Rasilimali zakutosha ambazo zingekurahisishia maisha kwa asilimia kubwa sana kiufupi hili taifa tajiri sana ila watu wanawaza kukamua kodi ..umenena vema sana mkuu
Watanzania tumekua tukichagua kauli mbiu badala kuchagua viongozi walio na uchungu na taifa letu,pamoja na mali zetu,viongozi wanao jali utu wetu. Maisha bora kwa kila mtanzania..yako wapi Nguvu mpya hali mpya na kasi mpya..iko wapi? Hapa kazi tu...iko wapi? Kazi iendelee,mama anaupiga mwingi,nan kama mama..hizo kauli mbiu zote kwanza mdo tumekuwa na hali mbaya bora kipindi ya nyerere hata shule tuliziona.Kauli mbiu zimetufilisi ..yani sisi wananchi tunachumia juani viongozi wanalia kivulini tena kwa mbwbwe na kutupiga juu..
Chadema ndiyo chama kinachohubiri haki katika hili Taifa letu, Chadema ndiyo upande wa haki,wananchi tuchague upande wa HAKI,na MUNGU YUKO UPANDE WA HAKI-CHADEMA. Wananchi msichague upande wa watekaji na wauaji mafisadi wa ccm!
Viongozi wa Chadema mkoa wa mbeya hamna akili kabisa .kusema nirahisi sana kuliko vitendo .Hamuwezi kumshinda Tuli Ackson .Unalia wewe mwenyewe .Sera za kumsema mtu ndiyo Sera zakumshinda .Hakuna anayewaunga mkono wahuni wezenu ndiyo wanawaunga mkono lakini mtu mwenye akili timamu hawezi kuwaunga mkono viongozi wahuni
Mwanaume mzima huna akili aisee naombea Mungu awafungue wanawake wote wapate akili ya kutambua mipango yote mibovu ilyo fanywa na ccm kumbe Kuna wanaume Bado akili zipo matakon dah unatakiwa kuleft uanaume wako
Viongozi katika nyanja mbalimbali za uongozi, nashauri mnapohutubia wananchi kutotumia neno wahuni. Hiyo ni lugha ya udhalilishaji hivyo acheni kuwaita wananchi wahuni kwa kumanisha sifa fulani ya kundi fulani la watu fulani. Hoja ni nzuri sana ila epukeni lugha mbaya zaidi mapambano yaendelee.
Jamani mlio msikia mama hamna kitu yule tujuane kwa like hapa
Rasilimali zakutosha ambazo zingekurahisishia maisha kwa asilimia kubwa sana kiufupi hili taifa tajiri sana ila watu wanawaza kukamua kodi ..umenena vema sana mkuu
Maccm niwatu wabaya sana ukatili wahali yajuu sana tena niwabinafusi zaidi yakiwango
Watanzania tumekua tukichagua kauli mbiu badala kuchagua viongozi walio na uchungu na taifa letu,pamoja na mali zetu,viongozi wanao jali utu wetu.
Maisha bora kwa kila mtanzania..yako wapi
Nguvu mpya hali mpya na kasi mpya..iko wapi?
Hapa kazi tu...iko wapi?
Kazi iendelee,mama anaupiga mwingi,nan kama mama..hizo kauli mbiu zote kwanza mdo tumekuwa na hali mbaya bora kipindi ya nyerere hata shule tuliziona.Kauli mbiu zimetufilisi ..yani sisi wananchi tunachumia juani viongozi wanalia kivulini tena kwa mbwbwe na kutupiga juu..
Chadema ndiyo chama kinachohubiri haki katika hili Taifa letu, Chadema ndiyo upande wa haki,wananchi tuchague upande wa HAKI,na MUNGU YUKO UPANDE WA HAKI-CHADEMA.
Wananchi msichague upande wa watekaji na wauaji mafisadi wa ccm!
Safii kamanda
Wanauliza hata Bandari. Tusifanye mchezo na rasilimali zetu.viongozi wetu Mungu awatafakirishe ili haki ya rasilimali iwe faraja Kwa Watanzania.
Mnakteka na kuwa sasa mnasema CCM ndio natoa ajenda za uwongo kuwapata wapiga kura
Oyooooooooooo
Safi chama makini
Kumbe ni wahuni mmejisibisha kwenye sasa nchi iyongozwe na wahuni itakuwa nchini kweli
Hata ww muuni hacha uchawa
Mbona hata wewe ni mhuni
@@edgarmbegu1974 pita kushoto kulia pawatakatifu
Chadema juuuuuuu
Aisee hv mnaelewa lkn kuwa sera znaeleweka mungu akatuinue tuu mungu atatusaidia tuu
Kwa hiyo uyole wanaishi wahuni? Big up Dr Tulia kwa Kazi Nzuri
Na nahau tu hamaanishi ni wahuni bali wakiendewa kihuni nao wanamudu uhuni ndivyo nilivyomwelewa lazima uwe na upanuzi wa mambo
Kwaiyo Arusha kuna wadudu au kionjo tu
@@STEVENKAJUMBA binadamu hawezi kuwa mdudu ni misemo tu kama ilivyo chawa binadamu hawezi kuwa chawa
Polesanaaa
Pamoja kamanda
Hana lolote kabisa huyu ni tapeli mtu, eti wapiga kura wake anawaita wahuni, ni mbwa kabisa huyu
Eti goal Rais ananunua nchi ngumu hii kweli ndiyo nchi ya kwanza raia anakoswa kulipa bill hospital pesa inakwenda kununua goal daaah
Mpaka maiti inadaiwa Kodi. Serkali Gani ya namna hii?
Ni hatar sana natamani sana Kuna mama wote waelewe haya ili waweze kufanya maamuzi sahihi
Akiongea Msigwa mnalalamika mbona nyie mnaongea?
Udini kuma mbuzi ww bonge
Mama yakoo Anatobooo...et
@@ABBASIKANDULU-kl8zc mama angu amekufa amebaki lisu ka mama mdg
Huna akili wewe kichaaa
@@shafee9128 vichaa ni nyie Machadema Mnaongozwa na mbowe mwnykt wa kudumu na hamsem kitu mapimbi sana.
Viongozi wa Chadema mkoa wa mbeya hamna akili kabisa .kusema nirahisi sana kuliko vitendo .Hamuwezi kumshinda Tuli Ackson .Unalia wewe mwenyewe .Sera za kumsema mtu ndiyo Sera zakumshinda .Hakuna anayewaunga mkono wahuni wezenu ndiyo wanawaunga mkono lakini mtu mwenye akili timamu hawezi kuwaunga mkono viongozi wahuni
Sera ni nini? Unajua maana yake au unaropoka tu?
Kasome sera ya chama akili hauna wewe katiba mpya ni ukombozi wa mambo mengi kwa asilimia 95
Wewe fara chawa tu
Mbwa we👂
Mwanaume mzima huna akili aisee naombea Mungu awafungue wanawake wote wapate akili ya kutambua mipango yote mibovu ilyo fanywa na ccm kumbe Kuna wanaume Bado akili zipo matakon dah unatakiwa kuleft uanaume wako
Viongozi katika nyanja mbalimbali za uongozi, nashauri mnapohutubia wananchi kutotumia neno wahuni. Hiyo ni lugha ya udhalilishaji hivyo acheni kuwaita wananchi wahuni kwa kumanisha sifa fulani ya kundi fulani la watu fulani. Hoja ni nzuri sana ila epukeni lugha mbaya zaidi mapambano yaendelee.
Unapohutubia lugha ni Ile rahisi inayokubalika na watu wa pale
Good 💪💪point