HOUSE GIRL EP 28 | S3 | Love Story 💕💞

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2024
  • HOUSE GIRL SEASON 3

КОМЕНТАРІ • 663

  • @busatitv
    @busatitv  6 годин тому +73

    Bonyeza link kujiunga Whatsapp Group 👇👇
    chat.whatsapp.com/FO70mhi1wWF9xNBRUPBDT8

  • @MonieNathan
    @MonieNathan 6 годин тому +237

    Chiko mpango wako utafeli kama tuko pamoja gonga like apa❤❤

  • @EmilianaTemba
    @EmilianaTemba 5 годин тому +64

    Jmn jmn nataman zatit awe na mimba ya Mr Tasha wanaotaman hvy gonga like ❤❤❤❤

  • @PatrickKimaro-do3lj
    @PatrickKimaro-do3lj 6 годин тому +240

    sema huyo dogo kamuweza chiko kama umemkubal huyo dogo aliemfanya chiko aludi mwanzo ili asalimie kwanza gonga like

  • @VeeMoraa
    @VeeMoraa 5 годин тому +85

    Kwa hii harakati ya chiko ningependa xatiti awe ako na mimba,,,,,, maombi yangu tu🙏🙏🙏🙏

  • @AliJussa
    @AliJussa 5 годин тому +75

    Mpumbavu mwezangu bado haja uwezea jasmin origino kama umeliiona hilo gonga like

  • @AgnesDavidmtalemwa
    @AgnesDavidmtalemwa 5 годин тому +43

    Ila chiko kama mchawi jamn kama unakelwa na tabia za chiko 😅 gonga like tujuane

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 4 години тому +18

    Tunaoomba cend adhulumiwe nyumba haraka gonga like h@pa tujuane 😂😂😂😂

    • @HajratHajrat0501
      @HajratHajrat0501 Годину тому

      Nyumba gani na kashauzaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @QweenNickson
    @QweenNickson 6 годин тому +56

    Mungu azidi kumbariki kila mtazamaji wa House Girl.

  • @JanepherBudodi
    @JanepherBudodi 6 годин тому +29

    Yaan busati hamjawahi kutuangusha kabisa saana ni saanane kwelii kwakweli mpewe maua yenuu tunaokubali wanabusati like hapa❤❤

  • @Jenniffer-m9k
    @Jenniffer-m9k 5 годин тому +22

    jaman mr tash kamuweza chiko 😂😂mwenye anaamini mipango y chiko haitafanikiwa gongen like

  • @ASHANDEGWA
    @ASHANDEGWA 6 годин тому +20

    Dada unajitahidi kuwa jasmine OG hongera sanaa kwa kazi mpumbavu wa kilamba🎉🎉

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 5 годин тому +10

    Kiukweli 😂😂😂😂😂😂😂😂nacheka chiko ameyatimba mbio sana kumbe yuaogopa acha nione candy na laana yake iliyo mpaka jaman naomba like zenu 🙆‍♂️🙆‍♂️😅😅

  • @stanleycylidion1560
    @stanleycylidion1560 5 годин тому +17

    Duh kilamba napenda sana uigizaj wako
    Mungu akutunze jmn

  • @TanashaPamelah
    @TanashaPamelah 6 годин тому +53

    Kama unasubiri kendi aone moto niekee like tu 😂😂😂🤭Yani mie nasubiri tu majuto ya kendi mama yangu 🤦😂

  • @SaufatBaraka
    @SaufatBaraka 5 годин тому +18

    Jaman weka makopa kopa❤❤❤❤❤ kwa tasha na zatiti

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 3 години тому +6

    Alafu mwenye kiti atakuja umbuka vibaya xna mbele ya watu....chiko ataongea kuhusu pesa zke alivyo muhonga.....Aibu kubwa😅

  • @TabiaMwaisumo-ss7pz
    @TabiaMwaisumo-ss7pz 3 години тому +6

    Wanaume wenye huruka kama ya chiko mjifunze sana hapa ridhikeni na mlivonavyo tamaa ni mbaya mtakufa😂😂😂na nyinyi mnaoomba like sijui wa kwanza au wa mwisho mna shida gan ninyi mfyuuuu

  • @SadaDjuma-e9b
    @SadaDjuma-e9b 4 години тому +6

    Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies BUSATI TV, nina Imani mpo salam,anae furahi jinsi Chiko ame ayibika kijijini, anipe like zangu, n, anae furahia jinsi mimba ya Kamkonde imekata kutoka hadi amzalie Ngonde anipe like zangu maan wamezidi ushirikina, Chiko toa Rushwa ila hutofanikiwa,ndug zangu nawatakieni Heri nyingi na Baraka n, Afya njema.

  • @Viviankemunto-p4k
    @Viviankemunto-p4k 6 годин тому +19

    Sania leo kafurugwa kafurugika😂😂😂😂😂😂😂😂na vile alikuwa kiherehere na mambo ya wtu wee tuletee kitoto cha ngonde mamulaka😂

    • @JescaYusuph-m4y
      @JescaYusuph-m4y 6 годин тому +3

      Kashapewa na jina mama kiriku😂😂😂😂😂

  • @bayubaheallydelly-rn2zv
    @bayubaheallydelly-rn2zv 6 годин тому +21

    Kuna Siku moja chiko atakiona camtemakuni kisha Candy nae bakiz upweke jmn unaamini ilo gonga apa like

    • @JentrixSungu
      @JentrixSungu 6 годин тому

      Cendy uko na vituko ety mama kirigu😅😅😅😅

  • @onesmusfondo7679
    @onesmusfondo7679 6 годин тому +14

    Chiko,kula jeuri yko mpuuzi wa maisha wwe...
    Natamani ningekuwa ndani ya hii tamthilia ya house girl,ungenyooka tu ...

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o 6 годин тому +17

    Mwenyekit na chiko kimewaramba but chiko kimekuramba zaid coz pesa tumekula na mke atukupi

    • @DivineIngabire-lj3sr
      @DivineIngabire-lj3sr 5 годин тому +1

      Ayende kwenye alitoka

    • @HhUhh-io8ix
      @HhUhh-io8ix 4 години тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂aiiiiiiiiii chiko Kila pahali haaaa unakera munooooo

  • @FaithGeoffrey-i8c
    @FaithGeoffrey-i8c 6 годин тому +35

    Wanao furai mimba ya Sania n wagapi

  • @Saumu-vr4bc
    @Saumu-vr4bc 6 годин тому +14

    Leo kwa mara ya kwanza naombeni like

  • @agripinaofficial
    @agripinaofficial 3 години тому +5

    😂😂ila sitaki dhambi na huyu mpumbavu mwenzangu

  • @SalamaRajabu-c6h
    @SalamaRajabu-c6h 5 годин тому +9

    Chiko kishamramba anakalibia kua chiz maan mateso alopitia zatiti nayaona ni madg kuliko anayoyapata chiko kwa ss endeleeni kutupa raha wanabusat tv🎉🎉🎉

  • @JoannaHemedy
    @JoannaHemedy 3 години тому +5

    Chiko una leta aibu na weye nadada hamu zai ni fujo tu wenye wana kubali like basi

  • @Milkah-x1r
    @Milkah-x1r 5 годин тому +18

    Mzee mkoloni ana msimamo dhabiti kwa zariti wapi like zake🎉🎉🎉

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 6 годин тому +13

    Wakwanza tokea nianze kufuatilia house girl sijapata lkis hata moja🎉🎉🎉🎉

  • @RizikiStadza
    @RizikiStadza 2 години тому +3

    Mwenyekiti tamaa haifai unajisahau kwa ajili ya hongo pole yako baba mzee mkoloni huezi mdhibiti Mana ana msimami thabiti hongera mzee mkoloni hapo hapo

  • @Saidahkims
    @Saidahkims 6 годин тому +11

    Chiko ata ufanyeje hauna kizazi na uwezi pata mtoto ata kwa tabia zako mungu awezi kupea kizazi wewe

  • @NeemaJulliet
    @NeemaJulliet 6 годин тому +10

    Wakwanza kutoka kenya like zangu apa

  • @Dorcaskw
    @Dorcaskw 5 годин тому +5

    Kwa hii nalo ni moto fire kwa siku zote nimeenjoy😂😂😂 don't forget me just like my comments❤❤❤ much love for this team ❤❤❤

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 4 години тому +2

    Kendy. Unenongesha hatar movie 🎉🎉🎉

  • @Smart7-b5e
    @Smart7-b5e 5 годин тому +6

    Candy jamani sometimes nakuchukia sometimes tena nakupenda mama ❤❤❤❤ yaani usha mpea kijajo jina ety kirikuu😂😂😂😂😂😂hapo sasa umenichangamsha na vile sania alikua anajifanya kua yy ndiye mama mshauri kimemramba na mganga wake 😂😂😂😂

  • @AishaMbuba
    @AishaMbuba 6 годин тому +16

    😂😂😂😂😂😂 Sania hicho kisiran adi kwa BFF wako nahs una mtoto wakiume na JINA makubwa candy kashatoa ataitwa kirikuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @pilicharo4123
      @pilicharo4123 5 годин тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @Bint-Zanzibari
      @Bint-Zanzibari 5 годин тому +1

      Yani nimecheka ila candy Kwa sania huwa hachukii😂😂😂

    • @user-Ambani
      @user-Ambani 4 години тому +1

      😂😂😂😂😂

  • @RizikiHaji-y4p
    @RizikiHaji-y4p 5 годин тому +6

    Hahahaha chikoooo umepatikana dogo umetishaaa

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna 5 годин тому +5

    Jaman kujiamini muhim wala kwa olilosema Mr Tasha usihofu mama n mkubali hta kuangusha,chiko garareee wewe ,n hii part y mjinga mwenzang sijapenda mwenzenu nilikua hta na hisi usingizi

  • @irene-pw4dw
    @irene-pw4dw 6 годин тому +9

    Boss candy Pamoja na mama kijachooo 🎉🎉🎉 Maua yenu maana mnakoelekea mtalia sanaa😅😅😅😅😅

  • @hamzamihosho6480
    @hamzamihosho6480 21 хвилина тому +2

    Uyo jasmin wa mchongo mm cijamuelew kabisa anae ungana na mm weka like apa

    • @hadijamohd6028
      @hadijamohd6028 10 хвилин тому

      Ata mimi sijamuelewa😂😂😂

    • @hamzamihosho6480
      @hamzamihosho6480 2 хвилини тому

      @@hadijamohd6028 uwakika Yan dah yule wakwanza alijua kuitumia nafas yake🌷🌷

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 3 години тому +2

    Babake na zatiti mkali kama babangu ❤❤❤❤❤😂 ila mwenyekiti na chiko wameyatimba ila chiko zaid maana pesa tumechukua na mke tunaye 😅😂

  • @AisherJuma-d2q
    @AisherJuma-d2q 6 годин тому +8

    😂😂😂😂😂chiko ashaanza kuchangnyikiwa

  • @MaryBosibori-xm7us
    @MaryBosibori-xm7us 3 години тому +2

    Waah kutawaka hapa next episode m naona chiko mzensi ataenda kwa mama Tasha na vile alijukua self na mama Tasha uuuii

  • @PiliRamadhani-cl6nw
    @PiliRamadhani-cl6nw 3 години тому +2

    Tatizo zatiti upore umezidi hii kitu angekutana na candi mbona Chiko angefrai asingesubiri wazazi wamfukuze Chiko angefukuzwa na mkewe,zatt anaongea kiupore xna ndio maana Chiko linajitanuwa tuu hapo ukweni

  • @MaryMichael-w1l
    @MaryMichael-w1l 4 години тому +2

    Tunaoamini kuwa chiko ni comedian tujuane hapa 🤣🤣🤣🤣😁😁

  • @DanielMagaga
    @DanielMagaga 3 години тому +2

    Huyu kaka comedy nyingi msiwe mnampa vipande virefu

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 4 години тому +2

    Meno Ya Kuoza Mbele Uyo Jasimini Kma Mmi Kucheka Au Kusimaili Pia Ni Shida😂😂😂😂😂😂

  • @buru1235
    @buru1235 5 годин тому +4

    Baba Zatiti umenimaliza mm wallai umeshika mwenye kiti.hdi akaona km Dunia yke inapasuka 😃😃😃🤦Alf chiko amesema ety yy n babake Tasha au nimesikia Nini mm😮

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr 5 годин тому +2

    Chiko aca kikulambe kabisa kumifukuza zatiti virikua laisi kumupata tena ngumu na usahau kabisa 😂😂

  • @JoyceKizo
    @JoyceKizo 6 годин тому +5

    Nimekuwa wa 4 leo wow like plz😢

  • @TONNYBOYMSAFI
    @TONNYBOYMSAFI 6 годин тому +5

    Big up from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wapi likes kutoka kenya❤.

  • @DianaMkembelwa
    @DianaMkembelwa 5 годин тому +3

    263,chiko wewe 8:48 na ndevu 2:42 zako za kusungulia sufulia.una kela.😅😅😅😮😮😮😮.ndiyo maana umenyooswa na mtoto mdogo😮😮😮😮😮😮😮

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 6 годин тому +6

    Fundi saa alipoteza nati kiramba😢😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @user-Ambani
      @user-Ambani 4 години тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o 6 годин тому +9

    Chiko umepatika kwel kwel

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 6 годин тому +4

    30nimekua naomba like za oman Qatar saudia tz ❤❤

  • @Chebaibaiever
    @Chebaibaiever 4 години тому +1

    Kusema ukweli mpumbafu amejaribu hongera 😂😂😂 dada jikaze bwana kilamba tulia tu atashika laini

  • @franktodory
    @franktodory 5 годин тому +4

    sania kashaanza kuwehuka sasa 😂😂😂😂

  • @Idmmuedacente
    @Idmmuedacente 6 годин тому +3

    Hongera sana Ndugu zangu pongezi kwenu wakuuu❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @lucasdaniel-bu8mp
    @lucasdaniel-bu8mp 6 годин тому +6

    Watu hamlali jamani Aya naombeni ata like moja

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 2 години тому +1

    Chiko utakipata mzee mkoloni uwezi kumshinda unapeana ongo ya ujinga tasha chukua bibi yako asikutishe ati akue baba ako c uamusi ni mamako😊

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 2 години тому +1

    Uyo sania hanavyobinua midomo na hiro wigi jamani khaaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @Lucy-t7n
    @Lucy-t7n 5 годин тому +4

    Ila baba zatiti na hicho kizee mumejua kunichekesha kimeumana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ummycheedy2809
      @ummycheedy2809 2 години тому

      😂😂😂😂😂 alaf kakitikisa kwa mkono mmoja

    • @Lucy-t7n
      @Lucy-t7n Годину тому

      @@ummycheedy2809 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kabisa kametikishwa mpaka kakatii kakasema kamepewa hongo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AgnesMiyi
    @AgnesMiyi 2 години тому +1

    Jamani Leo nimechelewa nipeni pole hata like Moja tu

  • @medytrueboytz8450
    @medytrueboytz8450 4 години тому +1

    😂😂😂 mwenye kiti tuhalawe hano konda watubige oshe namwenye kiti😅😅kumbe kodumba kubigigwa😂😂

  • @Amena-z5r
    @Amena-z5r 5 годин тому +1

    Mpumbavu mwenzangu meno yaisha mbele kwa kula sukari 😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @user-Ambani
    @user-Ambani 3 години тому +2

    Candy aty *Mungu wangu*😂🤣😂🤣😂🤣😂🎉🎉🎉🎉

  • @DainessOlange
    @DainessOlange 4 години тому +2

    Jasmine mpya meno jamn😂😂usishke shke mdomo sas tufaid meno🤸

  • @Farthun
    @Farthun 6 годин тому +2

    Chiko kweli akili zimesafiri 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 sasa ndo unazidi kuliamsha kweli unapandisha tasha kufanya kitu chenye hakutaka afikie huko wacha tuone kama utawezana

  • @SALIMAMALIKAGHAJOK
    @SALIMAMALIKAGHAJOK 5 годин тому +2

    Mwenye kito good nikupeke mau yako mmmwa❤

  • @PauloAfizai
    @PauloAfizai 5 годин тому +1

    Chiko anataka azaoe maji yamwangika kwapesa 😅😅😅. Kiramba vp kamavile umetupinga changa ramacho mfumbavu mwezio wamwzo kwabla yakutekwa nasasa nitofauti 😂😂😂😂😂 imekaji

  • @PatrickKimaro-do3lj
    @PatrickKimaro-do3lj 5 годин тому +2

    sema kwa upande wa hao wapumbavu bora ingeonekana jasmin mwenyewe ingeonekana ndo kafa baada ya kutekwa na kilamba ameamua kuoa kwanamke mwingine ila huyu hawezi vaa viatu vya jasmin hata robo

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 5 годин тому +1

    Chiko ishafulia huko kwenda mwana kwenda na pesa ushapigwa na mwenyekiti 😂😂😂

  • @Popo-p3b
    @Popo-p3b Годину тому

    Huyu mkaza ng'onde anifurahisha kweli😂😂😂

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 5 годин тому +1

    Chiko usiniharibie siku ntakutukana kulanina msenge mmoja wee

  • @CarolyneNyanchama-yk1gf
    @CarolyneNyanchama-yk1gf 36 хвилин тому +1

    Hta kama Niko upande wa chiko 😂😂😂 jamani nimeshindwa kumtetea kimeumana poor Tasha😂,,sasa hii miogo mpumbafu mwenzetu anasema ndio Gani hiyo otherwise nawashukuru kwa kazi nzuri ❤

  • @HabibaAthumanMwaboko-vq4qk
    @HabibaAthumanMwaboko-vq4qk 41 хвилина тому

    Baba zatiti umenifurahisha kwaulicho kifanya 🎉🎉🎉🎉

  • @BertinaCatitiAdamu
    @BertinaCatitiAdamu 2 години тому +2

    Chiko anakera

  • @SesiliaTemu
    @SesiliaTemu 5 годин тому +1

    Chikoo 😂😂😂😂nenda ukale uliko peleka mboga 😂😂

  • @marietharosemary
    @marietharosemary 2 години тому

    Wao naomba mungu mipango ya chiko yote isifanikiwe hata punje

  • @EUNICEBENDERA
    @EUNICEBENDERA 4 години тому +1

    Acha shobo chiko kwanza ko maa muache zatiti wetu❤❤

  • @amanimbichitriplea3726
    @amanimbichitriplea3726 6 годин тому +10

    Zatiti fans like please

  • @ZubedaBita
    @ZubedaBita 5 годин тому +1

    Chiko Hela ishaliwa Rudi 2 nyumbn

  • @MELVINBBY
    @MELVINBBY 5 годин тому +1

    Sania ukijifungua kitoto cha ajabu kirukuu ndo jna alolipenda BFF wko uniambie nije kulea pia mm nko na matatizo hope kirukuu atanisaidia matatizo yangu😂😂😂😂

  • @SandrineDupfiki
    @SandrineDupfiki 6 годин тому +8

    Kendi nakwambiaje mbavu zangu utazilipa 😂eti mama kiliku😆😆😆

  • @TitoMichael-np2kh
    @TitoMichael-np2kh 6 годин тому +2

    Baba zatiti jaman amuoneeebhuruma Mzee Wawatu 😭😭😭😭

    • @Amal-iq1wg
      @Amal-iq1wg 5 годин тому

      Kwaniniii anakulaa hongooo hakunaa kitu kama hiyoo😂😂😂😂😂😂😂naa gongweee kugongwaaa

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 Годину тому

    Wanaoamini zatiti hatokubar na babayke tujuane hapa na Zatiti naamin anamimba ya Tasha tujuane hapa Sasa 🎉🎉🎉🎉❤

  • @RahimaMct-ik8mr
    @RahimaMct-ik8mr 2 години тому

    Mzee kalonga tuhakawe 😂😂😂 nenden pumbav Babu kwer

  • @Asiamohammed1317
    @Asiamohammed1317 3 години тому

    Kendy umepigaje hapo, mama kirikuuu 😅😅😅😅🎉🎉nimekupenda leo ❤❤❤

  • @DeboraReuben
    @DeboraReuben 5 годин тому +2

    Jamani huyu Jasmin mpya hafai hata kidogo hajui muondoen anaboa

    • @bennamush4616
      @bennamush4616 3 години тому

      Sasa unakaje kaigize wewe bas binti wa watu anajitahidi kufit lakini hamridhiki haya kaigize wewe

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 3 години тому

    Zatiti hongera sana Tasha ni mume sahihi na mwenye hekima ❤❤❤ Hongera sana Chiko huna chako hapo

  • @ShombeShombe-wg6gu
    @ShombeShombe-wg6gu 4 години тому

    Dogo yupo sawa sana namkubali sana ila huyu mke wakilamba wamchongo au vip

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 5 годин тому +2

    Chiko msenge sana

  • @AminaAli-u1h
    @AminaAli-u1h 4 години тому

    Jamani Chiko ajua kuigiza hongera Sana kazi safi😂

  • @buru1235
    @buru1235 5 годин тому +2

    Weeeeseeee Kai n Zuu Kuna Nini tane😮

  • @AntyBy
    @AntyBy 3 години тому +1

    Wapi likes za mimba ya zatiti ❤❤❤

  • @swahibumaliki1547
    @swahibumaliki1547 3 години тому +1

    Jamani chiko kimemlamba kitu bado candy nae

  • @NAOMIMSNAOMI-s3m
    @NAOMIMSNAOMI-s3m Годину тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂 yani candy nimupumbafu kweli, eti maman Kirikou😂😂😂😂😂😂, ushashindikana candy

  • @kombojuma312
    @kombojuma312 5 годин тому +1

    Huyu binding mbona huyubint siye kabisa katika hiifilamu mbona mnatuboesha au tuna tatizo

  • @QweenNickson
    @QweenNickson 5 годин тому +2

    Jamani kauli ya Chiko kwa Tasha cijaielewa mwenye atanielewesha jamani? "Utajisikiaje siku nakuwa baba wako?" Ina maanisha Nini?

    • @CarolineBosibori-r7r
      @CarolineBosibori-r7r 5 годин тому

      Anataka kutembea na mamake Tasha

    • @QweenNickson
      @QweenNickson 5 годин тому

      Uwiiiii🙆‍♀️🙆‍♀️​@@CarolineBosibori-r7r