Pumzi ni gharama kubwa. Wa lakini Mola hutoa kwa mapenzi yake kwa usawa bila upaguzi. Utaelewa ukiwa nyumba ya walio mahututi, kakangu!! Zoea chuki havivu. Dr. Ogeto International
Dada isha ninakuambia huku kwetu Lindi ndo kazi yao kumfatilia mtu hasa wanaume Kama wanawake na mimi Jana yamenikuta anifuatilia alafu mwanaume mwenyewe cheeefu wambie vijusu hao
Dada kaha mbari na vipodozi vikari were ni asari yao kumbuka kufanya mazoezi mahana ukaja kuachwa na maji ukawa dubwe dubwa ukapoteza vitu muimu muimu ENDOO'
Shughuli ya mipangilio bila kujisifu ni Hali ya Isha. Wa kuotea mbali. Piga hatua ya kujiondosha yasio kuhusu. Dr. Ogeto International
Pole sana Aisha kwa msiba hulo kupata kumpoteza mamaako mzazi,kaziba pengo lake nasi tuko nyuma yake.mungu hailaze nafsi yake mahali pema peponi
Hapo ndipo kilele cha raha Moyoni mwangu.
Dah!!! Kwani kumpenda isha mashauz shingapi nakupenda Sana jike la simbaaaaaa
Good nyimbo hiyo inanikumbushiya mbari sana , Mambo yote nayajua watabaki wakingoja mambo yangu yatakuwa
Hiyo taarab mixture noma sana inapasha
Umenikumbusha mbali sana isha
Wakuacheee Miaka 10000000 Insha
Nakukubali sana MC wangu mwaka 2012 makumbusho ya Taifa nakupenda tu
Kama unaukubali huu wimbo nipe like yako hapa
Pumzi ni gharama kubwa. Wa lakini Mola hutoa kwa mapenzi yake kwa usawa bila upaguzi. Utaelewa ukiwa nyumba ya walio mahututi, kakangu!! Zoea chuki havivu. Dr. Ogeto International
Isha we mkali nakukubali kinomaaa
Nakupenda Dadangu, Isha. Sauti tulivu ya kuvutia kama ndoa. Toto ya Mkuria! Hatari kubwa!! Dr. Ogeto International
Mungu akupe umri inshallah tuko pamoja toka Tz Hadi Kenya
Kweli kabisa.... Mungu alijua ufunguo wa Riziki akabaki nao mwenyewe....wengi wangepata tabu sana
Fundi wa taarabu Aisha mashauzi unajuwa sana
nakuwminia isha mashauzi wewe nomaaaa wapeeee yawapateee
Umetisha nakupenda sana malki wa nguvu mwaaaaa
Nakupenda saana isha mashauzi mungu ailaze roho ya mama yake mahala pema
Nakupenda sanaaaaa kwa mipangilio yako na sauti nzuri sanaaaaa ManshaAllah
Wajina we mungu akuweke miaka mia
Utabaki kuwa juu mama mashauzi
Mashauzi ajab bwana hamumfikiiii
ii yuko juu xana
Anisa Mashauzi Mashauzi nima classico!! juu kabisa
Cassim mganga
upo juu xana wakuachee 1000000000000000000000000,00
uko juuu
Kati ya nyimbo zote zote naipenda hi maana Mimi Niko Kenya ila baba ni mtanzania kutoka tabora
Aisha unanikoshaga sana mwana mama ww
Uko juu mashauzi.Nakupenda xana.jike la simba linang'ataa
nimeipenda sana hiyo isha mashauzi hapana chezea wewe!
Wakuache Mama Mashauzi miaka mia sita na Mimi pia waniachee miaka sita
Uko juu mama
Wewe nimoto wakuotea mbali isha wangu
loveee so much my aishaaa unatishaaa san npnda t pz Zak kwny kuchezaaa hun papara
Umepewa ukapokea kwa imani mtambaji bora mama..... Endelea sweet sixteen.....
uko juu wanyumbani
miuno iyo da ishaaaaa.
isha mashauzi penda wewe sanaa
Wakuache miaka elf1000000
MaashaaAllah nyimbo imetulia
2019 nani mwengine atizama hii km mie love Africa
😍
nakupenda sana wajina hakunaga mwaaaaa hapooo chacha
Ilikuwa noma hiii
Nakupenda sana isha nyimbo zako mzur Sana
Kwa nyimbo iyo imeipenda Sana mtoto kutoka mosoma imenikosha Sana
Dada isha ninakuambia huku kwetu Lindi ndo kazi yao kumfatilia mtu hasa wanaume Kama wanawake na mimi Jana yamenikuta anifuatilia alafu mwanaume mwenyewe cheeefu wambie vijusu hao
Wape vidonge vyao
Yaani hao wape vidonge vyao mpaka wakujue jike la simba lining'ata haaa
Kweli Hakuna aliekamilika kwenye dunia hii
2019....gong like kam unamkubal isha
We ndo kiboko yao, hakika we ni jike la simba
Yaani Dada nakupenda
Isha uko juu march 2020
isha upo vizur xana we2 nisimba
unatisha dada kwanyimbo zako nakukubali
weh kiboko isha uko juu hakuna kama wewe dadangu wape vidonge vyao waone mwisho wao ❤❤❤❤❤🖒🖒🖒🖒🖒🖒 from Mayotte
watoto toka musoma tupoooo!!! Isha miaka dahari
Nani kama mama
Safi sana bibie
Mashauzi wakuache ww noma sanaaaa
nishidaah nyimbo azichuji.
Asante..tg.l
nakuelewa xana bi dada zako zote tamuuuuu (ayesha mau)
Kali
Sijaykali hyo wnzngu wtu kuwafuatlia pleni kwa kuuza sra wapi mashauzi nakpnda xna dda pga kzi majngu tupa kule
Nakukubali Sana dada yangu
maisha ya Sasa mfumooeeeeè ukinidis na ww umoooo
Patamu Hapooooooooo
mashauzi mama nipe ra
Mama nipe radhi
Kweli
Watching after days hard work.
Wakuache mama
Unajua sana ww dada
safi sana pole kwakuza sura
Kukupenda siachi
SAFI SANAAAAAA!
Nakupenda bure mashauzi😘
sana tu
Nakubali madame
Jisongi tamu 2021 pamoja
penda sana ww isha mashauzi
Magreth Omary upo juu kama tai mwaaaaaaa
isha we hatariii
Mashalllah mtoto was mara
yuu yuu kama ndegeeeee
Penda sana isha
Adoro tanto das tuas músicas mashauzi,continua e não recue
alililiiiiiiiiii queen of the best melody😗
mashaallah wajina
dada umependeza kinoma makupa saruti
Wimbo nzuri sana,big up Mashauzi
Let them tak but your the best
upo juu
tusogeze twaku mind sana babieee
Majaliwa Abdalla nic
ooiiiiiiii safiiii mamy👌
nakukubali sana aisha
2022 ngoma chini ya ukweliiiii🔨🔨
kwako watasubir sana
upo juuuu
Kwel wakuache we ndo malkia wao hao watasubri
isha ww simba jike tafuna haaammm
Nakupenda mashauzi unatisha
bimawa hj uwimana xxx
Isha kiboko wanifurahisha kila niangaliapo ukiimba bgp
napenda jinsi unavyo imba?unanikuna sana dada isha mungu akuzidishei
nakupendaa bure
2019 watching
Khadijay Mohammed good
piga kz ccter musoma moja hyo
Penda sana sister Aisha miaka mia tenaaaa.wakuache
Dada kaha mbari na vipodozi vikari were ni asari yao kumbuka kufanya mazoezi mahana ukaja kuachwa na maji ukawa dubwe dubwa ukapoteza vitu muimu muimu ENDOO'
2020 mpo!
hakika wewe malkia hakuna jeur kwako
we ni nooooma!
zaidi
poa dada
songi nime lielewa
miaka trillion 100000000000 wakuache
jike lasimba hilo
Nani kamama
Shukran sana Mama Mashauzi
we noumaa hapa csemi neno
unagonga nyoyo zetu daa
jike la Simba wakuache...lol
Stella Umeyanena
Africha Entertainment
Kwa stley hii hakuna kama wewe, na kweli we ni simba