Njia Rahisi Zaidi Ya Kupanga Bajeti Yako

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 763

  • @abbasssaid8719
    @abbasssaid8719 5 років тому +39

    Hii video mara ya kwanza kuiona mwaka jana ilipopostiwa tu ikabidilisha mtazamo wangu na ndio kipindi nilichokua natajiandaa kuoa na wakati huo nilikua na ujenzi wa mahali pa kukaa na mke wangu mtarajiwa kupitia video nikaweza kufanya savings kila siku mpaka mwishoni mwa mwaka nimefanikiwa kujenga nyumba vyumba viwili moja master na jiko na nikafanikiwa kuoa na sasa nimefungua duka dogo tu ila hii hua naitazama sana inanipa nguvu sana hasa ninapoona majukumu mengi kuliko kipato kiukweli imenisaidia sana i wish siku moja tuonane

  • @kato_tz
    @kato_tz 6 років тому +11

    Kuanzia leo tarehe 25/06/2018 saa 23:44 usiku naahidi nitaanza kutumia hii kanuni na kuna siku tutakutana nikupe ushuhuda. I am one of the people wanaotumia tumia tu hela bila kujua inaenda wapi, Siku hizi napenda kujifunza sana kuhusu pesa na tabiaa zake. All I need is money jamani. This will be my all time slogan.
    Barikiwa sana brother Joel kwa kujitoa kwako kwa ajiri yetu. Change from now on will not be an option.

    • @davidchriss9618
      @davidchriss9618 Рік тому +2

      Ni miaka minne sasa imepita.. tupe update yako

    • @Jaykifurushi
      @Jaykifurushi Рік тому

      😂😂

    • @kato_tz
      @kato_tz Рік тому

      @@davidchriss9618 aisee ndugu since then a lot has happened Naweza sema now am 10x better as I promissed kaka.

    • @AlfredMushi-lw6cf
      @AlfredMushi-lw6cf 9 місяців тому +1

      tupe mrejesho mzee

    • @saiguraniedward6716
      @saiguraniedward6716 5 місяців тому

      Nipe mrejesho ndugu yangu....umefanikiwa?

  • @nehemiahparadox8488
    @nehemiahparadox8488 5 років тому +8

    Ungekuwa Doctor ungesaidia watu, lakin umekuwa life couch Kwa watu wengi zaidi na kubadilisha maisha ya watu wengi zaid ikiwemo Mimi.....zaidi ya ambavyo ungekuwa doctor;....GOD BLESS U MORE & MORE THAN TODAY

  • @clarasabutoke2861
    @clarasabutoke2861 6 років тому +10

    Asante sana Mungu akuinue unanibariki sana najifunza mno.nimechelewa kukufahau but tangu nimekufaham na kukusikiliza mylife yanabadilika positively daily

  • @eliudimwigi8368
    @eliudimwigi8368 6 років тому +48

    Binafsi Mimi Eliudi hii Kanuni ya Elizabeth Warren ya 50|30|20 inanifaa na naweza kuimudu vizuri nikijibana.
    Joel MUNGU akubariki sana Kaka yangu.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +3

      Eliudi Mwigi pamoja sana Eliudi,tuendelee kujifunza

    • @emmanuelkache1682
      @emmanuelkache1682 6 років тому +1

      Ahsante kwa ushauri wako!! Ni vizuri kupata mawasiliano yako.Ubarikiwe

    • @edwineedison789
      @edwineedison789 5 років тому +1

      @@joelnanauka ase kaka nakukubali kwa elimu yako ubalikiwe sana

    • @eltonmnunga8228
      @eltonmnunga8228 5 років тому

      Joel, naweza kupata mawasiliano yako ya moja kwa moja, naitwa Elton, mamba yangu ya simu ni 0717 064050

    • @alistidesngaiza3916
      @alistidesngaiza3916 3 роки тому +1

      @@joelnanauka ,.,.,.,.

  • @mrsrm9540
    @mrsrm9540 3 роки тому

    Yaan umenisaidia sana ktk Hilo shukran sana mungu akubarik

  • @gabrieltesha8994
    @gabrieltesha8994 2 роки тому

    Nimeandalia leo hiii video yako lakini somo limenijenga sana bro ubarikiwe uwe na moyo huo huo wa kutuelimisha Mungu akubariki sana bro

  • @kulwamadaha1613
    @kulwamadaha1613 Рік тому +1

    Yananifaa sana nimekukuwa napoteza pesa nyingi sana bila kujua zimeenda wapi naomba msaada wako zaidi

  • @ISACKMASHIMBA
    @ISACKMASHIMBA 4 роки тому +1

    Hii formula nimeipenda sana, nahisi kama nimechelewa, Mungu akubariki sana,
    Ila nna swali moja kaka, sadaka, zaka na michango mbali mbali ya kidini itaangukia kwenye fungu gani!?

  • @JojoLomalisa
    @JojoLomalisa 5 місяців тому

    Amen ,on point hii inanihusu mimi kabisa ..nakuwa na roughly kwenye matumizi ya pesa ila now nimejifunza na kufata kanuni na taratibu ili nifanikiwe

  • @josephboniface6209
    @josephboniface6209 4 роки тому +1

    Broh# Mungu azidi kuku Bless#

  • @bryanfrank5602
    @bryanfrank5602 2 роки тому

    Ah kaka asante sana yan apa umenifungua nimeelewa kabisa na izo asilimia ni sahihi kabisa

  • @zizuhmanizo2570
    @zizuhmanizo2570 3 роки тому

    Daaa broo heshima kwako mungu akulipe kwakupa umri mrefu wenekheri nawewe

  • @luccabosslugendo9722
    @luccabosslugendo9722 6 років тому +11

    nimekuelewq vyema japo kipato changu hakina uhakika was moja kwamoja..basi nitajtahd kubajet kile ntakachopata kwa mwezi ili niishi kwa hiyo kanuni ya 50/30/20 nimeipenda mungu akubariki kaka joe

  • @teachersulley9343
    @teachersulley9343 5 років тому

    Asante sana hii video nimeangalia zaidi ya marra 10

  • @AdamShamkoma-bs7zs
    @AdamShamkoma-bs7zs Рік тому

    Ahsante kaka nimejifunza na nitaanza kukiwekea akiba kuanzia sasa

  • @janviervenasi
    @janviervenasi Рік тому

    Asante Asante ndiyo kupitiya mashauri unayo endeleya kunipa Nîme badilika kimusingi

  • @dannywanjara4780
    @dannywanjara4780 6 років тому +2

    Ndugu umechangia kubadili mfumo wa maisha yangu kias kikubwa sana nlikua napata pesa lakin aikai. kumbe lifestyle ndio ilikua mchawi wangu mkubwa ila taratib nimeanza kusogea ktk kuepuka vitu visivo vya lazima

  • @minzamaduhu9042
    @minzamaduhu9042 2 роки тому

    Kaka umenifungua macho Leo Asante endelea kunifunza

  • @mbwigzobotz268
    @mbwigzobotz268 6 років тому +1

    iyo naifanyia kazi kaka nimekuelewa sana na itanisaidia sanaa

  • @barisasaji8669
    @barisasaji8669 2 роки тому

    Ashsante Sana brother kwa somo zuri kuhusu bajeti hakika MUNGU azidi kukuwezesha katika kazi yako🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍👍

  • @njuka3515
    @njuka3515 3 роки тому

    Asante sana kwa Somo nitafanya hivyo na nitakupa majibu ndani ya miezi mitatu ijayo

  • @jemomandua6141
    @jemomandua6141 4 роки тому +1

    Asante braza

  • @yonathanimkama887
    @yonathanimkama887 2 роки тому

    Nmepata kitu Cha msingi sn! it's good

  • @zakariashaury5005
    @zakariashaury5005 2 роки тому

    Asante sana kaka nakufatilia sana umebadil muelekeo wangu

  • @cainewilliam5236
    @cainewilliam5236 6 років тому +10

    Broh, you are geneous I'm telling you. It's only today that i have seen your UA-cam channel and i have watched almost 10 of your videos. Actually i have learned a lot. Thanks a lot.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +3

      Caine William Thanks for visiting and kindly invite others also

    • @yakobosengasu8073
      @yakobosengasu8073 6 років тому

      Broo nitakupataje ninashida na namba yako

  • @leahzephrine812
    @leahzephrine812 3 роки тому

    Asante kaka Mungu akubariki sana sana

  • @erickleon9460
    @erickleon9460 4 роки тому

    Somo nzuri saana kaka yaani mungu azidi kukuweka tuzidi kujifunza vingikutoka kwako yaani weacha tu

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 роки тому +3

    Ultimate Lifetime Money Plan 50-30-20 is my life system #SeeYouatTheTop my Brother 🙏🙏

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 2 роки тому +1

    Nashukuru Sanaa kwakunierimisha mahan mimshaara kilaa nikipata unatumika wote pasipo kuweka Akiba🙏

  • @stanleyngowi287
    @stanleyngowi287 Рік тому

    Its crazy...your genius🤝🏻

  • @neemabundala2005
    @neemabundala2005 2 роки тому

    Barikiwa sana mtumishi

  • @nassoromussa2423
    @nassoromussa2423 5 років тому +2

    Dah! Sio kitoto hili somo. Yn leo ndio nimepata jibu la kauli yako "mafanikio sio bahati "

  • @revianusrevocatus2638
    @revianusrevocatus2638 2 роки тому

    Mungu akubariki

  • @jonaskitiga100
    @jonaskitiga100 5 років тому +1

    Brother thank you so much.
    Vitabu vyako ungevileta hapa Mafinga,. Tutavinunua sana.
    Mungu akubariki

  • @davidsindoma9403
    @davidsindoma9403 4 роки тому

    Ahsante kwa hili

  • @maulidihamadi6928
    @maulidihamadi6928 3 роки тому

    Nashukuru sana kaka namefatilia somo lako saiv niko vzr kidogo tofauti na mwanzo naamin bado sijacherewa kaka

  • @agnesslucas4744
    @agnesslucas4744 2 роки тому

    Asante sana nimecherewa kujua jaman

  • @pudensianalinwatu5320
    @pudensianalinwatu5320 5 років тому +3

    Najuta kuchelewa kunifahamu hii account ur the best kaka

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 роки тому

    Ahsante brother

  • @theresialumanyika379
    @theresialumanyika379 4 роки тому

    Asante Nimepata kukifunza Na naamini nitatumia pesa vyema

  • @sheilamrogoro8641
    @sheilamrogoro8641 4 місяці тому

    Asante sana kaka Joel .somo hili litanisaidia sana kubadiliaha maisha yangu.kweli pesa tunapata ila bila milango na bajet ni kazi bure

  • @khadijakisingo7920
    @khadijakisingo7920 2 роки тому

    Asante mungu akubariki

  • @hapsaally1860
    @hapsaally1860 3 роки тому

    Nakuitaga doctor wa brain, naamini kama mwili unavoitaji matunzo chakula, mavazi n.k vilevl ubongo nao unaitaji chakula tena kwa kila cku, sitoacha kukuombea kila niombapo dua kwa M/Mungu kwan ni hakika umenishibisha kichwa yangu ipo inafanya kazi sawaswa ni kwavile hujui tu umenitoa wap na naamini tupo wengi sio mim tu! Tunakuombea sana 🙏🙏

  • @barakawalter1519
    @barakawalter1519 5 років тому

    Kweli umelezea vizuri sana nikuombe unisaidie ichi mm kipatochangu c chakupokea kwamwezi hila na pokea pale tuu nitakapo fanya kazi kwaapo nipangilieje

  • @yusufkey4032
    @yusufkey4032 6 років тому +4

    shukran sana mwalimu wangu nakuelewaga sana i can not wait to see 1milion subscribers wanafunzi wenzangu mbona atusaidi mwl????

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +1

      yusuf key ahsante yusuf tuendelee kushare na kuwaalika wengine kusubscribe

  • @eliatowela4484
    @eliatowela4484 4 роки тому

    Wow nmeelewa vzurii sanaa nitajitahid kufanya kama nilivo elewa sikujua kabisaa

  • @yotammartin8858
    @yotammartin8858 3 роки тому

    Uko vizuri nitanyaje ill nipate kitabu

  • @agneshiza7229
    @agneshiza7229 2 роки тому

    Duh!Uko vizur kaka Asante

  • @user-co4db8zw6x
    @user-co4db8zw6x 10 місяців тому

    Ahsante sana kka kwa elmuyako ningum sana kupanga bajet hii mwenyewe bila kuumiza kchwa nashkuru sana umentoa usingzin mungu akubaliki uzdi kutuelmisha zaid nazai kwa kanuni ya 50/30/20 nashkur sana kaka

  • @dicksonmbiu2179
    @dicksonmbiu2179 6 років тому

    Umenifundusha kitu,hongera

  • @deusjosephat8554
    @deusjosephat8554 5 років тому

    Asante sana,je kwa mfano ninapokea mshahara Kila mwisho wa mwezi lakini mala mojamoja inaweza tokea nikapata hla nje ya mshahara je hii ambayo sijaipigia bajeti nitaipangiliaje

  • @mwengekavuya7789
    @mwengekavuya7789 2 роки тому

    Asante rafiki nina fatilia sana vidéos zako na zina ni elimisha sana congratulations

  • @gidionkindole2648
    @gidionkindole2648 4 роки тому

    Kaka honger sana kwa mafunzo naahid kufuata maelekezo yako yote barikiwa san

  • @rosemngongo10
    @rosemngongo10 6 років тому

    asante sana kaka kwa elimu nzuri ingawa mimi natumia mtindo mwingine wa kupanga bajeti ila kuna vitu nimevipata kutoka kwako ambavyo naweza kutumia ili kuboresha upangaji wangu wa bajeti katika mtindo wangu Mungu akubariki sana.

  • @petermsafiri3077
    @petermsafiri3077 5 років тому

    Umenifumbua sana asante kwa elim yako

  • @husseinsmash2416
    @husseinsmash2416 6 років тому

    Hongera sana kaka Joel Arthur Nanauka nimeipenda hii kanuni ya 50/30/20. Naamini nitaweza kuifanyia kazi na mungu anixaydie

  • @joycejohn9585
    @joycejohn9585 3 роки тому

    Asante sana ubarikiwe maan umenitoa kwenye shimo nilikuwa nateseka kumbe mchawi n mm mwenyewe

  • @lucydaniel3456
    @lucydaniel3456 5 років тому +4

    Asante kaka nko kwenye biashara kwa miaka 5 sasa sisogei huenda huyu ndo mchawi wangu dah aisee

  • @emanuelyfrances3053
    @emanuelyfrances3053 Рік тому

    Asante sana brother, God bless you.

  • @nyamoyenyamoye6077
    @nyamoyenyamoye6077 6 років тому +1

    somo limenifurahisha, maana nimewahi kufanya hivo mambo yakaenda vizuri, ila ina taka moyo wa kujikana nafsi

  • @johnngimba7615
    @johnngimba7615 5 років тому

    It's very gud
    👍👍👍 Mungu akuongoze Uzidi kutupa uwelewa juu ya maendeleo yetu

  • @rweyemamukiobya4569
    @rweyemamukiobya4569 5 років тому

    Ok,nimependa na nimeelewa pia

  • @bakarimuhammad6251
    @bakarimuhammad6251 5 років тому

    Asante sana nimekuwelewa sana somo zuri naomba uzidi kutufunguwa mawazo tunajisahau sana

  • @T1tanGamingCsgoMore
    @T1tanGamingCsgoMore 5 років тому

    Idea yako ni nzuri sana na natamani ningeweza kujua kabla ningekuwa mbali lakini sasa nshajichanganya na madeni mengi na mshahara hautoshi. Sijui nifanye vipi Dr.

  • @gloriashao3100
    @gloriashao3100 2 роки тому

    Asante sana kwasomo zuri

  • @benmagungu614
    @benmagungu614 4 роки тому

    Asante kwa Somo Mwalimu .
    Nimechelewa sana kujua hili somo .
    Naanza kulifanyia kazi

  • @mazabasamson6029
    @mazabasamson6029 6 років тому

    Ahsante sana kaka kwa somo zuri.....kuna mambo yalikua yananiendea tofauti kuhusu matumizi ya pesa japo nilikua naona napanga bajeti vzur ila kwa somo nililolipata kwako nahisi nitakua vzur "thnx lot br0

  • @shafannaftary9485
    @shafannaftary9485 2 роки тому

    Asant sana bro mi nilichelewa sana sana kufatilia hivi vitu,nahisi kwa jinsi nilivyofanya matumiz yasiyokuwa na mana sasa inatosha Mungu awabariki saana wewe na Ezden jumanne,tangia nilivyoanza kuwafatilia kuna kuna vitu nmeshaingiza katka akili yangu.thank you very much brother.

  • @jumachanewstrends6899
    @jumachanewstrends6899 5 років тому

    mungu akubariki chief kwa kanuni hiiii naweza kutoaaaaa vizur

    • @mavumbamavumba1927
      @mavumbamavumba1927 5 років тому

      Bro hi kanuni ni Safi sana, itanisaidia ktika kuboresha maisha yangu

  • @richardmteka9487
    @richardmteka9487 5 років тому

    Nashukulu xana umenifundisha njia ili niweze kuzifika nfoto zang nashukulu mungu akubariki

  • @kombealphonce7290
    @kombealphonce7290 2 роки тому

    Nashukuru Sana mwalimu

  • @ruphysambaya3288
    @ruphysambaya3288 6 років тому +3

    Mimi brother nimekuelewa sanaa pia mim nimjasiriamali naona hii principle ni njema sanaa kwangu naomba nipate kufahamu mengi pia ningeomba uwe msimamizi wangu ktk biashara.

  • @herimailo8183
    @herimailo8183 Рік тому

    Brother asante sana

  • @ombeniyusufu8494
    @ombeniyusufu8494 Рік тому

    Amina mtumishi wa Bwana kwa mchango wako wa elimu ya uchumi.

  • @ibrahimwapili8851
    @ibrahimwapili8851 6 років тому

    Kaka Elim uliyo nipa ni kubwa sana kiasi kwamba umenifanya nijitambue sana Asante sana Mungu Akubariki

  • @rebecamlindwa2913
    @rebecamlindwa2913 5 років тому

    Asante kwa elimu nzuri sasa ntatumia pesa vizur

  • @bettymwanga691
    @bettymwanga691 6 років тому

    Asante kwa kutuelimisha.

  • @eziadaniel8269
    @eziadaniel8269 4 роки тому

    Nimefaidika sana

  • @AziziMsuya
    @AziziMsuya 6 років тому

    Asante sana Joel

  • @mrsrm9540
    @mrsrm9540 3 роки тому

    Dah nikitu Cha msingi sana na chenye umuhim mkubwa sana kwangu

  • @hassanbakari1509
    @hassanbakari1509 6 років тому +1

    Nzuri sanaa huwo mfumo mm nautumia sanaa huwo mfumo mshahara wangu natumia thuludhi 1/3 ya mshahara wangu ,kwa mfano kwenye elfu 15000 natumia 5000 kwa mwezi iliyo baki na sevu

  • @habibuabrahamani9389
    @habibuabrahamani9389 6 років тому

    Ahsante sana ndugu. Nadhani hii inanifaa kabisa. kuna mfumo mmoja huo wa asilimia niliutumia, ila nadhani 20% ilizidi katika sehemu ya investment and saving. Nilipunguza wants nikaongeza saving. and I have achieved my 15 days goals, in May, this year. It really work out brother.

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana 6 років тому

    Ubarikiwe sana Coach, kwa haya mafunzo. Hii kanuni ni nzuri na inamfaa kila anyetaka kupata maendeleo ya kweli katika maisha yake.

  • @official_isabella374
    @official_isabella374 2 роки тому

    Nakubali🙌🙌

  • @brucemwanamawe1082
    @brucemwanamawe1082 6 років тому

    mwl naomba kujua pia kama kanuni hii inaweza ikawa Na msaaada hasa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wanao pata boom...Na wafanye nini ili kuitumia Na kuendelea zaidi...mungu akubariki sana

  • @niccohgordon4125
    @niccohgordon4125 5 років тому

    nashukuru sana mkuu sasa nazidi kuelewa zaid na napata vitu ving sana kutoka kwako.

  • @abdoulkarim2964
    @abdoulkarim2964 3 роки тому

    Kwa kweli nazidi kuelimika kila siiku
    maana mambo ni meengi mnoo yakubadilisha katika maisha yaangu
    asante saana

  • @sadick-sebastian4052
    @sadick-sebastian4052 6 років тому +7

    Asante saana Kaka kwa ujumbe mzito juu ya budgeting

  • @olivehaika8668
    @olivehaika8668 6 років тому

    asante sana kwa video hii nimejifunza kitu kikubwa mno, bila kuchelewa naanza kufanyia kazi

  • @deone728
    @deone728 6 років тому

    Barikiwa sana

  • @komboomar9660
    @komboomar9660 5 років тому

    nimependa darsa zuri sana inafaa kuifata kwa matumizi god my brother

  • @happydaniel7788
    @happydaniel7788 2 роки тому

    Be blessed brother

  • @samuelsanga4444
    @samuelsanga4444 2 роки тому

    Umenisaidia sana kujenga maisha yangu yabadae

  • @akidaally2835
    @akidaally2835 2 роки тому +1

    Thanks brother it makes me feel as if I was loosing my money since I didn't have any plan of savings before coming to your page.

  • @gracemichaellyamuya9547
    @gracemichaellyamuya9547 2 роки тому

    Matumiz Yan nifaa san asantee kaka🙏

  • @jacksonmambwe8416
    @jacksonmambwe8416 2 роки тому

    Nashukuru kwa somo zuri kuanzia Leo nimumin wa mafundisho yako

  • @salehhassan87
    @salehhassan87 3 роки тому

    50:30:20 Hii ipo vzr sana nimeipenda na Nikijaaliwa nitaanza kuifanyia kazi mwezi huu nilionao Ahsante sana kaka Kwa kutufunua macho .

  • @joahkiswaga1915
    @joahkiswaga1915 6 років тому

    Uko vzr kiongozi, kwamchanganuo huo mtu lazima utoke kimaisha

  • @yusuphwilliam5283
    @yusuphwilliam5283 5 років тому

    ,nakuelewa sana kaka endelea kutuelimisha hasa sisi vijana wengi hatuna nidham ya fedha