MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO - MWL. ISAAC JAVAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 848

  • @IsaacJavan
    @IsaacJavan  2 роки тому +60

    TAFADHALI FUATA MAELEKEZO
    BWANA YESU asifiwe. Haya maombi ni maalum kwa mwanamke aliyeolewa. Haya maombi si kwa ajili ya wachumba. Haya si maombi kwa ajili ya watu wanaoishi pamoja lakini hawajafunga ndoa. Haya ni maombi ya wanawake ambao wamefunga ndoa mbele ya madhabahu ya BWANA.
    Lengo la kuweka maombi haya ni kuwasaidia wanawake wanaopitia changamoto kwenye ndoa zao waweze kuomba na kumuona Mungu akiwatendea jambo. Tunashauri, jenga tabia ya kusimama wewe kama wewe kumuombea mume wako. Usijidharau. Amini ukiomba Mungu anasikia.
    Maono ya Channel hii ni kuwasaidia watu wafike mahali ambapo wanaweza wakajiombea wao wenyewe, na ndiyo maana tunaweka muongozo wa namna ya kuomba. Tamani kujua kuomba. Tamani kusimama wewe kama wewe mbele za BWANA kwa ajili ya ndoa yako. Tamani kuwa muombaji, kwa sababu inawezekana. Ng'ang'ana na YESU na atakujibu mwanangu.

    • @magdalenesyombua8085
      @magdalenesyombua8085 2 роки тому +1

      Na wale ambao.wameachana na mume akaoa tena.

    • @festodivule6555
      @festodivule6555 2 роки тому +6

      Kama unamchumba Ako ila kashikiliwa uko je haupasw kuyaomba

    • @festodivule6555
      @festodivule6555 2 роки тому +1

      Kama ni mchumba angu ila Kuna mwanamke kamshikilia kichaw je spaswi kuomba

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      @@magdalenesyombua8085 Unaweza kuomba mwanangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      @@festodivule6555 haya maombi ni kwa ajili ya wanandoa mwanangu.

  • @freretoms5119
    @freretoms5119 8 місяців тому +8

    Aya ma ombi niya wana wake pekeyake Ila mimi natumiya nafasi iyi kwa ajili ya muke wangu kipenzi guilaine Tom's popote alipo damu ya yesu imufinike ilete Amani kila Léo kwenyi ndowa yetu na watoto wetu Isaac Tony Ibrahim Tony pamoja na Tatiana Tony watoto wangu wote hawa wazidi ku ishi ki MUNGU katika jina la YESU CHRISTU Amen Amen Amen nawa ombeya wana wake wote waliyo kuwa na ndowa Amani idumu kwenyi ndowa zawo na omba vile vile kwama binti wote ambawo hawaja olewa MUNGU Awa epusha natama za uli mwengu na awape ndowa zenyi kudumu hadi uze narudiya tena MUNGU akubariki ndowa zenyi kudumu Amen Amen Amen 🙏 bila kumu sa Abu ndugu yangu prunelle popote alipo MUNGU amu epushe naki buri natama kwa jina la YESU CHRISTU amu epushe nakila hasira kali namaneno makali kwa jina la YESU CHRISTU Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏 mtu mishi wa MUNGU Isaac Java MUNGU akubariki sana popote ulipo baba

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому +1

      Amen Mungu akubariki na akupe haja za moyo wako. Pokea sawasawa na imani yako

  • @surmiseatter73
    @surmiseatter73 Рік тому +6

    Leo trh 28/10/2023. Nimesikiliza na kuomba pamoja na wewe Mtumishi..... Kuanzia sasa Nina amini Mumewangu amefunguliwa, sitalia tena. Mumewangu Emma ametoka ktk kifungo..... Asante yesu kwa kumkomboa Mumewangu.... ... Kwa Jina La Yesu ninaenda kuuanza mwezi 11 kwa Amani na vicheko ktk Ndoa yangu...... Kwakuwa Mungu Umekwisha Ijenga upya Ndoa yangu. Nami nakuhaidi SITOKUACHA SIKUZOTE ZA MAISHA YANGU... NITAKUSHUKURU NA KUSHUHUDIA UKUU WAKO KUPITIA NDOA YANGU.........nami pia ninawaombea wanawake wenzengu wote wakafunguliwe leo kwa jina la YESU KRISTO AMEEEEN

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Amen mwanangu YESU akupe amani na akutetee na kukulinda daima. Damu ya YESU inene maneno mazuri kwa ajili yako. Amen

  • @castorkanuti
    @castorkanuti Рік тому +21

    Mchungaji Mungu akutumie zaidi nimefanya maombi haya mida ya saa 4 maana mwanaume alikua ameNizimia cm hataki kabisa kuongea na anataka tuachane gafla tu bila Sababu ilikua jpl nikaona Hali inazidi kua mbaya ndo gafla leo UA-cam ndo naona maombi hayo nikaomba baada ya maombi sauti ikaniambia kimbia haraka katoe sadaka na sikua na hela nilikua na. Ela. Ya kula tu lakin ilibidi nitimue mbio kwenda kutuma. Saa hizi kapiga sm kwa upole na. Unyenyekevu .Nakushukuru Sana Mungu anaewatumia watu wake

    • @verenasemgen8873
      @verenasemgen8873 Рік тому +1

      Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen jina la BWANA YESU libarikiwe na kutukuzwa milele. YESU azidi kuwatetea na kulinda ndoa yenu. Amani ya YESU itawale na upendo wa kwanza urudi. Katika jina la YESU

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

    • @taboochendi8474
      @taboochendi8474 Рік тому

      Nasisi ambao tuko kwenye mahusiano natunafuatilia Haya maombi hatutasaidika ju hatujaoana

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 3 місяці тому

      ❤❤ Aminaaa

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 Рік тому +6

    AMINA,NIMEANZA na wewe nimemaliza na wewe Asante Yesu akutetee,mme wangu amenikimbia na anaishi na mwanamk aliepewa taraka,asikii Wala aoni ataki kuniona Ila kwa maombi haya amerudi kwangu,

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому +1

      Amen YESU akutendee makuu na akupe ushindi kwa utukufu wa jina lake takatifu

    • @zabiburashid
      @zabiburashid 3 місяці тому

      ​@@IsaacJavanhabari baba

  • @JosphineMwasame
    @JosphineMwasame 25 днів тому +1

    Asante mtumishi wamungu amen 🙏

  • @moumou2856
    @moumou2856 Рік тому +6

    Eeee mungu wangu narudia tena kwenye haya maombi nina imani yana nguvu sana....Eeee mungu baba asante kwa neema yako...Eeee baba narudia tena mbele zako ninamfukuza mke mwenza alie leta majonzi,machozi na vurugu kwenye ndoa yangu namfukuza naweka ukutu kati yake na mume wangu....Eee Bwana ninakuomba huu mwaka uwe wa mwisho nakataaa uke wenza kwenye ndoa yangu ameeeen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому +2

      Amen Amen YESU akushindie na aiponye ndoa yako kwa utukufu wa jina lake. Damu ya YESU isimame upande wako na kufanya ukombozi wa nafsi kati yako na mume wako. Amani na upendo wa kwanza urudi na YESU awalinde na kuwatunza.

    • @HappyJ-lr9sn
      @HappyJ-lr9sn 5 місяців тому

      Ameni kipenzi.

    • @HappyJ-lr9sn
      @HappyJ-lr9sn 5 місяців тому

      ​@@IsaacJavan
      Same to me Pastor

    • @moumou2856
      @moumou2856 5 місяців тому

      🙏🙏

    • @christinaoyye4059
      @christinaoyye4059 5 місяців тому

      Amen yaani nimepata nguvu ya ajabu wakati naomba maombi nashukuru sana sasa nasubiri matokeo kwa damau ya yesu

  • @estermeshack610
    @estermeshack610 10 місяців тому +2

    Ameen Baba namuombea mme wangu aache kunywa pombe na aache kuchelewa kurudi nyumbani.kila siraha iteketee kwa jina la yesu ameeni.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Amen YESU akutane na haja za moyo wako na akupe ushindi

  • @ziad7742
    @ziad7742 2 дні тому

    Mchungaji mimi ndoa yangu vita kila siku kusingiziwa vitu sijafanya tunagombezana na mume wangu mume wangu mzinifu muongo na hata tungapanga kitu akisongi zaidi ya kupoteza najitahidi kwa kila hali ila sijafaulu,naamini maombi. haya hatafungua kila vifungo katika ndoa yangu😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏

  • @RoidaMgaya
    @RoidaMgaya Рік тому +3

    Asante kwa maono maana tunapitia changamoto juu ya waume mungu wa mbinguni azidi kukutumia juu ya watu wake ubalikiwe kwa huduma hii.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому +1

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote. Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako na kukushindia daima 🙏

  • @macfadyneminja
    @macfadyneminja 9 місяців тому +2

    Amen Natii Haya Maombi. Mapenzi yako Mungu na Yatimie Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Mungu akubariki sana na kukupa ushindi kwa utukufu wa jina lake takatifu

  • @GetrudeSwai
    @GetrudeSwai 3 місяці тому +1

    Kupitia maombi haya ninaamin mume wangu atrurudi kwangu na atanipenda na atanijal mimi pamoja na mtoto amen

  • @priscamutheu7350
    @priscamutheu7350 2 роки тому +4

    Nimebarikiwa na hayo maombi sana najua Kuna jambo mungu anaenda kutenda amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu. YESU akutendee kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe

  • @LoiceOngachi-j9e
    @LoiceOngachi-j9e Рік тому +3

    Amen nakomboa doa yangu Kwa damu ya yesu uadui ulioko kati yangu na mume wangu u kaondoke Kwa damu ya yesu madawa aliyo lishwa ya kiuchawi ukaondoke Kwa tumbo lake katika damu ya yesu na upendo ukarije Kwa damu ya yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake

  • @dorcasasia2819
    @dorcasasia2819 2 роки тому +3

    Msamaha ni uponyaji hakika nimemwona Mungu kwa ndoa yangu jina la Bwana Yesu libarikiwe hao maadui wameshindwa kupitia maombi haya be blessed servant of God 🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen Amen mwanangu. YESU azidi kukuonekania katika mambo yote. Ubarikiwe sana

  • @MeryMbaga-y4n
    @MeryMbaga-y4n Місяць тому

    Mungu akutunze baba na kukuinua kwa viwango vingine

  • @pendomwaringa7597
    @pendomwaringa7597 Місяць тому

    Nimepokea ushindi kwa jina la yesu🙏🙏🙏🙏

  • @kabibipea3062
    @kabibipea3062 Рік тому +4

    Asifiwe yesu bishop naoba ushauri kutoka kwako kwa sababu mm nime changaniykiwa mume wangu amenisaliti na mwanamke mwengine nilivo juwa nika muliza akakubali makosa yake anasema nimsamee hata rudia tena lakini mm inaniuma sana sija mkosea bona anisaliti mm aliaza kunidarau aliacha kunijali kube alikuwa na mwanamke mwengine aki na huyo mwanamke pia amenioba msamaa aka sema atamacha mume wangu 😭😭

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому +1

      Pole mwanangu kwa yote unayopitia kwenye ndoa yako. Ninaelewa umeumizwa na moyo wako umevunjika kutokana na yote yaliyotokea kwenye ndoa yako. Lakini, huu si mwisho wa ndoa yako, bado Mungu anakuwazia mema. Nakushauri, umsamehe mume wako kwa sababu ameshatubia makosa yake. Muombe Mungu akutie nguvu ya kusimama tena na kusahau yaliyopita ili muweze kusonga mbele. Lakini anza kutumia maombi kama silaha yako kuu kwa ajili ya ulinzi na ustawi wa ndoa yako. YESU anakupenda. Usiogope.

  • @kitunganochristine1346
    @kitunganochristine1346 2 роки тому +6

    Naamini kupitia mahombi haya mume wangu amefunguliwa tayari kupitia damu ya bwana wetu yesu christo
    Naamini nitarudi tena apa kutowa ushuuda na kumshukuru mungu wangu kwa makuu na mahajabu yenye atanitendea kupitia mahombi haya
    Mungu akubariki sana mtumishi wa bwana na akuhongezeye siku za kuishi wewe na familia yako yote kwa ujumla
    Bwana yesu asifiwe sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому +1

      Amen mwanangu, YESU ni mwaminifu, nami ninaamini anaenda kukutendea makuu kwa utukufu wa jina lake. Mungu akubariki na akutane na haa ya moyo wako mwanangu. Amen

    • @kitunganochristine1346
      @kitunganochristine1346 2 роки тому

      @@IsaacJavan Amen

    • @bahatimaige6666
      @bahatimaige6666 2 роки тому

      Naamini kupitia maombi haya mume wangu amefunguliwa kutoka kwa makahaba na kurudi nyumbani kuleta amani na familia yetu! Amina!

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 Місяць тому

    Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu naomba kupitia maombi haya Mungu akubariki ndoa kwa jina la Yesu kristo 🙏🙏

  • @merrykisu
    @merrykisu Рік тому +1

    Najiungamanisha kwenye maombi haya mungu anisaidie

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele. YESU akupe ushindi

  • @BakariSemboko
    @BakariSemboko 10 місяців тому +1

    kupitia maombi hay naomba ndoa yangu ikawe nafurah kuanzia leo amin

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Amen Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake takatifu

  • @angelfelician5389
    @angelfelician5389 9 місяців тому +2

    Amen namkomboa mume wangu aliyeniwekea chuki kwa kusikiliza maneno ya watu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Amen YESU akupe ushindi

  • @JoyceJohn-n7l
    @JoyceJohn-n7l 11 місяців тому +3

    Naikomboa ndoa yangu kwa damu ya yesu dawa zote alizowekewa zikaharibike zivunjike tupendane kama mwanzo

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 Місяць тому

    Mungu akubariki mtumishi kwa maombi haya

  • @deogratiussingano3814
    @deogratiussingano3814 Місяць тому

    Ameen

  • @MpoliaKitainda
    @MpoliaKitainda 7 місяців тому +1

    Amen natii haya maombi . Mapenzi yako yatimie juu yetu amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen YESU akutane na haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina lake

  • @judithkabyazi1471
    @judithkabyazi1471 2 роки тому +3

    UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU NAAMINI KUPITIA MAOMBI HAYA NDOA NYINGI ZITAFUNGUKA AMEN

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu jina la BWANA YESU libarikiwe sana. Mungu akubariki, endelea kufuatilia mafundisho na maombi tunayoweka kwenye channel hii

    • @floramkumbo3991
      @floramkumbo3991 2 роки тому

      Nina la bwana libarkiwe

  • @HadijaAmiri
    @HadijaAmiri 4 місяці тому

    Kupitia maombi hy naamini mume wangu atarud nyumbani na tutapendana Kama zamani....Amen

  • @FabiolaKibena-e7d
    @FabiolaKibena-e7d Рік тому +1

    Mungu naomba umfungue mume wangu apate kazi na riziki za kutosha uwafungue mabosi zake wote waweze kumpatia kazi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Amen YESU akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake

  • @MecktridaSungo
    @MecktridaSungo 7 місяців тому +1

    Bwana yesu asifie mungu naomba umufungulie mme wangu mungu nisaidie

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake

  • @brightnessbajuta9666
    @brightnessbajuta9666 Рік тому +2

    Amen ubarikiwe naamni mume wangu atarudi kwa maombi hay miaka miwili sasa

    • @verenasemgen8873
      @verenasemgen8873 10 місяців тому +1

      Mungu atukumbuke miaka miwili mie miezi 5 naona kama miaka

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      YESU akupe ushindi kwa utukufu wa jina lake

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Mungu akupe ushindi

  • @AnethAlfred-j1p
    @AnethAlfred-j1p 2 місяці тому

    Nnakushukuru mchungaji kwa Maombi haya Mungu wa Mbinguni akubariki nnaamini mume wangu amekombolewa kwa Damu ya Yesu

  • @NatashapraizzyPraizzy-p7u
    @NatashapraizzyPraizzy-p7u 3 місяці тому

    Amen mtumishi tumebarikiwa🙏

  • @AisiaMoshi
    @AisiaMoshi 3 місяці тому

    Asante kwa maombi haya mungu akubariki Sana amen

  • @NancyLazaroTanzania
    @NancyLazaroTanzania 2 роки тому +2

    Amen. Amen. Amen. Mungu wetu ni mwaminifu. Alitenda, ametenda, anatenda na atatenda. Yeye ni yule yule jana, leo na hata milele. Shetani anaenda kuaibishwa kwa Jina la Yesu. Naamini Mungu amejibu maombi kwa jina la Yesu Kristo. Amen.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому +1

      Amen mwanangu YESU anaweza yote. YESU anakupenda. YESU akutane na haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote

  • @kirimiamwakipesile4947
    @kirimiamwakipesile4947 Рік тому +1

    Amen Mungu kwa nguvi za Mungu kwa damu ya Yesu na Moto wa Yesu namfungua Mume wangu kwenye vifungo vyote alivyokuwa amefungwa na anarejea sasa na ukuta wa damu ya YESUitatulinda mumi Yeye na mwanetu Katika jina la YESU Kristo lipitalo majina amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @BethsaidaMacrean
    @BethsaidaMacrean 2 місяці тому

    Naomb mungu umlind na kumfungua mume wang kifungon na malengo tutimize bila kipingamiz na amini imekua asante mungu

  • @victoryndugutse296
    @victoryndugutse296 Місяць тому

    Amina amina amina amina umbarikiwe mtumi shiwangu

  • @MariaKomba-oz1ko
    @MariaKomba-oz1ko 3 місяці тому +1

    Ee Mungu nakuomba umsaidie mme wangu kiuchumi ili maisha yabadilike Baba

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  3 місяці тому

      Amen, YESU akupe haja ya moyo wako

  • @MeryMbaga-y4n
    @MeryMbaga-y4n Місяць тому

    Ameeen barikiwa mungu akutunze

  • @agenithaleonard6804
    @agenithaleonard6804 2 роки тому +2

    Nakushukulu kwa maombi yako kupitia maombi haya mme wangu anafunguka naamini anafunguka mngu akubaliki amee

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu. YESU akutane na haja ya moyo wako. Ubarikiwe sana

  • @anithatairo75
    @anithatairo75 2 роки тому +2

    Kwa jina la yesu damu ya yesu inanena mema Ameen kwajina la yesu nmefunguliwa mung n mwema naiman yeye n muweza sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU na uzidi kutembea kwenye ushindi

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 2 місяці тому

    Amen MUNGU akubariki sana mtumishi Kwa maombi

  • @hakizimanasamson6176
    @hakizimanasamson6176 2 роки тому +10

    Ameen navunja kila nguvu iliyomshikilia mme wangu naharibu nakuteketeza dawa alizowekewa kwenye chakula damu ya yesu ikasafishe kila aina ya pando alilopandikizwa juu yakunichukia kua na hasira kila mja naharibu madhabahu ya mwovu ibilisi damu ya yesu ikasafishe ndoa yangu naomba yote haYa kupitia jina lako yesu kristo AMEN

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

    • @christinayohana585
      @christinayohana585 2 роки тому +2

      Asante sana kwa maombi mazur me wangu amekwamatwa na mwanamke mwingine nasaiv anamimba nakampangishia chumba anakaaanae najua hilo pepo litatoka kwajina la yes ndowayangu itakaa kama mwanzo nashukul sana kwa maombi mtumish ubarikiw

    • @angelfrorian9078
      @angelfrorian9078 Рік тому

      Ameni

    • @hildakaringu
      @hildakaringu Рік тому

      Pop
      P
      P

    • @hildakaringu
      @hildakaringu Рік тому

      P
      P
      Pop

  • @SophiaSanga
    @SophiaSanga Рік тому +1

    Amina mume wangu maombi haya yakufungue wewe ni hekalu la bwana 1 kor 3:16

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen YESU akuonekanie na kukushindia kwenye ndoa yako. Amani na upendo wa kwanza urudi kwenye ndoa yako. Damu ya YESU ikushindie. Ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @NatureMfinanga
    @NatureMfinanga 3 місяці тому

    Ameen barikiwa mtumishi kupitia haya maombi Mungu anaenda kinishangaza

  • @BernadethaLutobola
    @BernadethaLutobola Рік тому +1

    Nina kila sababu ya kuku shukulu mtumish kwan umenipanujaaili wa kuikomboa nafai ya mume wangu nimefukah sana kushuliki haya naomba naomba mwenyez Mungu asinipungukie kwa kila nilichoo kiomba Ktk jina lake yesu kristu Aimen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen jina la BWANA YESU litukuzwe milele yote. Nashukuru sana kwa yote ambayo Mungu amekufanyia. YESU azidi kukutetea na kukupigania daima. Ubarikiwe sana

  • @verenasemgen8873
    @verenasemgen8873 Рік тому +2

    Mtumishi ubzrikiwa sana kwa maombi haya naombanukupigie

  • @KhadijaKanzige
    @KhadijaKanzige Рік тому +1

    Mchungaji mungu akubaliki sana. Aenderee kukutunza Kila wakati naamini mume wangu na Mimi ndoa yetu imerudi katika jina layesu kirstu baba yetu arie hai amen.❤❤

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Amen jina la BWANA YESU litukuzwe na kubarikiwa milele yote. YESU akupe amani yake na ushindi daima

  • @GraceJumwa-h8n
    @GraceJumwa-h8n Місяць тому

    Mungu akubariki mchungaji

  • @RachelElori-ud5bi
    @RachelElori-ud5bi 11 місяців тому +1

    Naamini Mungu atatenda muujiza juu ya Mahusiano yangu yalio kufa yanaenda kulejeshwa sasa na kuwa ndoa Takatifu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @priscahshemkunde7256
    @priscahshemkunde7256 Рік тому +2

    Ameeen kubwa mtumishi wa mungu alishaanikimbia na kukata mawasiliano kwa maombi haya naamini mungu amesikia na atarudi kwa jina na kwa damu ya yesu ameeen ubarikiwe Sana mtumishi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому +1

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @UpendoMinja-dh9kh
    @UpendoMinja-dh9kh 9 місяців тому +1

    Asante yesu kwa ukomboz wa ndoa yangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Amen YESU akupe ushindi mkuu

  • @تراثوالسياحة
    @تراثوالسياحة 5 місяців тому

    Asante yesu kwa ajili ya mtumishi wako nilkiuwa nimemchukia sana mume wangu kupitia haya maombi naona furaha ba upendo vinarejea hatutaachana kwa jina la Yesu

  • @MeryMbaga-y4n
    @MeryMbaga-y4n Місяць тому

    Mungu akubariki sana baba

  • @RehemaHamani-xr1lq
    @RehemaHamani-xr1lq Рік тому +1

    Ameeni nakomboa ndoa yangu Kwa damu ya yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen Amen damu ya YESU ikushindie

  • @RechoKaponda
    @RechoKaponda Рік тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wamunga napokea na Mume wanga naamini amefungukaAmen.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu, YESU akuonekanie na akupe ushindi na amani kwenye ndoa yako

  • @ritha8110
    @ritha8110 2 роки тому +2

    Libarikiwe jina la Bwana Yesu...Ahsante kwa maombi haya.Nimeomba na nitaendelea.Ninaamini Mungu atatutendea soon kwa jina la Yesu.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen Amen mwanangu. Zidi kubarikiwa na BWANA YESU. Mungu akutane na haja za moyo wako na akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana. Amen.

  • @AngleGidahonda
    @AngleGidahonda 5 місяців тому

    Namuomba mungu amfungue mme wangu asibadilike badilike

  • @glorychristopher629
    @glorychristopher629 7 місяців тому +1

    Amina asante sana mtumishi wa Bwana Yesu. Hakika ni maombi yenye uvuvio wa Roho Mungu akubariki sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen zidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele

  • @AnithaAhadiel
    @AnithaAhadiel 2 місяці тому

    Mchungaji niombe sana

  • @RoseRuben
    @RoseRuben 7 місяців тому +1

    Amen, nimepokea kwa jina la yesu kristo,❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen Amen ubarikiwe sana

  • @wivinendege
    @wivinendege 3 роки тому +3

    AMEN UBARIKIWA BABA YANGU MTUMISHI ISAAC.MUNGU AMESIKIYA MAOMBI YETU 👏🤝🤝🤝✊✊✊♥️♥️♥️

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  3 роки тому

      Amen Amen mwanangu, Mungu akubariki kwa baraka za milele

  • @jacklinejackson6920
    @jacklinejackson6920 Рік тому +1

    Eemunguwangu naomba damyayesu ikanenemema juuya ndoayangu ,ikafute uchawiwote aliotekwa mumewangu ikamfungue mumewangu ikamuachanishe nauzinzi kilamitego aliyotegewa yakichawi naitawanya kwanjiasaba kwadamyayesu yenye thamani natangaza furaha, jamani, upendo naushikiano kwandoayangu ktk jinalayesu ameen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake takatifu

  • @tatunasoro838
    @tatunasoro838 2 роки тому +2

    Mungu akubaliki baba naendele kukutia nguvu AMINA❤️🤲

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu, zidi kubarikiwa na BWANA YESU milele

  • @veronikasanya2751
    @veronikasanya2751 2 роки тому +1

    Amen amen mtumishi mim ninamaumiv makubwa mno mwanaume nimedumu naye kwenye mahusiano takilinab miaka 4 mwezi Kumi na mbili ndo alipaka aende nyumbn kufahamika kosa dogo tu kaniacha Yani kaniacha jamn nashindwa hata kulala mungu anisaidie kweli pekeangu sitaweza

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому +2

      YESU akutetee mwanangu na kukutia nguvu. Usiogope, Mungu anakuwazia mema na anayo mipango mizuri na maisha yako.

  • @fezakabala6589
    @fezakabala6589 3 роки тому +4

    Bwana asifiwe 🙏🙏

  • @FurahaShoo
    @FurahaShoo 4 місяці тому

    Asante Sana muchungaji naamini kupitia maombi Aya tutafanikiwa Sana na kufanya Mambo makubwa kwa jina la YESU,

  • @mariammbarouk3861
    @mariammbarouk3861 6 місяців тому +1

    Kupitia maombi haya MUNGU utaleta amani na furaha ktk ndoa yangu. Amina

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU akushindie

  • @RehemaMwambugu
    @RehemaMwambugu 7 місяців тому +1

    Ameeeni ubarikiwe mutumishi nahitaji ndoa yangu ifunguliwe kuanzia sasa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU. Nakuombea ushindi

  • @millyandiva1657
    @millyandiva1657 Рік тому +2

    Amen 🙏,nakomboa ndoa yangu kwa damu ya yesu 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen Mungu akubariki kwa baraka za milele

  • @JanethUrasa-qs5ot
    @JanethUrasa-qs5ot 6 місяців тому +1

    Amina namwomba Mungu mume wangu aache kunywa pombe

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake

  • @AliceAlice-ol5zv
    @AliceAlice-ol5zv 2 роки тому +2

    Asifiwe yesu dady asante kwa maombi haya mungu akubariki sana🙏🙏🙏🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому +1

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU akutendee makuu

  • @agenithaleonard6804
    @agenithaleonard6804 2 роки тому +1

    Amee ubalikiwe kpitia maombi yako kuanzia sasa mme wangu atafunguliwa mngu akubaliki sana amee🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu, YESU akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake

  • @1stladyafrica402
    @1stladyafrica402 7 місяців тому +1

    Nimeomba maombi haya juzi ,jana na leo na nimemuona Mungu akinitendea .Haya maombi yananguvu sana na nitaendelea kuyaomba maana namuoma Mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen nakuombea YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake

  • @victoryndugutse296
    @victoryndugutse296 Місяць тому

    Amina amina amina amina ❤

  • @heriethyohana1466
    @heriethyohana1466 Рік тому +1

    Amina 🙏🙏🙏 ubalikiwe san

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele yote

  • @esterminja5414
    @esterminja5414 5 місяців тому

    Amen 🙏.. Asante kwà maombi Mazur ubarikiwe na tumebarukiwa Sana

  • @victorinamajaliwa3944
    @victorinamajaliwa3944 Рік тому +1

    Ame Amen 🙏 mchungaji mungu akubari sana nimeona ukuu wa mungu kupitia maombi aya.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @hawakibale5666
    @hawakibale5666 6 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana mchungaji kwa maombi haya ninaqmini nitapokea majibu kutoka kwa bwana juu ya mume wangu na siraha zote naamini zimevunjika kwa jina la yesu atalejea nyumban .

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen Mungu akubariki na akushindie katika yote

  • @MeryMbaga-y4n
    @MeryMbaga-y4n Місяць тому

    Ameeni barikiwa

  • @PerusEzekiel-lt4me
    @PerusEzekiel-lt4me Рік тому +1

    Amina mtumishi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @dainesgebu7944
    @dainesgebu7944 2 роки тому +2

    Damu ya yesu mfunguwe mume wangu na pepo la uzizi leo hii anafunguliwa kwa jina la yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому +1

      Amen Amen mwanangu, YESU akutendee makuu kwenye ndoa yako

  • @loyceyahya2622
    @loyceyahya2622 8 місяців тому +2

    Naikomboa nafsi ya mume wangu kwa damu ya YESU

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU

  • @janemothama2387
    @janemothama2387 2 місяці тому

    Amen God do miracles I trust in you

  • @verenasemgen8873
    @verenasemgen8873 10 місяців тому +1

    Mungu naomba na mimi unikumbuke juu ya ndoa yangu nakata roho ya mafarakano

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому +1

      Mungu akutane na haja za moyo wako. YESU akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake

    • @verenasemgen8873
      @verenasemgen8873 7 місяців тому

      Mtumishi wa Bwana Yesu naomba uendelee kunibeba napita ktk wakati mgumu

  • @SarahAmani-he8qf
    @SarahAmani-he8qf 6 місяців тому +1

    Namkomboa mume wangu kwa damu ya yesu nashukuru sana mtumishi wa mungu Nina Imani ndoa inarnda kuwa na amani

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU. Mungu akupe haja za moyo wako

    • @SarahAmani-he8qf
      @SarahAmani-he8qf 6 місяців тому +1

      Amina baba

  • @heleminaamani5810
    @heleminaamani5810 3 роки тому +2

    Namushukulu Mungu kwaajili yako maana nilikuwa nahangaika niombeje ili niweze kuludiana naye na tuweze kusameheana makosa yetu naomba Mungu akutunze na kuku tumia zaidi ikikupendeza naomba kuongea na wewe

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  3 роки тому +1

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU. Mungu akushindie na damu ya YESU inene mema kwenye maombi yako.

  • @matildaff6728
    @matildaff6728 3 роки тому +5

    Ubarikiwe sana na bwana kwa maombi mazuri 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  3 роки тому +1

      Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

    • @matildaff6728
      @matildaff6728 3 роки тому +1

      @@IsaacJavan Amen 🙏

    • @wazirichiduo52
      @wazirichiduo52 3 роки тому +1

      Amen ubarikiwe kwa maombi mazuri

    • @wazirichiduo52
      @wazirichiduo52 3 роки тому +1

      Naitaji kuawasiliana nawe

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  3 роки тому

      @@wazirichiduo52 Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @tahiaahmed7994
    @tahiaahmed7994 9 місяців тому +1

    Amina kwa ushindi wa Yesu kristo

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @meriajshxx3223
    @meriajshxx3223 Рік тому +1

    Ameni naamini mume wangu amefunguliwa kwa jina la yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen Amen YESU azidi kukuonekania na kukushindia katika yote

  • @annamlay6192
    @annamlay6192 7 місяців тому +1

    Mungu akutumie zaidi Mtumishi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen uzidi kubarikiwa na BWANA YESU milele

  • @qenxlizaxh6402
    @qenxlizaxh6402 10 місяців тому +1

    Ameen napokea kwamikono miwili

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 7 місяців тому +1

    Ameeeeeen ameeeeeen pstr barikiwa sanaaaana niombee sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen YESU akushindie kwa utukufu wa jina lake takatifu

  • @AliceAlice-ol5zv
    @AliceAlice-ol5zv 2 роки тому +2

    Asante yesu kwakumfunguwa mume wangu ameni 🙏🙏🙏🙏👏👏👏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому +1

      Amen mwanangu, sifa na utukufu kwa YESU. Ubarikiwe sana

  • @elizabethgonah4814
    @elizabethgonah4814 Рік тому +1

    Naomani lila nguvu za ngiza zilizo mushiak mime wangu na kuniacha mmi naziteketeza katika jina la yesu

  • @saumumoses7609
    @saumumoses7609 2 роки тому +1

    Mungo akubariki mtumishi, kwa maombi haya mme wangu anarudi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu. YESU akushindie

  • @kizadorcas3321
    @kizadorcas3321 2 роки тому +2

    Amen haya maombi yamenisaidia sana tena sana Mungu awaongezee akili na hekima zaidi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu, zidi kubarikiwa na YESU azidi kutenda makuu kwenye maisha yako kwa utukufu wa jina la YESU. Amen Amen

  • @agnesmangamawalla4371
    @agnesmangamawalla4371 2 роки тому +1

    Bwana yesu asifiwe nipo kwenye maombi yakumkomboa mume wa mtoto wangu haika na mume wake inossenti nimevutiwa na haya maombi mungu akubariki ameeni

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu, YESU akutane na haja ya moyo wako na akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe na BWANA YESU milele