AMEPATIKANA MLINZI WA HARMONIZE I AELEZA KILICHOTOKEA USIKU KAJALA ALISHTUKA HADI AK..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 207

  • @husseinzay7639
    @husseinzay7639 Рік тому +5

    I like the confidence of this young siera golf he has good memories...

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 Рік тому +20

    Harmo anaakili sana, aliona hawezi kufuga wambea yani mnakuja kunisema kwangu hata mimi ningewafukuza walahi

    • @habarikamili9408
      @habarikamili9408 Рік тому +1

      Kwahyo unafurahia wenzio kifukuzwa kazi, je ingekuwa ni ndugu yako kafukuzwa ungejiskiaje

    • @somoemohd4693
      @somoemohd4693 Рік тому

      Kufukuzwa sio suluhisho, angewafunga mdomo wasisema au akawaongeza mshahara, ila imekula kwake, amewafukuza sasa siri imetobolewa.

    • @issangyabertha5741
      @issangyabertha5741 Рік тому +1

      Makosa yamlinzi nikuingilia ishu za client wake akutumwa kuchunguza client vile anaishi nafamilia yake kaz yake ilikuwa Kwa gat kiereere kilimponza

    • @edsoncypirian
      @edsoncypirian Рік тому

      Katika amri za mungu hawakuruhusiwa kusema uongo,yy harmo amefanya makosa kuwafukuza kazi hai ni watu wake yy harmo angekuwa tu na msimamo akawa nao kazi.

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 Рік тому

      Somoe upo sahihi kuwafukuza si solution. Atawekwa uchi mpaka ajute. Mshenzi mmakonde bora kajala kaondoka kumleta mwanamke ndani na upo unaeishi nae mbwa koko.

  • @adejoahjoah9155
    @adejoahjoah9155 Рік тому +8

    Tiki tv mko vizuri sana hamna papara

  • @nzirakatemimisango
    @nzirakatemimisango 9 місяців тому

    Pole sana mungu atakujali

  • @christinajoseph7025
    @christinajoseph7025 Рік тому +7

    Daaaah bro yaani cjui wapi utaomba kazi upate maana umepoteza uhaminifu kwenye macho ya nyama....Ila sali Sana maana mwenye haki hatoachwa na Mungu mikono mitupu ukweli unamuweka mtu huru

  • @leilagube8079
    @leilagube8079 Рік тому +2

    Pole Sana kijana mungu atakupa liski nyengine hapo ww unakesi kabisa ila uyo hamo kajishitukia na ubaya wake mwisho ni aibu

  • @joylinejoy7989
    @joylinejoy7989 Рік тому +1

    Yani hii tiki tv hanmanga kazi nyingine Kazi ni hammoniz na kajala watanzania mwapenda hombea sana!!!!

    • @janeshayo1667
      @janeshayo1667 Рік тому +2

      Wewe kama hufuatilii harmonize na kajala itakuwa hujui yamjini

  • @ibrahmenard
    @ibrahmenard Рік тому +3

    daaa aisee poleee

  • @nuuringoogle4104
    @nuuringoogle4104 Рік тому +1

    Pole Wewe 🥲mm huyu mwanamziki ako natamaa mno hii kajara asingeludiana na hamonaize

  • @MelejiZakayo
    @MelejiZakayo Рік тому +1

    Mlinziii mjinga Sana hajuii mpaka 😂

  • @swahiliqueen9920
    @swahiliqueen9920 Рік тому +10

    Mambo ni 🔥🔥

  • @abdallahrashid169
    @abdallahrashid169 Рік тому +18

    Mapenzi upofu kwanza harmo na kajala ni mtu na mama yake japo dini inaruhusu ila hapana

  • @ZuwenaZuwena-oe9kk
    @ZuwenaZuwena-oe9kk 6 місяців тому +1

    Mwacheni.konde.awazagamue.kwanzaa.kajala.amezeeka.nswewe.ukome.umbeaaa

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 Рік тому +5

    Pole sana kaka nakuombea urudishwe kazini

    • @catherinensemwa3907
      @catherinensemwa3907 Рік тому

      Ila siyo kwa mmakonde walahi

    • @catherinensemwa3907
      @catherinensemwa3907 Рік тому +1

      Nahivi kaongea kabisa weeeh

    • @vinnahjasson5546
      @vinnahjasson5546 Рік тому +3

      Arudishwe kazin kwa huo mdomo wake ili aendelee kuaribu

    • @khadijekhamis3970
      @khadijekhamis3970 Рік тому

      Kweli kaka hana kosa maana lingetokea tukio baya huyu mlinzi na dada wa kazi lazima wangehojiwa pia mie sioni kasa la kijana huyu

  • @najmababy8555
    @najmababy8555 Рік тому +1

    Iyo deal kajala alikuwa ywaijua vzri ni kma setup yke afu wee kaka io ni tabia mbaya sana kumbuka harmonize alikuwa tajiri yako mambo ya ndani yabaki ndani

  • @magangakiyabo3429
    @magangakiyabo3429 Рік тому +9

    Mama yangu alinihusia katika maisha usiwe unaongea sana ila usikilize sana
    Nikamuuliza kwa nini ? Akaniambia mdomo huwa unapinza kichwa.....

  • @bukosibahatijean9915
    @bukosibahatijean9915 Рік тому +3

    My guy stay humble God will do

  • @amangearge9594
    @amangearge9594 Рік тому +9

    Ndiyo maana unaongea kumbe ushatimliwa pumbavu, sasa jifanye unajua kuendelea kuongea uone kama utatudishwa hata kwenye hiyo kaz

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 Рік тому +20

    Huyu mtu hafai kuwa mlinzi hajui mipaka ya kazi yake.

    • @jacklinejuma
      @jacklinejuma Рік тому +1

      Kumbuka ametanguliza alikuja kufaiti maisha.. ana mafunzo ana tunu za kijeshi pia ni mtt nae Ila maelezo ya kajala na hamonaizi nisawa...Ila sawa la ulinzi bado

    • @anthonyfabiany9786
      @anthonyfabiany9786 Рік тому

      Hajuwi mipaka kivipi ww

    • @AgnesMichael-gs7ix
      @AgnesMichael-gs7ix Рік тому

      Mwenyew kasha Seema hat mafunzi Hana 🤣

    • @graceamadi1096
      @graceamadi1096 Рік тому

      Nae huyo harmonize ajifunze kunyamaza kama like a man mbona kuhesabu Yale amemfanyia kajala? Kwani kajala alimshikia bunduki kwenye kichwa akamlazimisha? A wise man never behaves like that, be prudent otherwise you will keep on counting the rest of your life and be miserable.

  • @Baba_Ben.
    @Baba_Ben. Рік тому +6

    Umbea umekuponza bro, ulisahau kilichokupeleka

    • @adejoahjoah9155
      @adejoahjoah9155 Рік тому

      Mbona hajamwambia kajala chochote sema waliamuwa wanateta na dada

    • @Baba_Ben.
      @Baba_Ben. Рік тому

      @@adejoahjoah9155 shida ni kuwakuta wameacha kilichowapeleka pale. Mlinzi alitakiwa akae lindoni, binti wa kazi aamkie kwenye usafi. Wao wameamka tu na kuanza kujadili yasowahusu

    • @scolandalu
      @scolandalu Рік тому

      Pole sana kaka

  • @swahiliqueen9920
    @swahiliqueen9920 Рік тому +6

    Asante tiki tv kutuletea mlinzi

  • @yasminathman7917
    @yasminathman7917 Рік тому +2

    Kevin hongera Kwa kazi nzuri

  • @fatmasaid7093
    @fatmasaid7093 Рік тому +5

    Hapa job hamna😂💙

    • @estherezzy136
      @estherezzy136 Рік тому

      😂🤣😂🤣😂dogo kashaaharbu mchongo

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 Рік тому +5

    Kakimbiza wafanyakz ili asitangaziwe siri zake kweli konde boy hafai wakati anamlilia kajala msamaha ili arud kumbe michepuko ndo kz yake

  • @MikidadMahmoud
    @MikidadMahmoud 9 місяців тому

    Kajala angevumilia kama zuchu mwanaume hachungwi cha msingi kama anakuheshimu anakupa kula, kuvaa, mambo mengi utakuwa mama bora maisha ni mafupi

  • @ramsodavidson3852
    @ramsodavidson3852 Рік тому +10

    Ujuhi wajibu wa kazi yako

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 Рік тому +2

    Maskini kajala dahh kumbe ndo yalitokea yote hayo dahh hadi huruma

  • @fedhandunga5935
    @fedhandunga5935 Рік тому +2

    Dada mfanyakazi alioongea na ya kaka mulinzi same thing

  • @berthajohn4721
    @berthajohn4721 Рік тому

    Mmmmmh hatr sn

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 Рік тому +2

    Nkajua ntakua wakwanza kumbe wapi kuna watu mpo motoo

  • @emmanuelbarnaba2423
    @emmanuelbarnaba2423 Рік тому +1

    Yuko sawa mwana ume

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 Рік тому +1

    Nimewamiss sana

  • @mariamatieno5802
    @mariamatieno5802 Рік тому +1

    Dahhh

  • @TheCaasiful
    @TheCaasiful Рік тому

    watchman usingizi

  • @abdallahrashid169
    @abdallahrashid169 Рік тому +2

    Kumekuchaaa

  • @bonfacemuia3541
    @bonfacemuia3541 Рік тому

    Hii n gurue

  • @piusmajo8133
    @piusmajo8133 Рік тому +2

    Harmonize alisema shepu la kajala linampa wazimu,bado anaafurahiswa kwenye tendo afu bado anachepuka duh.....!!!! Balaa zito

    • @raniajohn3685
      @raniajohn3685 Рік тому

      Wanaume wote ndo walivyo hata ukiwa kama Malika vipi lazima atachepuka mana wameumbwa na tamaa siyo kama akupendi hapana anakupenda sana ila ndo hivyo wanaume wameumbwa tamaa mwanaume aweza tembea na mwanamke mpaka wewe unabidi ucheke mana pangine weww mzuri

    • @milkahndunge4500
      @milkahndunge4500 Рік тому

      Wanaume hamtosheki.. Shepu... Tendo...urembo Ata mpewe pesa pia bado hamtulii😂😂😂😂

  • @khadijekhamis3970
    @khadijekhamis3970 Рік тому

    Kosa sio lako kaka juu wenyewe .walijichanganya sasa hapo kiliumana 😂😁live live

  • @perin889
    @perin889 Рік тому +1

    Atleast angeambia company is isimfute kazi.

  • @tumambura5670
    @tumambura5670 Рік тому

    Harmo saf sana uy k siy taip yako

  • @janethlikiliwike2591
    @janethlikiliwike2591 Рік тому +2

    kama namuona mlinzi anavyozugazuga kuokota takataka huku kalegea mdomo kama selengo alivyoiba soda ya big dady 😄 🤣 😂 😆 😄

  • @maimonamaimona1177
    @maimonamaimona1177 Рік тому +4

    Polendugu miminakuombea uludikazini

  • @sabinakilian3176
    @sabinakilian3176 Рік тому +5

    Ndiyo maana nawapenda Tiki Tv mnafuatilia jambo kwa umakini na kutujuza tusioyajua

  • @MrBless-lz1pf
    @MrBless-lz1pf Рік тому

    Mbona issue simple sana si wambadilishiiee lindo, hayo makampuni uchwara ndo tunayo yatafutaa wampe sasa hata viinua mgongo vyake.

  • @welimapauline8793
    @welimapauline8793 Рік тому +1

    Sa we mlinzi kaz bado unayo au ndo bas tena maana anatowa siri za boss

    • @habarikamili9408
      @habarikamili9408 Рік тому

      Kashapururishwa

    • @kiatu
      @kiatu Рік тому

      Hiyo security company ya ovyo. Utamfukuza vipi mfanyakazi bila kujua kosa au kampuni inamilikiwa na mteja?

    • @amangearge9594
      @amangearge9594 Рік тому

      @@kiatu kweli kama watamfukuza moja kwa moja itakua campuni ya hovyo ila sioni tatizo kama wamemsimamisha kwa muda kumchnguza ni kipi kimefanya mteja amkatae

  • @ayubumwakabana2137
    @ayubumwakabana2137 Рік тому +1

    Umbea mbaya sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sabinakilian3176
    @sabinakilian3176 Рік тому +1

    Jikaze kaka na pole maana unaongea kwa uchungu sana ila ndiyo siku nyingine ujifunze kunyamaza fanya kilichokupeleka sio kuingilia mambo yasiyokuhusu

  • @protusisiaho8241
    @protusisiaho8241 Рік тому +1

    Ukienda kazi fanya kilichokuweka pale yale mengine achana nayo, yangoswe achia ngoswe.

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Рік тому +6

    kweli kila kazi nitaaluma ya mtu.huyu hana taaluma ya ulinzi.mlinzi lazma ujue nani kaingia na nani katoka.huyu kapalamia taaluma ya walinz.

    • @maisarah6819
      @maisarah6819 Рік тому

      Mwenywe kasema KAZI ya Ulinzi haikua lengo lake,bimaana hajaipenda.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 Рік тому

      Kwanza angalia nywele zake kofia inakaaje hapo?!?! Kazi za ulinzi INA mambo yale Yale ya ukaguzi zikiwemo nywele na ndevu

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 Рік тому

      ndg yangu weee ziki mbayaaa,hata Mimi ilishanitokea hiyo kitu baada yakuona kilaa byashar ngumu,kunamtu Aliniunganishiya kz yabar Tena kukaa caunta natena mara yangu yakwanza,Nikaulizwa nikasema nilishafanya sehemu frani kumbee lengo tu nipate kz,Sasa kilichonikuta sitokuja sahau,waudumu wainje walikuwa wananichanganya mahasabu yabili❌pia ware wanaokaa pare kaunta jinsi yakufungua bia nakata adi mdomo wachupa❌mtu Akiagiza serenget lait,Nampa cast lait,Yani mtinginyano kwenda mbale❌Nashukur meneja wahile baha naye Alikuwa mbugira TU kama Mimi,mpaka nikapata ujuzi🙏

  • @magrethzuberi2375
    @magrethzuberi2375 Рік тому

    But big ap wakukaya😂😂👏👏

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 Рік тому +6

    Sasa ndiyo nmeamini kale kadada ka kazi kamesema ukweli

  • @vovobi2379
    @vovobi2379 Рік тому +2

    Sasa kajala alitegemea awe mwenyew haswa kwa msaniii😂😂😂😂😂yeye tuu angelitulia aache wivu myaka inakwenda tena harmo damu ikingali moto

  • @kikiswahili
    @kikiswahili Рік тому +4

    Mhhh yani harmonize kayabananga mwenyewe na round hii sijui atahonga nn tena akubaliwe na asamehewe 🤪🤪🤪🤪

    • @habbibtymonah6912
      @habbibtymonah6912 Рік тому

      Mara hii ni ndege tuu😂😂😂😂

    • @ayushjhayayushjhay2476
      @ayushjhayayushjhay2476 Рік тому +1

      Akuna msamahaa yy ufanya kwa masilai yake.ili asipotee kwa mziki ndio mambo kama hayo lakin akuna mapenzi pole kwa konde lakin kajala alimpenda si wajua mwana mke akipenda yuwapenda kweli.

    • @edsoncypirian
      @edsoncypirian Рік тому

      Jamani au ni kiki tu mapenzi yanauma sana,kama kweli alifanya hivyo anakosea sana bro kondeboy

  • @allysele4265
    @allysele4265 Рік тому

    Kuigiza hujui kajifunze kaole

  • @sashamakoiso880
    @sashamakoiso880 Рік тому +2

    Yanii dahh hatari kweli

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 Рік тому +2

    Japokuw najua hawawezi tena kukurudisha kwa harmonize

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 Рік тому +1

    Acha nisikie mlizi kwanza maana hawa ndo huwa wanajuaga mambo mengi ya boss nani kaingia nani katoka

    • @kiatu
      @kiatu Рік тому

      Labda huku (walinzi au maids) ndio kina H wanatoaga stories 😅

    • @godfreystevenmabuli2630
      @godfreystevenmabuli2630 Рік тому

      Walinzi mjifunze kupitia huyu kasha wahalibia uwaminifu

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Рік тому +1

    Hamo mtoto wa kiislam acha umalaya hauna mwisho mwema si utafute mke uoe?

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 Рік тому +1

    Tiki Tv nawapata kutoka Tanga hapa

  • @fredmokamba8386
    @fredmokamba8386 Рік тому

    Yaani hiyo nyumba kubwa huwec ficha mwanamke asijulikane.hiyo ni nyumba Iko rooms kama 30 na kitu utaeza ficha mtu hata week msima pila kujilikana .cwec haamini hiyo story

  • @mwanatumunjira1167
    @mwanatumunjira1167 Рік тому

    Mna umbeya watanzania kufatilia maisha ta watu keee

    • @jan6703
      @jan6703 Рік тому

      We unataka wafuatilie maisha ya wanyama au?🤔

  • @nathattimupenzi6653
    @nathattimupenzi6653 Рік тому

    Yani watanzania ni wa mbeya sana desole pour vs

  • @maryannqueen7356
    @maryannqueen7356 Рік тому +10

    Wanawake sisi sumu!!! Blaza kupiga Story tena na wafanya kazi wa ndani shida.. wanajua nyumba kuliko mwenye nyumba

  • @emanuelmbaga6848
    @emanuelmbaga6848 Рік тому

    Ukitaka kujua wanawake wote ni vinyonga na hawaaminiki wala hawafai mfano tuliopewa na Mungu ni Kajala.

  • @babykisura1089
    @babykisura1089 Рік тому

    mlinzi mwenye kachoka hata afanani kulinda kwa konde

  • @funnycomedyvines1467
    @funnycomedyvines1467 Рік тому +2

    Mapenzi upofu, mapenzi uchizi, mnaongeeea halafu kajala anakumbuka mpini anaamua kusamehe acha mm nipige tu puchu.

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 Рік тому +3

    Tuliosubiri hii tujuanee

  • @juliusalex
    @juliusalex Рік тому

    hapa, issue NI kweli??? maana Kiki nazo zipo et, totally I can't believe it

  • @sweetmenthol1083
    @sweetmenthol1083 Рік тому +1

    Na ndio ushakuwa m'mbeya kuhusu ndoa za watu

  • @ramlaleila374
    @ramlaleila374 Рік тому

    Mmakonde kiburi punguza tamaa ya ngono

  • @hadijajuma3773
    @hadijajuma3773 Рік тому

    Bora

  • @jacklinekarisa2415
    @jacklinekarisa2415 Рік тому +1

    Harmonise alibugi alafu alafukuza wafanya KAZI sababu ya haya😏

  • @janeshayo1667
    @janeshayo1667 Рік тому +2

    Mlinzi kumbe unayujua mengi ehh

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 Рік тому

    Daaaaa jmn mlio vzur msaidieni dogo

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 Рік тому +3

    Duuh huyu hafai kabisa yaani umbea mpaka unasahau kufunga geti

  • @habarikamili9408
    @habarikamili9408 Рік тому

    Duhh

    • @mrishotufu6859
      @mrishotufu6859 Рік тому

      Kijana hajuwi wajibu wakaziyake inabidi akasomeye ulinzi pole kijana

  • @kiri5807
    @kiri5807 Рік тому +1

    Alipoeka bango lakumtaka niliuliza wakiachana jee ataweka bango ? nikatukanwa nikaambiwa hawatoachana .

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 Рік тому

    Duu

  • @stellah3844
    @stellah3844 Рік тому +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @magrethzuberi2375
    @magrethzuberi2375 Рік тому

    Asee nimecheka San hii interview huyu dogo ni uongo mtupu kuanzia Leo tik tv siwafatilii huyu dogo namjua A-Z majina Ake original ad wazazi wake wote an Kwa ujumla familia Ake naijua na tupo majirani na hayo majina kadanganya sio majina yake nimecheka ad bas

  • @fatmazahor357
    @fatmazahor357 Рік тому +3

    Bora asingewafukuza huenda wasingetoa siri

  • @habarikamili9408
    @habarikamili9408 Рік тому

    🏃🏃🏃🏃🏃🏃 namuwahi kajala hata awe tu mchepuko wangu.

  • @evelinnamwewa7009
    @evelinnamwewa7009 9 місяців тому +1

    Bro you failed to follow the principle of confideciarent or professionalism

  • @aljazisalem4692
    @aljazisalem4692 Рік тому +1

    Majagaaa

  • @allysele4265
    @allysele4265 Рік тому

    Muongo umetumwa

  • @davidwaziri8176
    @davidwaziri8176 Рік тому +2

    Harmonize bora afuate ushauri wa mama yake

  • @dianadaudi3380
    @dianadaudi3380 Рік тому +2

    Yani wewe kaka yani una kasura kamekaa kilinzi kweli, hata kama hukupenda kuwa mlinzi ila kweli unaonekana mlinzi hata kwetu kuna mlinzi yani mnafanana hadi ongea ila yeye mtu wa geita

    • @dorcasmbagga4931
      @dorcasmbagga4931 Рік тому +1

      Dharau haya ni maisha TU,hakuna sura za ulinzi,omba toba

  • @Chekibob
    @Chekibob Рік тому +5

    Tiki tv inabamba🧢

  • @DesertTears
    @DesertTears Рік тому +1

    Huyo mlinzi ni mpumbavu na mmbea,mambo ya watu alitaka kuyaingilia ya nini,Kisha unajieleza wewe hulala kazini 🤣🤣🤣 sidhani kama Kuna mtu atakubali awe mlinzi kwake 🤣🤣🤣

  • @joleal7941
    @joleal7941 Рік тому +1

    Jamani🤣🤣🤣

  • @aminamkumba4124
    @aminamkumba4124 Рік тому

    Mlinzi analala?

  • @risperkarson8667
    @risperkarson8667 Рік тому

    Wewe huna makosa wakurudishe job place ingine

  • @esterjeremiah4700
    @esterjeremiah4700 Рік тому

    Pole kaka sasa unakosea kuongea kazi sidhani kama watakurudisha kazini wewe anza tu kujipanga utafute kazi upya kaka

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Рік тому

    ninge kua napesa dogo ningemfungulia tu banda la chips.au duka la nafaka nikamujiri.kaz ya ulinz huyu kafosi tu wala haendani nayo🤣🤣🤣🤣kuongea tu kwake tabu.ila watu kama hawa hua ni waaminifu na wakweli.

  • @rozpetrz1240
    @rozpetrz1240 Рік тому +2

    wakwanza nipeni likes ata kumi ivi

  • @omogo2030
    @omogo2030 Рік тому

    This is being petty Harmo should styleup Kisha kuelewa Kila mtu, mfanyikazi kupuga ngumzo kati Yao Ina kosa lipi, sasa utawafukuza kazi watu wote kwako kwasababu ya kupiga ngumzo kati Yao?? Mbona tusiwe watu wazima Kisha tumpee watu uhuru wanahitaji?

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 Рік тому

    Huu jama viongozi wake wamuhondowe hana nidhamu ya kazi ametumwa kulinda yeye anachukuwa jukumu la kuchukuwa umbea anadhalilisha kampuni ilio muajiri

  • @magrethzuberi2375
    @magrethzuberi2375 Рік тому

    Tik tv kumbe nyie habari zenu zote ni ushubwada tu harmo anatembea na mabordgad af om ndo alindwe na huyu😂😂huyu dogo ni jirani etu huwezi jua lbd kiki anataka atoke awe star ila apo Kwa interview ni uongo mtupu 🤣🤣🤣

  • @ndadyuzarafael7308
    @ndadyuzarafael7308 Рік тому

    Dogo ulikuwa ulijitahidi ktk majukumu yako lakini jaribu kutambua namna ya kufanya kazi na maboss!
    Punguza mdomo

  • @annaphilipo2415
    @annaphilipo2415 Рік тому +2

    harmo ni mshamba tu unamfukuza mtu kazi kisa mambo yenu ya kipuuzi kipuuzi broo kua na akili ya kii utuuzima bx 😠😠😠

    • @ffreed6295
      @ffreed6295 Рік тому

      Hata mimi nakufuta. Huwezi ongea mambo ya tajiri wako!

    • @annaphilipo2415
      @annaphilipo2415 Рік тому

      no huo ni utoto bn tena kama ni jinsia ya kiume ni ushamba kabisa

    • @hermankihwili1095
      @hermankihwili1095 Рік тому

      We fara huyu mlinzi hafai mbeaa sanaaa yeye angepiga kimyaaa tu yana muhusu nini?we mlinzi tu