DEBORA FERNANDES NI KIUNGO WA AINA GANI KIUFUNDI/UBORA WAKE NA UDAHAIFU NA JINSI ATAKAVOTUMIKA SIMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • Simba Pro kupitia mchambuzi wetu mahiri Dullah Hassan amemdadavua kiungo mpya wa klabu ya Simba Debora Fernandez Mavambo ubora wake na jinsi ambavyo amekua akitumika katika kikosi cha Mutondo Stars chini ya kocha Zeddy Sailleti,
    Kupitia uchambuzi huo utapata kujua ni upi ubora wa kiungo huyo na ni yapi madhaifu yake kiufundi yanayoweza kuathiri matokeo ya timu
    Kama unahitaji kuungwa kwenye group letu la Simba Pro tuchek kwa namba 0626629644 tukupe utaratibu wa jinsi ya kuungwa

КОМЕНТАРІ • 5