Kwahiyo laki moja ni hela ambayo wewe ni ngumu sana kuitengenezea keki sio??????yaani kwamba mteja akisema ana bajeti ya laki ya keki ni hela ya kushangaza kidogo kumbe!!!!!😮
Kila mtu na standard zake na wateja alodhamiria kuwahudumia. Hata nyumba masaki huwez lazimisha ipangishwe bei moja sawa na kimara. Kwa hiyo hata yy standard ya cake yake 100k haimlipi
Leymax cake, Best cake ever👌 Zina ladha ya kipekee sana... Hongera sana Dada Tahiya👏👏👏
Masha allah Allah akupe ujuzi daima amin
Mashallah,Keep it up.
Atariii kusafiri kote just for cake .....keep it up mashalllahh
Hongera tahya kwa hatua kubwa
Nice,,Super woman,hongera saana!
Mashallah 🎉🎉🎉❤❤❤
M200 ya kuchora au
Ayo dada mtangazaji anaweza sana mlete mara kwa mara
Naomba namba zake nataka kujifunza
Ni "harder" NA siyo "more harder".
Weka namb nije kusoma dada mwalimu napenda sana
Hongera sana
Naomba namba yako.
Honger
Hyu mtangazaji Mbona kafanana na millard,anyway pole pole utafika
Hongera sana sis
Big up ccter
Hapana hata ile ya nady ya kutoka juu haikufika hy bei.tumelishwa matango pori
Nakubali snaa huyu dada nilionana nae maramoja tu ila nilifanyanaekazi kwamudamrfu sanaa na kwauwaminifu mkubwa sana karibu tena Zanzibar tahiya
Mmmmh
Vituko kweli,
Naomba namba zako
Milioni 200? Au wamekosea kuandika
Nazani itakua milini 2,..kwa milioni 200 siokweli
Ndio hpo hta uko ufaransa wanaopika keki haiyuzwi bei hio ambako keki zinasifkana.
Mtuonyeshe na hiyo keki ya M 200
200M? For real!!!
Hapo ss
😂 ncheke kwanza
Habari naomba contact zako dada
Mafunzo hayo yanapatikana mkoa gani na mafunzo ni shingapi?
Wakwanz kuwek comment naomben lek jamn
duh keki ya mil 200 hyo mishumaa yake si itakuwa inazimwa na kikosi cha zima moto
🤣🤣🤣
Nimecheka ah Tanzania kuna watu wanavipaji vya kuongea wa kwanza ww
😂😂😂😂
😂😂
😂😂😂😂
Swali:Jee kuna Diabetic CAKES?maana Cake nyingi zina sukari jee ingredients Mnazi LABEL vipi
Huyu akiwa mke wako utakula keki mpk utachoka
😂😂
Hahahaaa, inaonekana hamu ya keki unayo sana😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Atakutia maradhi ya kisukari tu.
@@salmahalfani6307 kisukari unapata ukiwa huna pesa tu! Ulofa ndio chanzo kikuu cha sukari lkn keki aaaahhh supa sana
Leimax academy unapatikana wap?
Kinondoni manyanya mtaa wa ufipa opposite na american chips.@leymaxcakes
Iko wap iyoo
Kinondoni mtaa wa ufipa
Kwahiyo laki moja ni hela ambayo wewe ni ngumu sana kuitengenezea keki sio??????yaani kwamba mteja akisema ana bajeti ya laki ya keki ni hela ya kushangaza kidogo kumbe!!!!!😮
Wanadanganya hawa keki ya mfalme haifiki bei hyo
Kila mtu na standard zake na wateja alodhamiria kuwahudumia. Hata nyumba masaki huwez lazimisha ipangishwe bei moja sawa na kimara. Kwa hiyo hata yy standard ya cake yake 100k haimlipi
Hongera