GAUNI LA BIBI HARUSI LAWAKA MOTO UKUMBINI DAR, GARI LAO HUMMER LAGONGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • Siku ya harusi kikawaida wengi wetu huwa ni siku ya furaha lakini inapotokea visa vyenye mshikemshike huwa inatibua kabisa furaha hiyo, AyoTV leo inakuletea hizi dakika 7 za simulizi ya harusi ambayo moto ulishika kwenye gauni la Bibi Harusi wakati wakiingia ukumbini ambapo pamoja na kwamba pia siku hiyo ilionekana kuwa na vimikosi baada ya gari la Maharusi hao kuligonga gari jingine kabla ya kuingia ukumbini, haikuwapunguzia Maharusi hao furaha yao kwa namna yoyote ile....

КОМЕНТАРІ • 431

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 3 роки тому +91

    Unapo kua na shughuli muwe mnatoa sadaka. Sadaka inakinga shari nyingi zinazo tokea.

    • @johannesishengoma1232
      @johannesishengoma1232 3 роки тому +5

      We umejuaje kuwa hawakutoa sadaka?

    • @chrissjoel7752
      @chrissjoel7752 3 роки тому

      Sadaka gani unaisemea wewe? 🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒

    • @mariamhavile8849
      @mariamhavile8849 3 роки тому +2

      Huwezi andaa sherehe bila kutoa sadaka kanisani au Kuna sadaka nyingine?

    • @shifaaal-baity4503
      @shifaaal-baity4503 3 роки тому

      👍🏻👍🏻

    • @shifaaal-baity4503
      @shifaaal-baity4503 3 роки тому +8

      @@johannesishengoma1232 yeye katoa ushauri..tu. Sisi waislamu tunaamini sadaka ni muhim sana

  • @dianajoseph6673
    @dianajoseph6673 3 роки тому +18

    Du hongera sana dada kwa ndoa nzuri na pole kwa misukosuko

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 3 роки тому +39

    Mbwembwe hizi, mtaja ua watoto wa watu, hakuna cha shetani wala nini, hivo vimoto mloweka hapo cjui mnaviitaje alivipitia karibu vikanasa kwenye shela.

  • @evankya1955
    @evankya1955 3 роки тому +24

    It's scary Ila GaraB speaks about it Kama Ni kitu kidogo kabisa; hii Ni attitude nzuri Sana ya ku-face changamoto yoyote in life.

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 3 роки тому +6

    Bibi harusi alipelekewa Moto 😂😂😂

  • @robinahumphrey9725
    @robinahumphrey9725 3 роки тому +16

    Tunamshukuru Mungu akuungua m2 na shetani alishindwa ila uchawi tuu

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 3 роки тому +4

    Mungu anakupenda dada shukuru sana Mungu,kwakukuepusha nahuo moto

  • @tamimtours6934
    @tamimtours6934 3 роки тому +29

    MAMOTO HAYO SASA YANINI KUMBINI!!!!!?? JIFUNZENI.

    • @jumamayunga5853
      @jumamayunga5853 3 роки тому +2

      🤣🤣😂😂😂 cjui ya nn mi nawashangaa sana

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 3 роки тому

      Huyo mpambaj atakuwa na lake jambooooo asa moto og ukumbin wa nn angeungua je

    • @naimaofficial33
      @naimaofficial33 3 роки тому

      Mashaalah

    • @tamimtours6934
      @tamimtours6934 3 роки тому

      @@naimaofficial33 Naima Hujambo?

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому

      Haswa hizo ni cheche ni hatari alafu wameweka karibu uku wanajua shela ni pana na refu wameyataka wenyewe

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 роки тому +14

    Mhmmm ndiyo Tanzania bhana hatari saana

  • @oliviaambrose2907
    @oliviaambrose2907 3 роки тому +6

    wanatakiwa waombe sn hii ndoa

  • @joramkimario6174
    @joramkimario6174 3 роки тому +8

    Halaf nilikodisha sasa. Na mwenyewe hataki lingine anataka lilelike

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 3 роки тому +11

    Maombi yanini wakati nyie mlijichanganya kwan hamjui maana ya fire works? Yan kila kitu shetan na uchaw africa amken achen fikra pitofu

  • @neemadickson9526
    @neemadickson9526 3 роки тому +8

    Nyieeeeeee 🙌😭uchawi huu khaaaa 🙏

    • @fettyabiola1389
      @fettyabiola1389 3 роки тому +1

      Mmmmmmmm acha uswahili kitu kawaida unaona apo na macho yako, uchawi uwo kwio😁😁

    • @neemadickson9526
      @neemadickson9526 3 роки тому +1

      @@fettyabiola1389 🙆🙆🙆🙆ndo nimeangalia mwanzo mwisho ushwahili gani sasa unasema

    • @fettyabiola1389
      @fettyabiola1389 3 роки тому

      @@neemadickson9526 kwakuwa uyo mc kasema walipata ajali , we ajali ya uchawi unaujua, hashuo walizonazo kwenye gari umegonga tu gari la mtu , na uyo fire works ni fire kama jina lake moto unawaka na nguo tena shela neti na satin tupu ile unataka isiwake, kavaa mahmeli au nayo pia si mbele ya moto , firework za birth day cake humuunguza mtu sikwambii zile za sherehe, hakuna uchawi pale punguza imani izo

    • @neemadickson9526
      @neemadickson9526 3 роки тому

      @@fettyabiola1389 sawa nilikuwa sijawatch vzr dear ndomaana ila nimeshaelewa🤝

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 3 роки тому

      @@neemadickson9526 😂

  • @jeshilamtu863
    @jeshilamtu863 3 роки тому +8

    Tunako elekea tutaungana tu ktk ndoa zetu za MKEKA🤣 We unadhani ndoa yako itaizidi ile ya MBILIABERI aliyo fungia angani!? Na je? Ilidumu !!? Acheni ulimbukeni ktk ndoa,,,safari ni ndefu ! Bado hujaamka usiku saa 7 ukakuta MTOTO kachemka MWILI na unatakiwa uamke umpeleke hospitali !!!!(Acheni tamthilia )

  • @خسنموس
    @خسنموس 3 роки тому +19

    Harusi za mbwembwe nyingi Nakujionesha kua Hela zipo Zina nuksi sana utakuta kakodi ilo gauni na Gari pia, Pole Yao wamejifunza kitu apo

    • @elviraramadhan3900
      @elviraramadhan3900 3 роки тому +12

      Hizi ni Hila
      Hujazipata tuu hizo hela, Kwan ww ukiwa nazo huwezi Kodi gauni hela hiyo🤣
      Tz mna chuki za ajabu

    • @nasrahassanabioll6559
      @nasrahassanabioll6559 3 роки тому +10

      @@elviraramadhan3900 Tulioolewa bila shughuli yoyote kimya kimya na bado tukapigwa majuju tukaugua nusu ya kufa chuki tu zinakuwaga kwann aolewe fulani!! huwa hawaionei wivu ile sherehe bali ni ile ndoa inayopitishwa ndiyo wanayoifanyia hila kibao binaadam ss wengine hatar sana

    • @elviraramadhan3900
      @elviraramadhan3900 3 роки тому +5

      @@nasrahassanabioll6559 yaan sijui inakaaje hii kwa watanzania 🤣 mtu mwenyewe hamjui Ila Sasa chuki kama za mama wa kambo🙌

    • @fusotanzania8174
      @fusotanzania8174 3 роки тому +4

      acha wivu wew

    • @shabanandrea9131
      @shabanandrea9131 3 роки тому +3

      Roho mbaya tu ukizeeka nahisi utakuwa mchawi wewe ,

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 3 роки тому +23

    Hizo ni dalili mbaya,Kuna wanadamu wabaya washafanya Mambo yao hapo

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 3 роки тому +6

    Kwa jinsi watz tulivyo teyari wamehusisha na imani za kishirikina.tuaitoke nje ya simulizi tuliyopewa na washiriki wa hiyo sherehe.

  • @chapter2719
    @chapter2719 3 роки тому +1

    Wabongo mnapenda harusi adi gauni linawaka moto

  • @druumarley2159
    @druumarley2159 3 роки тому +1

    Dah! Hii ajar niliiona mbez beach ya chinii hummer nyeupe... Dah! Nowmaaa

  • @clarajapheth8804
    @clarajapheth8804 3 роки тому +22

    Ashukuriwe Mungu Kwa kuwaepusha na hayo mabaya yoye

  • @vampire9464
    @vampire9464 2 роки тому

    Wabongo washamba sana hivo vimoto vya party mnaweka kwenye harusi daaahhh mbwembwee vimezidi matokeo ndio hayo

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 3 роки тому +4

    Hizo ni ishara mbaya wasali sana

  • @shebbynzengula6993
    @shebbynzengula6993 3 роки тому +1

    Huyo bibi harusi kuna kitu alifanya 😂😂😂😂 🏃‍♂️

  • @rebeccajeremiah4883
    @rebeccajeremiah4883 3 роки тому +1

    Hujatoa wee bhnaaa mbona tunamuona mshikaji mwingine

  • @alexlyamsema4984
    @alexlyamsema4984 3 роки тому +11

    Pole sana Dada Mshukuru Mungu wenda furaha yako ingegeuka kuwa majonz makubwa,, Mungu mwemaaa

  • @gkely2618
    @gkely2618 3 роки тому +2

    Banda la wakala linauzwa
    Ukubwa futi 5 kwa 6
    Nila chuma (hard metal)
    Limepigwa red oxide plus rangi
    Lipo daresalaam kigamboni
    Bei 600,000/=
    Maongezi yapo

    • @waytvtz2549
      @waytvtz2549 3 роки тому

      Ingelikuwa Arusha nalihitaji

  • @Dina-py8js
    @Dina-py8js 2 роки тому

    pole sana kwa maharusi

  • @enickosanga4921
    @enickosanga4921 3 роки тому +1

    Hapo mwanamke alieahidiwa kuolewa kafanya yake baada ya kuona katoswa hataree sana

  • @zuhuzuli.5150
    @zuhuzuli.5150 3 роки тому +1

    Mc GaraB garakubwaaaaaa❤❤❤❤👌

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 3 роки тому +10

    Bonge la gundu🙆ndoa itawaka moto kila ck ndan🤣🤣🤣

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 3 роки тому +1

    Eh mshakuwa mastar

  • @juniormgema2524
    @juniormgema2524 3 роки тому

    😂😂😂 kaz ipo unasherekea uku unanuka moshi😂😂😂

  • @princess-uf5ux
    @princess-uf5ux 3 роки тому +15

    Uyo atakua ex wake kasababisha hayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hadijaabdrahamani5089
    @hadijaabdrahamani5089 3 роки тому

    Mm naomb kuuliza hiv huyu gara B analipwa bei gani jamani maana nampenda anajua kunogesha

  • @ruthwatson3057
    @ruthwatson3057 2 роки тому +1

    Anachomeka na bado anapiga disco tu? Ni ulevi au nini???

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 3 роки тому +10

    Mmeyataka wenyewe huo moto wanini humo ndani fundisho hata kwa wengine ila poleni

  • @joanngatulile4687
    @joanngatulile4687 3 роки тому +2

    This is very dangerous uwii fireworks🙆‍♀️🙆‍♀️Ningeliaaaaa

  • @victorkivuyo6126
    @victorkivuyo6126 3 роки тому +1

    DUU HIYO NI NGUMU SANA, MR BOB SOSY AKA KATIA WA ARUSHA MURIETI JIRANI KABISA NA MHESHIWA GAMBO

  • @nobbylovetv4977
    @nobbylovetv4977 3 роки тому

    Hapo kama amevaa kigodoro shughuli yake sasa..hahahahaha

  • @tramyspinkiebee3536
    @tramyspinkiebee3536 3 роки тому +2

    Hizi decorations ziwe zinaangalia aina ya nguo anayovaa maharusi jaman.sa fire works zinawekwa karibu karibu wakat bi harusi kavaa gauni la cinderela??hapa hakuna cha uchawi ni kosa la event planner au mpambaji.Alitakiwa alipe fidia kwa hili

  • @frederickloongableu-goude
    @frederickloongableu-goude 3 роки тому +4

    Sio vizuri wakati wa sherehe ukubini bi arusi kuvaa shela au gahuni. Shela ni ya kanisani tu.

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +4

    Huyu MC mashaa Allah Yuko vizur kweli

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 3 роки тому +1

    Magaidi

  • @daudinyello4033
    @daudinyello4033 3 роки тому +1

    DOGO NILIMSHAURI AACHANE NA VIMULI VINAWEZA KUWAKA MOTO HAKUSIKIA ILA AFADHALI SHEM HAJAUNGUA MAKALIO

  • @naomymmarymmary5047
    @naomymmarymmary5047 3 роки тому

    Achen kutuchora nyie hizi kiki tu za mtandao mlikua mshajipanga kwa hilo 😂

  • @emmanueltuppa5459
    @emmanueltuppa5459 3 роки тому +4

    Matukio kama haya yananogesha shughuli na ukumbusho pia kujulikana wapi habari zingeandikwa kama sio moto,kuna aliempiga Rais kiatu ila hadi leo anakumbukwa na ana jina watu wana mbinu huenda tukio lilipangwa ili habar itrend

  • @kwampalangetv5511
    @kwampalangetv5511 3 роки тому

    Mhhh dalili mbaya Sana hiyo wanatakiwa waombe Sana Sana . inaonesha ndoa yao mhhhhhhhh

  • @makitandungu2604
    @makitandungu2604 3 роки тому +1

    Wahenga hawakukosea waliposema kuchamba kwingi lazima uondoke na kipande cha nnya!!!

  • @siasteven135
    @siasteven135 3 роки тому +1

    Dah asee 😪

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 роки тому +12

    Subhannallah, mtihani kwakweli very bad 😢😏

    • @mariahyera3737
      @mariahyera3737 3 роки тому

      Shetani alijiinua alitaka kufanya uharibifu. Tunamshukuru sana Mungu kwa uweza wake.

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 3 роки тому +1

    Makubwaaaa 🤔🤔🤔

  • @joycekisamo4896
    @joycekisamo4896 3 роки тому +6

    Shetani mnamsingizia bwana; Uzembe wa hali ya juu...Ebu Watanzania tuwe responsible na na makosa yetu! The planning was horrible 😕

    • @childrengospelmissiontanza1474
      @childrengospelmissiontanza1474 3 роки тому +1

      Kwa kweli yaan huyu Shetani nae anatushangaa sana

    • @GloriousRestorationTV
      @GloriousRestorationTV 3 роки тому +2

      Nyie hamwelewi, hakuna ubaya usiotoka kwa ibilisi, na everything is planned in the Spiritual realm.....no coincidence

    • @glorytoGod639
      @glorytoGod639 3 роки тому +1

      Ni uzembe tu ulifanyika ile moto ulikuwa njiani sana

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 3 роки тому

      @@GloriousRestorationTV Let me save my breath....it will be a wastage of my time and intelligence to dispute your statement. Sad 😔

  • @lavieestbelle3263
    @lavieestbelle3263 3 роки тому +1

    Mmmh........yatakayo Jiri baada ya miaka miwl MTUJuze

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 3 роки тому +6

    *NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 🔥🎶🙏🙏🎶🔥*

  • @ephraziachristopher1271
    @ephraziachristopher1271 3 роки тому +1

    Hao inabid wasali sana kama mwanzo tu accident kabla ya haruc mmh

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 роки тому +2

    Ndoa hiyo gundu tupu 😅😅😅🤣

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 роки тому +1

    Ishar mbaya kabisaaa daaah pole Sana jaman hmmm

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +19

    wacheni jealous kwani kuonavmwenzenu kaolewa dio nyinyi munabebwa tu . hapo akipata mume ndio pakusherehekea hasa wengi wanaitafuta chance km hiyo hawakujaaliwa wanaishiwa kufugwa . km ni moto kuweko ukumbini ni jumla ya mapambo na hawakuanza wao hiyo ni ajali km nyengine . kuna maharusi wanaanguka nakufa juu ya mastage mutasema wameyataka ? kwa vile kashapata mume angekaa kwake ? wacha wafurahiye siku yao na km nguo kuungua ni binaadamu wenye hasada km humu wamo wenye choyo na vijicho , wacheni hayo km nyinyi mumeshindwa kuyafanya uwezo haupo yeye anayamudu

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 2 роки тому

      Shida sio uwezo na wewe kuwa mwelewa kwani wangapi wenye uwezo na kila siku wanafunga ndoa ukumbini bila kuweka atli kama hiz,

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 роки тому

      @@wamoroboy8963 hawana uwezo hao wenye uwezo wanaonekana . hakuna mwenye uwezo akafanya arusi asisherehekee. arusi ni jambo pekee .

  • @dorisfabian4776
    @dorisfabian4776 3 роки тому +3

    Hahahahaaha hao waliolewa ndo wamenichekeshaaa

  • @treshazgodfather9219
    @treshazgodfather9219 3 роки тому +5

    😂😂😂😂Usikute X wake ndo alitoa wazo la moto😂😂

  • @kigalipostlive6651
    @kigalipostlive6651 3 роки тому

    Sobanukirwa uko Ubutinganyi bwatangiye kubaho/Abakundana bahuje igitsina baratotezwa ua-cam.com/video/lOcBZLi125o/v-deo.html

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 3 роки тому +23

    Hii ni hatari. Maana ingebidi kuvua nguo si aibu

  • @marytemba883
    @marytemba883 3 роки тому +1

    Nimecheka huyo aliyelewa kabla ya sendoff 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @baizoboy1719
    @baizoboy1719 3 роки тому +4

    Hiyo ndoa ama ndoano, kudumu ni vigumu maana shetani yupo Kati yao

  • @rosetembe3785
    @rosetembe3785 3 роки тому +15

    Umeshapata mume Sasa mimoto yanini ktk migauni,mngeungua ndo mngepunguza hizo ngenge,tuko tuna omba waume nyie mnaangaika na mimoto.

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣

    • @magrethpoulpoul8585
      @magrethpoulpoul8585 3 роки тому

      🤣🤣🤣🙌

    • @brigithadidas5128
      @brigithadidas5128 3 роки тому +1

      Eeh we nae kwan bi harusi kakosea nn apo

    • @farajakigura8720
      @farajakigura8720 3 роки тому +3

      Rose Tembe Hapo shida Sio Bibi halusi Ila mwanaume unaweza kukuta mwanamke mwingine hakupenda haolewe huyoooo dada alitakaka aolewe yeye sasa meza kuu ikashindikana Au mwanamke kuna Mtu alishakuwa nae kwenye mahusiano wakaachana akasema tutaona Kama ataolewa ndo akatuma Moto akasahau kuwa yupo Mungu msemaji wa mwisho ambae Ni Yesu kristo alie hai ambae huwa hashindwi na chochote kumbuka shetani aliazia kwenye ajali lakini bado Mungu wa mbinguni alisimama nao aliaza kuhaibika zamani hata sasa shetani kahaibika na ataendelea kuhaibika Na Mungu awe upande wenu lolote watakalolifanya juu yenu likawadie wenyewe kwa jina la Yesu Alie hai kila pando asilolipanda Baba wa mbinguni kwenye maisha yenu likang'olewe kwa jina la Yesu

    • @mariamhavile8849
      @mariamhavile8849 3 роки тому

      Kwani bibi harusi anakosa gani na wewe

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 3 роки тому +5

    Duh!!:Anasa vs Husda

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 роки тому +1

    Tatizo mbwembwe nyingi punguzeni ria mungu hapendi

  • @barakanyoka5482
    @barakanyoka5482 2 роки тому

    C wanakulaga ela za wanaume alfu wanawaacha ingetakiwa alipuke kabs

  • @mariachuri7123
    @mariachuri7123 3 роки тому

    Mmmh! Jamani...pole bi harusi

  • @barakatrassi3903
    @barakatrassi3903 3 роки тому

    Hatariiii sanaaaa

  • @fatmafarijala1498
    @fatmafarijala1498 2 роки тому

    Mmh kunguni weusi yani maombi mnakumbuka mkiwa na matatizo

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 3 роки тому +7

    Kuna rafiki yangu mmoja siku ya harusi yake alikunywa mzinga mmoja wa whisky lakini yeye ni mlevi toka zamani

    • @selinamwikali4181
      @selinamwikali4181 3 роки тому

      Hahaha 😂😀

    • @عامرالشيباني-ح3ظ
      @عامرالشيباني-ح3ظ 3 роки тому

      😂😂😂😂😂

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 3 роки тому

      @@عامرالشيباني-ح3ظ na mimi nakunywa pombe lakini ni bia tu tena hapa kwetu weekend ndiyo inaanza leo nimekunywa bia kazaa naogopa kunywa bia nyingi sababu huwa nikinywa sana nawapigia simu polisi nawaambia kuna mtu anagonga mlangoni na polisi wamekuja nyumbani mara nyingi hawajaona mtu hapa naishi Ulaya

    • @bahatiagape7121
      @bahatiagape7121 3 роки тому

      Sasa unatakaje km alikunywa?yy ni mlev wa pombe.wewe je ni mlevi wa nini??

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 3 роки тому

      @@bahatiagape7121 mimi ni mnywaji wa pombe lakini sio mlevi na nakunywa bia tu sigusi pombe kali pia nakunywa nyumbani tu sio kwenye baa wala sehemu yenye watu wengi na sijawahi kupata ajali yeyote nikiwa nimekunywa bia na bia inanifanya niwe na hamu ya kula vyakula vitamu

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 роки тому +2

    Poleni sana jamani

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 3 роки тому +1

    🙆🙆🙆 tobaaaa

  • @dorcasfaith5050
    @dorcasfaith5050 3 роки тому +5

    Mungu akuinue sana mc nowachache sana wanaojua kuwa hizi ni hila za shetani

    • @NimuFx
      @NimuFx 3 роки тому

      MC Mtu wa Mungu sana. Abalikiwe sana. Shetani ni mjinga sana ujuwe

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 3 роки тому +16

    Kila siku nasema hii sio nzuri. Hata birthday za watoto mue makini. Mimi niko ulaya lakini vitu kama hivi wanaangalia safety kwanza ila kwetu wanaiga tuu hawafikiri

    • @ruuh5149
      @ruuh5149 3 роки тому

      Sn yn wanapend sn kuiga hw

    • @angelageofrey9756
      @angelageofrey9756 3 роки тому

      Ilikua bahati mbaya

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 3 роки тому

      Yashaunguza wengi sana

    • @chrissjoel7752
      @chrissjoel7752 3 роки тому

      Kwahiyo ungetoa ushauri tu bila kusema kama upo ulaya tusingeelewa 🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒

    • @fridamapunda5079
      @fridamapunda5079 3 роки тому

      Niunganishe nije ulaya mwaya maana uku Tanzania hakueleweki

  • @moodychanday9220
    @moodychanday9220 2 роки тому

    Ila MC acha uongo unavyosimulia na picha ni tofauti kabisa mana unajifanya wewe umehusika kwenye msaada lakini huonekani ukitoa msaada huo kwenye ule mripuko 😂😂😂

  • @abdallahamir9234
    @abdallahamir9234 3 роки тому +2

    Kwahiyo na hiyo habari?

  • @zolongOne
    @zolongOne 3 роки тому

    Mganga wa Ex ni mkali sana 🤣🤣🤣

  • @minamina8024
    @minamina8024 3 роки тому

    Jmni daah

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 роки тому +4

    Sasa bibi harusi unalewa ukumbini jamani 🤣🤣

  • @farajhassan1775
    @farajhassan1775 3 роки тому +1

    Halaf bado kuna mtu anasema bear tamuu 🤣🤣🤣

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 3 роки тому +1

      Bia ni tamu sana na sasa hivi niko home nimekaa nakunywa bia na niko makini sana siungui na moto

    • @farajhassan1775
      @farajhassan1775 3 роки тому

      @@happynelson1136 Weeeh usiniambie nami nijarbu kuinywa nijue kama ni tamu ama laah🤣🤣

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 3 роки тому +1

      @@farajhassan1775 jaribu kunywa bia ni tamu sana ukiizoea kuiacha itakuwa tabu sana kama mimi siwezi kabisa kuacha kunywa bia na ni bahati nzuri haiunguzi maini nakunywa bia kila siku nikirudi nyumbani kutoka kazi ni halafu bia inaleta sana hamu ya kula chakula

    • @jessykadaraja2691
      @jessykadaraja2691 3 роки тому

      @@happynelson1136 inaincrease digestion. Very true.

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 3 роки тому +2

    Aya ni majanga jamani

  • @aminamsimbe4034
    @aminamsimbe4034 3 роки тому

    Jk acha uongo Mara nyingi hizo hupambwa kwenye kumbi mbalimbali siyo Simba ndiyo wameanzisha

  • @mustaphareua2370
    @mustaphareua2370 3 роки тому +2

    Oyooo

  • @tetemaboy8367
    @tetemaboy8367 3 роки тому

    Lakini katukio hako kamefanya harusi u
    Itreand Tanzania nzimaaaa ni kumbukumbu nzuri na

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 3 роки тому +1

    Shetani ashindwe tunawaombea kwa Mungu ndoa yao idumu mpaka shetani mwenyewe ashangae🙄

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 роки тому +2

    Hahaha aiseee yaduniani ahera hayapo

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 3 роки тому

    Watanzania kwa kuamini uchawi sijui kwann mpo hivo...sasa apo mnaambiwa vimoto hivyo vimerukia gauni sasa uchawi unahusikaje apo sasa...sijui huwa mnaupumbavu wa nini

  • @kondegangmusic5866
    @kondegangmusic5866 3 роки тому

    Diamond platnumz kazimia kwenye showua-cam.com/video/jdISDiWGE7g/v-deo.html

  • @sumamwaipopo8598
    @sumamwaipopo8598 3 роки тому

    Pole jamani daaah

  • @glorywiliam1172
    @glorywiliam1172 3 роки тому

    Bwana harusi hana time mbon

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому +1

    hapo hakuna cha shetani mulitaka wenyewe sio kila kitu shetani alowasha moto shetani ama binadamu mimoto ya nini jamani ndani ya kanisa

    • @Aminaamina-cg8sf
      @Aminaamina-cg8sf 3 роки тому

      Navipi kuhusu ajali nayo walitakawenyewe bwana wee uchawi upo Sema haikuwasikuyake Bana Mungu na shetani walikuwa wakishindanasema haijawahi tokea shetani akashinda kama unaimani kubwa atashindwa tu shetani

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +1

    Maskini😭😭

  • @vivianvivian8585
    @vivianvivian8585 3 роки тому +2

    Jaman

  • @restutamjuni4739
    @restutamjuni4739 3 роки тому

    Jamani mtoto wawatu ange ungua bule

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 3 роки тому +3

    huyo bi harusi mungu anampenda sana unapo muomba mungu akupe kitu fulani naye anakuja anakuonyesha upendo kuliko kile unamuitisha ahsante sana muumba wetu Amen🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺

  • @davidsika5292
    @davidsika5292 3 роки тому +1

    Mbwembwe nying kwenye harusi ....maisha ya ndoa yanakuwa togautii

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 3 роки тому

    Analewa kwenye Shughuli afu anauliza Are u sure 🤔😂😂😂

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 3 роки тому +2

    Mnaiga Mambo ya Mabeberu, ndio maana mmelaniwa.