI HADI URAIS/ KIKWETE AELEZA WALIVYOMTEUA
#Historia: MHUDUMU WA IKULU ALIYEPATA KAZI BAADA YA KIFO CHA MUWE WAKE/ AWATAJA WALIOMPA KAZI
Переглядів 134Рік тому
#Historia: MHUDUMU WA IKULU ALIYEPATA KAZI BAADA YA KIFO CHA MUWE WAKE/ AWATAJA WALIOMPA KAZI
MAALIM OMARI WA ZENJI : ZINGATIA HAYA UKITAKA KUOA/ ALIVYOJUANA NA BABA YAKE RAIS SAMIA
Переглядів 103Рік тому
MAALIM OMARI WA ZENJI : ZINGATIA HAYA UKITAKA KUOA/ ALIVYOJUANA NA BABA YAKE RAIS SAMIA
#Historia : LOWASSA NA MAGUFULI/ ALIPOMPA MAUA YAKE/ NI SIKU CHATO ILIPOPEWA HADHI YA WILAYA
Переглядів 124Рік тому
#Historia : LOWASSA NA MAGUFULI/ ALIPOMPA MAUA YAKE/ NI SIKU CHATO ILIPOPEWA HADHI YA WILAYA
#Historia: HUYU NDIYE MTANGAZAJI ALIYETANGAZA SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA
Переглядів 1 тис.Рік тому
#Historia: HUYU NDIYE MTANGAZAJI ALIYETANGAZA SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA
KUZUNGUKA BAHARINI: KUSAKA DOLPHIN/ TULIONA NYANGUMI/ MAWIMBI YANATISHA KIDOGO
Переглядів 121Рік тому
KUZUNGUKA BAHARINI: KUSAKA DOLPHIN/ TULIONA NYANGUMI/ MAWIMBI YANATISHA KIDOGO
PANGO MAALUM: LIKO PAJE ZANZIBAR/ BWAWA LA KUOGELEA LA ASILI
Переглядів 83Рік тому
PANGO MAALUM: LIKO PAJE ZANZIBAR/ BWAWA LA KUOGELEA LA ASILI
#Siasa : ONYO LA JAKAYA KIKWETE KUHUSU DINI NA SIASA
Переглядів 3,4 тис.Рік тому
#Siasa : ONYO LA JAKAYA KIKWETE KUHUSU DINI NA SIASA
KILICHONILETA ZANZIBAR: KIZIMKAZI FESTIVAL
Переглядів 744Рік тому
KILICHONILETA ZANZIBAR: KIZIMKAZI FESTIVAL
ALIKOZALIWA RAIS SAMIA : GHARAMA ZA USAFIRI ZIKOJE/ TRAFFIC HAWASIMAMISHI HOVYO/ KIZIMKAZI FESTIVAL
Переглядів 1,3 тис.Рік тому
ALIKOZALIWA RAIS SAMIA : GHARAMA ZA USAFIRI ZIKOJE/ TRAFFIC HAWASIMAMISHI HOVYO/ KIZIMKAZI FESTIVAL
NAPE NNAUYE (2): KULIPA KISASI KWA ALIYEMTOLEA BASTOLA/ CHADEMA YA SLAA/ MIKUTANO YA HADHARA
Переглядів 3,2 тис.Рік тому
NAPE NNAUYE (2): KULIPA KISASI KWA ALIYEMTOLEA BASTOLA/ CHADEMA YA SLAA/ MIKUTANO YA HADHARA
NAPE NNAUYE (1): JAMBO AMBALO HAKUFANIKIWA/ MAFANIKIO/ ALIYOSAIDIWA NA KIKWETE NA KINANA
Переглядів 498Рік тому
NAPE NNAUYE (1): JAMBO AMBALO HAKUFANIKIWA/ MAFANIKIO/ ALIYOSAIDIWA NA KIKWETE NA KINANA
GERSON MSIGWA (2): RAIS SAMIA ANAKUBALIKA SANA/ BANDARI MAMBO SAFI/ SIMCHUKII MARIA SARUNGI
Переглядів 327Рік тому
GERSON MSIGWA (2): RAIS SAMIA ANAKUBALIKA SANA/ BANDARI MAMBO SAFI/ SIMCHUKII MARIA SARUNGI
GERSON MSIGWA (1): ALIUMIA KUONDOLEWA IKULU?/ KWELI ALIONGEA NA WHATSAPP MAKAO MAKUU?
Переглядів 1,7 тис.Рік тому
GERSON MSIGWA (1): ALIUMIA KUONDOLEWA IKULU?/ KWELI ALIONGEA NA WHATSAPP MAKAO MAKUU?
RUGE MUTAHABA ALIVYOTAKA NIWE MTANGAZAJI, GADNER HABASH ALICHONIAMBI : HAKUNA LINASOMIMAMA
Переглядів 96Рік тому
RUGE MUTAHABA ALIVYOTAKA NIWE MTANGAZAJI, GADNER HABASH ALICHONIAMBI : HAKUNA LINASOMIMAMA
STORI YA MUENDESHA MAGARI; MISUKOSUKO UNAYOPITIA SASA NA TUMAINI LILIPO MBELE YAKO/ UTAFANIKIWA
Переглядів 70Рік тому
STORI YA MUENDESHA MAGARI; MISUKOSUKO UNAYOPITIA SASA NA TUMAINI LILIPO MBELE YAKO/ UTAFANIKIWA

КОМЕНТАРІ

  • @abubakarishame2624
    @abubakarishame2624 4 місяці тому

    Hongera sana brother kazi nzuri.

  • @hemedshalua2002
    @hemedshalua2002 5 місяців тому

    Mtu wa maana kabisa Fred

  • @mbarakkhalid117
    @mbarakkhalid117 6 місяців тому

    Hyu brazza yuko vizuri ameobgea point yani yote alio ongea ni point asante kwa ufunuo

  • @ALFREDHAULE-s4y
    @ALFREDHAULE-s4y 6 місяців тому

    Kaka unatisha saruuut

  • @jamesnyami3956
    @jamesnyami3956 9 місяців тому

    Kumsikiliza fred mara kwa mara kunampa mtu nguvu ya kesho kubwa❤

  • @frankkulwa3981
    @frankkulwa3981 10 місяців тому

    Una busara nyingi sana rais msaafu. We are so proud to have you.

  • @anashabani5785
    @anashabani5785 Рік тому

    Big up sana Bro

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Рік тому

    Yaani hata sipendagi kuona sura yako ulifanya yako sasa tanzania ck hizi inaitwa tanzagiza umeme toka uliwekwa hakuna lolote ulilofanya sasa tuko gizani

  • @hassanmfaume4522
    @hassanmfaume4522 Рік тому

    Yuko vizuri sana mama anaendesha nchi vizuri hakuna viroba coco beach vinavyoelea na wafu ..!

  • @SAMMLAU-w4v
    @SAMMLAU-w4v Рік тому

    Huyu fisadi mdogo anaeinukia anaongea pumba gani huyuu! mafisadi tuu huyu ns baba yakee mmeipiga nchi hii sanaa msiendelee kuwaona watanzania kuwa ni wajinga wote na vyeo vyenu vya kupeana nyinyi nadhani mnapgania urithishwe na uraisi ipo siku yatawatokea puani haya ma dp world ndyo haya mardhiwani haya mikataba mizuri ipiiiii???????, hii isiyokuwa na kichwa wala miguu ninyi nanyi mtapita tuu ktk hii dunia wezi wakubwa nyinyi na bandari zenu za bagamoyo

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Рік тому

    Mama Salma ni Nani hapa Tanzania .amekula na kufuja na familia yake mpaka akala bila kunawa.akae na Mme wake. Nyumbani walime Mahindi

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg Рік тому

    Hata huku iringa mpaka Sasa mapori makubwa yote yanatajwa kuwa ni ya ridhiwan

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg Рік тому

    We kikwete mdogo acha kupotosha mkataba ni mbovu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Рік тому

    Utuambie kuna mafanikio yapi yaliyo leta mafanikio. Acha ya uuongo kwa hakuna mwisho hiyo igar haina. Latino wewe Huna jaabu kwa sababu ninyi ni hao makundi mnaodhani Inchi ya TANGANYIKA wengine ni kama watumwa wenu

  • @borcherwilliamborchert3090

    Muuza vitu hatarishi

  • @martinmukude8258
    @martinmukude8258 Рік тому

    Watu wote hawakusoma kweli? Acheni bwana

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Рік тому

    Wafaidika wa nchi haya bana!😊

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 Рік тому

    Hawa wa nafikiri wao ni nchi yao hii, wezi wakubwa hawa. Tuwashitaki wako-retire. Mafisadi wakubwa hawa!

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Рік тому

      Acha makasiriko unaweza kuwa mwanga ukizeeka😅😅😅

  • @martinmukude8258
    @martinmukude8258 Рік тому

    Kaka muogopeni mungu haya maisha siku gani mama aliyasema hayo

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 Рік тому

    Ni shida katika nchi kuwa na aina hii ya viongozi wanaofikiri wawekezaji Toka nje ndio wanawezakutatua matatizo ya bandari badala ya kutumia mtaji na akili za watz, ukiona miradi ya uchumi ya umma haiendi tujitathimini badala ya kukimbilia kwa wawekezaji hao ni wakoloni wamebadili koti TU wamevaa la mtaji

  • @GreysonMheni-ln9rm
    @GreysonMheni-ln9rm Рік тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Рік тому

    Mikataba mizuri kama loliondo ngorongoro mbalali epea richimondi kagoda merermeta gessi migodi eskro safi saaaana

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 Рік тому

    Moja ya mnufaika wa nchi ya tz, ahaa tamba mwamba na uraisi huo unaunyemelea, kuleni maisha c ngoja haso.

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 Рік тому

    Ni nikweli kbs mzuri juu ni family yao inafaidika

  • @karnatorgersen9088
    @karnatorgersen9088 Рік тому

    😁 "Promo sm"

  • @mithunshabudin
    @mithunshabudin Рік тому

    Mhhhh

  • @dullahel-maamir1386
    @dullahel-maamir1386 Рік тому

    Hongera mama samia.. Na Hongera bwn Amani kwa Quality nzr ya picha na sauti endelea kutuhabarisha.

  • @dullahel-maamir1386
    @dullahel-maamir1386 Рік тому

    Interview ngumu zaid mkuu umetufanya tuisikilize kwa umakinii km sote tupo location

  • @Joseph-Mramba
    @Joseph-Mramba Рік тому

    RIP President 🇹🇿

  • @barakashekifu
    @barakashekifu Рік тому

    #jmakamba hapo ndio kwake sasa

  • @barakashekifu
    @barakashekifu Рік тому

    au tusioe kabisa

  • @efmtanzania
    @efmtanzania Рік тому

    HAUIJUI

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 Рік тому

    Tumepigwa na kitu kizito

  • @ashamfinanga727
    @ashamfinanga727 Рік тому

    Hongera mama kuzaliwa pamoja na raisi

  • @phillohcyber9648
    @phillohcyber9648 Рік тому

    like it

  • @bensonwissa5777
    @bensonwissa5777 Рік тому

    Mnapo apa shikeni matumbo yenu msishike bible 😂

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp Рік тому

    Unapaswa kuwakosoa wezi wa Mali za umma

  • @mlugekarol2688
    @mlugekarol2688 Рік тому

    Mpuuzi ni nani? Naamini neno kuppuuzia linatumika vibaya

  • @stevensimtowe
    @stevensimtowe Рік тому

    Unajua mpaka Sasa najiuliza Ivi uyu Mzee alikuwaje kuwaje akawa Rais,mbona kama Hana vigezo vyovyote vya Urais

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 Рік тому

    Tamaa huzaa dhambi na dhambi huzaa mauti.mstaafu wee pita hivi.mkataba wa bandari hatuuelewi sisi WENYE nchi yetu ninyi miungon mwa wachache mmepewa dhamana kutuongoza na kusimamia Mali zetu

  • @PascalPascual-rn6fx
    @PascalPascual-rn6fx Рік тому

    Ahsante kwa kuzaliwa Tanzania.

  • @BarakaMaglaniLaizer
    @BarakaMaglaniLaizer Рік тому

    Nape yani wewe ni mwizi na ni mdokozi

  • @BarakaMaglaniLaizer
    @BarakaMaglaniLaizer Рік тому

    Mzee kalale na mke wako umezeeka vibaya umeiba kipindi chako na hii pia unataka kuiba duuuuuuuuu pole na kukimbizana na wizi hadi uzeeni

  • @adow9musictz931
    @adow9musictz931 Рік тому

    Remote ipo msoga

  • @ShabaniOnyango-gm3vz
    @ShabaniOnyango-gm3vz Рік тому

    Hatuwatak

  • @GaudenceSanga-lr6zo
    @GaudenceSanga-lr6zo Рік тому

    Kweli ukinyimwa akili unapewa maisha malefu udumu baba na pumba zako

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Рік тому

    Tunahitaji tume huru ya uchazi na katiba mpya ili tuone kama ccm mtabakia madarakani.Watanzania tumechoka na wizi wenu na unyang'anyi wa aridhi

  • @efmtanzania
    @efmtanzania Рік тому

    💥

  • @alphonceathanas9045
    @alphonceathanas9045 Рік тому

    Acha kuihsribu nchi yetu,umemaluza muda wako pumzika kwa amani

  • @saidmussa9587
    @saidmussa9587 Рік тому

    Wee ni mpuuz Zaid Kwan chama ndio kisikisolewe Kwan kinaongozwa na malaika